Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
Gonga94 · Stories

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Alianza yeye kunitumia sms kavu iyo Yan just imagine mtu hata hakusalimii anakutumia sms tuu unajuanaje na CEO Freeman, khaaa nikamtumia sms jamani hata salamu akaniambia nijibu kwanza Nina maana yangu Binti, nikaona isiwe tabu ngoja nimpigie kabisa akapokea Tukaanza kuongea akaniuliza Tena sasa we mtoto unajuanaje na CEO Freeman nikamuuliza uyu wa uku kazini kwangu akasema ndio. Na Mimi nikamuuliza kwanini unaniulizia akasema kwasababu kanitafuta kaniambia tutoke tumeenda sehemu nikajua labda ananitaka kumbe anakutaka wewe maana kakuulizia mwanzo mwisho, nikamuuliza eeeeeh dada we kakwambia kabisa Kwa mdomo wake ananitaka au umejiongeza tuu akasema eeeh sasa mdogo wangu mie nikudangnye Tena ukizingatia mie mtu mzima naelewa alafu uyo namjua ndugu yake mmoja yeye ndo kaniibia iyo Siri.

Nikamuuliza ila dada uyo mtu siameoa jamni sijui, dada angu sasa akanzaa kutetea ananiambia wee nawe izo taarifa za umbea Nan kakupa Wala hajaoa sema tuu ana mchumbaake, nikamwambia eeenhee Hapohapo sasa si anamchumba jamani alafu unataka nitoke nae jamani dada, Da Jully akanimbia Yan wewe kwel ni mbongo ingawa upo marekani ila hubadiliki we mtoto kwanza anaekutaka ni mchumbaake au yeye mwenyw kwani umemfunga Kamba si ni yeye mwenyw Kwa hiyari yake, 😂😂ila dada akaniambia we chekacheka mambo mazuri ndo hayo yanakupita Yan mtoto mshamba wewe sema unanyota pia Kuja na kuja tuu hata kujulikani ushapendwa na umewakuta wazuri zaidi yako, Nikamjibu kawaida yangu eeeeeh au sio mdogo wangu sema ukirudi uje kunipa dawa ya mganga wako na mie nikawagalagaze ofisi 😂😂ila dadaangu jau.

Nikamwambia embu niache kwanza ayo mambo ya Freeman tutaongea nikirudi akasema nimekwambia mapema sio ungekuja mtu anakushobokea unashangaa nikamjibu sawa. Nilivyokata tuu simu ya dada ikaingia sms kwenye namba ngeni inasomeka mambo nikajibu poa, nilivyojibu tuu Ile namba ikaanza kupiga kwakua huwa Sina tabia ya kupokea namba ngeni nikakataa simu. Uyo mtu Wala hakunitafuta Tena Wala kutuma sms, nikajisemea labda mtu tu kakosea namba sijakaa sawa nikaja kugongewa mlango ni yule mkuu wetu Akatuambia muda umefika na wenzangu wote washarudi wananisubr Mimi tuu.

Nikabeba begi langu haraka maana nilikuwa nshajiandaa, nikatoka na yule mdada maana anaonekana ni kikongwe kweny zile kazi, tukatoka mpaka kwenye gari Kisha tukaenda airport kufika kule tukasign maana ndo tulikuwa tunatoka muda uo ulikuwa ni zamu yangu maana mie ndo kiFaransa kimelala kichwani Yan sio kwamba wengine hawajui, wote wanajua sema Kuna wale tunaojua zaidi ambao ni Mimi na Jane ndo maana tukapewa kipaumbele.

Itaendelea...

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9


Alianza yeye kunitumia sms kavu iyo Yan just imagine mtu hata hakusalimii anakutumia sms tuu unajuanaje na CEO Freeman, khaaa nikamtumia sms jamani hata salamu akaniambia nijibu kwanza Nina maana yangu Binti, nikaona isiwe tabu ngoja nimpigie kabisa akapokea Tukaanza kuongea akaniuliza Tena sasa we mtoto unajuanaje na CEO Freeman nikamuuliza uyu wa uku kazini kwangu akasema ndio. Na Mimi nikamuuliza kwanini unaniulizia akasema kwasababu kanitafuta kaniambia tutoke tumeenda sehemu nikajua labda ananitaka kumbe anakutaka wewe maana kakuulizia mwanzo mwisho, nikamuuliza eeeeeh dada we kakwambia kabisa Kwa mdomo wake ananitaka au umejiongeza tuu akasema eeeh sasa mdogo wangu mie nikudangnye...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

983
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

682
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

611
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

606
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

525
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

362
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

347
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

220
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

106
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

99

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.67K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest