Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandiishi; LISSA

Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia akanmbia wewe naomba uende unangoja nn apa , mi nikamungalia sana uyu demu, nikasema sikia nikwambia zena, hivi hujiulizi kwamba nimepoteza mda wangu wa kiasi gani ,uko nilipotoka , nimeacha mambo yangu yote ,na nikakufata apa wewe, na nimekuja apa kwa dhumuni la kutaka heri, yani tusamehane ,mana mm nna uwakika nilikukosea wewe zena, na wala sio suala lengine, na hiii yote ni kama binadaamu mwenzako na ubinadamu na utu wangu kwako , ila kila nikijitahidi kutafuta suluhu na wewe unakuwa hutaki , unahisi mm nafanya drama , mbona unakuwa kama sio binti wa kiislamu bwana, mana sisi waislamu hatutakiwa kuwa na vinyongo, na unampomkosea mtu unatakiwa kumuomba msamaha, na ndo nnachokifanya mm, mbona wewe kunipa msamaha imekuwa ngumu sana mama, apo nikaona zena kanyamaaza kimya kama anawaza kisha akaniuliza, kwaiyo wewe unachokitaka kwangu ni msamaha sio, nikasema ndio, akanambia sasa sikia, okey nimekusamehe ondoka zako, mh mtoto analinga uyu , ngoja siku ajichanganye aingie na mm room ,ata maji simpi shenzi zake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, nikasema powa uyu ni mtoto wako? Akanmbia bwana maswali ya nn ebu nendaa sitaki kelele mimi

Nikasema powa ,nikavuta pochi nikatoa elfu 10, nikawa namshikisha yule mtoto, na yule mtoto akafurahi nakwambia , si cha kike, wanawake na hela tenaa, akaipokea uku ananichekelea kweli, nikamwmabia basi iyoo ni zawadi nimependa kumpa mtoto, zena akanmbia aya nenda zako , nikasema powa kweli mi nikasepa ata ndani sijakalibishwa wadau๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, daah demu jau uyu, ila sasa uku mwishoni niliona hajapanic sana nikaona uyu nikikomaa nae nakula mzigo kabisa apa, basi bwana mie nikaludi zangu home, sasa kuanzia apo nikawa nampigia sana uyu demu, yani kila siku ya mungu lazima nimpigie simu, kuna mda nampigia hapokei, kuna mda nampigia ananichamba, ila nilichokuwa najipa imani hakuwa ameniblock , nikasema uyoo ataingia tu kwenye 18 zangu, hivyo yani, bwana bwana mnakumbuka kuna demu si nilimtafunaga kisa baba yakee mzee mushi asifungweee, oyaaaaa acheni ,yule mzeee kesi yake ilifika mpaka mahakamani sasa wakaanza kupmabana uko, ahaaa yule demu akanitafuta akawaka kinoma, et mimi mshenzi, et mm ni mnyanyasaji, mana nimemtumia na mzee wake sijamsaidia, nikamwambia tulia wewe, sheria ifate mkondo wake, alafu sijakutumia, tumetumiana, we hujakojoa kwani, ahaaaaa yule demu alijuta kunijua tena nilimwmabia ukiendelea mi nahakikisha mzeee wako anachukua miaka minge jela hutaaamnin, basi yuke demu akakakausha, na ndo nnavyowafanyiaga mademu wote wenye shobo shoba mamae,

Basi bwna siku iyo sasa, nikiwa kazini naongea na mwanangu ibraa, nikamwmabia oyaaaa yule demu anaeitwa zena hakuna kitu kumbe mule, ibraa akanmbia kwa nn amefanyaje yani, nikasema mi nilifosi mpka nikapajua kwake na nikaenda kabisaa ,khaaaa et ana mtoto mwanangu, tena ana motot mkubwa sijuh mika minne sijuh 5 yule,asa mi demu akishakuwa na mtoto ananikata kinoma, ibraa akaningalia akanmbia we jamaa we mbaguzi ewe, we apo ulipo una watoto 5 , ayaaaa inakuwaje iyo, nikasema mm mwanaume natafuta babu, ibraa akanmbia we mchoyo kumbe , hutaki kuhudumia watoto wa kambo, lakini we si unamtaka zena for sex only, au ulikuwa na mipango mengine zaidi ya apo, nikasema noo sex tu, yani nikimpata tu kwisha habari yake, ibraa akanmbia sasa tulize presha we mtoto wake hakuhusu, alafu ukitaka kuwapata wanawake masingle mothers kwa urahisi, we jifanye unampenda sana uyoo mwanae, yani jifanye unampenda kweli kweli, mpelekee ata zawadi yani hawezi kukukazia we ukishakula mzigo unasepa zako tu, au kipengele kinakuwa nini apoo, nilicheka nikamwmabia we jamaaa una akiri sana , ngoja nianze leo,

Basi kweli bwana ,usiku nilivyoludi home ,baada ya kupiga msosi, nikampigia zena apo nawaza sijuh leo atapokea ama vp, ila wala hakuzingua akapokea bwana, akasema hallow, nikasema yes mambo mrembo, aknmbia ebu seme shida yako ,nikasema yani leo zena sijisikii kabisa kuonge na wewe, ila nimejikuta natamani sana kuongea na mtoto wako, zena akanmbia kalala, ila sasa si namsikia mtot anasema.nipe niongee nae mama, nataka kuongea naee, yani kama vile mtoto anataka kuongea na mimi mpaka ile analia si mnaelewa watoto waking'ang'ania kitu, basi bwana, nikamwambia acha roho mbwaya wewe, mbona namsikia mtoto anataka kuongea na mimi kabisaa, alafu wewe unanambia kalala, sio sawa bwana ebu mpe simu niongee nae, ahaaa akampa bwana, basi nikasema hallow mrembo mtoto, nikamsikia anacheka dooh nikajua katakuwa kamaraya aka katotot wallah, et kumuita mrembo akafurahi kweli๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Nikamuuliza unaitwa nani mtoto mzuri ,akanmbia naitwa ummy, umu, chumu, mh nikamuuliza ayo majina yote yako, akanmbia ndio, nikasema jamani mi ntakuita ummy tu sawa mtoto mzuri ,akasema ndio , kwani wewe nani? Nikasema mm baba, mimi ndo baba yako, akawa anacheka etty, yani kanapenda kucheka kweli aka katoto,nikamuuliza unasoma, akanmbia bado siendi chule ,sina begi, nikamwambia jamani nikija ntakuletea begi basi na utaenda shule, aknmbia sawa na uniletee zawadi ya juice na mdori, na viatu , nikasema sawa mama yangu umepata siku nikija nakuleteaa vyote basi namsikia anashangilia kweli kweli.kama ameshavipata, eeeh nashngaaa simu imekatwa, nikajua basi zena kachukua simu kaikata ili nisiendlee kuwasilaiana tena na mwanae., ila sasa ikawa ndo mchezo wangu, nikimpigia simu naomba kuongea na mwanae, siju nyengine napewa siku nyengine nanyimwa hivyo hivyo yani, basi ikakata kama mwezi mi naonge sana na yule mtoto, yani namwambia ntaenda ntakuletea zawadi ila sasa kazi zinanaibana sanaaa, nashindwa kwenda , nakumbuka iyo siku nililudi saa 5 usiku nyumbani nimechoka sana , hiii siku nilikuwa na kazi sana ofisini, kwaiyo nimeludi nimechoka kama chizi, nimefika ata kula nikaona shida, nikaingia bafuni nikapiga maji, nataka kuja kupumzika naona simu yangu inaita alafu nacheki mda ni saa 6 za usiku, mhhh nikashangaaa nani ananipigia huu mdaa , nikasogeleaa simu nikaishika mh nashangaaa nakuta ni zena ndo ananipigia, nilishangaa hii siku mna ndo ilikuwa mala ya kwanza tangu nimjue zena ananipigia

Mi haraka nikaivuta ile simu nikaipokea ,mh nasikia ummy ndo anaongea uku analia yani ila anagugumia, nikamwambia mrembo nn sasa shida ,aya nyamaza basi nyamaza mwanangu mzuri tuongee, akanmbia mama anasema nisiongee na wewe, mh nikamuuliza ndo unalia , akanmbia ndio na kanichapa, mh nikamuonea huruma yani mm nipo katika drama za kumpata mma yake ,aka katoto kaniona mimi baba yake kweli sijuh, nikasema ummy basi nyamaaza mwanangu, akanmbia njoo umchape , nikamwmabia okey nitakuja kesho nyamaza basi, nyamaza mwanangu mzuri, alafu lala, sa hizi ni usiku sana ,mimi nakuja kumchapa mama kesho sawa mwanagu, nazawadi zako zote nakuletea kesho sawa, basi namsikia yule mtoto anahema ila kwa kwikwi, akanmbia ndio baba ,bais nikakambembeleza pale akakubali, kisha nikona simu imekatwa nikajua ni zena ndo kakata hii simu, nikamtumia sms zena ,nikamwmabia kwani uyo mtoto akiongea na mm kuna shida gani mpaka unampiga, acha roho mbaya, zena akanijibu nawezaje kukuamini wewe mwanaume na wakati najua tabia zako , nashindwa tu kumzuia mwanangu asiwe anakutaja taja na kutaka kuzungumza na wewe, ila ni kosa langu kukubali na kumuacha kwa mala ya kwanza kuongea na wewe, mh nikajua mtoto ananitaja taha kumbe , sikumjibu mana nilichoka sana nikaweka simu pembeni mimi nikapumzika zangu.

Na kesho yake asubuh sana nilidamkia kazini, uko nikawa busy sana, ila niliwahi kutoka kazini , nilimuacha ibraa mana bado alikuw ana kazi, nyingi kweli kweli, mi nikaanza safari ya kuelekea nyumbani, ila nikiw anjiani nikakumbuka sauti ya kile kitoto ummy , nikaona daah ebu leo nikamuone kwanza, basi nijapitia duka moja la watoto lipo banana pale stand, nimamchukulia mdori, mzuri wa bei, nikamchukulia viatu pea 3, nilikadilia tu size ya mtoto wa miaka 4 , kisha nikachukua na gauni zuri , na juice ya kopo kubwa, na biskuti, nikambebea na begi zuri sana, nakumbuka pale ilinitoka kama laki 2, nikasema unyama hakuna shida, atalipia mama yeke.siku nikimkamata kitandani, basi bwana mwanaume nikaeda mpkaa kwa zena, nilivyofika hii siku nilikuwa mwenyeji, nikaulizia tu kwamba zena yupo, nikaambiwa ndio yupo ndani kwake, basi nikapita mpaka kwenye chumba chake apo nimebeba mifuko yangu ya zawadi baba wa mchongo tena๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Basi bwana nikagonga mlango, akaj kunifungulia zena, alivyoniona akadelay kwanza ,nikasem mi mgeni wako nipokeeee , hee mala sindo ummy kanakuja kametoka njeee kamechafuka kweli kweli naona alikuwa anacheza, ahaaa livyoniona et akanijua uyu mtoto ,nilimshangaaa akanilukia kwa nguvu, kalikuwa kachafu ila sikuwa na jinsi ,si unajua watoto nikaweka vitu vyote chini nami nikamkumbatia kisha nikamnyanyua, ahaaa alifurahi sana uyu mototo yani sanaa ,akanmbia baba umekuja mchape mama ananipigaga uyu, mh kashanikalaili et baba, ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, apo sasa nikaomuona zena kaokota ile mifuko akaingiza ndani kisha sasa akatoka aknikalibisha , et karibu ndani, dooh sikuamini leo nimekalibishwa, kweli singke mother we mpende mwanae tu , mambo yote kwishaaaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12


Mwandiishi; LISSA

Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia akanmbia wewe naomba uende unangoja nn apa , mi nikamungalia sana uyu demu, nikasema sikia nikwambia zena, hivi hujiulizi kwamba nimepoteza mda wangu wa kiasi gani ,uko nilipotoka , nimeacha mambo yangu yote ,na nikakufata apa wewe, na nimekuja apa kwa dhumuni la kutaka heri, yani tusamehane ,mana mm nna uwakika nilikukosea wewe zena, na wala sio suala lengine, na hiii yote ni kama binadaamu mwenzako na ubinadamu na utu...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-11-na-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

626
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

566
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

480
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

407
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

401
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13

307
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

226
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

190
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

154
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

142

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.21K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.75K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.46K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.39K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee โ€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. Itโ€™s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest