Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije uku, nikamuuliza vifaa vyako viko wapi, akanioneshea, yani kakataa vyangu, kabangaiza kanunua vyake ,ahaa mwanamke jeuri uyu, yani ananionesha kuwa mm sio lolote aya bwana ,nikamchukulia akanielekeza na nguo zake nimbebe nikamuekea kwenye mfuko vizuri kisha sasa , akanmbia nichukue dera nimveshe mana alivaa kitenge tu, basi mi nikamtoa kitengee, nikamvesha deraa, kisha sasa nikamchukua na ummy, mana sikuwa na jinsi na hakuna wa kumuacha nae mtoto, ummy ananiuliza tunaends wapi bab, namwambia tunampeleka mma hospital anaumwa ,akanambia sawa kweli mi nikaangaika na zena mpaka kwenye gari, nikampakia nyuma ,kisha ummy ndo nikamueka mbelee, aseee nilikimbizaa gari kweli kweli, mana zena alikuwa ananlalamika sna akuwa naumia ,nikajua uchungu ndo unazidi kumchanganya uyu

Aseee mpaka saa 4 tukafika hospita moja ya private kubwa ipo maeneo ya airport, basi nilimshusha harka na nikamuaharakisha ndani na manurse haraka wakampokea ,wakampeleka leba, mimi uku njee nikabaki na ummya sasa, apo niliomba dua, kumuonbea zena ajifungue salama ,mana mambo ya uzaizi huwa yana mambo mengi kweli kweli, aseee mpaka saa 8 tuko pale, zena hajajifungua na njia inagoma kutanuka, so nikaambiwa nitie saini afanyiwe operation ,na mm nilichanganikiwa ,ila sikujiuliza mi nikasaini ili zena afanyiwe hiyo operation, na kweli mpaka.saa 11 asubuh zena alijifungua mtoto wa kike, kwa njia ya operation, ahaaaa nilivyosikia kuwa amezaa wakike nikifurahi kinoma, mana daaah nilikuwa nimemis sana mtoto wa kike, nna watoto wa 5 ila wote wakiume, afadhali sasa uyu kaja binti daah , nilifurahi sana, na ata zena alikuwa anaendelea vizuri na alishazinduka tukaruhusiwa kwenda kumuona

Mi nikaingia sasa, ila zena alikuwa kawaida tu ,wala hakunioenesha kisirani wala hasira, sijuh na mimba ilikuwa inampelekesha , basi mimi nikawa namuuliza unaendeleaje, vip hali yako, akawa ananijibu tu kuwa anaendelea vizuri ila kidonda tumboni kinamvuta tu, nikajua ganzi ishaanz akumuisha, nikapewa mwananagua sasa nimuone, mashaallah, yani uyu dogo alifanan na mama yangu kila kitu, yani kaam mama , nikajua daaah apa nimepata mama, ila ni kakali yani kanalia mnooo, alafu sasa kwa mda huo zena maziwa yakawa hayatoki, sijuh ndo njaaa kakawa kanalia mnoo, ummy alifurahi et nimempata mdogo wangu, ntakuwa nacheza nae ,nikawa namwambia yaaa mdogo wako uyuu ,mpendane sawa, basi zena akawa anatabasamu tu, apo sasa nikampigia simu ibraa nikamwambia kuwa zena kajifungua mtoto wa kike, ibraa akanmbia kuanzi leo wewe ni baba mkwe wangu, mimi uyo mtoto akikua naoa mke wapili, nikacheka tu, na baada ya mda ibra akaja kweli kumuona zena na akaampa hongera tu, et kwa kumletea demu

Na jioni ndo shey anakuja hospital na yey kumuona shoga yake, akampa sana hongera zena , na akamwmabia hakuwa anapatikana mana simu yake kwa jana ilimzimikia kwa skku nzima , ahaa uyu nae mdangaji tu kama mimi alafu mambo mengi, basi bwanaa zena alikaa pale hospitalini siku 3 akiangaliwa, nilikuwa nipo nae bega kwa bega, full kujiongelesha ,oooh unataka nni, unajisikia kula nn zena, ana akinambia chapu naenda kumchukulia ,namjua zena akichange weeee sikutaka hizo shida, so kwa siku tulizokuwa tunakaa hospitali mm na zena tilikuwa tunaongea vizuri tu wala hakukuwa na shida kabisaa japo hakuwa amenichangamkia sana, na siku ya 4 sasa zena ndo akaruhusiwa kurudi nyumbni, na mm ndo nijamludisha sasa mpaka nyumbani kwake, japo nilikua natamani akakae kwangu, yani yule mtoto nilikuwa na raha nae kinomaa, si mnjua tena mtoto wa kike nilikuwa na hamu nae sana

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43


Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije uku, nikamuuliza vifaa vyako viko wapi, akanioneshea, yani kakataa vyangu, kabangaiza kanunua vyake ,ahaa mwanamke jeuri uyu, yani ananionesha kuwa mm sio lolote aya bwana ,nikamchukulia akanielekeza na nguo zake nimbebe nikamuekea kwenye mfuko vizuri kisha sasa , akanmbia nichukue dera nimveshe mana alivaa kitenge tu, basi mi nikamtoa kitengee, nikamvesha deraa, kisha sasa nikamchukua na ummy, mana sikuwa na jinsi na hakuna wa kumuacha nae mtoto, ummy ananiuliza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-43

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

AFANDE MILLAN😎 41 to 42

1.04K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43

838
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45

611
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final

416
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15

166
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16

121
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*

96
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18

91
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu

88
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5

85

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.66K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.38K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.81K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.89K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.81K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.62K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS 🥰 yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown), Post Mpya
Mwandishi wa BBC Kasra Naji amekiri hali ni mbaya ndani ya Israel ameripoti akisema "Israel ipo katika hali ya kufungwa (lockdown),
@majario LIVE

mitaa ipo tupu hakuna watu nje kutokana na hali ya hofu ya mashambulizi ya Iran, maduka yamefungwa na hali inazidi kuwa ngumu kuvumilika kwa watu" "Hata makombora makubwa ya Hezbollah yanaanguka...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Basi bwana tumefika kwake, ikabidi niwaache kisha nikatoka nikaenda super market kuwachukulia mahitaji, aseee nikawabebea kila kitu cha kula, sijuh unga ,mchele, kuku , nyama, maziwa ya mtoto mana bado...

Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU! Post Mpya
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
@majario LIVE

Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehran, jambo litakaloleta tafarani kubwa duniani. Korea Kaskazini ina ubalozi wake jijini Tehran,...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3  to 5 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 to 5
@majario LIVE

ACHA NIKUPENDE ❤️ 3 MTUNZI uhuru media Karibu WhatsApp 0794810082 Kwa jicho aliloangaliwa na Nicky ilimbidi aondoke haraka haraka akaenda jikoni huku akiwa kachukia na machozi yalimtoka bila kutegemea. Alipofika...

*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4* Post Mpya
*KISASI CHA SINDELE BAADA YA KUAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI*😭😭😭. *1-4*
@majario LIVE

*_________________________________________* *Sehemu Ya 1* Ndani Ya hospital Moja kubwa wanaonekana Vijana wawili Wakiwa Wanasubiri Majibu Ya vipimo ambavyo Tayari walikuwa wamepima. "Hivi Sindele kwa mfano ikatokea Mimi nimekutwa nimeathirika utanioa au utaniacha!?" "Uuuuu...

🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali Post Mpya
🚩Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud El-Khatib, ametangaza maamuzi makali
@majario LIVE

ili kujaribu kubadilisha mwenendo wa timu katika Ligi ya Misri na CAF Champions League. 🔴 Maamuzi yaliyotangazwa: 💵 Kupunguzwa mishahara: Wachezaji wote wa kikosi cha kwanza watakatwa 30% ya mishahara yao,...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 15 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 15
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Mira mie nikaanza kupiga maombi ya kuteketeza roho ya umauti niliomba sana, jasho lilikuwa likinitililika na kulowanisha kifua Changu Nilikuwa nimezama kwenye ulimwengu wa roho nikifanya maombi, ni sauti ya...

Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi..  FOOTBALL ⚽. Post Mpya
Victor Osimhen alishindwa kujizuia na kutoa machozi.. FOOTBALL ⚽.
@majario LIVE

Napoli walimchukulia kama takataka na kumfanyia ubaguzi, lakini Galatasaray wanamchukulia kama familia yao .. Hadithi ipi ni yenye huzuni kwa Victor Osimhen kwenye maisha yake , hadithi yenye huzuni ni kuhusu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Mi sikufanya ajizi, nikamuuliza kwani apa majirani zako hawapo, akanmbia mmoja alisafiri na mwengine kaenda kwao leo, wote hawapo, nikaona kazi leo, nisingekuja sijuh ingekuajee, ni mungu tu aliniongoza nije...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 19 to 20 final
@majario LIVE

SEHEMU YA 19 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Asubuhi Mr Marvel alipoenda chumbani kwa Noela kama kawaida yake ili kumuamsha, anakuta chumba kipo kimya, hakuna mtu wala baadhi ya vitu vya Noela havipo😳. Anadhani labda ameenda chuo...

AFANDE MILLAN😎 41 to 42 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 41 to 42
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Sehemu ya 41 Basi bwana , zena alivyoniona mnazani alisimama,hapana bali ndo kwanza akaongeza speed ya kuelekea kwake ,na mm nikawa namfata kwa haraka ili asije akajifungia, basi zena akaingia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest