Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
Gonga94 Β· Stories

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

By Babie Love
Tsap 0742133100

Endelea

Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu.

Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda haraka na muda huo brayton alifika na kumtoa Mariana kwenye garii akiwaa hajitambui kabisa kisha akamlazaa kwenye kitanda cha Hospitali tayari kwa kuinginzwaa ndani ya Jengo hiloo .

β€œ Taarifa kwa ufupi ?!?” Aliuliza Doctor huku wakikimbiza kitanda wodini

β€œ Nahisi kaangukia jiwe limemchana kichwani haraka haraka kapoteza damu nyingi sana na mapigo ya moyo yakee yapo chini sana ...” alisema Brayton huku akisukuma kitanda hicho na kumuingiza wodini

β€œ Jina lakee?!??”
β€œ Aaah Mariana kama sikosei...”
β€œ Sawa Brayton unaweza subir nje ..”
β€œ Sawaa Doctor ..”

Brayton alitokaa na kuwa chia kazi yakee maana yeye hakuwa tayari kwa wakati huo hivyo alibaki nje

Akichekii saa ni saa tano usiku sasa ndipo alipomkumbuka Camilla na kuamua kumpigia simu

β€œ Yes hallo..” ilisikika sauti ya Camilla
β€œ Aaah nimepata dharura nikiwa narudi Nyumban hivyo nitachelewaa kurudi kipenz nisamehe sana ...” Aliongea Brayton kwa makini sana

β€œ Sawaa ila mimi nilishaondoka kwako kwasababu hukurudi nikaona niondoke...”

β€œ Eeeeh ?!? Camilla haupo nyumban?!?” Brayton aliulizaa

β€œ Ndio ..” Camilla alijibu bila hofu

β€œ Aaah Sawa maana yote makosa yangu kipenz hivyo uko wapi sasa nahisi sauti za mziki?!?”

β€œ Aaah Niko club na rafiki yanguu...”

Brayton alikaa kimya kwa muda kisha akasema

β€œ Okay Sawaa kama utahitaji kitu utaniambia ila kwasasa niko Hospitali kuna mgonjwa nimemletaa...”

β€œ Okay na vipi kama utanifanyia muamala zaidi nika enjoy na rafiki zanguu?!?”

β€œ Hakuna shida nita fanya hivyo s unajua ninavyokupendaa!! Nita fanya hivyo .”

β€œ Okay ..”

β€œ Naku.....” Brayton kabla hajamalizaa simu ilisikika kukatwaa na yeye Ndio aliyopigaa hakujali maana alimzoea Camilla ni mtu wa mamlaka sana hivyo akamtumia na kiasi cha pesa kabisaa kisha akamtumia sms

β€œ Kuwa makini Nakupenda sana ..”
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Upande wa Camilla yeye alikuwa kwa kelvin hotelini wakiwa wana pata raha zao huku mziki mkubwa wakiwa wamefungulia na Ndio maana brayton Alihisi hivyo ila Camilla hakusema ukweli.

β€œ Unajua kelvin yule Brayton sijui ananichukuliaje vile ?!? Kaondoka sijui kaenda wapi et nikae nmsubirii wakati mimi bint mdogo Natakiwa kula maisha kama hivi pombe nini mziki mkubwa ...”

Maneno yake yalimfanyaa kelvin acheke sana huku akimpapasa makalio yakee na kumtandikaa busu takatifu kisha akimwambia

β€œ Sawaa ila chengine Camilla kesho natakiwa kurekod album yangu ile niliyokwambia hivyo nahitaji kiasi kikubwa cha pesa si unajua nikimaliza tu nita kuwa tajir Sana na Mtoto mzur kama wewe Ndio utakuwa pemben yangu !?!?”

β€œ Aaah kelvin una ongea sana kiasi gani unahitaji ?!?”Camilla aliulizaa

β€œ Milion 5 babe...”

β€œ Si tatizo kwangu nitakuwekea kwa account yakoo ngoja tumalizee kwanzaa hizi ..” alisema Camilla huku akimuonyeshaa chupa za pombe kali mezani

β€œ Aaah hakuna shida kipenz Ndio maana Nakupenda sana unajua nini nataka ..”

β€œ Sawaa pia naona kama nguo una anza rudia hilo sitaki kama mimi meneja wako nitashughulia hilo wee star sitaki ukae tafu hivyo kesho tutaenda manunuzi Sawa ..”

Kelvin akitabasamuu hakuwahi tabasam hivyo na ku simama huku Ali muomba kumbato

β€œ Njoo babe unikumbatiee tafadhali..”

Camilla hakufanya makosa alinyanyuka na kumkumbatia roho yakee kwasababu alikuwa anampenda sana Kelvin
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Yapata saa 6 usiku ndipo Mariana alipopata fahamu na kukurupukaa pale kitandani

Ndipo alipojiona yupo Hospitali kutokana na mazingiraa anayoyaona palee ndipo alipomkumbuka Isabel na usiku ushaingia sana tu

Haraka alinyanyuka na kuanza kutoa drip alizokuwa amewekewaa na kushuka pale kitandani kisha akatoka nje ya chumba hicho huku akiwa ameshikaa kichwa chake na kuchukua mkoba wakee aliuona kwenye kiti uliwekwa akauchukua ndipo alipotaka kuanguka maana alihisi bado kizunguzunguu...

Hakuona mtu zaid ilikuwa ni Doctor mmoja mmoja anapita msongamano wa watu haukuwepo sana ndipo akaanzaa kutembea ili atoke nje na kuondokaa ila hakuweza maana aligongana na mtu na alipomtazama usoni alikuwa ni brayton

Alistuka maana hakutarajia kama atamuona pale

β€œ Wewee unaenda wapi?!? Bado unavuja damu ..” alisema Brayton huku alitaka kumshika ila Mariana alirudi nyuma huku akisema

β€œ Samahan mdogo wangu ananihitaji sana na mpaka sahiz atakuwa na wasiwasi mno niache niende...!!!”

β€œ Sawa ila Bado kidonga kibichi hichii huwezi ruhusiwa ..”

β€œ Niachee kaka niachee...” Mariana alisisitizaa huku akitembea kwaajili ya kutoka nje kabisa huku brayton Bado akimfataa ili amzuie asiondoke ila Mariana hakujali alisimamisha taxi na kuondoka pale Hospitali

Brayton alibaki Alishangaa binti ni jasiri sana kiasi kwamba Bado anavuja damu ila aliondokaa hivyo hakuwa na namna alirudi kwenye gari yakee ili kwaajili ya kurudi nyumban

Ndipo alimhisi ujumbe kwenye simu yakee na alipotazama ni jumbe ya instagram hivyo akadharau na kuweka simu pembeni na kuwasha garii ili kuondokaa...
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Mariana alifika nyumbani kwao haraka alishuka kwenye tax kisha akalipa nauli haraka haraka

β€œ Dada Mzima lakini ?!?” Aliuliza dereva tax maana alimuona akitokwa damu usoni mwake

β€œAaah niko Sawa tu ..” alijibu Mariana na kuingia getini kwao na kufungua mlango taratibu ili asimuamshee mdogo wake akijua atakuwa amelala ila haikuwa hivyo alimkuta seblen akiwa macho kabisa

β€œ Isabel..!?!?” Alijikuta akiita kwa mshangao na Isabel nae alistuka pindi alipomuona dada yakee Mariana akiwa ana jeraha kichwani mwake

β€œ Dada nini shida?!?” Alimuulizaa huku akitaka akae kwanza chini
β€œ Hapana kitu mdogo angu eeh kwanini hujalala et Mpaka sahzi!!??” Mariana aliuliza
β€œ Achana na mimi wee hujioni ulivyo?!? Kwanini hujijalii wee mwenyew dada...” alisema Isabel huku akichukua box la dharura na kuchukua pamba kisha akaanza kumfuta zile damu pemben ya kidonda maana kilikuwa kishafungwa bendeji tayari

Mariana hakuamini kama mdogo wake atakuwa vile ndipo akasema

β€œ Ni kidogo tu nimejigongaa na jiwe..”

β€œ Sasa kwanini usibaki huko Hospitali?!?”
Aliulizaa Isabel huku akimuweka Sawaa

β€œ Nilikuwa nakuwahi wewe mdogo wangu...”

β€œ Sawa unaniwahi lakini vipi mimi ambae naogopa kukupoteza dada?!?”

Mariana alimtazama mdogo wake huku akitabasamuu kwa uchungu sanaa kisha akamkumbatia mdogo wakee hakika walipendana sana ndugu hawa ..
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Palipokuchaa asubuh Brayton alistuliwa na mlio wa simu mkali sana ndipo akapapasa kitandani ndipo alipoiona akapokeaa

β€œ Bro Bado umelala hadi sasa hivi ?!?” Ilikuwa sauti ya kiume
β€œ Mmmh hamna Niambie gabby umechangamka vipi ?!?”

β€œ Bro amka kaka yaan sijui nikwambie nini yaan broo ..”

Brayton alistukaa kusikia hivyo ikabidi akae kwanzaa ili kumsikilizaa rafik yakee Gabby

β€œ Kuna nini eeh ?!? Ushaharibu wapii tena wewe?!?”
β€œ Safari hii sio mimi kaka ni demu wako Camilla mimi sitaki kuongea mengi ingia Instagram utajionea.”

Brayton hakutaka kupoteza muda alikata simu na kuingia kwenye app ya instagram na kuanza kutafuta Account ya Camilla ndipo alipokutana na mambo yasio elezekaa

Brayton alistuka mno na kumfanya aanze kujiandaa haraka haraka na kutoka ili kwenda kwa Camilla
🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Upande wa Camilla hakuwa akielewa jambo lolote alikuwa zake bize ofisini kwake ndipo mfanyakaz kaz wake alipoingia na kumwambia

β€œ Madam Camilla kuna mtu anahitaji kuingia ofisin kwako je nimruhusuu?!?”

β€œ Nani?!?” Aliuliza Camilla

β€œ Brayton...”

Camilla alistuka kidogo kisha kam jibu

β€œ Mwambie aingiee...”

Yule mfanyakaz ndipo akatokaa na kumuacha Camilla ni mwenye maswali mno

β€œ Brayton Anataka Nini tena hebu ngoja ....”

Camilla ndipo aliposhikaa simu ili ampigie kelvin kwanzaa ndipo alipokutana katumiwa picha zake yeye na kelvin wakiwa kitandani. Camilla alistuka sana ndipo alipompigia moja kwa moja kelvin

β€œ Kelvin hebu pokea simu tafadhal....” alijisemea camilla maana simu iliita muda wote bila kupokelewaa alichanganyikiwa mno

Akiwa kwenye tafaruki Hiyo ndipo mlango ulipofunguliwaa na kuingia Brayton akiwa na uso tofauti kama alivyozoeaa.

Itaendeleaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4


By Babie Love
Tsap 0742133100

Endelea

Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu.

Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda haraka na muda huo brayton alifika na kumtoa Mariana kwenye garii akiwaa hajitambui kabisa kisha akamlazaa kwenye kitanda cha Hospitali tayari kwa kuinginzwaa ndani ya Jengo hiloo .

β€œ Taarifa kwa ufupi ?!?” Aliuliza Doctor huku wakikimbiza kitanda wodini

β€œ Nahisi kaangukia jiwe limemchana kichwani haraka haraka kapoteza damu nyingi sana na mapigo ya moyo yakee yapo chini sana ...” alisema Brayton huku akisukuma kitanda hicho na kumuingiza wodini...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/black-butterfly-4

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi black-butterfly
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

875
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

661
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20

576
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

480
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

81
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

71
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

3

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.48K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.57K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.48K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.46K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.46K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest