Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ilifika usiku mida kama ya saa nne hivi nilikuwa bado cjaweka kitu chochote tumboni kwangu bado nilikuwa nimejifungia chumbani kwangu nalia tu..... Boo alikuwa bado hapokei simu ya mtu yeyote..... muda ulizidi kwenda kutokana na njaa ya muda mrefu na ile kazi ya jana usikuπŸ˜”πŸ˜” kama mnavyojua kila mwanaume ana namna yake ya kumtia mwanamkeπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ mikunjo ya Hemed ni tofauti kabisa na mikunjo ya Paschal....na alijua kunikamua siyo kidogo😟😟 nilikuwa na siku nyingi nyingi cjashiriki na boo tangia kipindi kile nilicho msukumaga bathroom akaenda hospital akatoka hadi tunasafiri kuelekea Tanzania hatukuwahi kunyanduana sanasana ilikuwa ni mapenzi ya makiss tu na kama nilivyotangulia kuwambia kuwa ilifikiaga kipindi nikapunguza kabisa mapenzi kwa paschal yani muda mwingi nilikuwa natamani tu kuwa na Hemed kipindi hicho hata mapenzi nilikuwa namnyima paschal muda ambao alikuwa akinihitaji tuwe pamoja mimi nilijidai niko busy kumhudumia mtoto..... yani tulijikuta tunamaliza miezi almost miwili na mawiki bila kupeana utamu thas why nilivyoenda kwa Hemed mwili wangu ulikuwa na upwilu wa kutosha na Hemed naye alikuwa the same na mimi yani tulikamuana hadi vikojoleo vikawaka moto...... nilianza kupata uchovu wa mwili usiku ule kiuno mapajani miguuni vile nilikuwa naikatikia inama inuka kulia kushoto viungo vyote vya mwili vilianza kuniuma ......

Sikutaka hata kunywa dawa niliacha niendelee kuumia vilevile ili iwe kama adhabu kwangu...... kadri muda ulivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbayaπŸ˜­πŸ™†β€β™€οΈ kilianza kuja kihoma cha serious..... nilianza kutetemeka mwili mzima mmmhhh njaa nayo ilikuwa inanipeleka lakini ndo hivyo hamu ya chakula hakuna nawaza ujinga nilioufanya nimemuumiza mwanaume wangu nimemsalitπŸ₯ΉπŸ₯Ή niliendelea kutaabika kule chumbani ilifikia hatua hali ikawa mbaya zaidi sikujua tena kilichonikuta ila nilikuja zinduka nikiwa aga khan hospital πŸ₯²πŸ₯² nilizinduka nikakuta nimetundikiwa drip la maji pembeni yangu alikuwepo paschal nilipoamka tu nilianza kumiminikwa na machozi paschal alinigeukia akanifuta yale machozi baada ya hapo alitoka akaenda kumuita doctor nilifanyiwa vipimo pale doctor alishauri nipatiwe kwanza chakula then ndo nipewe dawa tatizo ilikuwa ni kukaa njaa muda mrefu na msongo wa mawazo..... paschal alikwenda akaniletea chakula matunda pamoja na maji.....aliniomba niamke nile nilitaka kuomba samahani kwa sababu ya zile lovebite lakini aliniziba mdomo🀫🀫🀫 kula..... aliniambia hivyo...... nilinawa nikaanza kula kile chakula kilikuwa kinanikabaa😌😌😌khee ni kama vile nacho kilichukizwa na kitendo nilichokifanya et☺️☺️ nilijilazimisha tu hivyohivyo nikala na matunda baada ya muda nilikunywa maji nikanywa na dawa nikakaa kupumzika paschal alikuwa hataki hata kunitizama alionekana mwenye mawazo sana🀨🀨

Nilijilalia zangu pale kitandani huku nikiwa nabubujikwa na machozi kuna vile ukiwa unalia zako taratibu linakuja kwikwi linakuvamiaπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ nilivamiwa na kwikwi zito lile 🀨🀨nikaanza lia bila kujizuia khee mzee baba si ndo akanishtukiaπŸ™„πŸ™„ kuna shida gani pendoπŸ€·β€β™‚οΈ why unalia?! Vipi kichwa kinakuuma aliniuliza huku akiwa anaiweka simu yake mfukoni then alinishika mikono yangu niliyokuwa nimeiziba machoni kwangu kukingia machozi...... alinifuta yale machozi then akaniuliza unataka nini mamangu au unataka kwenda kwa mwanaume wako?!.... yani baada ya boo kuniambia hivyo nilihisi ni kama nimepigwa na kitu kizito kichwani😝😝😝 yani ni kama vile Alinigongelea msumari wa moto🀨🀨 nilinyamaza kimyaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ boo alirudi kwenye kiti akaket aliitoa simu yake mfukoni akaendelea na mambo yake...... ukihitaji chochote usije ukaacha kuniambia that's why niko hapa kando yako.... aliniambia huku akiwa anaendelea kuichezea simu yake...... ilifika mida ya mchana saa nane tukaruhusiwa kutoka kule hospital tuliondoka kuelekea nyumbani yani sikuwa na amani nilijutia hadi nikatamani kunywa sumu jamani usiombe ukafanya kosa kama hilo alf mwanaume akakukamata na vithibitisho vyoteπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ......

Njia nzima boo alidrive kimya kimya hapakuwepo na maongezi yoyote yale paschal muda wote alikuwa yuko tu busy na mambo yake hakuwa tena na ule ukaribu na mimiπŸ˜”πŸ˜” pole sana madame vipi hali yako kwa sasa?! Aliniuliza Isabella baada ya kuwa tumeshafika nyumbani..... nilimpokea mtoto kisha nikamjibu Isabella nilimwambia niko sawa najisikia nafuu sasa lakini cjy hata ni nini kilichonitokeaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ Isabella alinielezea kile kilichonitokea jana usiku aliniambia usiku nilimsikia nice akiwa analia sana nilikuja chumbani kwako nikagonga sana mlango lakini haukufungua nilishindwa kuvumilia kwa sababu mtoto alizidi kulia kwa sauti ya juu sana ilinibidi niingie chumbani kwako nilimkuta nice amekaa pembeni yako tu huku akiwa analia alikuwa anahangaika kutoa nyonyo lakini ulikuwa umelala kifudifudi nahisi hiyo ndo iliyokuwa inazidi kumtia hasira akawa anaendelea kupaza sauti na kulia kwa nguvu nilikuamsha nikakutikisa tikisa lakini wala haukuamka nilijaribu kukutizama vizuri ndipo nilipogundua kuwa tyr ulikuwa umeshazirah nilichanganyikiwa nikajikuta na mimi nimeanza kuliaπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimbeba nice mgongoni kisha nikaenda kuchukua simu yangu nikampigia boss paschal simu nilipiga mno akawa hapokei nilimwandikia ujumbe kuwa umepoteza fahamu chumbani kwako ndipo aliponipigia nikaongea naye aliniuliza kilichotokea nikamwelezea ndo akaja huo usiku akakubeba ukiwa haujitambui akakupeleka hospital. ..... nilimshukuru sana Isabella kwa moyo wake wa upendo na kwa msaada alionipatia.......

Nilikaa nikamnyonyesha mwanangu baada ya hapo nilimshusha pale kwenye bembea akawa anajichezea zake mie nikaelekea ndani..... nilimkuta boo yuko sitting room na laptop yake niliingia jikoni nikamchukulia juice nikamletea aliipokea akaniambia asante..... aliiweka pembeni ile juice akaendelea na mambo yake imagine nilipanda juu nikakoga nikamaliza nikajipumzikia zangu baada ya muda nilishuka chini kwa ajiri ya kwenda kumwandalia boo chakula nilijua ile juice now kaishaimaliza nimwandalie chakula cha kushiba.... nimefika pale sebleni nikapiga jicho pale alipo paschal alikuwa kasinzia palepale kwenye kochi hata ile juice hakuinywaπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilisogea pale nikamlaza vizuriπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ alionekana kuchoka sana nilitamani kumwamsha akajilaze chumbani lakini niliogopa🀨🀨 nilimlaza tu vizuri pale kwenye kochi nikamwekea mutoπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ baada ya hapo niliingia jikoni kumwandalia chakula nilipika msosi mtamu sana kwa ajiri yake nilipakua nikapeleka mezani nilimwamsha paschal nikamuuliza utakula ndo uoge au ukaoge kwanza ndo uje ule😟😟 hakunijibu kitu aliamka pale sebleni akapanda juu chumbani aliingia bafuni akaoga akabadiri nguo akaondoka kasusa hadi kulaπŸ₯ΉπŸ₯Ή niliumia nilijikuta nimemtukana hemed matusi ya kila rangi nilianza kumtupia lawama haya yote ni kwa sababu yakeπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ lakini hata mimi nina makosa ni kwanini nilimkubalia aniduuπŸ₯ΉπŸ˜”....

Nilipanda juu chumbani kwangu nikaliaπŸ₯ΉπŸ₯Ή niliichukua simu yangu nikamtumia boo msg nilimuuliza kwanini unanifanyia hivyo mme wanguπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή.... usisahau kunywa dawa fanya hivyo kwa ajiri ya mtoto wetu pamoja na huyo bwanako.... alinijibu hivyo jamani nilitamani kufa yani katika milima niliyowahi kukutana nayo duh ule nao ulikuwa ni mlima ambao nilikuwa najiuliza nitamaliza lini kuupandaπŸ€¦β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ majibu ya boo yalikuwa yananinyong'onyesha sana..... nilitamani siku zikimbie haraka ili hasira zake ziishe turudi kama zamani....kwenye simu yangu kule kuna namba ngeni niliikuta imenipigia sanaπŸ™„πŸ™„ mmhhh nani huyu asijekuwa hemed kiukweli sitaki tena ukaribu naye haya aliyonisababishia yanatoshaπŸ₯ΉπŸ₯Ή nikiwa naendelea kujishauri pale na moyo wangu ile namba ilipiga tena kwenye simu yangu niliiangalia sana sikupokea niliipotezea hiyo ilikuwa ni missed call ya 173 mmhhh ni nani huyu aliyepiga kiasi hiki πŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ hebu Acha nimpokee lakini kama ni hemed siwezi kuongea naye chochote☺️ ile namba ilipiga tena ilinibidi tu nipokee baada ya kuipokea ile simu ilisikika sauti ya hemed akiwa ananilalamikia sana kwa sababu ya kuziweka namba zake zote blacklistπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ nilianza kulia nilimwambia tafadhari nakuomba ukae mbali na mimi etπŸ₯ΉπŸ₯Ή kama kweli unanipenda basi naomba usinitafute kwenye simu barua wala live niache hemed 😭😭😭 nilikata simu nikaiblock ile namba ilifikia hatua kila namba ngeni inayoingia kwenye simu yangu niliiblock bila kufuatilia ni ya nani na anataka nini ?! Ile simu na yenyewe niliona tu itanitia uchizi niliamua kuizima nikaitupia huko kabatini niliipanda kitandani nikajilaza na mwanangu mida ilizidi kusogea jioni ilipita ukaingia usiku saa 2 tu mapema alirudi nyumbani boo wangu alikuja akambeba mtoto wake akashuka naye chini huwa ana kawaida ya kumfundisha mwanaye kwa njia ya mtandaoni.....walielekea maktaba alimkalisha mwanaye kwenye kiti chake na meza yake akampatia kishikwambi chake nayy akawa amekaa kwa pembeni hapo anamfundisha alikaa naye mtoto hadi akaanza kusinzia alimbeba akambembeleza hadi akasinzia alimleta chumbani kulala alimlaza kitandani kwake akamfunika vizuri akamuwekea net baada ya hapo alitoka yani alikuwa hanisemeshi jamaniπŸ₯ΉπŸ₯Ή..

Baada ya paschal kutoka Isabella alikuja kunigongea nilimruhusu kuingia alikuwa kashikilia kibox😳😳😳 alinipatia kile kibox niliogopa hata kukichukua nilimuuliza kakitoa wapi aliniambia ni paschal ndo kampatia aniletee........

Itaendeleaaaa. .....
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜


Ilifika usiku mida kama ya saa nne hivi nilikuwa bado cjaweka kitu chochote tumboni kwangu bado nilikuwa nimejifungia chumbani kwangu nalia tu..... Boo alikuwa bado hapokei simu ya mtu yeyote..... muda ulizidi kwenda kutokana na njaa ya muda mrefu na ile kazi ya jana usikuπŸ˜”πŸ˜” kama mnavyojua kila mwanaume ana namna yake ya kumtia mwanamkeπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ mikunjo ya Hemed ni tofauti kabisa na mikunjo ya Paschal....na alijua kunikamua siyo kidogo😟😟 nilikuwa na siku nyingi nyingi cjashiriki na boo tangia kipindi kile nilicho msukumaga bathroom akaenda hospital akatoka hadi tunasafiri kuelekea Tanzania hatukuwahi kunyanduana sanasana ilikuwa ni mapenzi ya makiss tu na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-48

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75

735
MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77

MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77

664
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜

549
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜

359
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya  28 na 29

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 28 na 29

227
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*

216
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜

200
REAL LOVE*  Chapter 8

REAL LOVE* Chapter 8

133
REAL LOVE* Chapter 9

REAL LOVE* Chapter 9

102
REAL LOVE*  Chapter 10

REAL LOVE* Chapter 10

46

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.82K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.66K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.04K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.28K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.28K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎢🎢from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎢🎢"" ""🎢🎢from the moment you spoke my...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya  28 na 29 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Basi bwana mie nikalidi kwangu. Ila.sikuwa sawa yani ile kuvishwa pete ina maana anaolewa . Ina maana inakuwaje hii. Aseeeee sikuwa naelewa ni wivu au ni nini ndo kinanisumbua ila...

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO* Post Mpya
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *26 *SEASON TWO*
@majario LIVE

*SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA* Basi bwana mie nikamuoa fatuma na nilikaa nae nyumbani kama weeek. Kwa uo mda lemi ye alinishanitangulia . Yani alishaondoka baada ya mimi kuoa tu....

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Nilipokea lile box huku mikono yangu ikiwa inatetemeka sana isijekuwa talaka kabla ya ndoa😌😌 Isabella baada ya kunipatia kile kijibox yeye aliniaga akaondoka nilikichunguza kile kibox kilikuwa na mwonekano...

REAL LOVE* Chapter 9 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 9
@majario LIVE

upande mwingine nyumbani kwa mama seven familia mbili zote zilikutana familia ya cathe na seven, wote walikuwa kwenye sintofaham familia ya cathe hawakuamini kabisa kama mtoto wao anaweza mufanya hivo, walikaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 76 na 77
@majario LIVE

Kweli bwana .baada ya week mbili .mlige alikuja nyunbani kuongea na baba. Sielewi ata waliongea nn. Ila ilikuw ni kumuelezea baba kuwa kanipenda na anahitaji kunitolea barua ili nikimaliza chuo...

MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuvaaa. Akanipa vidonge viwili et meza jana nimepitiwa nimemwagia ndani. Na kweli game ya jana ilikuwa moto. Mlige hakukumbuka kumwagia njeee kabisa mabao mengine. Mie nikawa nishaelewa. Ni...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Ilifika usiku mida kama ya saa nne hivi nilikuwa bado cjaweka kitu chochote tumboni kwangu bado nilikuwa nimejifungia chumbani kwangu nalia tu..... Boo alikuwa bado hapokei simu ya mtu yeyote........

REAL LOVE*  Chapter 8 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 8
@majario LIVE

machozi yalimtoka kwelikweli daktari alimuonea sana huruma, seven aliliona hilo lakini ndo hakuwa na jinsi aliwaza sana afanye nini ili aeleweke kwa binti huyo, daktari alimaliza kumpima kisha akampa pole fahima...

πŸ˜‹πŸ˜‹KIJIJI CHA UTAMUπŸ˜‹πŸ˜‹  Sehemu ya 10 Post Mpya
πŸ˜‹πŸ˜‹KIJIJI CHA UTAMUπŸ˜‹πŸ˜‹ Sehemu ya 10
@majario LIVE

(πŸ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Kumbe bibi nacho alikuwa amewafungia wale wali walipojaribu kutoka walishindwa. " Jamani mlango umefungwa ila si yupo na mlinzi...

REAL LOVE* Chapter 7 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 7
@majario LIVE

seven alihisi kufa hakuamini kabisaaa kama yeye ndo amefanya kitendo kile hapana sio mimi mimi sio kabisa najijuwa ni mstaarabu siwezikufanya hivi sijui huyu binti kamleta nani hapa mungu wangu mimi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest