Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

O8

Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie. Asante Nelly mimi naenda tutaongea baadae, Denis aliondoka nikabaki namtazama hadi alivyoondoa gari ๐Ÿš™ lake.
Kuna watu mna nyota ya kupendwa yaani hadi mnaletewa zawadi nimetamani kama ningekuwa mimi vile sema uzee huu jirani yake anapouza mamkubwa aliongea huku akicheka ๐Ÿ˜†, ni kaka yangu tu huyu wala hakuna kitu chochote tulikuwa tunakaa mtaa mmoja zamani nyumba ๐Ÿก zetu ni majirani. Jambo jema ila huyu anakupenda tena hasa hawa watu wenye pesa wanatongoza kwa kutumia pesa tu ila ni mkaka mzuri anafaa kwa matumizi. Nikaona huyu mama sasa anaenda mbali ndio mambo gani haya ya kuongea kwa watu nilibaki nimenyamaza kimya mwisho wake azidi kuropoka aseme ana mashine nzuri ๐Ÿ˜†.
Usiku ulipoingia nilifunga biashara nikarudi nyumbani ๐Ÿก nilimkuta mamkubwa amekaa nje nilimsalimia nikakaa chini, Enhee leo umerudi na jipya gani maana kila ukirudi una mpya mamkubwa aliongea huku anacheka. Kama ulikuwepo mama yangu leo nimeongwa simu ๐Ÿ“ฑ sijui hata ananitakia nini huyu kaka. Anakutaka wewe msikilize anachosema cha muhimu hapo ujikinge na mimba na maradhi tu usimuamini mtu kwa macho mimi nakuambia ukweli sikufichi kitu wewe ni binti yangu sijui unanielewa ๐Ÿค” . Nakuelewa mama unachosema , basi ni vizuri tulikuwa tunakusubiria wewe tuje tule tulikula tukaenda kulala ๐Ÿ›Œ. Nikiwa nachezea chezea simu iliingia meseji mambo kusoma jina ni Denis maana alisevu namba yake kabisa nikamjibu poa niambie, Naweza kukupigia simu ๐Ÿ“ฑ usiku huu Nelly๐Ÿค” , ndio nipigie nilimjibu kisha nikanyanyuka nikaenda nje ili niongee na simu sikutaka kumsumbua mamkubwa.

Alipiga nikapokea Aloh samahani kwa usumbufu sasa hivi ndio napumzika ndio maana nimekupigia simu sasa hivi , Usijali kaka hamna shida nilmjibu. Usiniite kaka niite Denis tu inatosha Nelly mimi nimetokea kukupenda na nipo tayari kutimiza mahitaji yako yote unayoyataka kuanzia sasa naomba unikubalie ombi langu hata usiponijibu sasa hivi nakupa muda unijibu . Sawa nilijibu , basi nikutakie usiku mwema kesho nangojea jibu langu, asante ๐Ÿ™ na kwako pia nilimjibu kisha nikakata simu ๐Ÿ“ฑ nikarudi ndani kulala ๐Ÿ›Œ.
Usiku ๐ŸŒƒ kucha nilikuwa nawaza nimkubalie huyu mtu nikijiangalia nina malengo mengi bila msaada siwezi kuendelea kabisa yaani ngoja tu nimkubalie ili mimi mambo yangu yaninyookee anaonekana ni mtoaji sana .

O9

Basi sikutaka kusubiri hata kesho mimi nikampa jibu muda huo huo kuwa nimekubali ombi lake ila aniheshimu na kunijali , Denis alinihaidi kuwa atanipenda na kuniheshimu na kunifanya kuja kuwa mke bora kwake . Kidogo nikajikuta napata amani baada ya kusikia hivyo tukatakiana usiku ๐ŸŒƒ mwema na Denis kila mtu akalala . Penzi jipya in town ๐Ÿ˜†, siku hiyo nililala usingizi ๐Ÿ›Œ mtamu sana hadi nilichelewa kuamka asubuhi๐ŸŒ„ , mamkubwa alikuwa ameshaondoka kwa kuwa namba yake naijua nilimpigia simu ๐Ÿ“ฑ kumuuliza ameenda wapi . Simu iliita akapokea mamkubwa upo wapi nilimuuliza nimeenda kwenye biashara nimeona umechoka sana leo wewe pumzika tu nyumbani ๐Ÿก leo. Sawa mamkubwa nilikata simu nikaenda kuoga kisha nikaenda kutafuta vitafunio ninywe chai njaa ilikuwa ishaanza kuniuma nikiwa narudi njiani simu yangu iliita kucheki jina ni Denis anapiga nilipokea chap . Aloh umeamkaje๐Ÿค” Denis aliniuliza , nimeamka salama sijui wewe ? niko poa nimepita hapo kijiweni sijakuona upo wapi ? nipo nyumbani ๐Ÿก leo nimepumzika . Basi njoo tuonane leo upafahamu hata nyumbani ๐Ÿก kwangu nikamjibu sawa, nikarudi nyumbani haraka nikaenda kujiandaa ili niende kwa baby nikamsalimie.
Alinielekeza kwake ni mbezi kwa Yusuph hivyo nikifika stendi nimwambie aje anichukue nikamjibu poa nikapanda daladala za mbezi nilivyofika tu nikampigia simu ๐Ÿ“ฑ kuwa nimefika nikashuka kwa kujiiba ili mamkubwa asinione nikashuka kule chini nikawa namsubiri Denis aje anichukue. Niliona gari ๐Ÿš™ lake nikamwambia nimemuona tayari nikaenda kupanda safari ya kelekea nyumbani ๐Ÿก kwake ikaanza.

Sikai mbali sana ni karibu tu hapo Denis alivunja ukimya baada ya kuona nipo kimya muda wote, Anhaa sawa unaishi na nani ๐Ÿค”niliamua kumuuliza maana unaweza kujikuta unaenda kupigwa huko kumbe mume wa mtu ๐Ÿ˜‚. Naishi mwenyewe labda nikikuoa ndio tutakuwa wote unaogopa kufumaniwa nini ? Denis aliongea huku anacheka , ndio isijekuwa mume wa mtu . Hapana kuwa na amani upo peke yako japo niliwahi kuwa na mahusiano kipindi nipo chuo ila tukaachana vipi kuhusu wewe mahusiano yako๐Ÿค” Denis aliniuliza, sina mahusiano yoyoie na wala sijawahi kuwa nayo nilimjibu .

Kwahiyo unataka kuniambia kuwa wewe ni bikra hujawahi kuguswa na mwanaume ? Ndio , sawa nimefurahi kusikia hivyo tulifika kwenye nyumba ๐Ÿก moja ilikuwa na geti akapiga honi geti lilifunguliwa tukaingia ndani, Karibu hapa ndio nyumbani kwangu na hii ni nyumba yangu , Asante tulishuka kwenye gari ๐Ÿš™ tukaingia ndani.

10

Ndani palikuwa pazuri nilifikia kukaa kwenye sofa yeye akaenda jikoni kuchukua juisi ๐Ÿท kwenye friji alikuja na glasi mbili pamoja na chupa ya juisi, alimimina kwenye glasi akanikaribisha . Sasa niambie una mpango gani au unataka nini nikufanyie๐Ÿค”, nataka kuendelea na masomo yangu nilimjibu haraka haraka. Sawa si ulisema matokeo yako sio mazuri sana mimi nitakupeleka shule ya kulipia ukasome form five na six, Unasema kweli ? nilimuuliza Denis huku nikiwa sijaamini maneno yake aliyoniambia. Ndio sikudanganyi ila naomba muda wako tu mambo mengine niachie mimi, nilijikuta nimesimama kwa furaha nikaenda kumkumbatia Denis .

Na yeye hakupoteza muda akanikumbatia tukajikuta tumekumbatiana kwa sekunde kadhaa naona mtu ananisogelea kwenye lips ๐Ÿ‘„ zangu akaanza kuninyonya mate sikumzuia , alivyotaka kunishika maziwa nikarudi nyuma kidogo. Vipi mama Denis aliniuliza naogopa siko tayari kufanya hichi kitendo leo labda siku nyingine nilimjibu , Ok mimi nakusikiliza wewe unachosema ukiwa tayari utaniambia , kingine naomba tupime afya zetu ndipo tufanye mapenzi. Hilo ndilo linakupa hofu vipimo ninavyo twende tukajipime Denis alinishika mkono hadi chumbani kwake akaniambia nikae kitandani akaenda kabatini kwake akatoa vipimo akaniletea akavaa gloves kisha akafungua kipimo akanichoma sindano kidogo, pole mke wangu inauma kidogo alivuta damu kidogo kisha akapima na yeye akafanya hivyo hivyo kisha tukawa tunasubiri majibu.

Inaonekana unajua mambo ya hospitali sana ๐Ÿค” nilimuuliza Denis , Ndio mimi ni daktari nimesomea laboartory technician wow kazi nzuri nilitamani niwe daktari na mimi ila ndio hivyo tena, Usijali ndoto zako zitatimia tu tena unaonekana ni mtu mwenye akili sana ni vile tu haukuwa na uangalizi mzuri tu. Majibu naona yapo tayari tupo sawa wote siku ukiwa tayari utaniambia nakupenda โ™ฅ๏ธ sana Nelly.

Sawa Denis hamna kitu cha kupika nikakupikie tule nilimuuliza, mara nyingi sishindagi nyumbani ๐Ÿก hivyo kupika ni nadra sana ngoja niende sokoni nisubiri nakuja sasa hivi.Nilimsubiria hadi aliporudi akarudi na vitu vya kupika nikaingia jikoni kupika chakula kilipoiva niliandaa mezani nikamuita ili tule. Tulivyomaliza kula akawasha tv tukawa tunaangalia movie,tulishinda wote hadi jioni kisha akanirudisha nyumbani ๐Ÿก. Kabla sijashuka akanipatia hela elfu ishirini , utaweka vocha hiyo. Asante nashukuru ๐Ÿ™ sana Denis uende salama kuwa makini barabarani unavyoendesha gari ๐Ÿš™.

Itaendeleaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10


O8

Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie. Asante Nelly mimi naenda tutaongea baadae, Denis aliondoka nikabaki namtazama hadi alivyoondoa gari ๐Ÿš™ lake.
Kuna watu mna nyota ya kupendwa yaani hadi mnaletewa zawadi nimetamani kama ningekuwa mimi vile sema uzee huu jirani yake anapouza mamkubwa aliongea huku akicheka ๐Ÿ˜†, ni kaka yangu tu huyu wala hakuna kitu chochote tulikuwa tunakaa mtaa mmoja zamani nyumba ๐Ÿก zetu ni majirani. Jambo jema ila huyu anakupenda tena hasa hawa watu wenye pesa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ila-boss-anajua-kupeleka-moto-8-9-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ila-boss-anajua-kupeleka-moto
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.25K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

935
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

640
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

331
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

298
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

237
SHAMIRA 105 na 106

SHAMIRA 105 na 106

225
SHAMIRA 107 Hadi 109

SHAMIRA 107 Hadi 109

225
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

190
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10

187

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.8K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.78K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest