Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 1 - 5
Gonga94 · Stories

MY CRAZY BOSS 1 - 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MWANZO

"Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo ofisi hio bado haikufunguliwa

"Sijui itakuwaje leo kampuni kubwa hili halafu tupo kibao sijui tutapata kazi jamani?? Jua kali hili mtaani pagumu hatarii, tutapata tu mahi hata usiwaze, hayo ni maongezi ya wadada wawili walioketi pembeni yangu"

Ni wazi nao walikuwa wakisubiri interview kama mimi tua, niliishia kuwaangalia kisha nikatabasamu mithili ya mtu mwenye akili timamu na mwenye kujiamini sana🙌kumbeee ni huzuniii

Ukiniangalia vyema nimekati huku miguu yangu nimeibana, kutokana na kutetemeka kwa muda mrefu na sikutaka nijulikane, si mara yangu ya kwanza kufanya interview ila nilishangaa sana kwanini naogopa sana leo

Tulikaa nnje kwa muda mrefu sana huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale

Ikiwa ni majira ya saa mbili na nusu tukiwa bado tupo nnje tumekaa, alikuja mdada mrefu, mweupe , smart mzuri, aliyevalia suti nyeusi pamoja na kiatu kirefu cheusi pia

"Habari zenu, nifuateni mkiwa kimya, dada yule alizungumza"

Wote tulishangaaa kwa kuangaliana kwa kiulizo na hataka sana tulinyanyuka na kumfata nyuma

Tulifika hadi nnje ya ofisi fulani ambayo tulipatiwa viti na kukaa mahali hapo

Tukiwa tumekaa kwa mbali alionekana kijana mmoja wa makamo, handsome🥰sijapata kuona, mrefu, mweusi, ana kifua cha mazoezi japo alivalia tshirt na kipensi tu lakini wadada wote tulijikuta tukimtazama bila kuchokaa

Ni ajabu sana na tulizidi kushangaa pale tulipoona anakuja upande wetu😳😳

"Acheni kumshangaa hivo ni boss wetu huyo, yule dada aliyevaa suti alizungumza"

😳😳😳Ni boss mbona ni ajabu hii nilibaki nikishangaa tu

Baada ya dakika kadhaa yule boss alifika hadi pale tilipoketi

"Mpo pouwa warembo?" Alitusalimia

🤣🤣Baadhi ya wadada walijichekesha na kuonesha shombo kama wana washwa washwa na upwiru

Mimi sasa hata sikuwa na habari nae nilijitia mkaxi siku hio
Kwa mbali nilimuona boss akiniangalia ila sikutilia manani

Alivoingia ndani tu ya chumba kilichoonekana kuwa ni ofisi yake , tukaanza kumsema sasa🤣Si unajua mambo ya girlz umbea kunioga🙌🙌

"Jamani mzuri huyo hatariii, yaaani yupo fire, ila vaa yake sijaielwa hafai kuwa bwana angu😳,mara mwingine akasem, yaani huyu akikutomb*** unaweza ukapaa kabisa. Khaaa🙌🙌mie nilibaki kushangaaa tu

Sijui ikawaje nikajikuta nimeropoka" mie natamani awe mume wangu jamani🤣🤣🙌🙌"

Wenzangu waliangua kicheko mpaka basi,

Muda huo huo boss alitoka nnje na tilivomuona tu tukakaa kimya kama sio sisi vile

Boss huyo akaanza kutuangalia mmoja mmoja kuanzia juu mpaka chini, ni kama vile alikuwa akituthaminisha mavazi , muonekana pamoja na usmart

Alituangalia wote kisha akasimama na kutabasamu

"Wewe uliyevaa juu kijani chini nyekundu ndio utakuwa PA wangu nyie wengine nitawapa nafasi nyengine, boss aliongea hayo, kisha akasema nifuate mrembo"

Mie nikawa najiwazia tu uyo PA anabahati hatari ndo nshakosa mume mie🤣

Nikiwa sina hili wala lile nikashangaa watu wote wananitazama mimi,tena sio kutazama kule ni kunikodolea mimacho kodoo

Friji langu likayeyusha barafu ikabidi niwaulize tu

Nyie vepee ?mbona mnanitazama hivyo??

Si umeitwa wewe na boss au sio wewe mwenye kijani na nyekundu?unajizima data au ndo kuringa kisa umechaguliwa?yule dada aliniuliza

Kheee ni mimi😳😳nikabaki nikishangaa tu,ikabidi kwanza nijikague

Khee😳kumbe ni kweli nimevaa kijani na nyekundu uwiii🙌mbona kama hoho na nyanya si kachumbari hii jamani,yaani mawazo yangu yote nimevaa suti nyeusi ama kweli yanipasa kuhama mchikichini kwenye chumba cha giza mbwa mimi

Ikabidi niinuke haraka haraka na moja kwa moja nikaelekea kwenye ofisi ya boss

Ile naingia tu nikamkuta ana😳😳........

We unahisi alikuwa anafanya nini??

Nilimkuta akivua nguoo nyie jamanii🥰boss anakifua kizuri hatari

Nilijikuta nikimuangalia kwa mtindo wa kumkagua si tu kumuangalia nilijikuta hadi nameza mate jamani🙌🙌

Mwanamke gani wewr unamuangalia mvulana akibadili nguo? Au unataka kunibaka wewe?? Boss alizungumza

Yaani mimi babe face hivi ni mwanamke na wewe mkubwa hivo ni mvulana una maanisha nini?? Niliuliza huku sauti yangu ikitetemeka

Unasemaje wewe?? Kwahiyo unataka kunambia mimi ni mwanaume, hapana sio kweli mimi ni bikra kama joseph wa bikira maria

Ni mwanaume mtakatifu sana

😳😳Jamani huyu boss vipi mbona kazi ninayo mimi 🙌🙌

Nikiwa nawaza yangu kichwani nikasikia

"Njoo hapa uiname mbele yangu"

🙌🙌🙌

Itaendelea

STORY TAMU HIII USIKOSE MDAU WANGU
MY CRAZY BOSS 02
Niiname mbele yako kivipi boss mbona sielewi nini unamaanisha lakini? Nilijibu huku nikitetemeka akili yangu yote ikiniambia leo natatuliwa marinda sio bure🥲🥲.

Chagua mawili kuja hapa uiname au uache kazi sina muda wa kubembeleza.

Lakini boss wewe🥲,huyo nikajisogeza kama sio mie nlokuwa naogopa nikajiinamisha binuu

"Kiuno chako ni kidogo kama cha dondora hauna tako kabisa , miguu ni midogo kama stiki huwezi kunishawishi hata nikifumba macho, boss aliongea." Sogea hapa nikuinamishe vizuri

😳😳😳Uniinamishe kiaje na nimeinama?jamani😁nilijikuta nimewehuka gafla🙌🙌

Sogea hapa nimesema😡😡boss aliongea kwa kufoka hadi nikaogopa ,nikamfuata hadi aliposimama nikainama tena kama mbuzi anakula majani🥲

Gafla nikashangaa boss kaja mbele yangu kanisimamia;

" Nifunge kamba za viatu ndo nilichokuitia,alizungumza".
😳😳😳Nikabaki nakodoa kodo siamini nini nakiona

Unanichelewesha ,fanya haraka tuna safari".Boss alizungumza.

😳😳Safari siku ya kwanza kazini??🙌eeh Mungu linda marinda yangu weeh,nikajiinamisha nikamfunga nilipomaliza nikainuka .

Nifuate na utembee vizuri ,siwezi kuwa na sekretari anatembea kama ana mabusha hivi😳😁😁jamani🙌🙌.

Nilimfata nyuma nyuma kama mkia njiani wafanyakazi wote walikuwa wanamsalimia yaani nikajihisi natembea na bonge la jitu halafu mie kinzi maana hata sionekani
Tuliongozana hadi kwenye gari ,akanifungulia mlango kisha na yeye akaingia

"Tunapoeleka sihitaji mdomo mdomo kaa kimya na ufanye kikupasacho".

"Sawa boss".Nikaitikia

Safari ilisonga hadi nnje ya duka kubwa la nguo huko sinza mie tena hata sikupata tabu kupajua kutokana na uzururaji wangu.

"Shuka nifuate".Boss alizungumza

Tuliongozana wote hadi ndani ya duka hilo si haba ni zuri haswa,nikajiona nipo Marekani mwenyewe🙌🙌na vile nimeshazoe mitumba ya bukubuku ilala aaaah hunambii kitu

"Mfuate huyo dada na umtii,boss alizungumza." Nami nilimfuata huyo dada kwa nyuma akaniingiza hadi ndani ya chumba hiko kikubwa halafu kina mapazia meusi

"Dada naomba usinibake wala kuniua mimi ni binti mtiifu tu hata kama umetumwa na boss naomba tafadhali usinifanyie hivyo mi nna familia".Nilijikuta najihami kila nikikumba nilivyoinamishwa naishiwa pawa uoga unazidi kunitawala

Yule dada akanisogelea karibu nikajikuta napiga yowee"mamamaaa yalaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!"

"Ni nini hiii??we unafanya nini kwenye biashara ya watu??" Si mwingine bali boss wangu alionekana akihema kwa kasi huhuhuhuhuhu

Nilivomuona tu boss,ukijumlisha hasira na jinsi nilivyopayuka nikamponyoka huyoo ,kilichoendelea sikijuii😁

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 03
SONGA NAYO

Njianj sasa akili yangu yote inawaza kuhusu kule kila nikiwaza nilivyoharibu naishiwa pawa🥲🥲"Hivi ushawahi kumpiga mwalimu na jiwe akakuona halafu kesho yake ukaanza kuwaza unaendaje shule??".Wahuni najua mnanielewa vizuri

Yaani njia nzima nipo kama taila nikajikuta natembea kwa mguu kutoka sinza hadi mchikichini ,sielewi nilifikaje ila ndo hivo nikafika kwenye chumba changu cha giza moja kwa moja nikalala maana ilikuwa jioni tayari sikukumbuka hata kubadilisha kachumbari yangu mie nkalala tu

Nakuja kushtuka kushakucha jamani mimi!!!!!😳😳itakuwaje sasa sijui nikoje jamani??ila kazi yenyewe nishaharibu acha tu niendelee na maisha yangu mbwa mimi

Basi nikajikongoja hadi kwa mamantilie hapo mchikichini nilipokuwa nafanya kazi mwanzo
Mama ashrafu shikamoo??
"Marhaba hujambo?"
"Sijambo mama nimekuja kusaidia vyombo"
"Karibu ila ile kazi yako vipi au ushamtongoza boss wako na wewe?"

Hee mama ashrafu hivi unaniona mimi ni wakutongoza kweli,kwanza boss mwenyewe wa kumtongoza yuko wapi?

"Ni mimi hapa,nifuate ".

😳😳Khee huyu nae kafuata nini hapa jamani,Mungu wangu sijui kasikia nilichoongea yelewiii nimeisha mie uwiiii
Nikapata wazo wakati boss anaelekea kwenye gari mie nikasimama huyoo nikaanza 🏃🏃haraka huku nayashika matako yangu kwa hofu ya kutatuliwa marinda

Wakati nakimbia nikashtukia nimeshikwa mkono ila nageuka nakutana na boss😳😳
"Boss nisamehe jamani nitunzie marinda yangu ,mimi baba na mama maskini ndomana naishi mchikichini boss marinda yangu."

" Nifuate."Boss alizungumza

Sikuwa na ujanja tena zaidi ya kumfata tu maana hata kama ningekimbia lazima angenikamata 😔marinda yangu jamani marinda yangu mimi

Nikapanda gari huku boss akiwa kakaa pembeni yangu ananitazama kwa hasira balaa😡mie nazidi kuogopa kila nikiwaza huyu anaonekana sio mzima anaweza nifanya lolote nabaki hoii

Safari iliishia nnje ya jumba kubwa jamani linaonekana kuwa ni kasri la malkia elizabeth,mara nikamuona boss anashuka ananifuata nilipokaa nyie mie nkazidi kuogopaa uwiii🥲🥲

"Shuka".alizungumza

Mie nikawa naogopa sana kila nikiwaza utekaji haramu kwenye tv kwenye haya majumba makubwa mie hoi jamani🙌🙌naogopa nikabaki nashangaa tu😳natetemeka kama jenereta bovu mwenzenu

"Mbebenj muingize ndani ,boss alozungumza".

Mara nikawaona vijana wawili wamejazia kama mudi mnyama wa harmonize wananifuata

"Boss natembea a natembe mwenyewe🥲🥲!!!!!!!!!!!!!!." Nilipayuka sijui sauti ilitoka wapi

Boss akageuka akanizoom kisha akaingia ndani,nikajikaza kutembea kama kobe nanyata huku nazoom mazingiraa,jamani kuna swimming pool ya kipepeo halafu ni ya kijani huku kuna wanyama kibao nyani,mbwa, kuku .

Nilivoingia ndani sasa😳😳😳yelewi ikabidi nisimame kwanza nishangae kumbe mbinguni ipo duniani??Nyie nyumba nzuri yaaniangekuwa mume wangu huyu🤗🤗🤗nikajikuta nachekacheka

"Bila shaka akili yako ina waza ngono,kaa hapa kuna kazi nimekuitia,boss alizungumza"

Nilikaa huku nikiwa naogopa moyo puuh puuuh boss mkali hata hacheki mmmmh

"Halafu sikujitambulisha mie mwenzenu naitwa JOYCE ADAM nimezaliwa Tanga ila wazazi wangu wote walifarikigi hivyo nikadandia magari ya mzigo hadi dar,kizuri nilisomaga hadi chuo ,nilivomaliza ndo yakajiri yalojiri hivo mi ni yatima na kwa sasa naishi mchikichini chumba cha mlango mbovu maana giza nimelizoea,ni hayo tu.

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 04
SONGA NAYO

"Nataka unifundishe kutanua ni muda sana sijatanua ndomana nimekuita hapa, boss alizungumza."

😳😳Kwanza nikashangaa jamani , kutanua?? Yaani mimi nimfundishe kutanua kivipi jamani natanuaje mbona ana balaa, niliniongelesha kisha nikasimama

"Sawa boss , niliitikia ". Ntafanyaje sasa nyumba kubwa sioni hata pa kutokea nini nifanye😔

"Pascal leta zile file nataka huyu anitanulie baadhi ya idea ". Kwanza unaitwa nani? Aliuliza.

"Joyce Adam , nilijibu."

Sawa, naitwa Erick

Hizi hapa boss, kijana mmoja alieonekana kuwa mlinzi wa boss Erick alifika na kumkabidhi file boss huyo

Boss erick alisimama na kuanza kuja upande niliokuwa nimekaa, nilibaki nikishangaa sana kwani sikuelewa nini lengo lake, alipofika karibu zaidi nilianza kurusi nyuma huku nikifumba macho kwa uoga.

"Siwezi kukufanyia kitu, ulivyomchafu na mdomo mweusi , em njoo hapa unitanuliea idea".

Ni kweli nna mdomo mweusi ila si mchafu ni maisha tu,nilijijibu kimoyomoyo kisha nkkamsogelea na kumsikiliza

Sijui nini kilijiri nilijikuta nimelala miguuni mwa boss giza likiwa limetanda nnje , nilikurupuka haraka haraka huku nikiangaza huku na kule, Nilinyanyuka na kutaka kutoroka haikuwa bahati yangu milango haikuwa wazi na sebleni palikuwa giza

"Utalala hapa leo kesho tutaongozana wote kazini sina muda wa kuja kukutafuta tena , boss alizungumza hayo kisha akarudi kulala kwenye kochi".Nilibaki nawaza sana amani sina kila nikiwaza kutatuliwa marinda, mwenzenu sio bikira ila marinda yangu nayapenda sina hela ya pampasi

Nilikaa macho hadi asubuhi ambapo boss akiamka na kunionesha chumba cha kujiandaa

"Fanyia mambo yako humu na iwe haraka".

Sawa boss niliitikia kisha nikaingia bafuni kuoga, nilipotoka nilikuta gauni nyeusi pamoja na heels, 😳😳Mungu wangu tangu nizaliwe sijawahi kuvaa hivi si ntachekesha mimi lakini😁ngoja nivae ntajua huko huko

Buana weeh nikatinga 😁viatu na kagauni buana🥰nikasogelea kioo anhaaaa nyieee butterfly mnazijuaa sile zinazokujaa ukijamba ushuzii zilee yaani kama unapaa ,mashallah jamani mie mzuri japo tako sina🤗

Wakati najiangalia na kujisifia kwa mbali nilisikia hatua za viatu zikiingia chumbani kwangu,sikujali niliendelea kujiangalia hapa na pale

Nifuate,aliongea boss ambaye alionekana kunitazama kwa muda ,nami nilimfuata kwa nyuma

Hio tembea sasa😁😁kama nna busha katikati ya mapaja nyie hivi viskuna vina watu wake buana sio mie😁

Nilijikaza hadi kwenye gari la boss ,tukaingia na safari ya kuelekea kazini ilianza,ilichukua muda mfupi tulifika ,nilianza kushuka mimi kisha nikamfungulia boss mlango

"Oooooh nimechoka embu nishikie hili koti kwanzA,".
Lakini boss ndani una vest tu sio proffesional kabisa nilizungumza

"Eti ehee kachumbari??😁😁alivojibu hivo ilinilazimu kukaa kimya kila nikiwaza nilivyo vaa juzi🙌🙌".

Anyway nipe ,angalau niwe tofauti,nikamkabidhi boss koti kisha safari ya kuingia ndani ikaanza

Wakati tunaingia macho yote ya wafanyakazi yapo kwangu,kila mtu anakenua kila akiangalia tembea yangu😁si wao tu 😁ni huzuni

Mara nikashtukia nimebebwa juu juu si mwingine bali boss,wafanyakazi wote wakawa wananing'ona
"Boss nishushe mbona hivyo lakini,kazini hapa"
Nilijaribu kujitetea lakini boss hakunielewa aliongozana na mimi hadi ofisini kwake kisha akafunga mlango na kuniweka kitini


Nnje wafanyakazi wanasikika wakiongea,"yaani huyo dada ni wazi tu analiwa na boss mtu hana mvuto wala nini awe secretary we unahisi nini kama sio kugawa mnato"

Upande wa ofisini tulikuwa mimi na boss ambapo kila mmoja wetu alikuwa akimuangakia mwenzake hasa boss Erick alizidi kunitazama kwa hasira nilijikuta nikitetemeka sana kwa uoga

" Nisamehe boss nisamehe sana boss sirudiii tena".Niliona isiwe soo ni heri nijishushe yaishe

Unalijua kosa lako mrembo??boss aliuliza.
Huku akitabasamu

Nilikaa kimya bila jibu la kumpatia kabisa

" Anyway uvae raba kwanzia kesho ".Boss alizungumza hayo kisha akatoka nnje ya ofisi nami nikamfuata

" Leila njoo mara moja,boss alizungumza huku akimnyooshea mkono binti aitwaye leila".

Abee boss.

Em geuka nyuma mara moja nipe 360°

Leila alizunguka huku akijichekesha chekesha ni wazi alikuwa akimtaka boss

" Una mchumba?au umeolewa?.Boss aliuliza

Ha.......hapana.

Kwanini huna mchumba hadi umri huo na ushaanza kuzeeka?boss aliuliza.

Bado namsubiri boss,leila alijibu

"Anyway pengine atakuja ila usiwaze kuwa na mimi hauna maajabu yoyote wala uzuri wa ajabu sijui unapataga wapi muda wa kuwakosoa wengine." Nenda kaendelee na kazi zako

Tuliongozana mimi na boss hadi kwenye kikao huku nikiwa natabasamu kila nikiwaza boss alivyonikingia kifua leo

Upande wa leila alionekana akilia na kujawa na hasira huku akila kiapo cha kunikomoa maana mimi ndo sababu ya yeye kukataliwa na boss😁

" Tulifika hadi sehemu kikao kinafanyika boss aliniamuru nikae pembeni yake kisha kikao kikaanza".

" Mauzo ya kampuni yameongezeka sana nj wazi tunahitaji kuboresha mbinu za mwanzo ili tuibuke vinara wa sekta hii.Alisema Kijana mmoja mtanashati alieonekana kuwa na cheo fulani".

" CEO Erick waweza kutoa maoni kwenye hili kama unaweza lakini?,yule kaka alimuuliza boss kwa dharau".

Nilimuangalia boss kwa macho ya uoga uoga ya kuibia ibia nikisubiri nini atajibu

" Kama utaweza kubananisha miguu yako hapo katikati na kufocus kwenye akili yako ya kichwani na si chini kampuni hii itazidi kuwa na mauzo".Boss alijibu

Watu wote walicheka sana ni wazi hakuna alieheshimu jibu lake.

"Nikimaanisha ili kampuni iende sawa zaidi ya kasi ya mwanzo , mbananisho wa ratiba , wafanyakazi na kila kitu kinatakiwa kiwe kwenye mpangilio unaoeleweka na mzuri, mfano muda muutumiao kucheka mnapaswa kuwa kazini".Am done boss alizungumza kisha akanyanyuka na kuondoka huku nikimfuata kwa nyuma

Wafanyakazi wote waliobaki kwenye kikao walionekana kuwa kimya huku kila mmoja akitafakari majibu aloyatoa boss

Nikiwa narudi ofisini na boss Erick nilijikuta nikiyatafari majibu yake aloyatoa japo jibu la kwanza lilinipa hatihati.

"Hivi boss una maana gani na kusema kichwa cha chini jibu lako la kwanza sikulielewa kabisa,niliuliza".

"Huwezi kulielewa kama unakichwa cha juu peke yake,mpuuzi kama Frank na wale wafuasi wake wengine wamenielewa ,by the way am their boss🤗.
Boss alizungumza hayo huku akiingia ofisini nami nilimfuata

" Inaonekana una uwezo mkubwa sana wa kusoma akili ya mtu, hivi ukiniangalia unahisi nawaza nini? Boss aliniuliza."

"Unawaza mafanikio ya kampuni, nilijibu kwa kujiamini".

Hapana. " Nawaza ngono".Boss alijibu

😳😳Ngono ??

Usishangae sana ,ni jambo la kawaida kwa binadamu wenye vichwa viwili mwilini mwao,puuzia hilo.

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 05
Siku zilisonga huku nikiwa nazidi kujifunza namna ya kuishi na boss wangu nakucopy tabia zake

Kama ilivyokawaida ilikuwa majira ya saa 11 na nusu ambapo nilifika nyumbani kwa boss mikocheni B, sikuwa mgeni mahali hapo nilimuandalia nguo pamoja na vifaa vyote avihitajivyo kazini kama saa na kila kitu

Baada ya dakika tano boss alitoka akiwa amekwisha vaa hivyo nikamsaidia kumuweka sawa kisha tukaongozana hadi kazini

"Una kikao na wafanyakazi saa saba mchana ni lazima uwasili nilizungumza".

Kitu cha lazima kwangu ni kupata mke wa kuoa kwa sasa si vikao , alijibu.

Lakini boss?

Nimekutouch enhee? Anyway nitahudhuria unikumbushe , alijibu kisha akaingia ofisini kwake

"Nikiwa ofisini nafanya mambo yangu iligonga kengele kutoka ofisini kwa boss ikiashiria kuniita". Haraka nilinyanyuka na kukimbilia ofisini humo

"Nimekumiss, Joy em kaa hapa kwanza tupige story mbili tatu, boss alizungumza". Sikubisha nilikaa kama ivyoniamuru.

Hivi msichana ukitolewa bikra huwa mnajisikiaje? Eti nambie joy?

Maumivu . Nilijibu kifupi.

Ohooo kumbe basi leo nilikuwa najifunza kuhusu hilo tukiachana na magari nna mpango wa kugundua kipako maalumu cha kupunguza maumivu hayo, boss alizungumza


Kwanza bikira ni nini? Ukiachana na jina la maria nyie mna nini hadi mnaitwa mabikira?
🤣🤣Kwanza ilinibidi nicheke maana nilivumilia nikachokaa

"Hivi boss unanitakia nini lakini na haya maswali mimi?" Niliuliza

Hapana nijibu tu , joy sasa kama si wewe ntamuuliza nani?

Okay, basi nikaanza kumuelezea hapo hadi nkachoka

"Anhaa kumbe ubikra ni ngozi? Ina maana mafuta yatafaa si ndio??"

Nilimuangalia boss😳😳halafu nikaondoka maswali yake ya kipuuzi yalinimaliza nguvu.


"Joy ina maana na wewe bado una hio ngozi? Nikiwa naondoka nilishangazwa na hilo swali" .

😳😳Jamani🙌maswali haya hapana jamani nikabaki naduwaa bila majibu kabisa

Okay inaonekana huna itakuwa rahisi sana kwangu sitaumia kama ulivyosema🤣🤣uwiii

All in all huyo ndo boss buana ana sasampa la kwendraa akitoka nnje serious balaa ilaaaaah🙌🙌😁

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 1 - 5



MWANZO

"Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo ofisi hio bado haikufunguliwa

"Sijui itakuwaje leo kampuni kubwa hili halafu tupo kibao sijui tutapata kazi jamani?? Jua kali hili mtaani pagumu hatarii, tutapata tu mahi hata usiwaze, hayo ni maongezi ya wadada wawili walioketi pembeni yangu"

Ni wazi nao walikuwa wakisubiri interview kama mimi tua, niliishia kuwaangalia kisha nikatabasamu mithili ya mtu mwenye akili timamu na mwenye kujiamini sana🙌kumbeee ni huzuniii

Ukiniangalia vyema nimekati huku miguu yangu nimeibana, kutokana na kutetemeka...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-1-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
MY CRAZY BOSS 06
MY CRAZY BOSS 06
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

864
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

759
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

697
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

594
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

548
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

444
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

261
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

229
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

211
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

170

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
@majario LIVE

Mh. Mie nikajituliza zangu kimyaa. Nishaambiwa mie sio mtamu. Kuma imepanuka nafanyaje sasa . Ila kama ndo kupanuka labda nilivyozaa ila sikuwa na wanaume kabisaa mimi. Yani mpaka nafikia umri...

REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest