Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

LETICIA 7-----------14
Gonga94 ยท Stories

LETICIA 7-----------14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 7 na 8
Mwandishi; LISSA
Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.โ€‹
Mimi na dada tunalala chumba kimoja ,kwaiyo wazazi walipoenda kulala mimi nikafunga milango ndio na mimi nikaenda kulala ,apo dada sakina nikamkuta amelala muda adi anakoloma kabisa .mimi kabda ya kulala nikachukua madaftar nikapitia tulichosoma shule iyo siku ,nikafanya na homework zangu kisha ndio nikalal sasa, na asubuhi shoga angu salome akanipitia tukaenda wote shule . Basi mwenzenu penzi langu na polela lilinoga mno yaani , tulikuwa tunapendana sana ,salome alikuwa anachukia uyo ,tena akisikia naliwa kwenye mahindi ndio atanichamba ety najishusha thamani, mimi sasa sijali wala nn uzuri thamani naishusha kwa baby wangu polela sio shida zangu,

Kuna siku tumefika shule kama kawaida shule za vidumu na mifagio ,tukahesabu namba kwanza , kisha tukaenda kifanya usafi. Tulipomaliza tukaenda assembly wakatutangazia kisha tukaenda darasani,tumefika t kuna mwalimu akaingia akasema wasichana wote tunahitaji, bas kweli wasichana wote tukatoka nje ,wakatupeleka kwenye hall ya kufanyia mtihani, tukawakuta wasichana wengine kule ,basi wakaingia manesi wakasema wakuja kutupima mimba na tujiandae watakuwa wachukua wasichana sita sita ukipimwa unarudi darasani ,wazinzi wote tuliogopa ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ. At shoga angu salome et akawa ananiuliza jana nilifanya vip nitakuwa nayo. Mimi mwenyewe nilikuwa na mawazo yangu maana mimi ndio hatari afadhali yeye nahisi.

Basi kweli wakaanza kutoka watu sita sita wanaelekea staff ,maana staff ya walimu ina vyoo kalibu kwaiyo unaenda kule wanakupa kachupa wanasema uwape mkojo ,zamu yangu ukafika na mimi nilienda nikapeleka uo mkojo kisha nikarudi darasani ,na baada ya mda salome akaja nae ,tukawa tunapiga story maana hii siku wala hakukuwa na vipindi walimu kalibia wote walikuwa wapo busy na kusimamia zoezi la upimaji mimba . Mpka mida ya saa 6 ,nikashangaa mwalimu wa darasa akaja darasani akatuita wanafunzi wawili ,mmmh niliogopa walai ata darsa nzima walikuwa wanatuangalia sisi tulio itwa uwiiih. Maaan ata wanaume walikuwa washajua kuwa tumetoka kupima mimba.

Basi tukamfwata mwalimu adi ofisini, kule tukawakuta wanawake wengine kama kumi hivi ,na sisi tukaongezeka apo yaani ata hatukuambiwa kitu ,tukapakizwa kwenye gari adi hospital na pale hospital tukapimwa tena mimba, nikaambiwa ninayo na wale wote tulio enda pale tulikuwa tuna mimba ,, nyieeee nilichanganikiwa uwiiih haikuwa mipango yangu kabisa ,ata kama nilikuwa nafanya sikuwa nimejipanga kuwa mama. Kwanz nikawaza vip mama akijua uwiiih nazimia.

Hatukuruhusiwa kutoka tukarudisha shulen ,wakawapigia simu wazazi wetu waje kutuchukua ,daaah nilisemwa na walimu jamani tafikiri mimi peke yangu ndio nilikuwa na mimba ,wakawa wanashangaa maaana mim nilikiwa nina akili mno walikuwa wananitegemea et nimewaangusha ,waliongea nilisemwa jamani adi nilijuta kufanya ,walimu wengine wakawa wananitandika viboko kabisa ,hasira zikiwazid daaah. Na baada ya mda mama angu akaja pale ,akaambiwa mimi ni mjamzito ,mama wala hakuongea kitu akanichukua tukaanza kurudi nyumbani, yaani hakunisemesha njia nzima alikuwa yupo mbele mimi nipo nyuma namfwata uku naliaa, nililia njia nzima ,nikawa nawaza jinsi ya kumuangalia baba angu ,tumefika nyumbani tukamkuta dada na baba wapo ,ila baba ndio alikuwa anataka kutoka ,baba akasema vip mbona umerudi nae anaumwa au na wanasemaje uko shule . Mama akasema baba sakina ebu muulize mwenyewe si yupo apa ,baba akasema eeh mwanangu nambie shida nini ,nyie nikaanza kulia kwanza nikapiga magoti nikasema baba nisamehe, baba akasema umefanya nini kwani ,yoooha ta kuongea sikuweza jamani nikabaki nalia tu. Mama akasema mwanao mjamzito uyo na shule ndio kafukuzwa teyari ,mmmh baba aliniangalia jicho hilo nikabaki natetemeka pale.๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข..

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 09
Basi baba akasema nini wewe let kwaiyo ushaanza mchezo mchafu na umri wako uo ,nikasema baba nisamehe, loh baba hakunijibu alinijibu kwa vibao na alinipiga jamani ,nilipigwa hii siku adi mama akaingilia kati, akasema baba sakina utauwa mtoto uyu ,baba akasema ndio tabia ulizowafundisha watoto wako hizi ,mama akasema kwani wewe ulishidwa kuwakanya maaana tunashinda nao wote nyumbani ,mama na baba wakawa wanagombana wenyewe tena ,mimi nipo chini nalia tu yaani ,baba akasema aya we mtoto ebu sema haraka iyo mimba ni ya nani ,mmmh kwa kile kipigo nilichopigwa nilitaja haraka nikasema baba ni polela ,nikaona wazazi wangu wameishiwa nguvu,mama aksema polela yupi uyu uyu wa iki iki kijij ,nikasema ndio mama ,baba akasema umejua kunitia aibu wewe mtoto ,mtoto wa wenyewe kiti kabisa unaenda kutiwa mimba na mtu kama yule atakupa nini wewe yule ,mimi nikabaki kimya maana kweli polela kwao ni wana hali ngumu familia kubwa alafu hela hawana yaani ata polela kuna siku nilikuwa nambebea chakula namuibia tu nyumbani.

Basi baba aliposikia hivyo akaondoka kwa hasira nikajua tu anaenda kwa kina polela ,mama akaniangalia sana akasema unaona adi mimi na baba yako tunagombana umefurahi sasa mwanangu, nikasema mama nisamehe ,mama aksema sasa mimba na miaka 16 kweli leti aya naona uyo polela anaweza kulea ndio maana umeamua kumzalia siet ,nikasema hapana mama sikupanga kuzaa bahati mbaya ,mama akacheka akasma leti bahati mbaya ulipokuwa unafanya na uyo polela wako ulitegemea nini labda ety .yaani mtoto mdogo ila ushaanza kuchezea mboo . Nikabaki kimya mama alinisema mno jamani alio ngea sana ilikuwa saa 6 adi jioni inaingia tupo nje ata ndani sijakanyaga , dada sakina yeye alikuwa pale anashangaa tu ,mama alipochoka kuongea ndio akaondoka nikabaki na dada sakina,akanisaidia kuinuka pale tukaenda chumbani kwetu ,akanambia aya na wewe binti kwaiyo ulikuwa unafanya bila kinga kwanini sasa ,nikasma mimi dada sikujua ata ,dada sakina akasema loooh ila kuikatikia ndi ulikuwa unaweza ungetuuliza wazawa basi ,mimi nikabaki kimya ,aksema sema dogo umeaibika bora ungenambia mimi mapema tungeicholopoa uendelee na shule lakini hivyo itabidi uache shule sijiu uyo bwan ako polela atakuoa sasa ,nikasma yaani dada mimi ata sielew kwa kweli na polela saizi bado hajajipata tutaweza kweli ,dada aksema sema usijar baba hawezi kukuacha ukaishi kule anajua maisha ya kina polela.basi dada akanipa moyo pale adi nikawa sawa .


๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 10 na 11
Baba alirudi akasema ameenda kwakina polela hajamkuta ,nasikia na nguo zake hazipo wazazi wake wamesema itakuwa katoroka ,looh niliumia ananiachaje peke yangu katika kipindi iki kigumu jamani . Niliumia mno jamani ,baba aksema aya ushapewa mimba na umetelekezwa sijui unampango gani sana ,sikuwa na chakusema nikainuka nikaingia ndani. Hii wiki ilikuwa wiki yangu mbaya mno maan nilikuwa nasemwa kila dakika ,ila shoga angu salome akawa anakuja kunipa pole ananipa na moyo ,mama ndio alikuwa hataki ata kunisikia nikawa naishi ivyo ivyo kibishi yaani nitafanyaje sasa .yaani nyumbani nilikuwa naongea na dada tu ,na siku za weekend nashind kw salome,maana nyumbani hamn anayenielewa sio mama wala baba . Kama ndio baba alikuwahaitikii ata salamu yangu kabisa, nilikuwa naumia maana aliyenipa mimba ndio hivyo kanikimbi ,nikawa nawaone wivu wanafunzi wenzangu waliokuwa wanaenda shule ,na wengine walikuwa wakiniona wananicheka mno ,na wananisema sio kidogo na waliposikia mimba nilyobeba ni ya polela ndio kabisa wakabaki wananishangaa ,

Ila mama yake polela alikuja wakaongea na bab angu ,akasema yeye anakubali kuwa nimebeba mjukuu wake ila anaomba baba amsaidie niendelee kukaa apa ,maana yeye hataqeza teyar anafamilia kubwa hana pakuniweka nitaenda kuteseka tu,na hali yangu ,baba alikubali maaana ni kweli ile familia ni kubwa mno nyumba ndogo na kijijini wote tunajua maisha yao ,ila uyu mam ni alikuwa anajitahidi mno kuja kuniona sijui mala kaleta nini ,nikawa nashukuru ata yupo mama mkwe ila mwanae kanikimbia ,basi maisha yakaendelea adi nikafikisha miezi minne ya ujauzito, apo katumbo kamechongoka hatari , na vyakula nachagua hatari ,na walivyojinyanyapaa nyumbani nilikuwa nakoma ,yaani mimba yangu ilikuwa haitaki ugali sijui vimboga vya mchuzi mchuzi ,mama akawa ananiambia si umebeba mimba ya tajiri endelea kujiendekeza apo utakufa njร a ,sasa nafanyaje ata nikijiforce kula naishia kutapika tu ,nilikuwa napata tabu acheni tu nilijuta mie uwiiih.

Basi mimba ikafikisha miezi 5 ,ndio nikaenda kufungua kadi ya clinic na mama alimwambia dada sakina anisindikize ndio tukaenda wote ,nimefika clinic watu wakawa wananishangaa na tumbo langu alafu mdogo si nilikuwa na miaka 16,basi wakanigungulia kadi ila wakawa wananijadili et wananiuliza wewe mtoti uliwahi nini jamani ,mimi kimya mara utaweza kweli kusukuma wewe au ulijitia kihere here. Waliongea apo wakaniuliza jina la baba nilikuwa sitaki ata kutaja jina lake ila nikaltaja tu ,nikasema polela ,nesi akauliza kazi yake nikasema mkulima ,akauliza miaka nikasema 16,yoooh walicheka et kwaiyo watoto mmepeana mimba aya bwaa

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 12
Basi tulipomaliza nikaondoka na dada,basimaisha yakaendelea adi mimba inafikisha miezi ni mengi nilikuwa nimepitia ila kujikaza si niliyataka mwenyewe tena ,bas mimba ikafikisha .miezi 9 nikabaki nasubiri tarehe tu, na nilichoka mno sio kidogo. Yaan ata kutembea naona tabu tupu .bas mimi uchungu ulinishika usiku saa 7 usiku ndio naona vimaji maji vinatoka chini, na tumbo likaanza kuuma,yooooh akina mama wote shikamoni uchungu unauma jamani uwiiih, nililia da sakina ndio akaamuka kuwaamusha wakina mama ,baba akampigia jirani yet mmoja alikuwa na boda boda . Nilikuwa sijajiandaa kwa chochote yaani . Ila nikashangaa mama kaingia chumbani kwake katoka na dishi linakila kitu kimya sijui vitenge ,vinguo vya mtoto, daaaah kumbe mama alikiw kaniandalia kila kitu yaani alafu ata hakunambia .bas hatukukaasana boda ikaja ikatubeba mimi na mama ,baba yeye alibaki na dada sakina . Basi tumefika hospital nikapokelewa vizuri na nikapelekwa labour ,namshukuru mungu nilikuwa na umri mdogo lakin nilijifungua salama ,kwanza nilipofika ata sikukaa nilijifungua mda uo uo yani, nilijifungua ,mtoto wa kiume mama aliponifikisha hospital yeye alirudi nyumbani akaja asubuhi na dada sakina waliniletea chakula ,basi mama alipomuona mtoto alifurah akawa anasema nimepata mchumba jamani ,amefanana na babu yake uyo ,na kweli mwanangu alifanana na baba angu ,kwa polela kidogo sana .

Basi tumekaa pale hospital baada ya muda nikakaguliwa na mwanangu, wote tulikuwa vizuri tukaruhusiwa kurudi nyumbani, nimefika nyumbani nakuta baba kanichinjia jogoo ,et nimechinja kwaajili ya mjukuu wangu , nimesikia kafanana na mimi ,nikacheka jamani na nikaona afadhali wanampenda mwanangu na mwanangu alilrta amani tena nyumbani kwetu ,baba alimpa jina mwenyewe akasema tumpe. Jina la baba yake pacha wake , yaani jina lake akamuita cosmas maana ndio jina la baba angu. Basi bwana maisha yakawa afadhali yaani mwanangu alipedwa jamani baba ndi usiseme yaani alikuwa anampenda mjukuu wake ,akitoka akirudi anarudi na kofia mara nguo ,alikuwa anasema saizi kapata mtoto wa kiume ๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ.

Adi mwanangu akafikisha mwaka akaanza kuongea sasa ,apo mda wote yupo na babu yake , babu yake akawa anambeba adi kwenye mashamba yake et anamuonesha mali mapema ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ. Na kenyewe kakirudi kanasema mama mimi nina mashamba mengi babu yangu kanipa ,mimi nikawa nacheka ,apo mama polela alikujaga mara moja tu. Na penyewe alileta mche mmoja wa sabuni ,siku nyengine tunakutana tu njiani anamsalimia mtoto kwa mbali mbali basi ila nyumbani aliacha kuja ,na mimi wala sikuwa na shida nao nikaendelea na maisha yangu uzuri familia yangu ilikuwa inanisapport ,adi mwanangu anafikisha miaka mitatu maisha yalikuwa poa tu ,apo nilikuwa nashinda tu nyumbani, marafiki zangubwote walitawanyika ata salome aliondoka ,yeye alienda dar kuendelea na masomo yake ,dada angu nae aliolewa kijiji jirani ,nyumbani nikawa tu peke yangu labda na mama akiwepo ,nilikuwa nawaza sana maisha yangu na vile nina mtoto.....

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 13 na 14
Nikawa nawaza ndio maisha yangu yameishia hapa nitabaki pale nyumbani mpaka lini ,jamani apo nina miaka 19 ndio naelekea 20 . Nikaona apa inabidi nitafute kazi ,maaana uku kijijini kazi za vibarua baba ahataki et tunamdhalilisha mwenyekiti, ety kama tunataka kazi tumwambie apunguze vibarua shambani kwake . Basi bwana nikaanza kutafuta kazi kisiri siri ,kuna mmama mmoja pale kijijini alikuwa anauza duka kubwa tu kijijini ,nilienda kuongea nae ata nipate ajira kwenye duka lake ,nimefika pale niamsalimia ,nikamwambia samahani kama kuna kazi yoyote apa nilikuwa naomba ,akanambia oooh let unatafuta kazi mimi apa ata hamna kazi si unaona nina mdogo angu ananisaidia ,nikasema ndio, aksema vip unataka kazi yoyote, nikasema ndio mama yeyote ile nafanya ,aksema kuna kazi ila ni kazi za ndani na mshahara ni mzuri tu laki 2 kwa mwezi, niksema ata hiyo mama niunganishe ,akasema sawa njooo nitakupa jibu maana anayetafuta mfanya kazi ni mdogo angu ,nitaongea nae nikitulia na wewe kaongee na baba aako kazi ipo dar ,

Nilifurahi mno ila nilijua nikimwambia mzee hawezi kukubali kabisa niende mbali ,na ukizingatia mwanangu cosmas ndio kwanza anamiaka .mitatu kwaiyo at sikumwambia baba wala mama nilikausha kimya tu niliporudi nyumbani nikaendelea na shughuri zangu kam kawaida, Na kesho yake mchana nikawahi kwenda kuulizia ile kazi nimefika nikaambiwa kazi ipo ata kesho naweza nikaondoka ,oooh nilifurahi mno.,nkkasema mimi nipo teyari. Yule amma akasema basi nitakuja kuongea na wazazi wako jioni. Nilishituka wazazi tena nikasema hapana wazazi hawana shida wala usijichoshe ,akasema kweli ,nikasema ndio hawana shida wewe niambie kesho saa ngapi niwe teyari ,akanambia ikiwezekana leo uje ulale kwangu kesho nikupeleke au unaonaje ,nikamwmbia.sawa ngojaa nikajiandae nitakuja maana kwa uyu mama napafahamu.

Na kweli nikarudi nyumban nkajiandaa vizuri niliweka kila kitu vizuri, na nguonza mwanangu nikapanga vizuri, nikaweka vitu vya mwanangu jirani ili nikikndoka wasiangaike na uzuri hii siku amma na baba walikuwa wameenda kuuza mazao yao nikajua watachelewa tu kurudi saa 5 au 6 usiku ,maana kuna kaumbali kidogo ,nyumbani nilkkuwa mimi na mwanangu tu,nilipomaliza nilikaa nyumbani adi saa 3 usiku ,nikampa mwanangu chakula akala akashiba ,nikaacha nimemlaza kabisa kisha mimi nikaanza safari na mizigo yangu... Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LETICIA 7-----------14


๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 7 na 8
Mwandishi; LISSA
Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.โ€‹
Mimi na dada tunalala chumba kimoja ,kwaiyo wazazi walipoenda kulala mimi nikafunga milango ndio na mimi nikaenda kulala ,apo dada sakina nikamkuta amelala muda adi anakoloma kabisa .mimi kabda ya kulala nikachukua madaftar nikapitia tulichosoma shule iyo siku ,nikafanya na homework zangu kisha ndio nikalal sasa, na asubuhi shoga angu salome akanipitia tukaenda wote shule . Basi mwenzenu penzi langu na polela lilinoga mno yaani , tulikuwa tunapendana sana ,salome alikuwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/leticia-7-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi leticia
LETICIA 1 MPAKA 6
LETICIA 1 MPAKA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

852
SHAMIRA Sehemu ya 110&111

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

584
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

458
SHAMIRA 107 Hadi 109

SHAMIRA 107 Hadi 109

388
 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

122
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

120
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

109
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

103
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

19
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™

14

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.83K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.75K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.62K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.โ€‹ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku...

SHAMIRA Sehemu ya 110&111 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 110&111
@majario LIVE

(SEASON FOUR) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha...

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest