Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
Gonga94 Β· Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa.

"ISHANI umemuona amina wangu?"

Mama amina aliniuliza kwa bashasha ya hali ya Juu

Nikawaangalia kwa muda na kweli walikuwa wamefanana sana kisha nikauliza.

"Kwahiyo huyu Ndio Binti yako Amina ambaye anaishi Dodoma ?"

Yaani niliuliza makusudi nikitaka kupata Uhakika.

wa mambo husika.

"We uoni tulivyofanana jamani, Yaani huyu Ndio kifungua mimba wangu, jamani amina wangu Karibu Mwanangu niikumisi sana Binti yangu

Alizungumza mama amina na kumshika mkono Binti yake kisha wakaenda kukaa kwenye viti, muda huo macho ya Amina ambaye Mimi namjua kwa Jina la pully, yalikuwa yakiniangalia Mimi tu.

Kwanza Nikacheka na nikagonganisha mikono yangu kwa upashukuna ambao nilikuwa nao kwa wakati huo.

"Pole na safari Mwanangu"

Mama amina alimwambia Binti yake.

Mimi sasa Binti yenu nisiyekuwa na uvumilivu rikadakia

"Safari kutoka masaki au ?"

Amina akashtuka sana na kubaki akiniangalia, mama amina akaniuliza.

"Umesemaje?"

"Nimesema Amina ni Mrembo sana Kama Mtoto wa masaki

Muda huo huo Simu ya mama Amina ikaita, akapokea na akazungumza kidogo kisha akasimama na kuniambia

"ISHANI, endelea kumpa kampani mrembo wangu hapa kuna Mzigo naenda kuuchukia hapo magomeni Mara moja

"Sawa mama

Nilijibu kwa Furaha sana Maana nilikuwa nikitamani sana muda kukaa na huyu pully

wa mchongo,

Kwa muda huo wa jioni, hakukuwa na wateja wengi hivyo ata muda wa kupiga umbea unapatikana

Nikanawa mikono yangu kisha nikamsogelea Pully na kuzungumza.

"Kwahiyo Jina lako ni lipi kati ya Amina na pully

Pully akaniangalia tu kisha akageukia upande wa pili akiwa hana majibu sahihi ya kunipatia.

Kwakuwa nilipanga kumnyoosha nikaendelea. kumtibua

"Kwahiyo Enzo anajua Kama huyu Ndio mama yako mzazi na Jina lako ni Amina na sio pully?"

Pully akanigeukia kwa hasira sana na kutaka

kuzungumza lakini nikamuwal.

"Aaaah Twende polepole Bwana, nimpigie aje

hapa au? Lazima ajue Majina yote mawili ya Mke wake au sio? Sasa, nikuulize, Yule mama

Tajiri ni Nani yako ikiwa huyu mama anayechomeka na moto kila siku Ndio mama

yako mzazi

Pully akaniangalia kwa SAUTI ya hasira

akanifokea

"ISHANI, kimya na kwenye maisha yangu hakuna

kitu kinakuhusu

Nikatabasamu na kumuuliza.

"Kwahiyo mama amina anajua Kuwa wewe ni

Mke wa mtu Sasa hivi?"

"Ishani ishani, achana na Mimi nimekuambia

Sawa, sitaki na Tena sitaki endelea kuangaika na maisha yako ya kimasikini na kutangatanga

Weeeeh hapo nilijikuta nikipata hasira zaidi, nikasimama na kuzungumza.

"Labda Kama nitakufa lakini nikiendelea kuishi

hakuna rangi utaacha kuona"

Kisha huyo nikaondoka zangu na kwenda

kusafisha vyombo vichafu ambavyo vilikuwa vikigalagala kwa wakati huo

Muda wangu wa kuondoka ulipofika nikaondoka

zangu NYUMBANI

Kiukweli nilikuwa Nina maswali mengi sana Kwa

wakati huo, niliwaza pully ni ana Lengo gani na Enzo wangu Nyleeeh ninavyompenda Enzo halafu mjinga mmoja tu anajitokeza na ujinga

ujinga wake.

Kiukweli siku hiyo nilikosa usingizi kabis nilibaki

nikiwa sina amani kabisa.

Asubuhi na mapema nikamka na Kama kawaida nikaingia zangu kibaruani, siku hiyo nilimkuta

pully ambaye kwa Jina lingine ni amina akiendelea kumsaidia kazi mama yake.

"Leo umechelewa sana Ishani

Mama amina aliniambia pale tu aliponiona.

"Nisamehe mama yangu Leo kulikuwa na foleni

sana

Nilijibu kwa utulivu wa hali ya juu.

"Jitaidi kuamka mapema Bwana, Yaani Leo nimshukuru amina Mwanangu amekuja

kunisaidia

"Haitajirudia Tena"

Nilijibu kisha nikaenda kwenye sehemu ya kubadili nguo nikavaa nguo za kazi na kwenda kuendelea na majukumu yangu ya kila

Siku

Katika siku niliunia Basi ni hit, siku hiyo mama amina muda wote alikuwa bize na Binti yake,

katika siku nilifanya kazi Kama mbwa ni hil

jamani muda wote mama amina alikuwa

bize akipiga story na amina wake, siku hii

nilifokewa bila sababu nilitumwa uku na uku

pasi na kuonewa huruma Wala kupumzika

"Ishani umefata vile vyombo ulivyowapelekea wale mafundi au?"

Mama amina aliniuliza kwa SAUTI ya juu kabisa.

"Hapana namalizia kuosha vyombo tu halafu

naenda kuchukua

Nilijibu kwa upole kabisa.

"Yaani unafanya kazi polepole Kama jongoo Kama utaki kazi si uache au ? Na vyombo

vyangu vikipotea tu unaenda kuninunulla au nakukata mshahara wako sitaki uzembe kwenye

kazi yangu

Kwanza nilibaki nikishangaa tu Maana huyu mama hakuwai kuzungumza na Mimi hivi ata siku moja, Yaani muda wote alinifanya Mimi

Kama Binti yake yake lakini Leo cha moto

nakiona Walahi

Basi nikaosha vyombo vyangu haraka haraka kisha nikaenda kufata vyombo vingine mitaani.

Siku zote uwa naondokaga pale Saa 2 lakini siku hii ilikuwa tofauti kabisa, mpaka inafika Saa 4

usiku hakukuwa ata na dalili ya Mimi kuondoka Maana nilikuwa nikipewa kazi juu ya kazi

"Mama nimemaliza kila kitu

Nilimwambia mama amina.

"Haya kwaheri

Alijibu kisha akaendelea kupiga story na Binti

yake.

"Kwani unasubili nini Binti?"

Amina ambaye ni pully aliniuliza baada ya kuona nikiwa nimesimama tu BADALA ya kuondoka.

"Nasubili Pesa yangu

Nilijibu kwani Mimi na mama Amina uwa

tunalipana kila siku elfu 7.

Mama amina akaniangalia na kujibu.

"Nitakupa kesho bado sijapiga mahesabu"

Kisha mama amina na Binti yake wakanyanyuka na kuondoka zao na kuniacha Mimi nikishangaa

shangaa tu.

Kwa wakati huo Nilihisi kuchanganyikiwa kabisa,

Maana sikuwa ata na Pesa ya nauli Mara

nyingi uwa nategemea Pesa ambayo nalipwa Ndio niturnie nauli ya kurudia NYUMBANI

Basi ISHANI Mimi nikashika njia na kwenda

dukani kwa mangi na kumkopa Pesa na mangi.

alinipa pasi na wasiwasi kwani Mara nyingi

bidhaa za mapishi uwa tunanunua kwake..

Nikiwa nimesimama kwenye kituo cha daladala,

ikaja gari moja nyeusi na kusimama pembeni yangu, na polepole vioo vikashushwa nikajikuta

nikakutana uso kwa uso na Enzo

Kwnza moyo wangu ukalipuka kwa furaha ya hali ya juu, lakini sikutaka kuonesha ilo kwa Enzo, ha

kwakumuonesha Kuwa sijali lolote nikasogea sehemu nyingine,

"ISHANI, Ishant, we ishani"

Enzo aliendelea kuniita akitaka nipande kwenye

gari yake

"Dada unaitwa

Akzungumza Mdada ambaye alisimama pembeni yangu na alikuwa akisubilia daladala.

"Me sio ISHANI"

Nilijibu uku nikitamani ata kucheka..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*



Pully alishtuka sana baada ya kuniona akabaki akinitolea macho akiwa na wasiwasi sana, macho yake tu yaliweza kueleza Kuwa kuna kitu akiko Sawa kabisa.

"ISHANI umemuona amina wangu?"

Mama amina aliniuliza kwa bashasha ya hali ya Juu

Nikawaangalia kwa muda na kweli walikuwa wamefanana sana kisha nikauliza.

"Kwahiyo huyu Ndio Binti yako Amina ambaye anaishi Dodoma ?"

Yaani niliuliza makusudi nikitaka kupata Uhakika.

wa mambo husika.

"We uoni tulivyofanana jamani, Yaani huyu Ndio kifungua mimba wangu, jamani amina wangu Karibu Mwanangu niikumisi sana Binti yangu

Alizungumza mama amina na kumshika mkono Binti yake kisha wakaenda kukaa kwenye viti, muda huo macho ya Amina ambaye Mimi namjua kwa Jina...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-tatu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-tatu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

861
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8

658
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15

321
MY CRAZY BOSS 16

MY CRAZY BOSS 16

293
SHAMIRA sehemu ya 29&30

SHAMIRA sehemu ya 29&30

185
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33

SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33

160
SHAMIRA sehemu ya 30&31

SHAMIRA sehemu ya 30&31

132
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6

97
MY CRAZY BOSS 17

MY CRAZY BOSS 17

84
 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap

78

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.38K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.16K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.73K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.17K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.58K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.37K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.3K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.24K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 7
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Bila kusema neno lolote, Mr. Marvel aligeuka akaondoka. Basi Salmon alitakiwa kusimamisha party lakini kabla hajafanya hivyo alimwangalia Noela akamwambia β€œOndoka! Unasubiria nini tena?β€πŸ˜’ β€œHutanipeleka hostel?” β€œNo, sina muda” β€œKwa nini? Nitarudi vipi jamani?”...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8 Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
@majario LIVE

*SEHEMU YA SABA* Mimi na Enzo tulishtuka sana Walahi, lakini Mimi Ndio nilishtuka zaidi, Yaani hii ni zaidi ya sibu imagine mpaka baba mkwe sa hapa Ndio inakuja ile hali ya kutaka...

MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI Post Mpya
MWANAMKE ALIYEMNYIMA BABA YAKE MZAZI MAJI YA KUNYWA NA KUJA KUFILISIKA SIKU YA HARUSUI
@majario LIVE

Sheila alikuwa binti aliyefanikiwa sana jijini. Alikuwa na kampuni ya uagizaji wa vipodozi na alikuwa akiishi maisha ya kifahari. Sheila alikuwa anajiandaa kufunga ndoa na Dr. Oscar, kijana kutoka...

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

SONGA NAYO Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo...

SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33 Post Mpya
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Bai tumefika nyumbani akanishusha mwenye gari. akanikokota mpaka chumbani moja kwamoja akanipeleka bafuni nilichafuka na mapombe kama yote. Mwanaume akaniweka kwanza chini akaanza kunimwagia maji...

SHAMIRA sehemu ya 30&31 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 30&31
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie nikaongea na asha .akanambia shoga vijora vishafika nikamwambia changu nipelekee kwa fundi mwambie akitatue mpma mapajani na mgongoni kuwe wazi. kama kawaida yangu...

MY CRAZY BOSS 16 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 16
@majario LIVE

Siku moja nikiwa nimekaa boss alikuja ofisini kwa wafanyakazi wote ambapo mimi pia napendelea kukaa mahali hapo. "Nahitaji kuelekea kwenye party usiku wa leo najiuliza ni nani atafaa kunisindikiza, boss...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
@majario LIVE

Aliendelea kunipa juice kwa utaratibu, huku anaaacha ananitizima nikitaka kuongea ananipa tena juice, aweee hii ilikuwa tofauti kwangu asee ilikuwa tamu kuliko ya siku ile, nilijikuta natoa ushirikiano hasaaa kwenye...

SHAMIRA sehemu ya 29&30 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 29&30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi aisha akasema sawa akasema sasa jambo ndo linakalibia na bado siku 2 tu kama una agaa anza kumbembeleza mapema.nikasema sawa shoga ngoja leo akirudi niongee...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 6
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kwaiyo Mr Marvel akahairisha kwenda eneo la pool, badala yake akamfuata Noela nyuma na kumuona akiingia chooni. Huko ndani Chooni, Noela alikua anatoa tu machozi kama hana akili nzuri. Moyo ulimuuma...

Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar Post Mpya
Mother India (1957) is not just a film, it’s an emotion for Indian cinema lovers. Directed by Mehboob Khan, the movie starred Nargis in one of the most powerful performances ever seen on screen, along with Sunil Dutt, Rajendra Kumar and Raaj Kumar
@majario LIVE

. It was actually a remake of Khan’s earlier film Aurat (1940), but Mother India became much bigger in scale and impact. The story revolves around Radha, a poor village woman...

THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE πŸ’¬05
@majario LIVE

Alinitazama akiuma midomo yake akisema β€œChiddy unaweza acha pikipiki mahali, ukaingia kwa gari unisindikize mahali?” Niliona tayari fursa hii, nilitabasamu na kusema β€œbila shaka dada yangu mzuri.” Alitabasamu, basi kidume sikuwawia. Haraka...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
@majario LIVE

"Wee nae nilikuwa nakwambia kila siku yule sio mwanaume, unaanza kusema ooh amenitolea barua, mimi nilijua tu hili litakuja litokee siku tuu yaani huyoo mkaaka ni mpuuzi sana kha! Mh...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest