Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHAMIRA sehemu ya 34&35
Gonga94 Β· Stories

SHAMIRA sehemu ya 34&35

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandishi; lissa wa huru media
Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu mimi kichwa kigumu .basi tulivyotoka kuoga tukavaa vizzuri kisha mwanaume akanishika mkono.kama sio alotoka kunidunda .tukaingia katika gari apo gari inanukia vizuri mno. Basi mwanaume akaendesha gari mpka masaki kuna hotel moja kubwa inaitwa delta. basi apo ndo tulipata dinnner nzito. Kila mtu alikuwa kimya na chakura .tulipomaliza kula .Hamadi akiniuliza shamira ebi nambie ukweli kwani haunipendi mimi?.nikasema hapana nakupenda tena nakupenda sana tu. Akasema sasa kama unanipenda kwa nn hufati vile nnavyokuelekeza mimi na kwa nn unafanya vitu ambavyo mimi sivitaki. Eti kipenzi mimi nna hasira sana shamira ntakuumiza naona kama unashindwa kufata vile nnavyotaka unanaonaje tukaachana kila mtu akafanye mamabo yake. Nyie yani nikaachwe kwemye dinner .nikasema sikia no mimi nakupenda hamadi na nisamehe siludii .akasema no nahisi kabisa utanisumbua shamira teali wewe kuna mazingira umeshayazoe. Umezoea maisha ya fujo na pirika pirika naona kabisa tutashindwana mbele

Bola niumie now ntazoea tu.mana nataka sasa nikakutambulishe kwa ndugu lakini naogopa sababu ya mambo yako. Nyie mbona chozi lilinitoka.nikasema hamadi plsss mpenzi nakupemda tuyamalize siludii tena. Akasema unajua nini. Ushawahi kuona nakunywa pombe ata siku moja.nikasema hapana. Akasema na sipendi mwanamke mlevi katika maisha yangu .unakunywa pombe mpka unakuja kunitapikia mimi .aseee najiona kabisa ntakuvunja wee mwanamke yani ntakuua so tuishie apa. Mh nikapoa acheni . nikasema plsssss.nikamshika mkono nikasema hamadi nisamehe siludii. Akaniuliza ukiludia .we haraka nikamjibu ndo niache now natulia .na nakuhadi naacha ujinga wote. Mh kweli namchuna pesa lakini na mie bwana namtaka mana anainafanya naishi maisha ambayo nilikuwa nayaona kwenye tv tu.na ananipenda mno niludi tena mtaaani nikaangaike kweli mh hapana jamani
Akanambia sawa nakusamehe kwa sharti. Nikasema lipi .akanmbia unatumia uzazi wa mpango sio.nikasema ndio.akanmbia unatumia njia ipi? Nikasema nna kijiti akasema toa .ukipata mimba utatulia .kesho nikienda kazini nataka ukatoe uo upumbavu apo sawa? Nikasema sawa mpenzi .akanambia sawa mh kanitetemesha kuniacha tena mbona na mimi nshakuwa namuelewa jamani. Mambo mengine aya uchakaramu tu ndo uanisumbua.basi baada ya pale tukaludi mpka nyumbani.nikajalibu kumtaka akanambia niache nimechoka .mh nikaona bado ana kitu moyoni kwake uyu

Basi kesho yake asubuh niliwah kuamak shoga yenu nikamuandalia chai mpemzi. Nikafanya na usafi kabisa nikaingia chumbani nikasikia anaoga. Nikaampigia pasi nguo zake alizotaka kuvaa .alipotoka wala hakuwa amenuna wala akanisalimia vizuro nami nikamjibu akavaa haraka kisha tukashuka kunywa chai.akanambia unakumbuka nilichokwambia .nikasema ndio akasema sasa zingua uone. Mh nazinguaje sasa nikasema sawa ntaenda kutoa .mwanaume akavuta pochi akaniachia mpunga mrefu mezani .nikasema acha nivumilia bakora tu kwa mambo aya weee hapana kwa kweli🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA sehemu ya 34&35


Mwandishi; lissa wa huru media
Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu mimi kichwa kigumu .basi tulivyotoka kuoga tukavaa vizzuri kisha mwanaume akanishika mkono.kama sio alotoka kunidunda .tukaingia katika gari apo gari inanukia vizuri mno. Basi mwanaume akaendesha gari mpka masaki kuna hotel moja kubwa inaitwa delta. basi apo ndo tulipata dinnner nzito. Kila mtu alikuwa kimya na chakura .tulipomaliza kula .Hamadi akiniuliza shamira ebi nambie ukweli kwani haunipendi mimi?.nikasema hapana nakupenda tena nakupenda sana tu. Akasema sasa kama unanipenda kwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-sehemu-ya-34-35

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira-sehemu-ya
SHAMIRA  πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA πŸ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

893
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

689
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

587
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

508
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

94
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

76
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

3

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.48K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.57K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.48K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.46K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest