Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SHAMIRA Sehemu ya 110&111
Gonga94 ยท Stories

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
(SEASON FOUR)
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€



Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha ndo yalinifanya nifanye vile plss love. Love akanmbia ebu naomba utulie kwanza plss tulia. Basi nikatulia uku nishachanganikiwa.akanmbia twende chumbani kwangu uku utamuamsha mtoto. Basi kweli love akanichukua mpaka chumbani kwake akaniweka kitandani. Akanambia ulikuwa na changamoto gani mpka ufanye vile. Mimi sikumficha nilimuelezea kila kitu kuwa gift alikuwa anaitwa cairah na alikataliwa na baba yake . Na maradhi yake ndo yakinifanya nifanye vile. Nilimwambia niliangaika sana na mtoto ila niliona nikikaa nae mimi mtoto atakufa. Asee nilijielezea san love ili anielewa akanambia sawa mimi nimekuelewa ila kaka ana hasira sana kwa sasa tena hasira kali. Amechukia mno . Yani amanipigia simu mpka analia kwa iyo kwa sasa tulia kwanza na shushe presha shamira niongee na kaka na tumueleweshe taratibi. Si unakumbuka nilikwambia kuwa kaka aliachana mpka na mkewe kwa ajiri ya gift kwaiyo ana hasira sana relax shamira.nikawa nalia nikasema kanambia hanitaki ata kidogo . Naogopa sana kama ataniacha mimi nampenda sana dani .love mii nampenda sana kak yako plss nisaidie apo naongea mpaka nalia na kweli mimi jilizama japo mwenzangu alikuwa kawaida ila mie mlnilitiyia kabisa alafu lo mchumba anasemanhanitako nyie uyu baba atanifanya wanizike namoemda sana kiukwrli. Yani nampemda mno jamani .ooh mungu wangu mimi.nyie presha ilipanda ya kuachwa na hakimu oyaaa acheni kabisa ile siku
Nikawa najalibu kumpigia akawa hapokei kabisa. Nikawa nampigia mno yani mdaa wote nampigia mpaka love ananambia tulia yani nilishachanganikiwa .namtumia sms nnajielezea kwake mno ila wapi wala hakuwa ananijibu sms wala kupokea simu na mwisho simu ilizimwa. Nikawa nalia sana love ndo alokuw a ananituliza akanmbia sikia nikwambia kaka wewe anakupenda sana ni vile anashindwa kukubaliana na moyo wake tu. Ata uyo mke wake alomuacha ukute hajafikia jinsi anavyokupenda wewe.ila tu wewe tulia apa na hakuan kuondoka kaka akishakaa sawa ata ludi na aya mambo tutayaongea tu. nikasema sawa
Kisha love akaenda kumchukua gift tukaja kulala nae chumbani kwetu. Sikulala mwenzenu nilikua nalia tu japo sio kwa sauti usiku mzima yani sikuwa na rahaa kabisa wala amani . Moyo wangu ulikuwa unauma san na nampenda sana daniel. Yani uyu mkaka mimi kaniingia sana .nampenda mno ila ndo hivyo hataki kunielewa tena.
Basi asubuh love alishndwa kwenda kazini ikabidi abaki na kunituliza mana presha ilikuw juu sana. Nilikaa nyumbani siku 3 mwanaume jhajarudi na wala hapatikani siku ya 4 mida ya mchana sana nikiwa chumbani kwetu tunapolala mimi na yeye ndo alikudi sasa. Mh yupo serious macho mekundu kweli kweli kwanza nilivyomuangali tu mimi mwenyewe nilikuwa naogopa ata kuongea nae kwa jinsi anvyoonekana
Akaniuliza mpka sasa upo apa unafanya nini we maraya nakuuliza unafanya nini wewe mpumbavu.

nikasema daniel.akasema kelele usitaje jina langu muuaji mkubwa wewe. Mshenzi kabisa mchafu wewe unayenuka mda wote mjinga kabisa daaaaah .nikabaki kimya ata kuongea sikuweza na pozi likakata kabisa. Akanmbia yani najisikia kinyaa sana nikikuona mpumbavua wewe toka ndani kwangu. Aseee akananza kunisukuma kwa nguvu. Nasema toka nikasema plss niache basi natoka usinisukuume ila hakunielewa ata akanikisukuma kweli kweli yani mh acheni sitaki kukumbuka. Tulipofika sebereni gift akawa analia si anaona baba yake ananisukuma akasema baba muache mama. Aseee hiii siku ndo nilijua kweli mwanaume kaka sikirika akamfokea mtoto aksema pumbavu wewe nenda chumbani kwako mshenzi kabisa .mtoto mwenyewe alishaanga mana hajamzoe hivi kabisa baba yake . Akakimbilia chumbani uku analia. Nikasema basi nipe mtoo apo ando nilichokoza moto jamani.mh akanitukana matusi ya nguoni akanmbia apa huna mtoto yani yule sio mwanao. Si ulimrupa sasa mimi ndo mama yake na mimi ndo baba yake maraya wrwe.
Love akatoka akasema kak plsss shusha hasira hamueweezi kuelewana wewe ukiwa hivi . Daniali akamwambia nakuheshimh love ntakupiga mpka nishangaze dunia .unamtetea nini uyu maraya ana nini cha kutetewa uyu .na ni mshenzi tu simtaki nyumbani kwangu . Love akabaki kimya mimi sikutaka kusukumwa tena mwenyewe taratibu nikatoka zangu nikamuacha daniel anafoka uko ndani tena ana tukana kweli kweli.mimi nilikuwa na simu yangu tu mkononi.sikubeba chochote sikuwa sawa ila nilijikaza nikapiga moyo wangu konde. Kisha taratbbu nikatembea mpka stand nikapanda gari nikaenda dom mjini kabisa sijuenda kwangu. Nikaenda lodge .nikachukua zangu room wla sikutaka kulia tena nililala tena sikutaka kuruhusu kichwa changu kiwaze chochote kwa uo mda.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

(SEASON FOUR)
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€



Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha ndo yalinifanya nifanye vile plss love. Love akanmbia ebu naomba utulie kwanza plss tulia. Basi nikatulia uku nishachanganikiwa.akanmbia twende chumbani kwangu uku utamuamsha mtoto. Basi kweli love akanichukua mpaka chumbani kwake akaniweka kitandani. Akanambia ulikuwa na changamoto gani mpka ufanye vile. Mimi sikumficha nilimuelezea kila kitu kuwa gift alikuwa anaitwa cairah na alikataliwa na baba yake . Na maradhi yake ndo yakinifanya nifanye vile. Nilimwambia niliangaika sana na mtoto ila...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-110-111

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya58&59
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 56&57
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 46
SHAMIRA Sehemu ya 51
SHAMIRA Sehemu ya 51
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

1.25K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

782
SHAMIRA Sehemu ya 110&111

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

580
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

410
SHAMIRA 107 Hadi 109

SHAMIRA 107 Hadi 109

384
 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

118
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

108
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

98
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

72
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

18

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.83K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.75K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.62K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.โ€‹ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku...

SHAMIRA Sehemu ya 110&111 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 110&111
@majario LIVE

(SEASON FOUR) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha...

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest