Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya hakim kutaka kuniletea shobo baby wangu sangapi asimuwekee mipaka 🀣🀣 kaa mbali na mwanamke wangu fanya kilichokuleta hapa.....nilijisikia raha😹😹 yani kuna kakitu kalikuja fulani hivi kama kananitekenya fulani hivi nyie nyieee nilismile then nikageuka nikamcheki hakim😝😝 baada ya hapo nilimkiss boo wangu makusudi kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakim lilimshuka shuuu alitoa mimacho😌😌 alichokifanya nikutia haraka saini pale alipotakiwa kusaini baada ya hapo alitangulia kutoka nje maana angeendelea kubakia kule ndani angekufa kwa pressure.... nilimaliza kusaini nikatoka na paschal wangu nikamkuta hakim yuko nje kwenye gari yake pale alinimezea mate haloooo vile baby wangu alivyokuwa kanishikilia mkono wangu kwa mahaba hakim alitamani kulia tulifika pale lilipokuwepo gari letu paschal aliuchumu mkono wangu eh bwana we🀣🀣 ile ilikuwa ni maksudi ya kumchoma moyo mr hakim baada ya hapo paschal aliligusa tumbo langu huku akiwa anamtizama hakimπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† aliinamisha kichwa chake pale tumboni kwangu akawa anamsikilizia mtoto wake vile anavyocheza tumboni kwangu.....baby wangu alinifungulia mlango wa gari nikapanda baada ya hapo alimkonyeza hakimπŸ€ͺ kisha akapanda kwenye gari alimpungia mkono wa kichokozi yani paschal naye mshariπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alitamani tu hakim ajibu kitu chochote ili aende akamtwange makonde alikuwa na hasira naye kwa sababu ya kile kilichotokeaga kipindi tukiwa zanzibar......

Tuliondoka pale ofisini kwa mwenyekiti tukaelekea hotelin tulipumzika huku tukiwa tunawatafuta mafundi ambao wataikarabati ile nyumba kuwa katika muonekano wa kisasa...... tulifanikiwa kupata mafundi tukaingia nao mkataba wakawa wameanza ujenzi...... hatukukaa sana tanzani tulirudi usa...... tuliendelea kuuulea ujauzito wangu hadi pale ulipofikisha miezi tisa zikiwa zimebakia wiki chache za kujifungua nilifanyiwa baby showerπŸ₯° ilikuwa sherehe ya kupokea zawadi za mtoto baada ya hiyo sherehe nilianza kupumzika nyumbani hata kazini nilistop kwenda ilipofika tarehe ya makadirio ya mimi kujifungua niliambatana mimi na paschal hadi hospitalini yani hapo sijaumwa hata uchungu wa uongo na kweli🀣🀣Nilikaa hospita siku tatu ya nne ndo nikafanikiwa kupata uchungu uliokuja na mtoto ni kababy girl kashua kama wairaq tulivyoπŸ™ˆπŸ™ˆ ukizingatia baba mtu ni shombe mama mtu ni muiraq alloh mtoto wetu ni mrembo sana tulimuita niceπŸ’“πŸ’“.......

boo alifurahia sana kwa ujio wa nice katika maisha yetu alikabeba katoto kake akakabless, alikakiss then alikakumbatia aliniambia thank you my love for this gift that i have been waiting for, for along time I love you❀‍πŸ”₯❀‍πŸ”₯ alinikumbatia alinikiss nilimshukuru pia kwa kuwa mwenzi mwema hakunitelekeza siku zote alikuwepo karibu yangu nampenda etπŸ™ˆπŸ™ˆ nampenda sana sanaaa...... tuliruhusiwa kutoka hospital tulirudi nyumbani sikuwa na mtu mwingine wa kunihudumia kama mzazi zaidi ya boo wangu kama mnavyojua mama yangu bado tulikuwa hatujasolve yale yaliyokuwa yamejitokeza kati yetu nilisubilia kwanza nijifungue then nikamilishe marekebisho ya ile nyumba ili kwa pamoja twende tukafanye sherehe ya ufunguzi wa nyumba na kuungana tena kama familia kwa mara nyingine......mama mkwe wangu alifariki huenda huyo ndo mtu pekee ambaye angeweza kuwa karibu yetu akatuonyesha namna ya kukilea kichanga chetu akanihudumia na mimi hapa πŸ₯²πŸ₯² rest in peace mama paschal daima nitakukumbukaπŸ’”πŸ’”

Vile tumefika nyumbani nilimnyonyesha nice akalala nilimlaza kwenye kitanda chake nikamfunika vizuri kwa muda huo cjy hata paschal alikuwa wapi..... baada ya kumlaza mtoto Boo wangu alikuja akanishikilia mkono aliniomba twende washing ili akanikande tumbo langu...... nilikuwa napasha maji mine nakuomba twende nikakuhudumie nitafanya kama nilivyoelekezwa na dactari ili kukufanya wewe na mwanangu kuwa salama..... oh kumbe alikuwa ananiandalia maji ya kuoga...... alinishikilia mkono tukaongozana kwenda washing room boo alinikanda katika tumbo langu kwa kutumia maji ya moto zile damu chafu zote zilizokuwa zimebakia tumboni zilianza kutelemka alilikamua tumbo langu uchafu wote ukatoka baada ya hapo alinisafisha vizuri huku akiwa ananiimbia wimbo mzuri wa kunipongeza na kunishukuru kwa kukubali kuwa mama na kumzalia yeye mtoto❀️❀️❀️ baada ya kunikosha tulielekea chumbani boo aliyapangusa maji mwilini kwangu baada ya hapo alichukua ped akaiweka vizuri kwenye pichu yangu alinivisha et nilijisikia kutokwa na chozi la furaha kwa yale yote aliyokuwa akinifanyia yule mwanaume Boo i love you nilimwambia huku vimachozi vyepesi vikiwa vinanitoka kwenye macho yangu alinibusu baada ya hapo alinifuta yale machozi aliniambia mimi hapa nitakufanyia kila kitu wewe na mtoto wangu nawapenda i wish my mom angekuwa yuko hai akaishuhudia ile furaha ninayoipata kwa kuwa na wewe hapa karibu yangu nitakupenda milele pendo wangu wewe ndiye furaha yangu maisha yangu yote ya hapa duniani nakuahidi kuishi na wewe tuπŸ’“πŸ’“

Alinipaka mafuta mwilini kwangu akalifunga tumbo langu kwa mkanda wa tumbo baada ya hapo alinivisha nguo nilisimama nikamkumbatia kwa furaha tuliongozana kwenda mezani kupata chakula kilichokuwa kimepikwa na isabella huyu ni house maid wetu anayetusaidia sisi kazi za pele nyumbani kwetu...... baada ya kula chakula boo aliniletea dawa za kusafisha tumbo pamoja na dawa za maumivu nilikunywa baada ya hapo aliniomba nilale nipumzike yeye alimbeba mtoto wake akawa anambembeleza nilipitiwa na usingizi nilipokuja kuamka nilimkuta paschal yuko pembeni yangu kambeba nice na ilihali nice kasinzia..... baby unahitaji kupumzika nilimwambia huku nikiwa nambeba nice kutoka katika mikono yake nilienda nikamlaza mtoto katika kitanda chake baada ya hapo ninijilaza kifuani kwa boo nikamuomba nayy apumzike 🀍🀍🀍 ilikuwa ni usiku mida ambayo boo aliniamsha akaniambia tayari nimeshakupashia maji nakuomba uamke twende nikakufanyie usafi kwenye mwili wakoπŸ₯°πŸ₯° tulielekea bafuni alinisafisha tena na kulikanda tumbo langu baada ya kutoka bafuni aliniletea uji wa moto nikanywa ili kupata maziwa ya kumnyonyesha mtoto wake alijua kunicare alijua kunihandle alinitunza vizuri hakuwahi kuwa mkali kwangu wala kunifokea baada ya kuwa tayari tumeshaanza kuwa wapenzi achana na kule kufoka kwa enzi zile kipindi kile nilipokuwa mfanyakazi katika ofisi yakeπŸ€£πŸ€£πŸ˜†

Paschal ilimbidi achukue likizo kazini kwake kwa ajiri ya kunihudumia mimi na mtoto wake baada ya mimi kufunga mwezi mmoja nilimuomba yeye aanze kwenda kazini kwa sababu tayari nilishatengamaa nilikuwa naweza kujihudumia mimi na mtoto na kazi zote nilikuwa naweza kufanya....... Boo wangu alirudi kazini lakini kila siku kabla hajaodoka kwenda kazini alikuwa anatupatia huduma stahiki mimi na mtoto wake na hata mchana ulipofika alirudi nyumbani kuja kutuona🫢🫢 jioni ilipofika aliwahi kutoka ofisini kwa ajiri yetu tuπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° kila siku upendo wangu kwake ulizidi kuongezeka tu......

Basi mwenzenu baada ya huo mwezi kupita si nikaanza kuwashwaπŸ™ˆπŸ™ˆ kila nikimuona boo mwili wote unasisimka alfu sasa nikawa nashindwa namna ya kumuanzaπŸ™ˆπŸ™ˆ yani kila nilipokuwa nikimsogelea nilikuwa napatwa na hamu ya kutiwaπŸ™ˆπŸ™ˆ siku moja jioni ilipokaribia mida yake ya kutoka kazini niliamua kumtega maksudi kabisa ili nione kama atashawishika kunitia au laaaπŸ˜‹πŸ˜‹ uvumilivu ulinishinda my wenu hapo ilishapita mwezi na wiki kama tatu hivi..... siku hiyo nilimuogesha nice mapema nikamnyonyesha akashiba mwanangu hakuwa kilizi ni mtoto fulani hivi aliyetulia...... nilimnyonyesha akashiba nikamlaza kitandani kwake baada ya hapo namimi niliiingia bafuni nikaenda ufanyia mwili wangu ule usafi special kwa ajiri ya mme wangu...... niliiosha papuch yangu kwa maji ya baridi sanaπŸ™ˆπŸ™ˆ ilibana kiasi kwamba hata kidole tu nilijaribu kuingiza kikagoma kuingiaπŸ™ˆπŸ™ˆ baada ya hapo niliuosha mwili wangu taratibu kwa sabuni inayonukia sanaπŸ˜‹πŸ˜‹ baada ya kumaliza nilitoka kule bafuni nikaelekea chumbani kwangu nikiwa nimevaa towel kifuani kwangu....... nilifika chumbani nikaitizama saa yangu ili kucheki ni saa ngapi ewaaaaa ilikuwa ni mida ileile anayorudigi mzee baba...... niliitoa ile towel kifuani kwangu taratibu nilianza kuipitisha mikono mwilini kwangu ili kuyapangusa maji mwilini kwangu nilikuwa nafanya hivyo huku nikiwa niko uchi kabisa nikiwa bado naendelea na lile zoezi mlango wa chumbani kwangu ulisukumwa niligeuka kumwangalia aliyefungua mlango ni nani hakuwa mwingine bali alikuwa ni boo wangu...... nilimfuata kule mlangoni nikiwa uchi bila nguo yoyote nilimsogelea kwa karibu mwili wangu wote ulinisisimka nilijikuta nimezisogeza lips zangu mdomoni kwake tukaanza kupeana mateπŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹


Itaendeleaaaaaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜


Baada ya hakim kutaka kuniletea shobo baby wangu sangapi asimuwekee mipaka 🀣🀣 kaa mbali na mwanamke wangu fanya kilichokuleta hapa.....nilijisikia raha😹😹 yani kuna kakitu kalikuja fulani hivi kama kananitekenya fulani hivi nyie nyieee nilismile then nikageuka nikamcheki hakim😝😝 baada ya hapo nilimkiss boo wangu makusudi kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakim lilimshuka shuuu alitoa mimacho😌😌 alichokifanya nikutia haraka saini pale alipotakiwa kusaini baada ya hapo alitangulia kutoka nje maana angeendelea kubakia kule ndani angekufa kwa pressure.... nilimaliza kusaini nikatoka na paschal wangu nikamkuta hakim yuko nje kwenye gari yake pale alinimezea mate haloooo vile baby wangu alivyokuwa kanishikilia mkono wangu kwa mahaba hakim alitamani...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-37-38

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

1.01K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

692
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

423
MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20

291
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

156
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

137
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

135
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

111
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

43

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.81K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS πŸ₯° yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu Post Mpya
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
@majario LIVE

Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka nyumbani, niliweka shilingi elfu mbili mezani. Nilimwambia mke wangu wazi kabisa kwamba pesa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest