Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
04 Feb 2026
550 views
VYOTE NDANI GONGA94
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 10
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tulipewa kazi ya kukaribisha abiria kwenye ndege na wengine wakawa wanawasaidia kutafuta siti zao, Kwa wakati huo wa kurudi sikuchoka sana kama wakati wa kwenda sababu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza, abiria wengi walinipenda Sanaa kwasababu mie ni mchangamfu Sanaa mpaka wakaomba kiongozi wangu wakawa wananisifia basi mie bichwa hilooπ.
Kesho yake tukafika nchini muda wa kuwaongoza abiria Kisha sisi ndo tukaondoka wa mwisho Yani nilikuwa naact kama simjui Kendrick Wala sijawai kumuona maana ule mda wa kutoka sisi tulikuwa mbele marubani nyuma yule John akaniita nikageuka tukaongea ila sikumsalimia hata Kendrick.
Ile tunaingia tuu nikakutana na CEO Freeman kasimama pale sehemu ya kuingilia kama vile anamsubiri mtu, moyoni nikawa nawaza ananisubiri Mimi au maana muda wote alikuwa ananiangalia mpaka aibu, nikamkaribia sasa nikapanga nipite kama sijamuona ila sasa πmmmh nilijua kuzalilika maana akauliza tu kwanini hupokei simu zangu, ameniuliza mbele za watu as if Mimi ni mpenzi wake na ni lazima nipokee simu zake. Wale ma airhostess wengine akiwemo uyo mmoja anaitwa Love na Happy wakabaki wanashangaa na Kendrick alikuwepo Kwa nyuma na John, nikamuuliza unaongea na Mimi kwani Akanijibu ndio embu twende ofisini kwanza Jane mbebee begi lake uyu.
Aibuuu Kila mtu ananiangalia, Kendrick sasa ni wivu umemjaa na alivyo mweupe sasa Hadi uso ukaanza kuwa mwekundu, mie nikapelekwa ofisini. Nikamuuliza mbona unanilalamikia mbele za watu sipokei simu zako kwani ulinipigia lini π€¨hapo niseme ukwel sikupenda maana inaonekana kama vile nadate nae uyu, Yan kama kanifokea vile.
Akaanza kujitetea samahani nilikasirika tuu maaana nilikupigia ila haukupokea, nikamuuliza enhee ulinipigia wapi akaniambia Kuna namba ngeni ilikutafuta ulivokua haupo ila hukunipokelea nikawa naona wivu. Eeeeeeeh uyu vipi jamani π«’π³ anaonaje wivu sasa. Nikamuuliza boss unaumwa au akaniambia Lailat mie siumwi au labda kwel naumwa na kama nikwel basi naumwa ugonjwa wako. Khaaaaa nyie uyuuu nikamwambia samahani boss naomba niondoke maana nimechoka sana alafu sikuelewi hata, akasema sawa nenda ukapumzike basi ila ntakuchek tuongeee, nikamjibu sawa Kisha nikaondoka Ile natoka tuu nje nikakutana na Kendrick kumbe muda wote uo alikuwa kasimama pale mlangoni sasa sijajua alikuwa anasikiliza au laah.
Itaendelea....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Tulipewa kazi ya kukaribisha abiria kwenye ndege na wengine wakawa wanawasaidia kutafuta siti zao, Kwa wakati huo wa kurudi sikuchoka sana kama wakati wa kwenda sababu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza, abiria wengi walinipenda Sanaa kwasababu mie ni mchangamfu Sanaa mpaka wakaomba kiongozi wangu wakawa wananisifia basi mie bichwa hilooπ.
Kesho yake tukafika nchini muda wa kuwaongoza abiria Kisha sisi ndo tukaondoka wa mwisho Yani nilikuwa naact kama simjui Kendrick Wala sijawai kumuona maana ule mda wa kutoka sisi tulikuwa mbele marubani nyuma yule John akaniita nikageuka tukaongea ila sikumsalimia hata Kendrick.
Ile tunaingia tuu nikakutana na CEO Freeman kasimama pale...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/pilot-sitaki-inaniogopesha-sehemu-ya-10