AFANDE MILLANπ Sehemu ya 48 na 49
Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza vp jana ulimpata yule demu kwa simu, nikasema yaaa nilimpata , na tuliongea tu, ibraa akanmbia au sio na bado humtaki, nikabaki kimyaa, ibraa akanmbia daah we msenge kweli umependa jana umelala uku bila ya demu, yani jana hujagonga millan wewe ,daaah kumbe kuna mda shetani anaweza kuwa malkia , nikabaki kimya ibraa alicheka sana , mi nikakausha tu, na tukafanya kazi mno , jioni tu kazi ikaaisha mm sikutaka ata kulala, nikamwambia ibraa twenzetu kesho tuamkie dar, yote apo mi namuwaza zena tu ,natamani nikamuone, hizo siku 2 amabazo sijamuona naona ata sijielewi kiukweli, ibraa akanmbia basi powa hakuna noma, na kweli chapu tulienda hotel tukakusanya vinvyotuhusu, tukaingia ndaninya gari, na tukaanza safari ya kuelekea dar
Mpaka usikau saa 4 ,tulishaingia dar, na mm nikaenda kwangu tu, nikaona ntaenda kumuona zena kesho, basi kweli , huu usiku mm nikapumzika zangu, ata zena sikumpigia mtu mwenyewe ananichamba ahaaa, na asubuh niliamkia kazini mana wakubwa walitaka report ya safari yetu, so nilienda kuwasilisha na nikawa busy sna mpka usiku saa 1 ndo nikatoka job, nikapita makumbusho, nikamchulia iphone zena kali kweli kweli, ndo nikapanga nimepelekee sasa , baada ya kumnunukia ile simu ndo nikaelekea kwa mchumba sasa, basi nikapita na dukani nikamchukulia zawadi kwnza ummy, mana ummy nilishamzoesha zawadi so akiniona nimefika tu , ni baba zawadi yangu, basi nikaenda mpaka kwa zena, basi bwana nimefika kwa zena ,nikagonga mlango akaja kunifungulia zena akanikalibisha vizuri tu , nikaingia ndani,aseee yani ile kumuona tu moyo wangu umefarijika na ukatulia mnoo, basi nikamuulizia ummy nikaambiwa kaenda kuoga, nikamuuliza arishaina, akanmbia anaendelea vizuri ila kalala , nikasema ahaa sawa , basi mimi nikawa nimetulia kwenye sofa najifany kucheza simu yangu ila namuangalia zena ,ahaaa zena kazuri nyie, daah alafu sasa mchumba ndo ataki ata kunisikia
Nikasema ahaa zena nimekuletea simu , nikatoa simu niliyomnunulia kisha nikampa ,nyie zena akafurahi mnoo, akanmbia asante baba arshaina, mh basi mm kwakua mchumba alifurahi kwangu mm ikawa ni raha tu, nikamwambia kuwa mkini basi wasikuchukie na iyo ,akanmbia sawa ntakuwa makini, daah mchumba aliipenda sana simu, mh si hanitaki uyu mbona vitu vyangu anapokea na anavisherehekea kweli kweli, wanwake bwana , aya powa
Basi mi nikatulia mpaka ummy akatoka kuoga, nikampa zawadi zake akanifurahia sana mwanangu, na nikapiga nae sana story apo nimekaa zangu tu, mpaka nikala pale kwa zena na mpaka saa 5 mm nilikuwa kwa zena watoto wote wakalala, basi iyo saa 5 zena akanmbia , aya naomba uende sasa nataka kupumzika na watoto, daah nikamwambia ebu kaa kwanza zena tuongee, aksema nikae wapi na tuongee nini sahizi kumbe wewe ulikuja na maongezi mda wote umenyamaza ulikuwa unamanisha nini, mi now nimechoka sitaki maongezi na mtu, naomba uondoke, daah si kachukua somu yangu uyu ,et now ananikazia niondoke daah ,mimi nikasimama mwanaume ,nikamsogeleza zena taratibu, mpaka nikamfikia nikamshika kiuno, akataka kunitoa ahaa wapi nikamkazia, nikamwambia zena ,nakupenda sana ,nakupenda sana mama arshaina, na kupromise mama ,kuanzia sasa mi nipo tayari kutulia kwa ajaili yako plssss mama angu naomba unielewe na tuongee na tuelewane, zena mi nnapokuw mbali moyo wangu wote unakuwaza wewe, kama kukosea nilishakosea but for now nakuhutaji sana naomba unisameh nakupenda sana zena ,mma ummy wangu
Zena akataka kunisukuma ahaaa wapi, mi wala sikukubali kusukumika, nikazidi kumsogelea kisha nikamkumbatia kwa nguvu, mh zena akanmbia niache bwana we ni muongo na sikutaki, nikasema hapana mama ,kama mapenzi wewe ndo umenifundisha ,kama kupenda wewe ndo umenifundisha, na kuheshimu mwanamke zena wewe ndo umenifundisha plsss snaomba tuwe pamoja, natulia kabisa zena na nitabaki na wewe tu ,nakupenda sana ,mama yangu, na nakuhitaji sana zena, naomba plssss zena akanmbia sikuamini, sikuamini kabisaa tatizo, mh mimi nikamsogelea mdomoni nikaanza kumkisi taratibu, nyie ata zena alitukia tuli, nikaona basi mtoto kanipa space uyu, ahaaa mi sikujiuliza tena nikamvuta kwenye sofa, yeye akawa chini na mimi nikawa juu, tukaanza apo, aseeeee ,mbona ata yeye alinimiss sana tu, alinipa makiss ya kutosha , nyiee makiss kweli kweli, na mie nilishachanganikiwa nae, nikamvua kijoraa waala hakuwa na shidaa
Na yeye akanivua na nguo zangu ,kisha akanikalia kwa juu, nyie acheni kabisaa, mtoto alinipa kweli kweli, akawa anajipimia pale ,nikaona mbona kama simfaidi vizuri,yeye akikaa juu, nikampindua kicha nikamueka yeye chini na mimi nikapanda juu, ahaaaa nilishindilia aseee acheni masihara ,nilikula mzigo hii siku, hii game ilikuwa hakuna kuongea, vilisemezana vikojolea vyetu tu, ahaaaa zena ananipend nyie alijuwa ananionesha kabisa kuwa ananifurahia, ananikumbatia uku ananishika vizuri, yani ananipapasa kwa mahaba, nyieeee ilikuwa rahaa sitaki kuwaambia, alafu sasa game ilikuwa ya kimya kimya chumbani si watoto wamelala, ahaa tulitombana mnoo ,mi nilikuwa naunga kama mwanadawazkmu, nyiee zena mtamu acheni kabisaaa, daah nimemuachia zena usiku saa 8, alafu zena anaanza kuliaaa,doh nikajua kumekucha
Nikamuuliza zena nn sasa mbona tumefurahia tu unalia nn sasa, zena akanmbia nimeludia makosa yale yale, kwa nn unakuawa unanilaghai we mwanaume apo anafanya kama ananipiga ,nikamwambia zena tulia na usinisikilize haipo kama hivyo kabisaa , niamini zena haitakuja kutokea nikuache wewe kabisaa, nakupenda sana zena, nakuhitaji sana, kuliko chochote, naomba unielewe kipenzi plssss, naomba unielewe mama, zena aknmbia nakujua baba arshana, unaongea yote ni sababu tumefanya tu, ila hauna mapenzi ya dhati na mimi,.nikasema nani kakwambia ayo mambo hakuna kitu kama icho unaelewa mama, zena akanmbia sawa, basi tukaenda kuoga, tulupotoka sasa ,zena akanmbia unaondoka hu mda? Nikasema sasa apa ntalala wapi, akanmbia si kitandani na wanao, nikasema mh si ntawabana ,akanmbia hapana twende bwana ,basi akanishika mkono mpaka chumbani, akawabana watoto kwa pembeni kabisa, kisha akanikakibisha mie ,ahaa mi nikapanda kitandani ,kisha zena sasa akanikumbatia, nikainjoy na nikasikia rahaa sana, nikajikuta nacheka tu , na nikamkumbatia kiuno kweli kweli
Badi tukalala hivyo mpaka asubuh nakwambia, yani usiku mtoto akistuka ni anamnyonyesha tu ,akishamaliza kumnyonyesha akalala, anamsukuma kwa pembeni anakuja kunikumbatia mimi, ahaaa aseee mpaka kunakucha, asubuh sasa ilikuw ni j mosi na nilikuwa siendi kazini, basi ummy alivyoamka akafurahi kunikuta nipo pale, et baba yangu umelala apa uwe unalala apa kila siku nikamwmabia swa mwanangu ntakuwa nakuja kila siku na ntakua nalala apa , nyie hii siku nikawatoa na out kabisaa, nikawapeleka beach na tukaenjoy sana tu, nyie hii siku nilitumia pesa, walikula wanchotaka wlicheza, walibeba kila walichokitaka, yani ata zena hii siku alikuwa na furaha sanaa, nikaonaa ahaaaa kama furaha yangu ipo kwa zena naangaika na nini, wakati uyu demu mi nampenda na nikiwa nae kama hivi napata rahaa na amani zote za maisha, asa si nijitahidi kupunguza umaraya nitulie na mpenzi apaaa
Basi tukaludi usiku sana kwa zena, daah hamuwezi amini na hii siku nikalala tena kwa zena, na nikala mzigo usiku sana watoto walivyolala ,ahaaaa huba likakudi bwanaa, sitaki kuwaeleza hii awamu nilikuwa nampemda zena kweli kweli, yani kila anachotaka.mi.nilikuwa nampa zena kwa wakati, nilikuwa nahudumia kama nimechanganikiwa na mbaya zaidi nampenda zena kisenge, nilitulia mno sitaki kuwaambia, yani mwanamke wa nje mi simtaki wala.simtamaini, mda wote namuwaza zena, nilitulia mnoo sikutka.kufamya makosa tena au kufanya chochote ambacho kitamuumiza zena, sijuh niwambiaje mwenzenu, nikawa kama nimeamia kwa uyu demu, mana mm siku unayonikuta kwangu ni chache sna, mda wote mm nipo kwa zenaa, yani nashinda kwake nakula kwake naoga kwake, navaa kwake, aseeeee zena alinikamata bwana ,nilikuwa na adabu nae mno na ata zena alikuwa na adabu na mm sana na kuniheshimu kama mwanaume, asee kwa iki kipindi nilipata amani ya mahusiano na familia sasa, yani mpaka.ibra akawa ananmbia asa we si umuoe uamie nae kwako basi mambo yaishe, nikasema.nipo nafikilia soon mnaweza kula mchele, ibra akawa anacheka sana, ananambia we zena kakuroga nn, nikawa nacheka tu, mana kwangu sirudi ,yani kila siku kwa zema kama nishaoa uko, na nikichelewa zena anajua kuniulizia mbona hufiki na kana wivu katoto aka, basi navurugwa
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni