SHAMIRA sehemu ya 36&37
Wassap:0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi ana hasira sana .nikasema sana ila ntapunguza kidogo ataniuwa kweli alafu pia naona kma yupo serious na mimi mana kanambia nikatoa kijiti tuzae. Mh aisha akanmbi wewe mwanaume hajakuoa aunajiachiaje muzae akikuzingua je hapana sikushauri kwa kweli usimzalie kwa sasa. Kausha kwanza. Nikasema sasa mimi namwambia nini akiludi na kanambia nikatoe kanipa mpka pesa. Akasema mh shoga apo kuwa makini katoea ila si unajua wanaume asije akakupa mimba akaanza kuzingua. Nikasema sio kwa hamadi .hamadi ananipenda sana yani uyu kaka ananipenda mno siwez ata kukuelezea kipenzi changu.
Akanambia basi sawa amna shida.nikasema powa mama yangu.basi kweli mie nikaenda mpka hospitali nikatoa kile kijiti . Ndo nikaludi kwangu mwanaume alivyoludi usiku aliniuliza umeshayoa kijiti nikasema ndio akataka kuona nikmuonesha mkono na kweli akaangalia akaona kuwa nimetoa akasema sasa apa powa .ntakutuliza sonn. Basi nikacheka tu .apo sasa mwanume akaanza kunitomba kila siku ya mungu .nikajua tu anataka kunipa mimba.na mwenyewe alikuwa anaamini kabisa akinipa mimba tu basi mie nitatulia .na mimi nikajifanya mwema sina mambo mengi kabisa mpka ikakata mwezi. Tukawa na amani na furaha na upendo ukashamiri mno kati yetu. Mana hamadi kama hujamkwaza ni mwanaume mzuri sana asiye na shida kabisa
Sass siku iyo usiku sana saa 8 tumelala mimi simu yangu ikawa inaita mpka nilishangaa nani anaipigia mimi sa hizi .
Mwanaume akainuka akasema nni anakupigia . nikasema hapana sijuh hamadi akasema pokea basi nikapokea ile simu hamadi akasema niweke loud asikie nikaweka. Nasikia sauti ya kiume nilivyoisikia ile sauti niliijua ni danga langu moja linaitwa masanja alafu ni mlevi uyo .ata apo kapiga nilijua kalewa kupitia sauti yake na the way anaongea.
Masanja akasema oya mtot mwenye kuma tamu mjini. Mbona hupatikani mpka nimekutana na shoga yako mwajuma apa kitambaa cheupe ndo kanipa namba yako . Nikashindwa ata ala kumjibu.akasema sikia shamira acha kujisahau kupata kibwana chenye pese siku 2 tu unatuona sisi mafala tena. Mi ata sikujibu mana mh. Sijuh mwajuama ni kihere here gani kimempata . mpka kampa namba zangu uyu mrevi jamani. Hamadi akanipokonya ile simu akaikata akanambia lala.mh namjua hamadi yani hapendi kukatisha kinachoendelea kwa uo mda ukizingua ila analiweka siku anakuja na bakora zake anakung'uta vizuri .mh
Nikasema hamadi si unaona lkini kapiga yeye sio mimi akanambia sawa pumzika. Mh nikavuata shuka nikalala na yeye akakalala.asubuha akajiandaa akaend kazini ila akaondoka na simu yangu.
nikajua kamaind apo mana hamadi ana wivu sana. Nikawa nimekaa ila sina amani ata .nikajua kazi ipo.basi kionyonge sana hii siku nilifanya kazi zangu na nikapika chakura kwa ajili yake vizuri .nikabaki namngoja yeye tu . Akaludi usiku sana.nikamsalimia mwanaume hakunijibu akanipa simu yangu tu. Mh nikaichukua nikaaingalia nakuta sms kibao za madanga yangu kama zote na zinaongea kauli shiti shit yani matusi ya nguoni. Mimi nilishangaa nikajua watu wa charambe wameamua kuwapa namba madanga yangu wanialibie kwa uyu mwanaume mh kazi nnayo mimi.mwanaume akaingia kuoga alipotoka nikamsogelae .nikasema naomba tuongee hamadi akanikata jicho kari mno.akanambia hivi wewe ni maraya sana si ndio kumbe kwenye ile shughuri ulienda kutombwa na wanaume zako sio .mh kazi ipo namwambia nini mimi uyu mwanaume anielewe. Nikasema hapana haikuwa hivyo hamadi akasema sio hivyo wakati mabwana zako ndo wametuma sms wamesema uliwapa ile siku ama nao wanaongopa.kwaiyo kwakuwa sishiki simu yako ukawa unanaons mie mpumbavu si ndio . Nikasema haoana hamadi haipo hivyo. Akasema hivi unaelewa kwa nini nilikusajilia lain mpya? Nikasema najua ili nisiwasiliane na watu wa zamani. Akasema okey vizuri kwa nini uliwapa tema namba zako wote. Sasa kulikuwa na haja gani ya kusajili laini mpya wakati wewe maraya na huwezi kuachna na wanaume zako.nyie ๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni