Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
Gonga94 Β· Stories

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 14


Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu chochote.Akanmbia samahani haji but ukweli mi nimeshindwa kabisa kuvumilia . Na nimejalibu kukuonesha kuwa nakupenda sana .ila mwenzangu huoni na hujali. Haji plssss mi siwez kuishi hivi kila siku nakupenda sana. Nipo tayari kufanya lolote ili niwe na ww nakupenda sana. Mh nikasema okey princess nimekuelewa sana tu. Ata mm najua sana kama unanipenda na wala mm sio mtoto kwamba sielewi kuwa ww unanipenda .naelewa hilo but mimi ni mume wa mtu . Mi nishaoa tayari princess. Nimekuja chuo kusoma tu .mke nnaye tayari nyumbani. So hatuwezi kuwa katika mahusiano ya mapenzi kiukweli. Akanmbia sawa mi nimekuelewa vizur kama we una mke. Lakini na mm nakupenda sana haji . Nashindwa kujizuia nnapokuona .plss naomba unipe mda wako

Nikamuuliza kwaiyo unataka kuwa mchepuko? Au unataka tuwe katika mapenzi yasiyo na malengo rights? Sizani kama ni sawa princess .we ni binti mzuri sana nazani ungetafuta mwanaume mzuri .mkawa na mahusiano yenye malengo . Ila sio mm. Mana tayali nna mke. Mi niliamua kumuongopea kumkatisha tamaa kabisa. Nyiee uyu demu akaanza kulia. Akanisogelea akanishka mkono. Akanmbia plssss haji naomba unipe ata mda wako tuwe pamoja tu. Nikaoana jau asa nn cha kumliza apa. Nikasema kwaiyo ulitaka nikudanganye ama. Akanambia haji no sawa nimekubali ukweli ila naomba kuwa na ww. We baki na mkeo mm sitamsumbua kwa lolote but plssss naomba kuwa na ww baba. Nikasema hilo haliwezekani princesss mm sio mwanaume wa hivyo kabisa. Siwez kumix wanawake wawili kwa mda mmoja. Niliye nae ananitosha. Kisha nikanyanyuka nikaanza kuelekea hostel .akabkia ananita uku analia. Ila wala sikumsikiliza kabisaaa . Na sikugeuka mm.

Nikaingia room zangu. Nikamkuta lemi ila wala sikumsimulia namjua .anamkubali sana yule demu. Nikimueleza kuwa yule demu kanitongoza ila nimemkataa .daaah ataniona jau kinoma kwaiyo wala sikuongea nae kabisaa.nikaelekea bafuni nikapiga maji na nilipotoka sikuta tena story nikapanda kitandani kupumzika asee. Zilianza simu apo mpaka nilikoma alikuwa ni princeszs ananipigia sana uku akilalamika kuwa nisimfanyie hivyo. Namtesa. Sijuh yeye hawezi bila mm. Mala ananipenda sana ila mimi sikumjibu na kwa kukataa usumbufu. Mimi nikaiblock ile namba. Kisha nikampigia simu mchumba . Ila hakupokea nikajua itakuwa kashapumzika mana hii siku alishanambia kuwa hajisiki powa.

Basi bwana asubuh na mapema nikajiandaa na mwanangu lemi tukaingia chuo. Tukafanya sana class. Aseee nilivyomaliza vipindi . Ile natoka tu na washikaji namkuta princess yupo njee ya darasa. Alivyoniona akatabasamu daah mi sikupendaa. Lemi akanmbia nenda bwana mtoto kakufata ww.nikasema hajanifata mm.itakuwa ana issue zake. Kisha nikanyoosha na njia wala.sikugeuka kumsikiliza wala sikubabaika nae. Uko nyjma nikamuacha anasalimina na kina lemi. Kwakua hii siku tulimaliza vipindi mapema mie nikaona tu niludi zangu hostel nikapumzike tu mana mm sikuwa mtu wa kuzulula sana ama wa mitoko mitoko. Ila lemi week end anapenda kutoka sana.ila sio mm. Nikaona huu mda nipumzike Kisha usiku nisome mana kesho yake tulikuwa tunaanza mitihani ya nusu semister bwana . Basi kweli mi nikafika hostel . Nikapumzika zangu. Nililala kama lisaa nikaja kuamshwa na lemi . Nikaamka nikamwambia mwanangi nn kulala starehe si ungeniacha ningeamka mwenyewe baadae. Akanambia daah we unazingua mwanangu yani unaferi pakubwa kinoma . Kumbe yule demu kashakuchana anakupenda kisha umemkataa kweli. Nikacheka nikasema kwani ye nani asikataliee. Mi sijafata mapenzi chuo kaka.mi nimefata kusoma tu . Mi nikitaka mapenzi fatuma yupo kwa ajili yangu. Nikiludi nitamkuta tu.

SEHEMU YA 15
Lemi akanmbia unafer pa kubwa ssna. We una mke ww. Uyo fatuma si mwanamke wako ww. Kwani umemuoa we ukoje ww. Yule demu kamata baba. Wa kutolea nyenge chuoni. Kwanza mtoto mzuri vile unamkataa we una uchizi nn. Kwiyo fatuma ni mkari kuliko yule. Acha usenge . Fatuma yupo kwenu babati uko unajua anafanya mangapi. Alafu uku chuo unakaa kalibia miez 5 ndo rikizo. Iyo miezi 5 unamtomba nani. Ndo mana nakwambia mkamatie princess na uzuri kumbe demu kakubali ata kuwa wa pembeni ass apo fatuma anajhaje. Mbona unakuwa mjinga ww. Nikacheka nikamwambia akiri yako ndo imeishia apo au sio. Mi sitaki mademu kaka. Mi najielewa sana. Sihitaji wanawake . Na sio kwamba mm nawaza sana wanawake kiasi cha kwamba ntashindwa kuvumilia miezi 5 kutotomba. Ila sitaki tu kujichanganaya na shule. Lemi akachukia akanmbia powa . Hakuna noma ngoja nikuache tu. Basi kweli mi nikatoa madaftari yangu nikaanza kujisomea. Na kesho yake tukaamkia mtihani class. Na kwangu niliona ile mitihani ni mepesi tu. Na kwanza mm nna akiri sana . Na shule apa ipo imetulia mnooo. Basi bwana ikapita week tukafanya mitihani ya masomo yote. Na ndani ya iyo week mi sikukutana na princess huenda na yeye alikuwa busy na mitihani mana ni mitihani ambayo tunakuwa tunafanya chuo kizima.

Basi bwana . Baada ya kumaliza mitihani sasa. Ikapita kma week nyengine yani kama week 2 bado sikuwa nimuona uyu demu . Nikajua kanielewa sasa.kuwa simtaki na anakaa mbali na mm. Basi siku iyo ilikuwa ni week end . Nipo zangu hostel napiga story na lemi. Lemi akanmbia ila mwanangu sikufichi we unampenda sana uyo fatuma daah kumbe kuna wanaume wana misimamo eeh. Yani mm demu anishobokeee nimuache thubutu. Nikacheka sana .nikamwambia mm na fatuma tuna mipango mingi ya maisha . Mi siwezi kuwa na mwanamke mwengine zaidi ya yeye. Lemi akanmbia daah ni kweli naona mwanangu ila ata fatuma anaonekana ni binti smart sana nikiongeaga nae naonaga mpole mwenyewe. Nikabaki nacheka tu. Sio mpole tu pia ni mzuri bwana..ila hamfikii proncess ila ni mzuri sana.basi story zikiwa zinaendelea . Tukasikia mlango ungongwa . Lemi akasems sukuma mlango upo wazi tu . Duuu ni princess. Nikaona uyu demu jau uyu asa kaja kufata nn chumbani kwa wanaume. Basi alivyoingia ndani akaanza kujichekesha pale. Ahaa na lemi tena anavyojua kumshobokea .akamkalibisha kwa mbwembwe na kiti akampa..kweli akakaa. Akikuwa kaja na mifuko kama mitatu. Akaeka mezani. Akanisalimia et haji mambo. Nikasema powa . Una shida gani mpaka umekuja uku. Mh akabko kimya. Lemi akanmbia ahaa asa maswali gani ayo haji mtu si kaja kutusalimia. Alafu ngoja niwaache kwanza. Akanyanyuka akatoka ndani . Akatuacha wawili tu. Princess akasema samahani haji . Nilikuwa sipo kidogo . Ila nimeludi jana nikaona nije kukuona .nimekuletea na zawadi. Aseee hakumaliza . Nikamwambia we demu mbona huelewi et?

We si nklishakwambia mie nna mke. Akanmbia hauna ata mke mbona lemi kanambia una mwanamke tu. Nikasema sasa unahisi lemi ananijua sana kuliko nnavyojijua mwenyewe. Ebi sikia mi sitaki zawadi zako . Sijuh unanaielewa huna cha kunipa ukanistua mimi. Naomba sana tuheshimiane princess. Ebu beba hizo zawadi zako uende. Akanmbia plsss haji nimebeba kwa ajili yako. Naomba upokee . Nikasems ebu ondoka usinitibue. Princess akasema lakini haji mbona unanitesa baba yangu nakupenda mwenzio. Nikasems we maraya nn we ulishaona wapi mwanamke anamtongoza mwanaume kama sio umaraya ni nn. ? Ebu kwenda zako . Ahaa nilishakuwa na hasira. Mi ni mkimya sana ila nikishachukia na kuwa na hasira mno. Basi pri cess akanmbia mi siondoki. Nimetoka kwangu leo ni week end nimepanga kuja kukuona ww. Na ntaondoka jioni now siondoki.nikasema we unanitania utaondoka. Akanmbia kwani nn haji .si nakaa tu apa. Si ushanitukana hujarizika mi siondoki.

Nikaona kumbe uyu ashanizoea.nikainuka .nikamnyanyua kwa nguvu .nikaanza kumtoa njeee akawa hataki. Asa ana nguvu za kushindana na mm. Japo yeye ni mnene kwangu. Ila hana ubavu wa kunibambia mm.Mi nikamsukuma mpka njeeee. Akaanguka mpaka chini. Nikaludi ndani nikafunga mlango mimi. Kisha nikatulia ndani. Hee namskia anagonga haji haji nifungulie plss fungua tuongee basi haji plsss usinitese haji nakuomba tuongee. Mie wala sikufungua wala nn. Nikatulia kimya kitandani kwangu kama sipo na baada ya mda nikadikia kimya nikajua kashaondoka sasa. Akanitumia sms kwa namba nyengine mana yake nilishamblock. Akanmbia haji nisamehe kwa yote nnayokukosea na kukukwaza na kukufanya uwr na hasira ila sababu nakupenda sana . Nakuhitaji sana . Na mm sio maraya kama unavyosema sio kila mwanaume anaweza kuwa na mm. Ila nikipenda nachanganikiwa haji mi sitakubali mpkaa utakuwa wangu sababu nakupenda sana .nikaona uyu demu kweli chizi. Nikavuta vile vufuko vyake vya zawadi kwanza . Mh kulikuwa na simu kali samsung kama ya laki 7 . Jeans 2 na t shirt 2 za uwakika na viatu. Mi nikaviangalia kisha nikaviludisha mule mule kwenye mifuko yake. Nikatulia mpaka alivyorudi lemi .nikamwambia oyaa hizi zawadi ni za yule demu alileta apa . Ila sizitaki so kamludishie. Nyiee lemi aligandaaa kuniangalia .yani sijuh alikuwa anahisi nimechanganikiwa.mi sikujali wala nn. Ila mimi ni mwanaume mwenye misimamo sana . mi sijawahi tembea na mwanamke yoyote zaidi ya. Fatuma wangu katika hii dunia .mpaka nafika uo umri.

Lemi hakuongea na mm. Na yeye akzifungua zile zawadi akasema yani kma mapenzi yangekuwa yanashauriwa . Ningemshauri princess anipende mm wallah. Daah ningempenda yule demu mpka angechanganikiwa. Mie wala sikumjibu . Lemi akadema mana yule demu mmoja tu. Ndo sawa na mademu zangu 10. Yani na jmaraya ningeacha daah. Ila sina bahati lemi mie. Hatukuwa na maongezi tena .Na kesho yake lemi aliondoka na vile vitu. Sijuh ndo alimpelekea ama vip. Ila mchana akalydi navyo nikamujliza vp . Akanmbia aha demu mzungu yule kanambia nivichukue tu ye havitaki. Apo lemi alikuwa na raha .anacheka cheka kinoma.mi nikacheka tu.nikasema powa hongera. Mi wala sikuumia sababi sikuwa namuhitaji tu yule mwanamke sabbau ya kulinda mahusiano yangu. Namjua fatuma wangu .ni mwanamke mpole sana . Ana adabu na heshima so sikutaka kufanya chochote cha kumuumiza nikiwa uku chuo na wakati najua kabida uko nyumbani ananisubiri mm. Na anakataa wanaume wengi kwa ajili yngu.. Basi baada ya siku 2 tukarudishiwa mitihani sasa. Aseeee nilipasua mnoo. Yani kila somo niliongoza. Mnajua mpaka malectures wakawa wananitafuta wanijue sasa. Lemi alinmbia we msenge kumbe una akiri hivi na hukusema. Nilibaki nacheka tuuu. Yani nilipasua mno. Na apo sasa ka jina kangu kakaanza kutambulika pale chuoniii.... yani nilikuwa najulikana kama haji kichwa wa accountant. Ndo ilikuwa coz yangu.

Oyaaaa ndo kwanza tunanzaaa mambo badooo kabisaaaa yani badoooooπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15


🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 14


Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu chochote.Akanmbia samahani haji but ukweli mi nimeshindwa kabisa kuvumilia . Na nimejalibu kukuonesha kuwa nakupenda sana .ila mwenzangu huoni na hujali. Haji plssss mi siwez kuishi hivi kila siku nakupenda sana. Nipo tayari kufanya lolote ili niwe na ww nakupenda sana. Mh nikasema okey princess nimekuelewa sana tu. Ata mm najua sana kama unanipenda na wala mm sio mtoto kwamba sielewi kuwa ww unanipenda .naelewa hilo but mimi ni mume...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-14-mpaka-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

641
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

578
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

495
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

430
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

353
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

272
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

207
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

84
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

83
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

70

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest