Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni nikaanza kumbembeleza kwani ananyamaza sasa😌😌 nilibembeleza hadi nikanyanyua mikono juu mtoto aliendelea kulia anamtaka daddy yake cjy kilikuwa kinahisi Tristan ni babakeπŸ˜†πŸ˜† bahati nzuri chumba nilichopewa kiko jirani na chumba cha Tristan alivyopita kuelekea chumbani kwake si ndo akazisikia kelele za nice akajanigongea nilimfungulia nice alivyomuona tu akanyamaza Tristan alimbeba nice akaanza kumuimbia nyimbo...... hahahaaa ucjali naweza nikaenda tu kulala naye chumbani kwangu we pumzika tu aliniambia Tristan...... mmmhhh😎😎 akalale na kitoto changu chumbani kitoto chenyewe mashallah hiko asije niharibia mtoto kwanza sijamjua vizuri asijekuwa ni kijana wa ovyo🀣🀣🀣 hapana Tristan lbda unisaidie tu kumnyamazisha then nitalala naye tu.....

Tulitoka tukaelekea sitting room kwa sababu ya nice tu🀣🀣🀣 tulienda zetu kukaa sitting room kwa ajiri ya kumbembeleza yule mtoto hivi mnajua hadi nilianza kuhisi huenda ni mizimu ya kwao na paschal ndo imemuingilia mtoto inataka nimrudishe nyumbaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† tulikaa pale sitting tukakabembeleza huku tukiwa tunaangalia movie hadi kakasinzia nilimpeleka chumbani nikamlaza namm nikajilaza kichwani kwangu nilikuwa nawaza vitu vingi sana nimtafute hemed nimpatie taarifa za ujauzito au nifanyeje mungu wangu duh aibu gani hii hivi paschal akija kujua kuwa mimi ni mjamzito atanielewa kweli😟😟 hivi ndoa yangu si ndo inaenda kufa kwa namna hiyoπŸ€”πŸ€”..

Usingizi ulinipitia nilikuja shtuka asubuhi mama Elizabeth aliniomba nibakie nyumbani kwanza hadi pale hali yangu itakapokaa sawa yeye aliondoka kwenda ofisini mme wake naye alitoka kuelekea ofisini kwake mtu wa mwisho kutoka alikuwa ni Tristan kabla hajaondoka alikuja nigongea mlango alitaka tu kunijulia hali mimi pamoja na mtoto tulijuliana hali baada ya hapo aliniomba tuwe marafiki.....if you don't mind 😊😊 I hope we can be friends 🫰🫰 it's okay Tristan we can beπŸ₯°πŸ₯°..... alinishikuru kwa kumkubalia ombi lake la sisi kuwa marafiki aliniomba namba yangu ya simu nikampatia aliniambia raha ya urafiki ni kuwekana wazi kwa kila kitu yani natamani tuwe matafiki huru ambao hatutofichana kitu chochote kile...... pendo ukiwa na changamoto yoyote ile usiache kuniambia iwe ni ya kifedha au kiushauri niko hapa nitakusaidia..... ni sawa Tristan asanteπŸ™πŸ™ ni sawa pendo basi utampa nice salam zangu wacha mimi niwahi ofisini...... okay πŸ‘ nakutakia kazi njema my Best friendπŸ«‚.......

Urafiki wangu na Tristan ulikuwa kwa kasi sana tulizoeana kwa kiasi kikubwa sana ukaribu wetu uliwafanya wazazi wa Tristan kutuhisi kuwa sisi ni wapenzi hahahaaa lakini cha ajabu ni kwamba Tristan hajawahi hata kunionyesha darili za kunitongoza zaidi ya kuniletea vizawadi vya hapa na pale tuvitu tuchachu chachu si mnajua mtu ukiwa mjamzito eh🀣🀣 jamaa alijua kunifaa yule alifit kila kona kama baba kija vile alivyokuwa akinicare🀣🀣kila weekend ilikuwa ni siku yetu kutoka kwenda kuenjoy mimi Tristan pamoja na mwanangu nice Tristan hakuishia hapo tu hata siku ya kwanza nilipoenda clinic yeye ndo alinisindikiza yani ilifikia hatua mida yake ya kutoka kazini ikifika mimi naenda mngoja getini🫰🫰 Tristan aliyabadirisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana mambo ya mastress hayakuwa na nafasi tena kwenye maisha yangu alikuwaga anapenda kuniambia tabasamu mwenye kuhukumu ni Mungu pekee usijekosa kutabasamu kwa sababu ya kuzihofia hukumu za wanadamu kwa mungu hakuna mkamilifu ukitambua kosa lako tubu enenda katika njia nzuri impasayo mungu wako..... niliendelea kula bata na BFF wangu nitake nini nisipewe..... nitake kwenda wapi nisipelekwe😜😜 nitake kula nini nisiletewe kazini alikuwa ananipeleka yeye asubuhi jioni aliniwekea usafiri wa kinirudisha kwa sababu yeye alikuwa anachelewa kidogo kutoka kwenye shughuri zake....... maisha yaliendelea ujauzito wangu ulifika miezi saba na mwanangu nice alikuwa kakuwa kuwa tena alipendeza jamani mom Elizabeth alijua kumlea yule mtoto aliuvaa uhusika wa ubibi kwa mtoto wangu katoto kalinawili kale🫰🫰 sema ndo vile tena alizoea kumuita Tristan daddy🀣🀣ni kwa sababu huyo ndo baba aliyekuwa akimuona karibu yake kila siku.....

My wenu kiujauzito kilivyofika miezi saba nikasema hebu nimtafute baba kijacho ambaye ni Mr Hemed nimpatie taarifa mapema kabla cjachelewa kwenye kujifungua huwa ni kuweka roho mkononi ni bora nimtafute mhusika ili awe na taarifa ya kile kilichozalishwa na kile kitendo tulichokifanya siku ile kule kilimanjaro hotel..... nampatia wapi ndo mtihani😌😌 sina namba yake kichwani wala kwenye notebook nirudi zanzibar kule nyumbani kwake nikamtafutekoπŸ€”πŸ€” au niende kumtafutia USA...... niliwaza kichwani ningali bado naendelea kuwaza juu ya swala hilo simu yangu iliita alinipigia BFF Tristan nilipokea hello BFF 😜😜 hello my pipi Tristan anapendaga kuniita pipi🀣 alinijulia hali aliniambia nimekumis kapipi kangu nimekumis pia potato wangu😜😜 alikuwa akinitaarifu tu kuwa atachelewa kurudi nyumbani kwa sababu kule ofisini kwake kuna kazi za muhimu ambazo ni za lazima alitakiwa kuzimaliza usiku ule kwa sababu kesho yake ilikuwa ni weekend haingii ofisini na siku inayofuatia alikuwa na safari..... safari tena my BFF so utaniacha nikae bored peke yanguπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ nop nimepanga kuondoka na wewe..... wow ni safari ya wapi vile😜😜 tunaenda USA my pipi naenda kumuona mchumba wangu kitty nimemkumbuka et itakuwa poa kama nitakupeleka na wewe uende ukamuone....... wow πŸ‘Œ πŸ‘ hii imekaa poa sana my potato T hebu wacha nianze kujiandaa kwa ajiri ya safari 🫰🫰🫰 yani potato wangu Tristan alipita mulemule 🫰🫰 safari ya USA ninakwenda kutafuta baba kija wangu ambaye ni hemed nilipanga pia kumtembelea Mr paschal kwa mbali ili nijue yuaendeleaje😎😎.....

Safari yamimi na potato T wangu kutokea ufaransa kuelekea USA iliwadia nice nilimuacha na bibi yake mom Elizabeth pamoja na babu yake mzee philipe wanampenda yule mtoto🀣 USA tulifikia nyumbani kwa Tristan ana nyumba huko USA anaishimo kitty mchumba wake kitty ni mwanafunzi wa chuo kikuu mjini Los Angeles..... tulifika usiku tukapokelewa na kitty ni mrembo sana mkarimu mpaka raha vile wanapendana sasaπŸ₯ΉπŸ₯Ή walinikumbusha mbali enzi zangu mimi na boo wangu kabla upepo wa kisurisuri haujayavuruga mapenzi yetu..... baada ya dinner nilikwenda kulala nikawaacha wapendanao wale wapate muda wa kutoana upwilu wa muda mrefu mie nilienda kupambana na hali yangu chumbani peke yangu🀣 na lile baridi la USA unaweza kubaka mtu🀣🀣🀣 sikumwambia Tristan kama nina jambo langu lililonipeleka USA yeye alijua tu kuwa nimeenda kumuona bebe wake lakini mimi nilienda kumuona bebe wangu pia🀣🀣 kesho yake mapema baada ya chai nilianza safari ya siri kuelekea nyumbani kwa Hemed.......


Itaendeleaaaa.............
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜


Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni nikaanza kumbembeleza kwani ananyamaza sasa😌😌 nilibembeleza hadi nikanyanyua mikono juu mtoto aliendelea kulia anamtaka daddy yake cjy kilikuwa kinahisi Tristan ni babakeπŸ˜†πŸ˜† bahati nzuri chumba nilichopewa kiko jirani na chumba cha Tristan alivyopita kuelekea chumbani kwake si ndo akazisikia kelele za nice akajanigongea nilimfungulia nice alivyomuona tu akanyamaza Tristan alimbeba nice akaanza kumuimbia nyimbo...... hahahaaa ucjali naweza nikaenda tu kulala naye chumbani kwangu we pumzika tu aliniambia Tristan...... mmmhhh😎😎...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-53-54

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 78

MY WANGU❀️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80

563
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜

545
MY WANGU❀️ sehemu ya 81

MY WANGU❀️ sehemu ya 81

525
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

385
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

330
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

232
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

121
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.28K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.28K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎢🎢from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎢🎢"" ""🎢🎢from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest