Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two*   *SEHEMU YA SITA*
Gonga94 Β· Stories

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO

Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wake

Madam groly akamgeukia Suzy na kumuuliza.

"Huyu mbwa amefikaje hapa

Suzy wa watu akiwa

wasiwasi mkubwa sana

akataka kujielezea lakini nikawai na kujibu.

"Niko hapa kwa sababu makali kuhusu Enzo

Madam groly ni Kama alikuwa ataki kusikia SAUTI yangu tu, kitendo cha Mimi kumjibu tu, akanitandika kibao kingine.

Muda huo huo, mmoja kati ya wahudumu hospital, akafika eneo ilo na kuzungumza.

"Nick, Enzo ameamka na mnaweza kwenda kumuona yuko chumba Namba MBILI private "Saa Asante sana

Alijibu Nick kisha akaondoka kwa kukuambia akiwa kwenda kumuona Rafiki yake

"Unaenda wapi?"

Madam groly aliniuliza baada ya kuniona Kuwa nataka kwenda wodin.

"Madam groly please, niruhusu niweze kumuona

Enzo,

Nakuomba sana"

Nilimuomba madam groly kwa utulivu wa hali ya juu na machozi ya Kuwa yananitililika.

Madam groly skaniangalia kwa hasira

kwa ukali wa hali ya juu akazungumza

"Umeona hii sura yako Kama nguruwe poll, nisije nikaiona kule Ndani, ishani, najua unijui vizuri lakini safari hii nitakuja kumuonesha kila rangi ambazo wewe ujewai kuziona kwa macho ya kawaida, potea hapa"

Madam groly Wala hakusubilia majibu yangu,

kwa mwendo wa haraka akaondoka na kuniacha

Mimi na Suzy, Kwa upande wa Suzy pia hakuwa.

na msaada kabisa, alibaki akiniangalia kwa

huzuni na mwisho akaniaga na kutaka kuingia

Ndani, baada ya hatua kadha akasimama

pasi na kugeuka nyuma akazungumza.

"Nitakitaidi kumpiga Picha kwajili yako"

Kiukweli niliishiwa nguvu kabisa na kujikuta

nikikaa chini na kulia sana, moyo wangu ilikuwa

na maumivu makali sana kwa wakati huo.

"Kwanini nimempenda mtu ambaye siwezi Kuwa

nae ?"

Nilibaki nikijilaumu tu.

Baada ya Karna nusu Saa hivi, madam na Suzy

wakatoka nje

moja kwa moja wakaenda

kwenye magari Yao

"Mama kuja kitu nimesahau

tangulia

NAKLUJA

Alizungumza Suzy uku akiangalla uku na uku ni

wazi Kuwa alikuwa akinitafuta Mini

"Kachukue ulichosahau me Nakusubili hapa

Alizungumza madam groly ni Kama kuna kitu

Alihisi hivi, Maana alimkazia sana Suzy kwa

wakati huo,

Kwa utulivu wa hali ya juu Suzy akarudi Ndani ya

hospital na Sijui ata alipita kona gani gafla tu

akatokea nyuma yangu.

"Mamaaaaah

Nilishtuka baada ya Suzy kunishika bega.

"Polepole wewe, sikia, pita uku nyuma, kuna

mlango utauona pale utakutana

Nick

atakupeleka wodini kwa Enzo

Yaani sikuamini Kama Suzy Ndio ananisaidia

Mimi kiasi iko

Ukizingatia Mimi na yeye ni watu ambao

tumeishi Kama paka na panya

"Asante Suzy

Nilimjibu na gafia tu nikajikuta nikimuamini

kumkumbatia

"Hi Pesa utatumia Kama nauli ya kurudi

NYUMBANI

Alizungumza Suzy kunipatia kiasi cha

shillings elfu 20 na pasi na kupoteza muda.

akaondoka.

Na Mimi pia sikuwa na muda wa kupoteza,

haraka nikafuata maelezo ambayo luzy

alinipatia na mwisho nikakutana na Nick

moja kwa moja akanipeleka wodini.

Enzo

Nilimulta Enzo wangu kwa SAUTI ya chini sana.

uku nikizuia kilio

Ambacho kilikuwa kinanikaba koo kwa wakati

huo.

Kwa haraka Enzo akanigeukia kwa SAUTI ya

shida sana skanita.

"ISHANI

Haraka nikawal na kumkumbatia Enzo kwa

nguvu San na kujikuta nikilia tu.

"Usille sasa me Niko Sawa Mbona"

Alizungumza Enzo akinituliza Mimi

Muda huo huo nilibadilika na kuanza kumpiga

Enzo vibaya mfululizo.

"Kwanini umekuwa mbinafsi wewe eeeeh,

Kwanini unajΕ‘ali Mwenyewe eeeh Kwanini ujall

kuhusu watu wengine eeeeeh, ulitaka kuniacha

na Nani eeeeh, ulltaka uniache Mwenyewe

kwenye hii dunia ambayo kila mtu ananichukia?

Kwanini Enzo

Nilizungumza nikiwa

maumivu makali sana,

just imagine, mtu unepoteza watu wako

muhimu wote ambao walikuwa ni kila

Kitu kwako, halafu gafla tu mtu ambaye amebaki

Kama Furaha yako na yeye anataka kujiua kwell

Jamani ila hii dunia acha tu.

Enzo hakuwa sta nguvu ya kuzungumza

alibaki akiniangalia tu ninavyolalamika.

"Shermejl, Basi shemeji yangu, Tulia mwaya. Enzo

ametoa wa na amejua makosa yake"

Alizungumza nick

moja kwa moja

akaninyanyua na kunikumbatia kwa nguvu sana.

"Me siwezi kuishi bila Enzo Mimi siwezi,

nimejaribu nimeshindwa

Niliendelea kufia kwa SAUTI kabisa Kama

kawaida yetu wanayakyusa.

Baada ya muda nikatulia

na kuanza

kumuhudumia Enzo wangu Kama kumuonesha

na kumadilisha mavazi yake

Ikiwa ni Majila ya Saa 4 usiku, Nick akatoka nje

na kwenda kununua chakula na alivyorudi tukala

kwa pamoja

ziliendelea.

story hapa

pale

"Shemeji, tuondoke sasa tutarudi kesho asubuhi

Alizungumza Nick akikusanya baadhi ya vitu

ambavyo avikutakiwa kubaki hapo hospital

Nikamuangalia Nick, kisha Nikamuangalia Enzo

wangu na kujibu.

"We nenda tu ukapumzike me nitalala hapa

siwezi kumuacha Enzo Mwenyewe

Nick akataka kuzungumza kitu lakini Enzo

akamuwai

"Usijali Nick, we nenda tu

Basi Nick akaondoka na kuniacha Mimi na my

wangu, uzun wa private bwnaa unaishi Kama

upo

Kwako vile.

Nikasogea na kufunga mlango, kisha nikasogea

kitandani na kulala pembeni ya Enzo.

"Am sorry"

Alizungumza Enzo kwa SAUTI ya huzuni sana.

Nikachukua kidole changu cha mkono wa kulia

na kumuwekea MDOLI i na kwa SAUTI ya

mahaba nikazungumza

"Usiseme kitu, Sijui ni nini lakini moyo wangu

Una imani kubwa sana juu yako, Sawa Maneno

yako yaliniumiza sana siku ile lakini moyo wangu

Ulikataa kukubaliana na kila kitu"

Ishani, ata ikitokea nimekufa Leo jua Kuwa ni

wewe Ndio nakultaji kwenye maisha yangu, ata

nikifa sasa hivi, jua Kuwa moyo wangu ulikuwa

ukikuitaji wewe tu lakini wazazi wangu.

hawakuwal kunielewa

Usiongee hivyo bwana, Enzo uwezi kufa

kuniacha Mimi please usinifanyie hivyo"

Basi Mimi

my wangu Tukakumbatiana kwa

hisia za hali ya juu, muda huo huo Enzo

akaninong'oneza.

"Ila nimemisi mwenzio

Nikatabasamu na kumkuta mashavu yake.

"Mgonjwa umeanza kupenda uzinzi tu"

"Achana uzinzi bwna, mama kichupa kipo top

ujue

Alizungumza Enzo uku akianza kunitomasa.

"We Enzo wewe Ebu Tulia kwanza. Yaani

kichupa kinajaa vipi na Umeca ?"

Squi Kama utanielewa

sijawal kumgusa pully"

kuniamini lakini

Nyleeeeh nilijikuta nikicheka tu, halafu Enzo wangu anavyopenda mambo ya kwichi kwichi esimguse Mke wake kwell.

"Me najua uniamini

Alizungumza Enzo baada kuona Kuwa

namcheka sana

Muda huo huo Enzo akanivamia tu mwilini.

tukaanza kuingia kwenye mchezo, Kiukwell

sikuwa comfortable ukizingatia ni hospital na

Enzo anaumwa ajakaa Sawa kabisa.

Enzo

Nilimulta taratibu nikitaka Aachen lakini Enzo

hakunisikia kabisa. mwisho hisia zikashinda

na Mimi na my wangu tukapinduka Kama nusu

Saa hivi

Mwisho Mimi na my wangu tukapitiwa na

usingizi

Asubuhi na mapema Mimi na Erizo tukiwa bado

tumelala na nguo zetu zilikuwa zikigalagala tu

chini, gafla tukasikia mlango ukifunguliwa kwa

nje na ulipofunguka tu akaingia mama Enzo,

baba Enzo, Suzy pamoja na pully, Yaani Mke

Enzo

Mimi na Enzo Tuka

Hii ni aibu kubwa my zangu NAKUJA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*ASSSSSSSH BOSS ENZO* *Season two* *SEHEMU YA SITA*



SONGA NAYO

Kiukweli uwaga namuogopa sana madam groly lakini safari hii imekuwa tofauti sana Tena sana. yaani sijasikia uoga wa aina yoyote fla na sikusikia Kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wake

Madam groly akamgeukia Suzy na kumuuliza.

"Huyu mbwa amefikaje hapa

Suzy wa watu akiwa

wasiwasi mkubwa sana

akataka kujielezea lakini nikawai na kujibu.

"Niko hapa kwa sababu makali kuhusu Enzo

Madam groly ni Kama alikuwa ataki kusikia SAUTI yangu tu, kitendo cha Mimi kumjibu tu, akanitandika kibao kingine.

Muda huo huo, mmoja kati ya wahudumu hospital, akafika eneo ilo na kuzungumza.

"Nick, Enzo ameamka na mnaweza kwenda kumuona yuko chumba Namba MBILI private "Saa Asante sana

Alijibu Nick kisha...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/asssssssh-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-sita

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi asssssssh-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-sita
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.22K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

738
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

251
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

100
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

32
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

5
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.64K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest