Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
Gonga94 ยท Stories

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"BY BABIE LOVE"

Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa

Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia

Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ

Wanawake mna mioyo migunu sana

Zee linanuka kiharufu cha ubabu lkn bado mijimama mijitu mizina inaenda kukivulia chuoi hicho kibabu hahahhaahahhahaah aibuuuuiiuuuuu

Nikakuta kishachuma mboga kitaaambo kimeweka nje ya kichanja chake

โ€œAah mtoto mzuriii , kikasema kikinisogelea

โ€œKoma mbwa wewe , nilikijibu kile kibabu ๐Ÿคจnikachukua mzigo wanagu huyooooo speeed mia hadi site sokoni kwangu hahhahahahha
Nikaweka zile mboga pale na kusubr watejaaaaaa

Kama kawaidaaaa mteja wa faidaaaaa mwamba akafika na gari yake akaipack ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡




Akashuka akaja moja kwa moja โ€ฆโ€ฆ.

Gmorning โ€ฆ..

โ€œMorning โ€ฆ. karibu huku nikikenua mijino yangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ si nishajua hapa lazima nipete hela za keep cench ahhahahhaha

โ€œAlright โ€ฆ alijubu huwa hacheki kabisaaa

โ€œNiwekee mboga akasema โ€ฆ..

โ€œZa shingapi ?

โ€œZote shingapi?

โ€œZote ๐Ÿ‘€ ๐Ÿ˜ฌ huku nikikenua mijino 45 yote
elfu 15 tu nikataja tu bila kupiga hata hesabu

Akatoa wekundu watano akanipa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Ÿคฃ
Oyaaa Nyie jmn hivi huyu malaika ametokea mbingu gani ?

Nikamfungia mboga zake faster nikampa
โ€ฆโ€ฆ akarudi kwenye gari huyooo akaondoka zake
Yaan ndo nafika hata robo saa sijamaliza atauari mzigo ushaisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nikasema hivi leo sikubali lazima nijue huyu malaika anatokea wapi , ninmbigu ganni anatokea huyu mtu wa peponi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚


ALivoondoa gari tu , mimi sas na matege yangu nikaita boda ikaja chap nikapnda huyoo nikaanza kumfatilia nyuma Nyuma yule jamaa

โ€œHuyu ninani hata jina lake simjui? Na kwann ananifanyia favour namna hii ? Maswali mengi kichwani bila majibu kamili

โ€œAnanitaka ama? Boda Huyoooo anakula mafuta vibaya mnooo tukamfuata huko aendako

Aliendesha gari hadi huko katikati ya jiji kwenye majengo mareeeefu sana ya kitajiri

Alipack gari nje , na mimi na boda wangu tukasimama kuleeee mbali kabisa ili asituone ๐Ÿ˜‚

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ


"BY BABIE LOVE"

Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa

Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia

Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ

Wanawake mna mioyo migunu sana

Zee linanuka kiharufu cha ubabu lkn bado mijimama mijitu mizina inaenda kukivulia chuoi hicho kibabu hahahhaahahhahaah aibuuuuiiuuuuu

Nikakuta kishachuma mboga kitaaambo kimeweka nje ya kichanja chake

โ€œAah mtoto mzuriii , kikasema kikinisogelea

โ€œKoma mbwa wewe , nilikijibu kile kibabu ๐Ÿคจnikachukua mzigo wanagu huyooooo speeed mia hadi site sokoni kwangu hahhahahahha
Nikaweka zile mboga pale na kusubr watejaaaaaa

Kama kawaidaaaa mteja wa faidaaaaa mwamba akafika...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/billions-of-love-sehemu-ya-7_8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi billions-of-love-sehemu-ya-7_8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 74 na 75

1.31K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76

1.12K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

839
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

221
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

127
*IN LOVE WITH YOU ZURIโฃ๏ธโฃ๏ธ* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURIโฃ๏ธโฃ๏ธ* *1-5*

123
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

89
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

69
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "11"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "11"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

52
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

15

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.58K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.86K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.98K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.76K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.64K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฑ imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290. Post Mpya
๐Ÿšจ๐Ÿ˜ฑ imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
@majario LIVE

kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na kiwango cha ubadilishaji cha sasa cha karibu TZS 2,600โ€“2,700 kwa dola 1). hii...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "11"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "11"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" "(Alikuja kama muuza chai)" โ€œTwende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi...

 Increase Earnings from Pakistan โ†’ Get +10% Bonus!  Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Post Mpya
Increase Earnings from Pakistan โ†’ Get +10% Bonus! Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ
@majario LIVE

. If you increase your earnings from this GEO by 25% or more compared to last week, weโ€™ll reward you with a +10% bonus on top. How Your Earnings Can Grow...

Fainali ya SIMBA ๐Ÿ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA Post Mpya
Fainali ya SIMBA ๐Ÿ†š RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA
@majario LIVE

ona sasa anaanza kuumbuka kwa kuendesha mpira wa Afrika kwa Upendeleo FAOUZI LEKJAA yeye ni โœ…๏ธMakamu wa Rais CAF โœ…๏ธMwenyekiti wa Fedha CAF โœ…๏ธWaziri wa Fedha Morocco ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โœ…๏ธMjumbe wa kamati ya...

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46 Nilimwambia โ€œnina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi...

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 Post Mpya
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
@majario LIVE

Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa familia...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 76
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Gรถztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURIโฃ๏ธโฃ๏ธ* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURIโฃ๏ธโฃ๏ธ* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

โ—พ๏ธFULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai โšฝ๏ธ Ekitike โšฝ๏ธ Gravenberch โšฝ๏ธ Mo Salah โšฝ๏ธ Post Mpya
โ—พ๏ธFULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai โšฝ๏ธ Ekitike โšฝ๏ธ Gravenberch โšฝ๏ธ Mo Salah โšฝ๏ธ
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya โ€˜Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; โ€˜Iyd na Ijumaa kwa Jamaaโ€™ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest