Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20
Gonga94 · Stories

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw, muda wa kuvaa nguo ukafika sema nilipendeza na nilivokazue zuri sasa mpaka raha. Ukafika sasa muda wa kwend kula viapo kanisani akaingia bwana harusi akiwa kaongozana na wadogo zake wawili ambao ni Jayson na Kendrick alafu ndo nikafata Mimi na babaangu alikuwa akinileta Yan Kila mtu alikuwa na furaha isipokuwa Mimi na Kendrick ndo tulionekana hatuna furaha kabisa. Baba akanifikisha mpaka pale mbele Kisha akanikabidhisha Kwa Freeman. Freeman akanishika mkono vizur. Akaja mchungaji pale akaubiri weee sie tuliwekea viti tukae Kwa pembeni yake na Kendrick nae alikuwa kakaa Kwa chini kabisa ukafika muda wetu wa kusimama sasa Mimi na Freeman tukasimama. Mchungaji akaanza na kuuliza je Kuna mtu anakipingamizi kabla sijaanza kuwapa viapo.

Kanisa zima likakaa kimya ila watu wote walishangaa pale ambapo Freeman alijibu ndio ninakipingamizi, watu wote wakabaki wengine wameshika midomo wengine wanatoa sauti za mishangao Mimi sasa Nikahisi labda sijamsikia vizuri nikatoka kile kitambaa cha bibi harusi ilinimsikie vizur akasema Tena Mimi Nina kipingamizi na kipingamizi changu sitaki kuoana na Lailat kwasababu zangu muhimu nikataka kuanza kulia ila Freeman akasema nataka mdogo wangu Kendrick ndo amuoe Lailat sasahiv achukue nafasi yangu. Yan Kila mtu alishangaa mpaka uyo Kendrick mwenyw alishangaa ni Nini kinaendelea wazazi wao wazazi wangu wote wakawa wanashangaa ila Kuna baadhi ya watu walikuwa hawashangai kama dada angu alikuwa hata hashangai yeye anatabasamu tu, Jayson pia alikuwa hashangai Wala nikama watu waliokuwa wakijua ni Nini kinaendelea. Dada akanifata Kwa nyuma akaniambia iyo ndo zawadi yangu kwako kweny harusi yako, nikamgeukia nikata nimuulize imekuwaje ila nikashikishwa mkono wangu na Kendrick alietushikisha ni Freeman mwenyw bila ya kulazimishwa na mtu yoyote.

Freeman akasema nyie wawili mnabaraka zangu kwenye ndoa hii Mimi kama kaka mtu nimeridhia muendelee na mahusiano yenu ambayo mlikuwa mkiyaficha Kwa muda sasa, nikamuuliza sasa vipi kuhusu wewe akasema Mimi msijali Nina wangu, anaingia sasa hivi tukaskia milango inafunguliwa tunaangalia ni nan anaingia Tena kanisani ni mdada mwengine anakuja akiwa kavalia shera na yeye kama Mimi akaja mpaka mbele kumbe ni yule mchumba wake wa mwanzo alirudiana nae na Leo hii nao wanafunga ndoa. Yan bila ata kuelewa ni nni ndoa zikafungwa na Bado sielewi Nini hicho wazazi nao walikaa kikao kifupi kabla ya ndoa kufungwa wakakubaliana kwasababu na sisi nao tulikuwa tukipendana mno ndoa ya kanisani ikapita.

Yan nilifurahi na sio Mimi tu Kendrick ndo usiseme jamani Mungu yupo mtu unaweza ukajikatia tamaa ila dakika za mwisho kabisa muda wa jioni ndo Mungu anakuonesha Mimi nipo. Tukaenda ukumbuni sasa kweny sherehe fupi Kisha baada ya hapo tukajiandaa kesho yake mie na mume wangu Kendrick tukaenda kula honeymoon kwenye hotel 🏨, ambayo ilikuwa tofauti na walioenda shemej yangu Freeman na mkewe. Maisha yalikuwa mazuri Kwa upande wangu ila sasa usiku wa honeymoon jamani iv kwanini nilidanganyika 😔, ila anyway ndo mke wa mtu Mimi nishatumikia ndoa😂 na nilimuhadithia dada Wacha asinicheke😂.

Tukamaliza saba zetu, tukarudi nyumbani tukakuta kwenye iyo nyumba yetu mpya Kuna Kila kitu Yan ndo Raha ya kuolewa kwenye familia zinazoelewa mda kama huu ningekuwa kwenye familia za chini Tena nchi za watu izi ningeteseka sana na pia Raha nyingine nimeolewa na boss wangu😂 kazini naenda nikijiskia natena alikataa nisiende kazini nikafunguliwa kampuni kama mamaake alivo niahidigi kipindi cha freeman kile. Haukupita hata miezi miwili nikapata mimba 😟, nilikuwa naogopa kuzaa sema nilikuwa najaliwa sana mpaka Raha.
Wakat mimba yangu inamiezi minne, dadangu Jully nae shamrashamra zikaanza wakatangaza uchumba yeye na Mchumba wake boss wake. Yan mambo yalikwiva maana Kila mtu kaolewa na boss wake😂.

Ndoa Yao pia ikapita, na pia mie na mume wangu Baada ya miezi tisa ya kumnyanyasa na mimba Nikajifungua a healthy baby girl.

MWISHO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20



Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw, muda wa kuvaa nguo ukafika sema nilipendeza na nilivokazue zuri sasa mpaka raha. Ukafika sasa muda wa kwend kula viapo kanisani akaingia bwana harusi akiwa kaongozana na wadogo zake wawili ambao ni Jayson na Kendrick alafu ndo nikafata Mimi na babaangu alikuwa akinileta Yan Kila mtu alikuwa na furaha isipokuwa Mimi na Kendrick ndo tulionekana hatuna furaha kabisa. Baba akanifikisha mpaka pale mbele Kisha akanikabidhisha Kwa Freeman. Freeman akanishika mkono...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

983
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

682
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

611
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

606
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

523
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

362
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

345
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

218
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

106
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

97

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.67K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest