Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

LETICIA 1 MPAKA 6
Gonga94 ยท Stories

LETICIA 1 MPAKA 6

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 01
Mwandishi; LISSA
Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada angu sakina ,nafwata mimi shoga enu,mimi bwana ni mzaliwa wa arusha wilaya ya karatu ,nimezaliwa kijiji kinaitwa rhotia,mimi bwana ni muiraqw ,na kilugha nakchapa vizur tu yaani kama maji tu ,kama mnavyojua kabila letu tulivyobalikiwa urembo na rangi wairaqw wengi weupe na ni wazuri,sio wanaume wala wanawake wote ni wazuri ,kwaiyo shoga enu mimi ni mzuri nimebalikiwa suraaa,tako na rangi mweupe mwili mzima ,Mimi ni mzuri natamani kungekuwa na sehemu ya voice niwaelezee vizuri ๐Ÿคฃ.sema basi tu
Namshukuru mungu mimi wazazi wangu wote ni wazima wa afya kabisa, na Baba angu mimi ni mwenyekiti wa kijiji, na mama angu yeye ni mama tu wa nyumbani hana shughuri yoyote,labda kilimo na penyewe halimi sana maana baba anasimamia kila kitu anawekaga vibarua mara nyingi.

Dada angu sakina yeye yupo tu nyumbani, hana kazi baba alimtafutia kibarua chakuuza duka la watu,ila ilimshinda dada angu mimi ni mvivu, duka kufunguliwa saa 1 na nusu ,yeye anaamka saa 4 ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘. Basi kazi ikamshinda akaja nae kujirundika kwa mzee sabasi ,basi mama yangu dada akimchokoza kidogo tu utasikia jitu zima ovyo unakula ugali wangu bure na chooni unaenda bure,dada angu wala hajali wala nini ,ila baba anampenda sana dada angu kuliko mimi mama akimsema kidogo tu ,utasikia baba anasema we mama sakina ebu muache mtoto unamsema izo ela unatafuta wewe au๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘.
Watabishana apo adi basi ,mimi napedwa sana na mama last born wake ,ila baba ile kawaida kwasababu ni binti yake tu .


Mimi bwana kipindi icho nilikuwa na miaka 16 na nilikuwa mwanafunzi nasoma secondary form 2, Ndio nilikuwa nimeingia form 2 sio mda ,Namshukuru mungu mimi darasani nilikuwa kichwa mno , mitihani ikija sipati chini ya 80 kwenda juu na masomo yenye napata 80 labda history, kiswahili ayo labda na ata darasa la saba nilipasua mno nilipata wastani wa A, kwaiyo akili nazo mama alikuwa anasema nimerithi kwake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Nikifauru tu akiona matokeo au mitihani anasema akili zangu hizi n ni umetithi kwangu nishukuru sana mimi ,maan baba yako angeoa mwanamke mwengine sijui kama ungekuwa unafaulu hivi๐Ÿคฃ. Ila nyie mama angu nae anapendaga tusifa yoooh.darasn niingie mimi ila akili ziwe zake khaah.


๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 2 _3

Bsi kuna siku nilikuwa nimetoka shule na shoga angu salome, tukiwa njiani kuna katoto kaka niita ,nikasimama akanipa barua akanambia ametumwa ,nikamwambia aah asante, kisha akaondoka, salome akasema bwana ako uyo polela ,nikasema itakuwa maana sina mwengine ngoja tuone ,salome akasema daaah yani shoga angu ulivyokuwa mzuri alafu unaenda kutoka na polela mnuka mkojo puuuuuh siwezi yaani uzuri wa bure umeshidwa kuutumia bora ungemkubalia jamal muuza duka ,nikasema bwana salome shida moyo nampenda sana polela wangu awo wengine ata siwataki mimi polela ananitosha ,salome akacheka akasema loooh uyo polela ananini cha ajabu hogo ndio linakupagawisha au ,nikacheka nikasema wala moyo tu salome siku ukipenda utaelewa ,salome akacheka akasema hee kuingiliwa kwa moyo ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.nikasema wew si bado hujapata tulizo la moyo subiri. Salome akasema ata nikipata mungu unipage tulizo la kueleweka sio kama lako . Mimi nikacheka tu , apo tulikuwa tunamuongelea polela, shuleni wanamuitaga polela jina la ukoo. washazoea ila yeye anaitwa samson, uyu bwana ni kipenzi changu nampenda uyu kaka mwee dunia ya saba.

Ukituona ata hatuendani polela yeye yupo yupo tu, mimi ni mzuri alafu msafi ,ila polela wangu sasa kwao wanamaisha ya kati ,kwaiyo alikuwa yupo yupo tu. Ukumuangalia na akili za darasani hana yaani alikuwa yupo yup ila mimi shoga enu yaani nilikuwa nampenda kwisha kazi ata siambiliki ,

Basi tukapiga story pale na salome adi nikafika nyumbani, Na salome kwao ni mbali kwaiyo alikuwa anavuka kwetu ndio anaenda kwao. Mimi nikafika nyumban tukaagana kisha yeye akaendelea na safari ya kwenda kwao . Nikaingia ndani nikamkuta dada yupo zake seblen anaangalia movie . Kaweka na nne kabisa yaani aya ndio maisha anayoyapenda dada angu . Akaage tu hajigusi kwa chochote . Nikamsalimia akaitikia kisha mimi nikaingia chumbani kuvua nguo za shule . Nilipofika chumbani nikavua nguo za shule kisha nikavaa za nyumban. Nilipomaliza ndio nikatoka sasa chumbani. Njaa ilikuwa inaniuma hatari nikapitiliza tu jikoni.Nyie ety nafika jikoni nakuta dada hajapika na ameshinda nyumban siku nzima nilichukia hatari . Si mmajua ile umerudi nyumban alafu unakuta chakula amna ata jiko alijawashwa maumivu yake yanavyokuwa . Nikaenda sebleni nimevimba kweli kweli . Nikasema dada mimi njaa inaniuma chakula . Dada akasema heeh yaani nilisahau kabisa jamani hamna chochote uko jikoni . Nikamuangalia uku machozi yananilenga


๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 4

.Dada sakina akasema pole bwana si upike chapu chapu tu jiko la kuni halicheleweshi mbona kinaiva sasa hivi .ata sikumjibu mimi maana namjua huyu akiwa nyumban hajigusi . Na dada yangu kupika ndio hapendi kabisa yaani anaweza lala na njaa akiwa peke yake yeye na jiko mbali mbali . Bas shoga nikarudi jikoni na mahasira yangu . Nikaanza kuangaika kukoka moto. Yaani apo nakoka moto uku namtukana dada sakina kimoyo moyo.

Basi moto ulipokolea nikabandika kaugali chapu. Nilipomaliza nikaanza kukaanga dagaa uzuri zilikuwepo ndani maana ananunuaga kisado zanakaa ndani . Nikaandaa na kachumbali yangu pale . Kisha Nilipomaliza nikapakua ka ugali kangu na mboga nikaenda sebleni kukaa . Dada sabina sasa aliponiona et umebakiza ugali jikoni maana njaa imeanza kuniuma apa . Nikabaki kimya tu namshangaa . Akasema we leti si nakuuliza weww chakula umebakiza . Nikasema si uende jikoni unaulizia apa sebleni. Akaniangalia akasema kwaiyo ndio umejinunisha ulipopika umepungukiwa nini . Ata sikumjibu akainuka akaenda jikoni kuchukua chakula . Basi shoga enu nikala pale nilipomaliza nikaenda kuosha tuvyombo nilivyotumia kisha nikaingia zangu chumbani . Nafika chumbani ndio nikakumbuka kibarua cha shemeji yenu polela . Nikachukua sket ya shule nikakitoa kwenye mfuko wa sket. Kisha nikakifungua nikakuta ameandika . Kipenzi nimekumiss naomba leo tuonane kwenye mwembe wa shamba la mzee saidi.apo ilikuwa saa 11 .doooh nikaona nimechelewa ila ngoja nikamuone kama nitamkuta maana ata mimi nilimiss mno tu . Basi nikajiandaa vizuri nikabeba na kitenge kabisa lolote linaweza kutokea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.

Basi nikaenda kumuaga dada nikasema dada mimi naenda kwakina salome kuna daftari nimelisahau kwao . Dada akasema wewe leti kwakina salome kulivyo mbali vile utarudi saa ngapi ,nikasema amna dada sasa daftari ni muhimu kesho asubuhi tunakusanya ,dada akasema mmh basi nenda uwahi kurudi uje uand3 chakula cha jioni . Nikasema sawa nawahi ,basi shoga enu nikaondoka apo nishabeba na daftari langu moja ili nikiulizwa nioneshe ilo daftari, basi nikaenda adi kwenye shamba la mzee said apo ni kipinfi cha mahindi kwaiyo kuna mahindi malefu tu ukiingia huonekani , na mimi ndio nikaingia umo nikawa namchek mchumba ,nikamkuta mchumba ndio anaondoka ,nikamwita akasimama kisha na mimi nikamsogelea, nikasema mbona unaondoak sasa ,akasema daah umeniweka leo leti tangu sa 10 nipo apa nakusubili mwenzngu ndio unafika saizi saa 12 ,nikasema samahani nilichelewa kufungua ile karatasi nilifikia kupika ,akaniangalia akasema kwasababu nilikumiss sana nikaona nikusubiri ila usingenikuta ,nikamkumbatia nikasema nimekumiss pia mchumba
Akanmbia nakupenda sana leti ,nikasema nakupenda pia, apo tulikuwa tumekumbatiana ,

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu YA 5 na 6
Polela akaingiza mkono kwenye shart langu akaw ananipapasa mgongoni, mmi nikawa nasikia raha na mkono yake migumu ,si mnajua mikono ya jembe ilivyo mwenzenu mimi wala sio bikra, ni mzinzi mzoefu ,uyu polela tuna mwaka mmoja sasa tangu form 1 ,saizi ndio tunaingia mwaka wa pili ,na bikra alinitoa yeye mwenyewe tena apa apa kwenye mahindi ya shamba la mzee saidi ,ndio nilitolewa bikra uyu bwana ela ya gest hana, na kwao familia kubwa vyumba vichache , mda wote wapo nyumban, kwaiyo ndio tunakutaniaga uku tu ,alinipapasa akaamia kwenye maziwa akawa anayachezea mno ,na mimi nikapeleka mkono kwenye hogo la polela a amefungasha walai,yani zigo zigo๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. Basi tulichezeana baada ya mda mfupi shughuri ikaanza nikatandika kile.kitenge nilichokuja nacho ndio tukafanyia mambo yetu apo . Nilienjoy mno tu ya uy polela kuniwezea tu ananiwezea ni anachua kucheza na mwili wangu ,kabalikiwa hogo na anajua kulitumia .

Bas tulifanyana adi saa 1 inaeleke saa mbili ndio nikamwambia polela aniache, naye ndio akatoka juu yangu ,akasema asante sana kipenzi changu. Nikasema asante pia polela wangu. Polela akatabasamu. Basi nikamwambia ngoj mimi niende nimechelewa nitakuta wakina mama wamerudi , polela akasema sawa mchumba ngoja nikusindikize kwanza,basi nikajiandaa pale nikakung"uta ka kitenge kangu maana ilikuwa ishashika vumnia kisha tukaanza kuondoka. Na alinindikiza adi karibia na nyumbani ndio akaniacha niende mwenyewe, basi nikaondoka adi nyumbani nafiak pale uzuri nilikuta mama na baba hawajarudi ,dada sabina alinambia wameenda kwenye kikao ofisi ya kata watachelewa kurudi. Basi nilipofika nikamkuta dada yupo jikoni anapika , nikamuuliza wakina baba wamerudi , akanamb hapana hawajarudi, nikasema aaah sawa akasema afadhali umerudi upike apa. Nikasema dada. Mimi nimechoka(yaaani mtu nitobwee uko tena kwenye mahindi apo yananiwasha mwili alafu nifikie jikoni aweeeh ,)dada sakina akasema let utapika utake usitake ,nikasema kiache atapika mama akirudi, kisha nikaingia zangu ndani, nikaenda kuvua nguo kisha nikaenda kuoga. Dada alipoona nimekaza akaanza kupika mwenyewe, na mimi nilipotoka kuoga ,nikasema kumbe kupika unaweza. Akasema ebu kwenda uko ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ. Usikose muendelezo kwa 1000 TU no ya malipo 0750411324 SUBIRA SEFU mtandao voda au mpesa kwa jina lingine njoo na muamala wako uhudumiwe hatupoi hatuboi

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

LETICIA 1 MPAKA 6


๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
LETICIA
Sehemu ya 01
Mwandishi; LISSA
Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada angu sakina ,nafwata mimi shoga enu,mimi bwana ni mzaliwa wa arusha wilaya ya karatu ,nimezaliwa kijiji kinaitwa rhotia,mimi bwana ni muiraqw ,na kilugha nakchapa vizur tu yaani kama maji tu ,kama mnavyojua kabila letu tulivyobalikiwa urembo na rangi wairaqw wengi weupe na ni wazuri,sio wanaume wala wanawake wote ni wazuri ,kwaiyo shoga enu mimi ni mzuri nimebalikiwa suraaa,tako na rangi mweupe mwili mzima ,Mimi ni mzuri natamani kungekuwa na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/leticia-1-mpaka-6

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi leticia
LETICIA 7-----------14
LETICIA 7-----------14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

1.25K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73

823
SHAMIRA Sehemu ya 110&111

SHAMIRA Sehemu ya 110&111

582
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

431
SHAMIRA 107 Hadi 109

SHAMIRA 107 Hadi 109

388
 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10

121
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7

109
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ

109
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

84
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:

19

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.83K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.75K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.62K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.โ€‹ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "9_10"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 73
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku...

SHAMIRA Sehemu ya 110&111 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 110&111
@majario LIVE

(SEASON FOUR) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media nikawa nalia nikamwambia love nampenda sana kaka yako plsss namuhitaji sana naomba anielew ni maisha...

KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest