Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
Gonga94 Β· Stories

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

By Babie Love
Tsap 0742133100

ENDELEA

Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa

β€œ Karibu Camilla..”
Alikaribishwaa ndani
β€œ Asant sana ..”

Camilla aliingia ndani huku akitazama tazama ile nyumba akauliza

β€œ Unaishii na mwenyew hapa?!?”
β€œ Ndio karibu kuwa huru Camilla Niko mwenyew..” huyu kijana alionekana dhahili kumtamani sana Camilla na jinsi alivyovaa alitamanisha hasa

Camilla alikaa kwenye sofa huku mguu mmoja akiweka juu ya mwenzie na kufanya mapaja yake meupe kuwa wazi mno

Ndipo yule kijana akamsogelea zaid huku akimwambia

β€œ Camilla unajua ... unajua ni muda sana...”

β€œ Hebu ngoja kwanzaa Mbona unanisogelea hivyo na hata ulichoniitia hujasema tatz nn?!?!”

β€œ Camilla...aaah..”

β€œ Kelvin hebu niachee ..”

Camilla alijua dhamira kelvin na kutaka kujinasua ila tayari kelvin alishatawala mwili mwake hususan kwenye lips zakee na kumfanya nae aamkwe na hisia na ku kubaliana na kelvin na kufanya kufanya tendo lile wakiwa pale pale seblen .
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Brayton huku hotelini Bado alikuwa akipata unywaji taratibu huku akimfikiria Camilla kichwani mwake ndipo mlango ulipogongwaa

Brayton akiwa anayumba yumba maana alikunywa takriban chupa kadhaa Tangu mchna yupo pale na sasa inaenda saa 4 usiku Camilla hajarudi

Brayton akafungua mlango na kukutana na muhudumu mmoja

β€œ Samahan mkuu muda umepita tunahitaji chumba kwaajili ya matumizi mengine tafadhal..”

Brayton akahisi hajasikia vizur ndipo akaulizaa

β€œ Kwani siwez lala maana namsubir mpenz wangu atawahi kurudi s muda ..”

β€œ Hapana kaka tunahitaji chumba na bill ni hii hapaa..”

β€œ Bill tena?!?! β€œ

β€œ Ndio bill....”

β€œ Okay nitalipa nipeni dakika 5 nijiandae..”

β€œ Okay..”

Brayton akiwa kichwani na pombe ndipo akaanzaa kufanya malipo kupitia simu yake kisha akachukua begi lake na kutoka nje ya chumba hicho huku akiyumba yumba sana huku akijiuliza kwanini Camilla anamfanyia vile bila kupata jibu

Ukweli ni kwamba Camilla hakutaka kabisa brayton ajue kama ile hoteli ni yake ndio maana Ali tuma mfanyakaz akamtoe Brayton mule ndani .
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Brayton alifanikiwaa kushuka mpaka chini kupitia lift ndipo alipofika mapokezi na kutaka kuuliza jambo ila hakuweza na ghafla alianzaa kutapika hovyo

β€œ Wee kaka vipi ? Walinzi tafadhal njooni mtoe huyuu β€œ alifoka yule secretary na kufanya wafanyakazi wengine waanze kujaa palee

Mariana hakujua lolote ndipo akaulizaa

β€œ Kuna nini ?!?!..”
β€œ Hata sijui twendee..”

Mariana ikabidi aendee kujionea ndipo alipomkuta Brayton akiwa sakafuni akitapika na kukosa pumzi sasa pamoja na hayo walinzi walimfata na kutaka kumtoa nje ..

Mariana alistuka na kumkimbilia pale huku akiwaambia wale walinzi

β€œ Muacheni tafadhal anaumwa huyu nyie hamumuoni huyu!?!?”

β€œ Madam Camilla katoa maagizo atolewe hapa vipi wewe?!?” Alisema secretary

β€œ Sawaa lakini kuweni na utu hata kidgo basi anaumwa huyu hafanyi kusudi Jaman...!!!” Mariana alizidi kumtetea Brayton ambae muda huo alikuwa akitafuta pumzi kwa lazima

β€œ Hii ni Amri ya Camilla mwenyew..”

β€œ Sawa lakini ata kufa hapa na hii hoteli itakuwa Na hali gani kama sio kufunguliwa kesi ya mauaji?!? Eeh kwa maana Hiyo itafugwa na nyie nyote itakuwa hamna kazi kwa uzembee wenu ..”

Wote walibaki kutazamana maana hakika ilikuwa taharuki pale ila Mariana hakupoteza muda alitoa simu yake na kuita gari ya wagonjwa huku Brayton akiwa mikononi kwa Mariana hata hakujali kutapika kwakee hakujali kabisa
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Camilla baada ya ku maliza mambo yake na kelvin walitulia wakipata kinywaji pamoja

β€œ Unajua kelvin sikutegemea kama itakuwa hivi kwanini imekuwa hivi et?!?” Aliulizaa Camilla

β€œ Camilla unajua kabisa ninavyo kupenda mimi na hii siku nilikuwa naomba kila siku ila natumai nimekupata mrembo...” alisema kelvin huku akichukua mkono wa Camilla na kuubusu kidogo

Camilla Ali tabasam na kusema

β€œ Mjinga wee unaniingia moyoni taratibu ila vipi kile tulichokipanga sasa tusijisahau sana maana mtu mwenyew karudi leo unajua ...”

β€œ Nikweli hilo la muhimu sana tu muache kama mwezi hivi ila Camilla naomba sana Linda penzi langu maana brayton ni mwanaume kamili yule ...”

Camilla alitabasamu kisha akasema

β€œ Unajua Brayton tatizo lake moja hana muonekano wa kiume yani yeye yupo yupo tyu hicho kinanichosha sana ni hizo pesa zake Ndio kinamsaidia na kujifanya ana mapenzi ya dhat sasa mmmh ..”

Wote walicheka wakipeana cheers πŸ₯‚

β€œ Ila nini Camilla Nakupenda sana mrembo wangu naogopa Brayton atanipokonya penzi langu kwako...”

β€œHapana wew niache kete mimi nitajua vipi naichezeshaa usijali ..”

Walikumbatiana ndipo kelvin akamuulizaa

β€œ Camilla nikuulize kitu ?!?”
β€œ Yeah ...”
β€œ Kwanini umenikubali haraka hivyo na kumtenga Brayton?!?!”

Camilla Ali tabasam kisha akanyanyuka huku akisema

β€œ Nipe miezi kadhaa nitakujibu swali lako ..”

Kelvin alifurahi mno kupata penzi la Camilla mdada matata sana ila kwake imekuwa rahisi mno .
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Gari la wagonjwa lilifika kwa wakati tayari Brayton alichukuliwa na kupelekwa Hospitali na Mariana akiwa pemben yakee

Brayton alihudumiwa kwa haraka haraka mno huku Mariana akiwa nje akisubiri majibu yakee ndipo alipotokaa Doctor haraka alimfata na kumuulizaa

β€œ Vipi anaendeleaje?!?”
β€œ Aaah hajambo ila ni tatizo lake Ndio maana ilimsababishia hali ile ..”

Mariana alistuka kusikia tatizo ndipo akauuliza

β€œ Tatizo gani?!?”
β€œ Kwani wew ni nani yake?!?”

Mariana alifikiria kwa muda kisha akasema

β€œ Ni rafik yake tu ..”
β€œ Ooho basi ugonjwa wa mtu ni siri hivyo jua ana hali nzur sasa s muda unaenda kumuona ..”
β€œ Asante Doctor nashukuru sana ..”
β€œ Karibu sana..”

Mariana alishusha pumzi ndipo simu yake ilipoita na kukuta ni Isabel anapiga

β€œ Hallo mdogo angu ?!?.”
β€œ Dada umekataa kunifata shule na Bado umechelewa kufika nyumbani..”
β€œ aaaha Najua ndugu yangu ila kuna dharura Niko Hospitali ila narudi s muda Isabel Oky?!?”

Kama kawaida Isabel Ndio wa kwanzaa kukataa simu hakupenda kabisa na hilo Mariana alijua kabisa kama ndugu yake hapendi

Hivyo alikwenda kumuona Brayton ambae bado alikuwa hajaamka kisha akatoka nje ya Hospitali Hiyo na kukodi taxs akarudi nyumbani kwao anapoishi na mdogo wake

Ndipo alipokutanana na mama mwenye nyumba mlangoni alistuka maana aliahidi week hii atalipa na hakufanya hivyo

β€œ Unastuka nini?!?” Mama mwenye nyumba aliulizaa

β€œ Hapana ila najitahidi nitakupatia siko Sawa sasa hivi ..” alijitetea mariana huku akimtazama mdogo wake ambae alikuwa kwa dirishan akimuangalia

Yule mama mwenye nyumba hakujibu kitu zaidi Ali ondoka zakee na kumfanya Mariana kufungua mlango na ku ingia ndani

β€œ Dada kwanini humlipi huyu mama kila siku anakuja Piga kelele hapa...!??” Aliuliza Isabel

β€œ Isabel unachotakiwa kuzingatia sasa hivi ni masomo yako Haya mengine mimi nitashuhulikia Okay!?!? Haya kajisomee chumbani kwako...”

Mariana alimuondoa mdogo wake kwasababu kichwa chake kinataka kupasuka mambo ni meng mshahara anaopata anategemea ada ya Isabel matumizi ya nyumban pale kodi hapo hapo anajikuta pesa haitoshi kabisa na Ndio maana yanatokea Haya

Mariana aliumiza kichwa maana wazazi wao walitangulia kufa Bado mapema mno na kumuachia mdogo wake yeye kama mama na baba kwa pamoja ila alijipa moyo na kunyanyuka tena
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Palipokucha asubh Brayton Ali pata fahamu na kujikuta yupo Hospitali

β€œ Umeamkaa...!?!?” Aliuliza Doctor na kumfanya Brayton akae kitako Huku akitaka kutoa oxygen aliyowekewaa kwaajili ya kumsaidia kupumua

β€œ Unatoa Hiyo sasa unajisikia vizur eeh?!” Aliongea Doctor huku akimuweka sawaa inaonyesha wanajuana sana

β€œ Kimetokea nini?!?” Aliuliza Brayton

β€œ Brayton nini kimetokea utakuja kufa nilishakwambia usinywe pombe kali kupitilizaa unaona sasa na stress zako zimepelekea pumu yako kupanda juu kidogo upoteze maisha...” Doctor aliuelezea kidogo na kumfanya Brayton akumbuke sasa

β€œ Daaah ilikuwa mbaya sana ..”

Doctor alimsikitikia kisha akamuuliza

β€œ Sitaki kuamini ni Camilla tena!?!” Aliuliza Doctor

Brayton alibaki kumtazama tu Doctor hakujua cha kusema

β€œ Eeeh atakuua huyo mwanamke nakwambiya laiti baba ako angekuwepo sidhani kama ungekuwa hivii kijana badilikaa...”

Doctor baada ya kusema hivyo alitoka na kumuacha Brayton pekee yakee

Itaendeleaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2


By Babie Love
Tsap 0742133100

ENDELEA

Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa

β€œ Karibu Camilla..”
Alikaribishwaa ndani
β€œ Asant sana ..”

Camilla aliingia ndani huku akitazama tazama ile nyumba akauliza

β€œ Unaishii na mwenyew hapa?!?”
β€œ Ndio karibu kuwa huru Camilla Niko mwenyew..” huyu kijana alionekana dhahili kumtamani sana Camilla na jinsi alivyovaa alitamanisha hasa

Camilla alikaa kwenye sofa huku mguu mmoja akiweka juu ya mwenzie na kufanya mapaja yake meupe kuwa wazi mno

Ndipo yule kijana akamsogelea zaid huku akimwambia

β€œ Camilla unajua ... unajua ni muda sana...”

β€œ Hebu ngoja kwanzaa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/black-butterfly-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi black-butterfly
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

662
*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

465
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

249
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

216
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

140
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

130
SHAMIRA sehemu ya 13&14

SHAMIRA sehemu ya 13&14

126
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

118
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

110
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10

106

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.31K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.06K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.55K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.37K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.35K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana 😘😘😘". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa β€œ Karibu Camilla..” Alikaribishwaa ndani β€œ Asant sana ..”...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini* Post Mpya
*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*
@majario LIVE

Asubuhi na mapema Enzo akaamka na kwenda Nyumbani kwake, na Mimi nikaanza mandalzii ya safari, kwanza nikafua nguo ambazo zilikuwa chafu, kisha nikaanza kuchagua nguo ambazo nitaenda nazo safarini. "Kweli Enzo...

SHAMIRA 21,22,23,24 Post Mpya
SHAMIRA 21,22,23,24
@majario LIVE

sehemu ya 21&22 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafungua mlango wa gari nikaingia ndani akasema vp mamy .nikasema powa najifanya nimenuna nakwambia ahh wap uongo mtupuπŸ˜‚. Akanambia shamira unajua...

SHAMIRA 17,18,19,20 Post Mpya
SHAMIRA 17,18,19,20
@majario LIVE

sehemu ya 17&18 Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Mala akafika ashaa.naona na yeye alitoka akakuta natandikwa sasa. akasema shem nn jamani ebu muache , akasema unaona uyu mwanamke alivyo mjinga yani...

SHAMIRA sehemu ya 15&16 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 15&16
@majario LIVE

Watsapp 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akanmbia ooh umelala kipenzi changu mbona mapema sana na uajua saa 5 lazima nikupigie jamani. nikasema sipendi kuzulula usiku baby kwaiyo naamua kupumzika mpema...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

β€œhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… β€œ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

β€œ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema β€œ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest