Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
0742133100
Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🀣🀣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yaoπŸ˜„πŸ˜„Tristan ndo kabisa alilia machozi hawakutaka sisi tuondoke lakini ndo hivyo ilikuwa ni lazima kuondoka nisingekaa nao siku zote walitufanyia kisherehe kidogo pale nyumbani cha kutuaga waliyabariki mahusiano yangu na Hemed ❀‍πŸ”₯❀‍πŸ”₯ baada ya hapo tuliondoka pale nyumbani kwa kina Tristan tukaenda kulala hotel kwa ajiri ya kuianza safari ya kurudi USA siku iliyokuwa inafuatia, tulirudi USA rasmi nikaanza kuishi na Hemed nyumba moja kama mtu na mtuwe😹😹 paschal si yuko na lia basi namm acha niwe na Hemed muda wa kulia kulia huku mwenzangu anaenjoy hayo ni matumizi mabaya ya siku za kuishi Duniani hemed ananipenda sana lakini zaidi anampenda sana NiceπŸ”₯πŸ”₯tuliishi kwa furaha sana mimi na Hemed yani yule kaka ni mpole sana siyo mwanaume wa mambo mengi mimi nilikuwa naona utata kwenye dini tuπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ Hemed ni Muslim mimi ni msabato hakuna aliyekuwa tyr kubadiri dini ili kumfuata mwenzie nilimuomba yeye abadiri anifuate mimi lakini aliniomba et nilishapazoea huku mamangu kama hautojali we njoo tu huku namm sikuwa tayari kumfuata nishazoea usabatoni......kama vipi wacha tuendelee kuishi atakayenogewa zaidi atamfuata mwenzie......

Tuliendelea kuulea Ujauzito wangu hadi ukafikia miezi tisa nilibahatika kujifungua mtoto wa kiume alipewa jina la Shazil..... uuuw kweli hemed alikokojoa buana😹😹mtoto sura ni baba mtupu yani mzee baba hata hakuwa na wasi mambo ya DNA kwetu hayakuwa na nafasi..... shazil ndo mtoto wa kwanza kwa Hemed ile furaha aliyoipata yule mwanaume angekuwa na uwezo wa kunihonga dunia basi angenipatia😹😹😹 alininunulia gari la kifahari kama lile la liaπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ alininunulia simu Kali sana ya I phone😍😍 akaniwekea na pesa za kutosha Bank kwenye account yangu alinimilikisha nusu ya Mali zake aliniambia yuko tyr kuitoa hata roho yake kwa ajiri yangu ilimradi tu furaha yangu itimie kila siku hemed alinifanya nienjoy upendo kwake nilienjoy sana..... baada ya shazil kutimiza miezi mitatu my wenu nilirudi ofisini siyo kule ofisini kwa paschal ni sehemu tofauti kabisa na nilijua kung'ara siyo kitoto jamani nilipendeza hadi kero kishepu changu kilirudi mahara pake😹😹 siku moja mchana ilikuwa ni weekend siku hiyo sikwenda kazini niliamua kufunga safari hadi nyumbani kwa paschal nilifika pale nikaegesha ndinga yangu pembeni nikatelemka nilienda nikabonyeza kengere ya getin then nilirudi pale kwenye gari langu nikawa najisnap huku nikiwa nasubilia kufunguliwa geit..... baada ya muda mchache nilifunguliwa geit aliyenifungulia geit alikuwa ni mlinzi ni tofauti kabisa na yule aliyekuwepo mwanzo kipindi bado nikiwa nakaa hapo......

Hi miss beautifulπŸ€ͺπŸ€ͺ nikusaidie neneπŸ˜‹πŸ˜‹?! Aliniuliza yule mlinzi mmmhh alionekana ni kijana wa ovyo sana vile tu alivyonikaribisha huku akiwa ananikonyeza alionekana ni wa ovyo kupita kiasi..... umependeza sana mrembo vipi naweza kupata namba yako?! Aliendelea kuniongelesha yule mlinzi wa ovyo nami nilikuwa busy kubadirisha mapouzi ili niendelee kujiselfie..... hi πŸ‘‹ handsome I'm pipi you can call me miss pendo😜😜 wow pipiπŸ˜‹πŸ˜‹ you are very beautiful I like your sexyfigure and your beautiful face your very sexy missπŸ₯°πŸ₯° oh boy😜 thank youπŸ€ͺπŸ€ͺ hey miss can I get your number😍😍 oh boy I'm not your type I'm your boss's wife so jus call me madame boss😎😎 oh no miss please jus give me your number πŸ˜‰πŸ˜‰ yule kijana wa ovyo aliendelea kuniomba namba yangu nilimsogelea sikioni kwake nikamnong'oneza kwa sauti ya chini nilimwambia kula tu kwa macho au utafute wa hadhi yako nilimpita nikatembea kuelekea kule geitini...... niliingia kule ndani ya geit nilikutana na jibwa kubwa jeusi nilitimka mbio🀣🀣🀣 nilienda shikia break ndani ya gari yule mlinzi alichekaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† aliniuliza hey madame boss inakuwaje hata mbwa wako wanakubwekea hii inadhihirisha wazi kwamba wewe siyo mwenyeji katika huu mji.......

Nilichokifanya nilichukua cm yangu nikamuonesha yule mlinzi picha zangu za harusi nikiwa na paschal alionesha kushtuka..... kheee😳😳 na yule aliyeko ndani ni nani?! At ndaniπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ so unamaanisha kuwa huko ndani kuna mwanamke mwingine?! Hapana madame boss ni ulimi tu ndo umeniteleza😁😁 nilichanganua akili yangu haraka nikawaza au paschal yuko na lia huko ndaniπŸ™ŠπŸ™Š nilichokifanya nilicheza na udhaifu wa yule mlinzi..... yule mlinzi tayari alikuwa ameshaingia tamaa ya kunitamani niliutumilia ule ule udhaifu wake wa yeye kunitamani mimi nilichokifanya sasa nilimpatia namba yangu kisha nikamuahidi kuwa nitampatia nafasi siku moja autumie mwili wangu alilainika alinimwagia siri ya kambi ya kwamba paschal huko ndani yuko na lia na penzi Lao ni la motoooo...... nilimuomba aende akamfungie yule mbwa ili niweze kunyata kuingia kule ndani bila wao kunishtukia.... yule mlinzi alifanya kama nilivyomwelekeza baada ya hapo alikuja akaniambia tyr mbwa nishamfungia unaweza kuingia sasa kuwa makini tafadhari nakuomba usije ukaleta fujo huko ndani utasababisha wote tuwekwe hatiani nakuomba ujizuie kwa kile utakachokikuta huko ndani.....

Mwenzenu nilitembea huku nikiwa na kimuhe muhe cha kwenda kufumania😁😁 nilifika kule ndani nyumba ya paschal ni ghorofa nilifika sitting huku chini sikukuta mtu ikabidi nipande juu kwa kunyata kule juu nilikutana na maajabu😳😳 nilimkuta paschal na lia wakiwa wako uchi kwenye sofa sebleni wakiwa wanafanya mapenzi kwani niliweza kujizuia sasa niliwasogelea lia ndo alikuwa juu na walikuwa kwenye chorus hawakuweza kuachana kwa haraka nilimng'ata lia matakoni nikamtoa nyama🀣🀣🀣 hapo ndo wakashtuka kila mmoja akamuachia mwenzie😳😳 pendo you... ni mimi paschal kwa hiyo saiz hii nyumba umeigeuza gest siyo😑😑 no baby we can talkπŸ₯ΉπŸ₯Ή baby angalia mwanamke wako kaning'ata matako yangu ameniumiza et😭😭😭 lia please stop it ondoka hapa niache na mke wangu...... baby hupaswi kusema hivyo yeye ndo anatakiwa kuondoka atuache sisi nyie ila kalia cjy paschal alikalishaga niniπŸ˜†πŸ˜† paschal baada ya kuniona alikafokea lakini hakakuondoka kalipiga hadi magoti kumuomba paschal anifukuze mimi ili kenyewe kabakie😹😹 nilichukia nilitamani nimng'ate na lile tako la kulia😁😁 kalijaa damu nilikahurumia😹😹 kalitia huruma pale sebleni hapakuwepo na cha kuwapigia zaidi ya mito nilianza kuwapiga na mito🀣🀣 muda huo wote wako uchi nilitamani hata niyarecord lakini tyr paschal ni baba wa mtoto wangu sikuona umuhimu wowote wa kumfanyia vile😹😹😹 paschal alivaa nguo haraka akanivuta mkono akanifungia chumbani kisha akamuomba lia avae haraka haraka aondoke.......

Lia aliondoka kule ndani huku akiwa na jeraha kubwa matakoni kwake lakini baby unatakiwa kunipeleka hospital angalia huyo mwanamke kichaa alivyoniumiza😭😭😭 Lia I said get out of my house🫰 paschal alimtimua lia bila huruma yani baada ya mimi kumfumania paschal alipanic alichanganyikiwa Fulani hivi kichwani nilicheka tuπŸ˜…πŸ˜…nikajiuliza unachanganyikiwa kwa sababu nimekufumania na kimada wako vipi ukija kupata taarifa juu ya mtoto wangu wa pili ambaye nimezaa na mwanaume mwingine?!.....

Je nini kitafuata??

USIIKOSE SEASON YA MWISHO SEASON 04
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

0742133100
Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🀣🀣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yaoπŸ˜„πŸ˜„Tristan ndo kabisa alilia machozi hawakutaka sisi tuondoke lakini ndo hivyo ilikuwa ni lazima kuondoka nisingekaa nao siku zote walitufanyia kisherehe kidogo pale nyumbani cha kutuaga waliyabariki mahusiano yangu na Hemed ❀‍πŸ”₯❀‍πŸ”₯ baada ya hapo tuliondoka pale nyumbani kwa kina Tristan tukaenda kulala hotel kwa ajiri ya kuianza safari ya kurudi USA siku iliyokuwa inafuatia, tulirudi USA rasmi nikaanza kuishi na Hemed nyumba moja kama mtu na mtuwe😹😹 paschal si yuko na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-59-60

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

528
MIMI SIKUACHIπŸ₯°*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*

MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

399
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43

287
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜

189
REAL LOVE  Chapter 14

REAL LOVE Chapter 14

134
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

90

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.89K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.47K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.3K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.3K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🀣🀣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yaoπŸ˜„πŸ˜„Tristan ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
@majario LIVE

Nklimuangalia uyu mwanaume kwa hasira kisha nikamuuliza kwamba una maanisha nn wewe. Kwambia mm nikuache u.nifanye nyuma uniharibu. Akannbia sikia nikwambia mama. Kwani nani atajua kuwa mm na wewe tumefanya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 93 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 93
@majario LIVE

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto...

*MY WANGU❀️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❀️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,πŸ€”na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake πŸ€”na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.πŸ€” Niliwaza...

MY WANGU❀️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

PendoπŸ₯ΉπŸ₯Ή kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimiπŸ₯Ή haujui ni kwa kiasi gani...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest