Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilipokea lile box huku mikono yangu ikiwa inatetemeka sana isijekuwa talaka kabla ya ndoa😌😌 Isabella baada ya kunipatia kile kijibox yeye aliniaga akaondoka nilikichunguza kile kibox kilikuwa na mwonekano mzuri sana kwa nje nilitamani sana kukifahamu kitu kilichokuwepo ndani ya kile kibox nilijiandaa kwa lolote au chochote nitakachokikuta kule ndani...... yarabii nampenda et naomba huku ndani kuwepo na kheri na siyo shariπŸ™πŸ™uuww nilijikuta nasali kwanza kabla ya kufungua zile vitu....baada ya kukifungua kile kibox nilikutana na banio la nywele..... bangili za mkononi mkufu wa kuvaa shingoni yani ni kibox kilichokuwa kimeshehen mapambo mazuri kwa ajiri ya bibi harusi.......hivi vitu ni kwa ajiri ya kuvaa kwenye siku ya ndoa yangu lakini kweli ndo niletewe na Isabella πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ nilivikagua ni vizuri mno nakumbuka nilivichaguaga mimi mwenyewe vikaagizwa nje ya nchi nilitamani paschal ndo angenipatia vile vitu kwa upendo na mapenzi ya dhati lakini ni kwanini kamtuma binti wa kazi yeye ndo aniletee πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ hivyo ndo vitu pekee tulivyokuwa tukivisubilia vitu vingine vyote tulikujaga navyo kutokea USA.....

Usiku ule nilijiandaa kikubwa ili niweze kuutafuta msamaha kwa boo wanguπŸ™ˆπŸ™ˆ nilikoga kwa sabuni nzuri ya kunukia baada ya hapo nilivaa kinguo chepesi kinachouchora mwili wangu nilitelemka chini kwenda kumpatia mme wangu chakula.... nilimpakulia chakula kwa heshima baada ya hapo nilimpelekea pale alipokuwa amekaaπŸ™ˆπŸ™ˆ nilimpigia magoti chini nilimwambia mme wangu nakuomba unisamehe🧎🧎alininyanyua pale chini aliniambia hujanikosea chochote pendo be free huo ni mwili wako unaweza kumtunuku yeyote yule unayejisikia kumzawadia ..... paschal alinyanyuka pale akaanza kuondoka niliung'ang'ania mguu wake huku nikiwa nalia😌😌 aligeuka akaniangalia kwa hasira yani paschal huwa ana hasira sana na akichukia huwa siyo mwepesi wa kusamehe haraka.... pendo stop this nonsense🀨🀨 aliniambia huku akiwa ananitoa mikono yangu mguuni kwake...... alinitoa kisha akapandaa juu chumbani nilimfuata hukohuko paschal alibadiri nguo akavaa nguo za kulalia alijilaza kitandani nilipanda kitandani nikaanza kumtomasa😌😌 maskini nilimshika shika hadi akadindishaπŸ™ˆπŸ™ˆ ilisimama wimaπŸ™ˆπŸ™ˆ aliniangaliaπŸ™„ sikuacha niliendelea kuitomasa dudu yake paschal alishindwa kuvumilia aliamka pale kitandani akawa amekaa nilimsogelea nikamwambia naomba unisamehe boo wangu I'm sorry πŸ˜žπŸ˜” alinitizama tu hakunijibu kitu alisimama akaelekea kabatini alitoa shuka akaenda kulala chumbani kwa wageni nilimfuta hukohuko chumbani kwa wageni nilitamani anitie kwa sababu hiko ndo kitu pekee ambacho kingemfanya paschal aweze kunipa msamaha .....

Boo hakutaka kufanya mapenzi na mimi uume wake ulikuwa umesimama sana nilimuomba aniduu hata kidogo tu lakini paschal alijilaza kitandani akailalia jogoo yake hakutaka ata niendelee kumgusa gusa aliniomba nimpishe alale nilimuomba anipe tamu nilikivua kile kinguo nilichokuwa nacho nikakiweka pembeni nilibakia uchi bila nguo yoyote mwilini kwanguπŸ™ˆ nilijisogeza pale karibu na paschal nilimtoa ile shuka aliyokuwa kajifunika nikaiweka pembeni nilimlalia kwa juu nikaanza kujisugua sugua mwilini kwake paschal aliniomba niache hicho ninachokifanya nilimbembeleza sanaaa lakini hakuwa tyr kusex namm duh au ndo alikuwa ananionea kinyaa🀨🀨aliamka pale kitandani aliniomba nitoke kule chumbani niliimpigia hadi magoti🧎 kwa jinsi mboo yake ilivyokuwa imesimama jamaniπŸ™„πŸ™„sikutaka ilale bila kunigusa boo alinikatalia aliniambia siwezi kukufanya hivyo pendo siwezi aliongea kwa maumivu hadi machozi et nilimuomba ata kiss tu hakuninyima alinipa mate alikuwa na hisia Kali sana lakini alikataa kunitia tulipeana mate zaidi ya dkk 5 baada ya hapo alinishikilia mkono akanitoa kule chumbani alijifungia peke yake nilibakia pale nje ya mlango wa kile chumba cha wageni nilimsikia Paschal akiwa analia peke yake kule chumbani niliuegemea ule mlango wa kile chumba nikawa nalilia huku nje nayy analilia kule ndani aliniomba niende nikamwangalie mtoto wake kwa kuwa huyo pekee ndo kitu kinachomfanya yeye aendelee kunipatia nafasi nyingine ya kuendelea kubakia katika maisha yake......

Niliondoka pale mlangoni kwa paschal nilienda chumbani kwangu nilizichukua nguo zake nikauvisha mdoli baada ya hapo niliulaza pembeni yangu..... niliwaza hiyo ndoa tutakayoenda kuifunga bila kuwa na maelewano mazuri kati yetu itakuwa ndoa ya aina ganiπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ zilikuwa zimebakia siku tatu tu ndoa yetu iweze kufungwa.... wanafamilia wao waliendelea na shamra shamra za ndoa kama kawaida hawakujua kile kilichokuwa kinaendelea kati yetuπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ kesho yake asubuhi niliamka nikaoga baada ya hapo nilimbeba mtoto nikaenda kumgongea paschal kule chumbani alikolala nilienda na mtoto ili iwe rahisi kunifungulia..... baada ya kumsikia nice akiwa anaita thaa thaa thaa boo alifungua mlango haraka nikaingia kule chumbani maskin mme wanguπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimkuta kachafua mashukaπŸ™ˆπŸ™ˆ aliniomba nitoke ili asafishe kwanza kule chumbani nilimuita Isabella akambeba nice then mimi nilirudi kule chumbani kwa paschal nilimuomba anitie baby kwanini unateseka hivyo nami nipo hapa kwa ajiri yako nilijaribu kumshawsh lakini alikataa kufanya mapenzi na mimi..... nilizitoa zile shuka kitandani nikaenda zifua kwenye washing machine...... baada ya hapo niikisafisha kile chumba vizuri nilimuomba tuongee aliniuliza maongezi juu ya nini nilimwambia ni juu ya sisiπŸ˜”πŸ˜” aliniruhusu niongee niliendelea kukazia ule uongo wangu wa kwamba sijawahi kumsaliti alinyamaza hakunijibu kiti.... aliniomba niongee vitu vingine niachane na hayo mambo ya usaliti...... nilimuuliza kama ndoa ipo au laaπŸ˜”πŸ˜”

Aliniangalia sana then aliniambia haiepukiki hiyo wacha ipite kama ilivyopangwa....... aliniomba nirudi nyumbani kwetu kwa ajiri ya kwenda kujiandaa na ndoa kwetu walimpigia boo simu wakamwambia kuwa ninatakiwa kurudi kule nyumbani.....niliondoka pale kwa paschal alitupeleka hadi nyumbani kwetu pale akatuacha yeye akaondoka zake..... niliwaza huyu asijenidharilisha siku ya ndoa akaachajitokeza kanisani😟😟.... pale nyumbani palikuwepo shamra shamra la kufa mtu lakini mie wala sikuwa hata na furaha..... nilianza kuandaliwa kwa ajiri ya send off hapo kesho.... nilitindwa nyusi nilifanyiwa scrub ya mwili mzima nilitengenezwa kucha na nywele baada ya hapo nilikwenda kupumzika kesho yake siku ya send off walikuja ndugu kutoka kiumen walileta na vitu vilivyotakiwa kutoka kule kwao...... lilifanyika serehe la kufunga mtaa kule nyumban kwetu..... watu walikuja ni wengi sana kulidamshi sana kwa kweli..... baada ya send off sasa tulikaa kusubilia ndoa......nilikuwa naingiwa na hofu sana juu ya ndoa tuliyokuwa tunaenda kuifunga na ilihali tuko katika taharuki nzito sana... huyu paschal atajitokeza kanisani kweli πŸ€”πŸ€” isijekuwa anataka kunilipizia kwa namna hiyo 🀨🀨....


Itaendeleaaaa. ........
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜


Nilipokea lile box huku mikono yangu ikiwa inatetemeka sana isijekuwa talaka kabla ya ndoa😌😌 Isabella baada ya kunipatia kile kijibox yeye aliniaga akaondoka nilikichunguza kile kibox kilikuwa na mwonekano mzuri sana kwa nje nilitamani sana kukifahamu kitu kilichokuwepo ndani ya kile kibox nilijiandaa kwa lolote au chochote nitakachokikuta kule ndani...... yarabii nampenda et naomba huku ndani kuwepo na kheri na siyo shariπŸ™πŸ™uuww nilijikuta nasali kwanza kabla ya kufungua zile vitu....baada ya kukifungua kile kibox nilikutana na banio la nywele..... bangili za mkononi mkufu wa kuvaa shingoni yani ni kibox kilichokuwa kimeshehen mapambo mazuri kwa ajiri ya bibi harusi.......hivi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-49

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75

735
MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77

MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77

664
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜

548
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜

359
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya  28 na 29

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 28 na 29

227
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*

216
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜

200
REAL LOVE*  Chapter 8

REAL LOVE* Chapter 8

133
REAL LOVE* Chapter 9

REAL LOVE* Chapter 9

102
REAL LOVE*  Chapter 10

REAL LOVE* Chapter 10

46

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.82K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.66K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.04K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.28K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.28K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎢🎢from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎢🎢"" ""🎢🎢from the moment you spoke my...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya  28 na 29 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Basi bwana mie nikalidi kwangu. Ila.sikuwa sawa yani ile kuvishwa pete ina maana anaolewa . Ina maana inakuwaje hii. Aseeeee sikuwa naelewa ni wivu au ni nini ndo kinanisumbua ila...

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO* Post Mpya
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*
@majario LIVE

*SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA* Basi bwana mie nikamuoa fatuma na nilikaa nae nyumbani kama weeek. Kwa uo mda lemi ye alinishanitangulia . Yani alishaondoka baada ya mimi kuoa tu....

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Nilipokea lile box huku mikono yangu ikiwa inatetemeka sana isijekuwa talaka kabla ya ndoa😌😌 Isabella baada ya kunipatia kile kijibox yeye aliniaga akaondoka nilikichunguza kile kibox kilikuwa na mwonekano...

REAL LOVE* Chapter 9 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 9
@majario LIVE

upande mwingine nyumbani kwa mama seven familia mbili zote zilikutana familia ya cathe na seven, wote walikuwa kwenye sintofaham familia ya cathe hawakuamini kabisa kama mtoto wao anaweza mufanya hivo, walikaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77
@majario LIVE

Kweli bwana .baada ya week mbili .mlige alikuja nyunbani kuongea na baba. Sielewi ata waliongea nn. Ila ilikuw ni kumuelezea baba kuwa kanipenda na anahitaji kunitolea barua ili nikimaliza chuo...

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuvaaa. Akanipa vidonge viwili et meza jana nimepitiwa nimemwagia ndani. Na kweli game ya jana ilikuwa moto. Mlige hakukumbuka kumwagia njeee kabisa mabao mengine. Mie nikawa nishaelewa. Ni...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Ilifika usiku mida kama ya saa nne hivi nilikuwa bado cjaweka kitu chochote tumboni kwangu bado nilikuwa nimejifungia chumbani kwangu nalia tu..... Boo alikuwa bado hapokei simu ya mtu yeyote........

REAL LOVE*  Chapter 8 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 8
@majario LIVE

machozi yalimtoka kwelikweli daktari alimuonea sana huruma, seven aliliona hilo lakini ndo hakuwa na jinsi aliwaza sana afanye nini ili aeleweke kwa binti huyo, daktari alimaliza kumpima kisha akampa pole fahima...

πŸ˜‹πŸ˜‹KIJIJI CHA UTAMUπŸ˜‹πŸ˜‹  Sehemu ya 10 Post Mpya
πŸ˜‹πŸ˜‹KIJIJI CHA UTAMUπŸ˜‹πŸ˜‹ Sehemu ya 10
@majario LIVE

(πŸ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Kumbe bibi nacho alikuwa amewafungia wale wali walipojaribu kutoka walishindwa. " Jamani mlango umefungwa ila si yupo na mlinzi...

REAL LOVE* Chapter 7 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 7
@majario LIVE

seven alihisi kufa hakuamini kabisaaa kama yeye ndo amefanya kitendo kile hapana sio mimi mimi sio kabisa najijuwa ni mstaarabu siwezikufanya hivi sijui huyu binti kamleta nani hapa mungu wangu mimi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest