Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
Gonga94 · Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SONGA NAYO

Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo

"Ishani umeolewa Mwanangu?"

Nikamuangalia na kumwambia.

"Mind your business bi mkubwa

Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla.

Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo ana magari, Jamani my wangu ameamua kuishi maisha ya kawaida kabisa Yaani ataki kuishi maisha ya Pesa Mingi ikiwa hakuna amani.

Miezi miwili ilipita na maisha yalikuwa yakiendelea vizuri kabisa pasi matatizo vikwazo Wala

Ikiwa ni siku ya jumatano, siku hiyo nikiwa nje nimekaa na pili, ikaja Boda na kupaki pembeni na akashuka msichana ambaye kwa haraka haraka sikuweza kumtambua lakini

alivyosimama vizuri Ndio nikagundua Kuwa ni pully Yaani msichana ambaye aliwai kufunga ndoa na Enzo wangu.

"Huyu Chizi kaja kufanya nini hapa"

Niliuliza kwa jazba na kusanama kishari Shart nikimuangalia

"Za hapa?"

Alisalimia pully kwa SAUTI ya utulivu sana. Nikamuangalia na kumuuliza.

"Eeeeeh nikusaidie nini?"

Ila kwanza kabla Sijaenda mbali Ngoja niwaambie nyie kuisha kupo, Yaani kaachwa miezi Sijui minne tayali amepauka utazani ameachwa miaka minne iliyopita

"Ishani naitaji msaada wako Sana Yaani Nikamuangalia kisha nikamgeukia pili

kumuuliza

"Unamsikia huyu mjinga?"

Pili Wala hakupoteza muda akadakia.

"Msichana wenzio hatutaki kwenda jela kwa

Mara ya pili cha kufanya changanya Hizo fito

zako

upotee katoka maeneo haya, Yaani

hatutaki kukuona Binti sayuni"

"ISHANI, please najua nimewai kukukosea, najua kuna mabaya mengi yametokea kati yetu lakini Leo hii naitaji sana msaada wako, Ishani

mama yangu anaumwa sana Tena sana, ishani sina msaada mwingine zaidi ya Enzo, madam groly ataki ata kunisikia, Antie Asu ameama nchi

kabisa, please ishani nisaidie mwenzio

Daaah kuna Namna nilianza kumuonea huruma

Jamani, ukiachana na visa na mikasa yetu bado Mimi ni binadamu na mama mzazi wa pully aliwai Kuwa Mwema kwangu ingawa alibadilika gafla tu

"Mama anaumwa nini?"

Nilimuuliza

Hapo kwanza pili akanigeukia na kuniangalia

kwa jicho moja ambalo nilielewa linaanisha nini.

SHANI mama yangu anaumwa mno, Tena mno,

ana Kansa, matumizi ya hospital yamekuwa

Makubwa sana, mpaka Sasa unavyoosha sina

chochote mwenzio

"Sasa puilly Unafikili Mimi Nina Pesa ya

kumuhudumia mama yako kweli? Mimi Pesa ya

hivyo nimetoa wapi na unajua kabisa hali yangu

ya mpunga nikikuna natoka unga tu

Nijibu

"Najua, hali yako Kama yangu tu, lakini wewe

unaweza kuzungumza na Enzo Mimi Apokel

simu zangu Wala ajibu jumbe zangu, Naomba

nisaidie kumpigia simu na kuongea nae

anisaidie

Pili akadakia

"Shemeji yangu sio shirika la msaada"

Nikamtulla pili na kuzungumza.

"Akirudi kazini nitaongea nae, na nitakupigia

"Asante sana ishani, lakini andika Namba yako.

umu Maana Nina Namba Mpya"

Alizungumza pully

kunipatia simu yake,

wollhuku kushuka kwa pully sio kushuka ni kupolomka Walahi, Imagine kutoka kwenye IPhone 15 mpaka kwenye kidogoli Tena

ambacho hakikuwa ata na zile Batani, Yaani ni

mwendo wa kubonyeza na kijiti

Nikamuandikia Namba na kumpatia simu yake,

pully akaaga na kuondoka kwa amani kabisa.

"Yaani unamuamini huyu msichana Haya

Ngoja amchukue Tena Shem darling Walahi

nitaamia upande wake siwezi kuacha vinono

viende

la pili jamani ingawa aliongea ukweli lakini

ni kheri niangalie jinsi gani natoka msaada kwa

mama amina Maana alinifaa sana kipindi

ambacho nilikuwa naishi mtaani.

Majila ya usiku nikiwa na Enzo wangu kwa

utulivu wa hali ya juu juu nikamuuliza

"Tunaweza kuongea?"

"Bila Shaka

Alijibu Enzo na kukaa vizun akinitazama

Leo Amina alikuja

"Amina? Amina Ndio Nani?"

Nikacheka na kujibu

"Ooooh Namaanisha pully"

"Alikuja kufanya nini? Na wewe ulimpokea 7

Ajakufanya kitu chochote kile ? Ajaleta Fujo ata

kidogo

Enzo alijikuta akiniuliza maswali mfululizo

wazi alikuwa na wasiwasi sana

"Hakuna amekuja kwa utulivu sana, ata hivyo.

Lengo sio ilo mume wangu, mama amina

anaumwa sana

Sasa Kama anaumwa si waende hospital uku

alikokuja wewe ni Dokta au

"Aaaah jamani Enzo, hasira za nini mume

wangu? Lengo la pully ni anaitaj sana msaada

wako kwenye matibabu ya mama yake

"Subill ishani, Kwahiyo Unataka Mimi nimsaidie

pully Umesahau alikuwa kwenye mission ya

kuniua? Mimi kumuacha Uraiani isiwe sababu

kabisa, slika Saa Hizi ni usiku nataka kupumzika

Enzo akachukua shuka akajifunika kisha

akageukia upande wa pili na kulala.

"Hi sikuombi kwa niaba ya Pully nakuomba kwa

niaba yangu Mimi, Enzo nataka kujaribu

kurudisha wema ambao amewai kunitendea

Enzo akanigeukia na kujibu.

"Sawa kesho tutaenda kumuona"

Siku iliyofuata asubuhi na mapema Mimi na

Enzo tukajiandaa na kwenda hospital kwaajili ya

kumuona mama amina, Kiukwell mama amina

alikuwa anaumwa sana Tena sana

Tukapata muda wa kuzungumza na ndugu lakini

pia na pully na daktari ambaye alikuwa

anahusika na mama amina.

Nyteeeeh nikisema Kuwa Enzo Kuwa ni

mwanaume na

mnanielewa Bwana,

Enzo akafanikisha kulipa bill zote za mama

amina ambayo ilikuwa ni milioni 3 na laki 2.

"Asante Sana Enzo, Asante Ishani Mungu

awabariki sana

Alizungumza pully akiwa anatililikwa na machozi

tu.

"Sawa uwe na maisha mama"

Alijibu Enzo kisha akanishika mkono na

tukaondoka, Yaari Enzo akutaka mazoea

pully ata kidogo.

Tukiwa njiani tunarudi NYUMBANI Mimi na Enzo

gafla nikajikuta nikipiga Kelele na kumshtua Kila

mtu akiwemo dereva Bajaji

"Nini wewe shida nini?"

Enzo aliniuliza kwa jazba ya hali ya juu Maana

nillimshtua sana.

"Ma Mdogo, Enzo ma Mdogo ameuwawa

Nilijibu na kumpatia Enzo simu aweze kuona.

Maana ni taaarifa niliyoiona instagram kwenye

account ya Millard na anayetangazwa kuwawa

ni mama yangu Mdogo allyekuwa akininyanyasa.

"Dereva Twende mikocheni sasa hivi

Basi safari ikabadilika tukaenda NYUMBANI

Kwa ma Mdogo na kukuta Nyumba ikiwa kwenye

uangalizi mzito

Siku mbili zilipita

Hatimaye nikapatiwa

ruhusa ya kupumzika mwili wa mana yangu.

Mdogo na ukizingatia Mimi ndiye ndugu yake

niliyebakia.

Kuhusu mume wa ma Mdogo na Binti yake tayali

wanamaisha Yao Uko marekani kwars ma

Mdogo na Mume wake wallshaachana na taarifa

zote Hiza nilipewa tuntu msichana ambaye

alikuwa kuzwa Kama Mimi Ingawa yeye

alipokea kazi kwa mikono miwill.

Kiukweli Sijui ni roho mbaya au ni kitu gani lakini

msiba huo Wala haukuntuma kabisa Yaani

niliona ni kam kitu cha kawaida tu

Week mbili zikapita tangu msiba wa ma Mdogo

kupita na maisha yangu yalikuwa yanaenda

powa kabisa.

Ikiwa ni kumbukizi yangu ya siku kuzaliwa, siku

hiyo niliweka kigoma cha uswazi na mziki

mnene

na ghalama zote zilitoka kwa mwanaume

wangu na nusu Enzo

Tukiwa bize tunasherehekea gafla gari ya

madam groly ikafika na akashuka madam groly

akiwa ameongozana na mume wake

Mimi na Enzo tuka.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

SONGA NAYO

Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo

"Ishani umeolewa Mwanangu?"

Nikamuangalia na kumwambia.

"Mind your business bi mkubwa

Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla.

Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo ana magari, Jamani my wangu ameamua kuishi maisha ya kawaida kabisa Yaani ataki kuishi maisha ya Pesa Mingi ikiwa hakuna amani.

Miezi miwili ilipita na maisha yalikuwa yakiendelea vizuri kabisa pasi matatizo vikwazo Wala

Ikiwa ni siku ya jumatano, siku hiyo nikiwa nje nimekaa na pili, ikaja Boda na kupaki pembeni na akashuka msichana ambaye kwa haraka haraka sikuweza kumtambua lakini

alivyosimama vizuri Ndio nikagundua Kuwa ni pully Yaani msichana ambaye aliwai kufunga...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-12-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU Ya tisa*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

865
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

666
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

542
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

338
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

165
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

124
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

116
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

100
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest