Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 8
Gonga94 · Stories

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ikafika mida ya saa saba nikamuagaa naondoka akanishika mkono eti akaanza kunikiss namuuliza Nini akaniambia sasa unaondokaje bila ata goodbye kiss 💋 mpenzi, nikamjibu nenda Kwa mpenzi wako nchini akupe goodbye kiss mie Sina mda, Kisha nikaondoka zangu nikambamizia na limlango lake. Nikaenda chumbani kwangu nikajikuta tuuu machozi yananishuka hapo ndipo nikajua nimeshaanza kumpenda Kendrick, Tena sio kumpenda nimeanza kumpenda Sanaa Tena nikiutani utani tuu. Nikaenda kuoga Tena maana alinishik na marashi yake Yana harufu Kali. Nilivyotoka kuoga nikaenda kulala.

Kesho yake mapema tukaitwa wote na mkuu wetu Akatuambia Leo kama mtu anataka kutoka anaruhusiwa maana tunandege usiku wa leo so mda huu mchana tunaruhusiwa kutoka na kufanya issue zetu zingine tukamuitikia sawa madam. Ila tukasisitizwa hamna kutumia kilevi cha aina yoyote Wala kula vitu vigeni matumboni kwetu ilikuepusha kuumwa na tumbo au hata kulewa kabisa, tukajibu sawa ila mie Wala sikutoka nikarudi chumbani kwangu wengine wakatoka nikaenda zangu kulala maana Mimi na usingizi sidhani kama tunaweza kutenganishwa kwakwel.

Mida ya saa Tano asubuhi sms ikaingia kwenye namba ngeni inasomeka hivi njoo mlangoni ninashida na wewe, sasa sikujua sms katuma Nan hivyo nikaenda kuangalia ni nan alietuma na Kuna nini nikakuta ni Kendrick kaja na vimaua vyake uchwala 😏😒, nikamsalimia kama simjui vile ye mwenyw akashangaa kwanza then ndo akaitikia akaniuliza vipi unaumwa nikamjibu ndio maaan sikutaka usumbufu kabisaa yan kichwa changu hakipendi makelele sana sana nikiwa nimevurugwa akaniambia kaniletea maua nikamjibu asante ila Mimi sio nyuki.

Kwanza hakuamini kama Mimi ndo nimemjibu ivo, ni hakuamini kabisa Yani akaniangalia usoni Kwa mshangao nikamuuliza vipi hujaniskia au akasema kusikia nimeskia sema jibu sijalitarajia, nikamwambia Aya litarajie Kisha nikafunga mlango wangu alivyochizi akawa anagonga Tena mlango kwasababu sipendi makelele nikaenda kusikiliza labda anaongea jambo la maana eti ananiuliza kama nimekasirika kisa crush wake, nikamjibu Sina muda uo wa kukasirikia ujinga akaniambia uku anacheka kwaiyo una wivu mtoto wa kike nikamuangalia uyu mshenz uku kimoyo moyo najisemea Bora hata sikufanya na wewe maana angechukua bikra yangu ya bureee mtoto wawatu nimejitunza mwenywe 😏 Kisha nikaubamiza mlango sikutaka stori nae kabisa.

Nikaingia ndani sms ikaingia kutoka kwake eti ananiambia nashkuru Kwa kunifungia mlango, eeeeeeh uyu nae akajua sijui ntampapatikiiiiia sijui kuomba msamaha, naona alijua Mimi kama ivo vidada vya kizungu ambavyo vinamnyenyekea Yan atakama nampenda ila siwezi kujishusha ivo ovyooo. Nikalala zangu baadae nikaamka kwenda kula pale chini hotelini nikamkuta kakaaa na wadada wakifrance wanaongea wengine kawashika viuno, niseme ukwel wa Moyo kile kitu liliniumiza sema tu nikajikaza nikaendelea zangu kula nilipomaliza nikaenda chumbani kuoga Kisha nikaanza kupanga vitu vyangu maana saa kumi na mbili kamili tunatakiwa tuwe kwenye gari kuelekea uwanja wa ndege. Nikapanga vitu vyangu Nilivyomaliza nikaanza kuchat na dadaangu Jully.

Itaendelea...

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 8


Ikafika mida ya saa saba nikamuagaa naondoka akanishika mkono eti akaanza kunikiss namuuliza Nini akaniambia sasa unaondokaje bila ata goodbye kiss 💋 mpenzi, nikamjibu nenda Kwa mpenzi wako nchini akupe goodbye kiss mie Sina mda, Kisha nikaondoka zangu nikambamizia na limlango lake. Nikaenda chumbani kwangu nikajikuta tuuu machozi yananishuka hapo ndipo nikajua nimeshaanza kumpenda Kendrick, Tena sio kumpenda nimeanza kumpenda Sanaa Tena nikiutani utani tuu. Nikaenda kuoga Tena maana alinishik na marashi yake Yana harufu Kali. Nilivyotoka kuoga nikaenda kulala.

Kesho yake mapema tukaitwa wote na mkuu wetu Akatuambia Leo kama mtu anataka kutoka anaruhusiwa maana tunandege usiku wa leo so...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-8

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 13
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 12
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 11
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 14
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 15
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 7
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 9
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 6
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

983
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

682
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

611
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

606
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

523
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

362
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

345
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

218
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

106
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

97

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.67K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest