Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 11
Gonga94 ยท Stories

MY CRAZY BOSS 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜".

Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi nshayakanyaga
Mmmh ila mbona kama nampenda hivi?? Mmmh ila sawa.

Nakupenda sana joy๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜sitokusaliti kamwe hata kama ukubwa wa masikio yako utazidi๐Ÿ˜๐Ÿ˜,jamani huyu boss๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.Tukakumbatiana pale kiaibu aibu

Baada ya muda tukaongozana hadi nnje huku nikiwa nimeshikwa mkono na MR๐Ÿ˜˜ sio boss tenaa.Aliniongoza hadi garini akanifungulia mlango kisha akaniamuru nikae.

Haikuchukua muda tulifika hadi getoni kwangu mchikichini.

"Nitakumiss sana Usiku wa leo Joyce,sitamani kabisa kuwa mbali na ww".

"Nitakumiss pia boss,nyie๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œsijui hata vimaneno vinatokaga wapi ila ndo hivyo".

" Tukiwa wawili naomba uniite Erick sawa enhee??."

" Sawa bo....ooh Erick".niliitikia.

Basi boss akanivuta ,akanikiss kwenye paji la uso ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹halafu akaniachia,nyie๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ,raha iliyojee penzi jipya

Ile natoka kwenye gari ,nikasikia "Joy ntakumiss jamani,usiondoke".

๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐ŸฅฐNtakumiss pia jamani Erick my boo

Asiwaambie mtu penzi jipya linautamu wake buana๐Ÿ˜˜๐Ÿ‘Œyaani mautamu utamu kama chocolate

Mie kwa aibu aibu ya nataka sitaki nikatoka nnje nikaelekea hadi mlangoni mwa chumba changu,huku nikiangalia angalia nyuma๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹boss akanipa ishara ya busu kwenye kioo mie moyo ahhhh๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐlooooh looooh hoi twaabani mie,nitake nini tena huba ndo kama hilo sasa ndi ndi ndi

Buana usiku ulikuwa usiku kwangu kila mara namuwaza boss wangu nyie japo hazijatimia ilaa mmmh kama mahaba anayajua hivi๐Ÿ˜

Asubuhi niliamka mapema kama kawaida nikajianda ,uyoo hadi nyumbani kwa boss

"Oooh karibu mpenzi ,kufika na kufika ni kama alikuwa akinisubiria akanipa morning kiss๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜".

"Asante ".

"Haina haja ya kuniandaa nipo tayari twaweza kwenda,boss alizungumza"

Kwa pamoja tuliongozana hadi ofisini,tulioifika wafanyakazi wote walikuwa wakinishangaa hadi nikaanza kuhisi vibaya

" Usishangae sana ni wazi kuwa umeanza kuwaka kwa kuwa upo na mimi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ".Boss alizungumza

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃNikajikuta nikicheka jambo lililowafanya wafanyakazi wenzangu wahisi huwenda nimekuwa kichaa.

Kwa pamoja tuliongozana na Boss Erick hadi ofisini,nikamuandalia kahawa pamoja na ratiba yake ya siku nzima.

"Boss ni muda wa lunch".

"Oooh ni mchana tayari?Njoo basi kipenzi changu unipooze,akaniita huku akinikumbatia".

Mmmh boss ni ofisini hapa usifanye mambo haya lakini,nilizungumza huku nazidi kumsogeza anikumbatie vema๐Ÿ˜œ.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 11


"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜".

Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi nshayakanyaga
Mmmh ila mbona kama nampenda hivi?? Mmmh ila sawa.

Nakupenda sana joy๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜sitokusaliti kamwe hata kama ukubwa wa masikio yako utazidi๐Ÿ˜๐Ÿ˜,jamani huyu boss๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.Tukakumbatiana pale kiaibu aibu

Baada ya muda tukaongozana hadi nnje huku nikiwa nimeshikwa mkono na MR๐Ÿ˜˜ sio boss tenaa.Aliniongoza hadi garini akanifungulia mlango kisha akaniamuru nikae.

Haikuchukua muda tulifika hadi getoni kwangu mchikichini.

"Nitakumiss sana Usiku wa leo Joyce,sitamani kabisa kuwa mbali na ww".

"Nitakumiss pia boss,nyie๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œsijui hata vimaneno vinatokaga wapi ila...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 1 - 5
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 08
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 10
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 07
MY CRAZY BOSS 12,13,14
MY CRAZY BOSS 12,13,14
MY CRAZY BOSS 09
MY CRAZY BOSS 09
MY CRAZY BOSS 15
MY CRAZY BOSS 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU Y ishirini*

*AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU Y ishirini*

573
REALLY LOVE* *31&32*

REALLY LOVE* *31&32*

245
REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*

201
SHAMIRA 21,22,23,24

SHAMIRA 21,22,23,24

155
MY CRAZY BOSS 11

MY CRAZY BOSS 11

153
REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34*

REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*

151
SHAMIRA 17,18,19,20

SHAMIRA 17,18,19,20

147
SHAMIRA Sehemu ya 25&26

SHAMIRA Sehemu ya 25&26

144
SHAMIRA sehemu ya 15&16

SHAMIRA sehemu ya 15&16

142
MY CRAZY BOSS 12,13,14

MY CRAZY BOSS 12,13,14

132

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.32K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.07K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.72K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.15K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.55K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.38K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.35K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.21K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire Post Mpya
Congratulations to Linda Walker from the Province of Brookshire
@majario LIVE

for achieving the highest score of 719 and earning Rank 1 in the examination! ๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Your outstanding achievement brings pride not only to your province but also to your Isabelino...

Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto Post Mpya
Rafiki yangu John alikuwa na ndoto ya kufanya kazi kampuni fulani, kila siku hakuacha kunielezea kuhusu ndoto
@majario LIVE

yake kweli Mungu alisikia maombi yake akapata kazi kwenye hiyo Kampuni. Baada ya kupata kazi John safari yake ya kwanza tu akiwa na ile kampuni akapata ajali na kufarika hapo...

THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2 Post Mpya
THE SECRET MESSAGE ๐Ÿ’ฌ 1,2
@majario LIVE

01 Ninatamani kama isiwe ni kweli kwenye hili ambalo mimi leo hii nataka niwaweke wazi. Lakini hii sio ndoto, sijaota mimi, ni kweli nimeyaishi na yamenitokea kwenye maisha yangu. Maisha yangu...

MY CRAZY BOSS 15 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 15
@majario LIVE

"Watu wote waliohudhuria kikao waliondoka , chumbanai humo tulibaki mimi pamoja na Boss Erick, macho yake muda wote yaliangaza kwangu ." "Nimekumiss sana mrembo wangu, nimemiss sura yako, tabasamu lako,...

MY CRAZY BOSS 12,13,14 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 12,13,14
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 12 Kama ofisini hapafai naomba twende nyumbani,yaani twende sasa hivi,boss alizungumza. Hapana ,sio sasa hivi,nilijibu. "Sawa kama ni baadae,boss aliitikia" Nilitoka na kuagiza lunch kisha nikampelekea boss nakuendelea...

REALLY LOVE*  *   *SEHEMU YA 34* Post Mpya
REALLY LOVE* * *SEHEMU YA 34*
@majario LIVE

upande mwingine calor na mama yake walifika na kumkuta cathe akiwa anaosha vyombo, mama cathe alishangaa sana kuona mwanae anafanya kazi, cathe alipomuona mama yake alinyanyuka na kwenda kumkumbatia huku analia cathe...

SHAMIRA sehemu ya 27&28 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 27&28
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi bwana shoga akanishukuru mno. Bado nikamtoa lunch mimi sindo tajiri tena alikula alichokitaka nakwambia. Basi baada ya yote tukaenda charambe sasa .nikapita kwa...

SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15 Post Mpya
SASA NAKUPENDA 11 MPAKA 15
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Sehemu ya 11 na 12. Mwandishi; lissa wa huru media Basi nilivyotoka pale nikaeenda kutulia sebleni rohooo yangu kwatu. Sijuh ata alimalizanaje na mwanamke wake uko. Mida ya mchana mama akaniuliza...

REALLY LOVE*   *SEHEMU YA 33* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA 33*
@majario LIVE

kwahiyo baba unanikataza mimi nisiende kwa dada yangu? wewe baba gani mbaguzi yani unamjali sana dada kuliko mimi? vipi kuhusi namimi hali yangu mbona hunijali alisema cathe kwa kumfokea baba...

SHAMIRA Sehemu ya 25&26 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi apo ndo maisha ya mimi na hamadi yakaanza. mwanzo nilikua simpendi sana ila siku zilivyooenda nikaanza kumpenda hamadi .mana nilikua naona anvyonipenda zile...

SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU Post Mpya
SIRI YA NABII YONA KUISHI NDANI YA TUMBO LA NYANGUMI SIKU TATU
@majario LIVE

Nabii Yona (au Yunus) alipewa agizo na Mwenyezi Mungu kwenda mji wa Ninawi (Iraq ya sasa) kuonya watu waache maovu. Lakini Yona, akiona watu wale ni wakaidi sana, aliamua kukimbia...

MY CRAZY BOSS 11 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 11
@majario LIVE

"Asante sana Joy kwa kunikubalia kuwa wangu nakuahidi maisha bora kuliko unavyodhania, nitakupa maisha bora sana ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜". Nikamuangalia boss palee anavyojimalizaa ntafanyaje sasa ndo nsharopokaa mie acha tu niyakoge sina budi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 2 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 2
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEA Camilla alipotoka palee alikwenda moja kwa moja kwa aliyekuwa rafiki yakee muhimu sana kuna mambo alitakiwa kuyaweka Sawaa โ€œ Karibu Camilla..โ€ Alikaribishwaa ndani โ€œ Asant sana ..โ€...

Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo Post Mpya
Alishika namba 1 kitaifa matokeo ya mitihani Kidato cha sita mwaka 2006, Elias Kihombo
@majario LIVE

pichani aliyesoma PCM alipata division 1.3 akiwa na A za juu katika masomo yote kuliko wanafunzi wengine wote wa michepuo mingine kitaifa. Alihitimu secondary ya Tosamaganga Kidato cha nne pia...

REALLY LOVE* *31&32* Post Mpya
REALLY LOVE* *31&32*
@majario LIVE

alifika mpaka chumbani akamkuta fahima analia ila mimba hizi yaani analia machozi kabisaaa nahasira sana hivi huyu nwanamke katokea wapi halafu baba asinichanganye mimi nawezaje kuwa na ndugu shetani kama huyu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest