Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kumkuta hakim akiwa na boxa peke yake nilitoa machoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hee ana limutango yule jamaaa nilichokifanya nilijidondosha chini nikajidai nimezimia🀣🀣 nilimuomba mungu kimoyomoyo anisaidie niweze kubana pumzi kwa muda mrefu😹😹😹 baada ya kudondoka hakim alikimbia kuja kuniokota pale chini alifika akanibeba akaniinua pale chini akanilaza kitandani alikuwa ananiita na kuniomba msamaha alinitikisa tikisa sana lakini sikuamka🀣🀣 nyie ila kubana pumzi ni kaziπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilikuwa nategeshea muda anaonitikisa tikisa ndo na mimi navuta pumzi chapuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alivyoona siamki alichukua simu akaanza kutafuta usafiri zile tax za online nahisi alikosa tax akaamua kuvaa nguo akafungua mlango akatoka vile ametoka tu mimi nilichukua nguo haraka nikavaa vitu vyangu vingine niliviacha kule chumbani sikukumbuka kubeba kitu zaidi ya kujiokoa tu kutoka mikononi mwa hakim! Nilifungua mlango taratibu nikatoka kule chumbani nilianza kushuka chini lakini nilihofia kukutana na hakim make alishuka chini kutafuta usafiri! Nikiwa nimeganda pale nawaza pa kuelekea nilimsikia hakim kwa mbali akiwa anaongea na cm ni kama vile anikuwa anaongea na dreva tax akawa anamwelekeza pale hotelini......

Niliwaza pa kwenda ni wapi nikiangalia vyumba vyote pale vimefungwa na ni usiku sana nilichokifanya nilirudi chumbani haraka nikapanga mito pale kitandani then nikaifunika blanket baada ya hapo nilijificha kule nyuma ya mlango ili hakim akija akifungua mlango akipiga jicho kitandani akiiona ile mito atajua ni mimi hivyo ataelekea kitandani mojo kwa moja na mimi nitapata muda wa kukimbia hakim alifika pale mlangoni akafungua mlango haraka akakimbilia pale kitandani vile ameingia mimi tayari nilikuwa nimeshauchomoa ufunguo niko nao mkononi nilitoka haraka nikamfungia hakim kule chumbani funguo nikakimbia nazo ili asijefunguliwa kabla cjafika mbali nilifanikiwa kutoka nje ya ile hotel.....

Nilikimbia umbali mrefu kutokea kule hotelini tulipokuwepo nilifika katika mtaa fulani hivi kulikuwepo na jengo moja la ghorofa ambalo lilikuwa halijaisha nilikaa pale usiku mzima baridi ilikuwa ni kali sana nilikaa hadi pakakucha sikuwa na pesa zozote zile nilichokifanya baada ya kupambazuka nilienda katika nyumba moja nikagonga getini alikuja kunifungulia kaka aliyejitambulisha kwa jina hemed alinikaribisha ndani kisha akaniuliza vipi una shida gani nikusaidie nini vipi tunafahamiana?! Nilimwambia mimi naitwa Recho ni mwenyeji wa jijini dar nilikuja huku kwa ajiri ya kutafuta kazi nakuomba kama hautojali uweze kunipatia kazi yoyote..... kazi gani unataka?! Yoyote tu kaka yangu....na mbona hauna mzigo wowote hata bag la nguo?! Niliibiwa vitu vyote etπŸ₯ΉπŸ₯ΉJana nilopofika zanzibar sikuwa na sehemu ya kufikia usiku ulipoingia nilijilaza nje katika jengo moja ambako nilivamiwa na vibaka wakanitoa kila kituπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilidanganya hadi nikalia vyote nilifanya ili kujitilisha huruma kwa hemed ili anipatie msaada alinikaribisha ndani kwake nikaket sebleni yeye alikuwa yuko nje anaimwagilia maji bustani yake ya maua alimaliza kumwagilia akarudi ndani alinihoji vimaswali pale nikawa namdanganya lakini alinihurumia akaniruhusu nikae naye pale nyumbani kwake hemed alidai ya kwamba yeye zanzibar huwa anakujaga tu vocation akiwa yuko likizo kazi zake huwa anafanyia usa....tulifahamiana kijuujuu japo mimi kila kitu nilimdanganya sikumwambia ukweli juu ya kile kilichonikuta kwa kuwa bado ilikuwa ni asubuhi sana hemed alinionyesha chumba cha wageni akaniambia niende nikaoge kisha nipumzike.... nilimwambia asante niliingia kule chumba ni chumba kikubwa kizuri sana niliingia washing room nikaoga baada ya hapo nilingia kulala..... nililala hadi mida ya saa tano asubuhi nikagongewa mlango nikaamka kwenda kufungua alikuwa ni hemed aliniuliza vipi unajisikiaje bado una usingizi?! Hapana kaka niko sawa usingizi umeisha..... niite hemed karibu tunywe chai utalala badae tena.... niliongozana naye kwenda mezani tuliletewa chai tukanywa aliyeleta chai ni mkaka hivi nazani ni house boy kule ndani baada ya chai hemed aliniomba nimwandikie mahitaji ya vitu ninavyovihitaji ili akitoka mjini anichukulie au kama vipi tunaweza kutoka wote alinimbia.... hapana hemed kwa leo siwezi kutoka lbda siku nyingine.... nilimwandikia kila kitu nikampatia kile kikaratasi akaondoka nilitoa vyombo mezani nikapeleka jikoni nikajipa majuku ya kuviosha kwa muda huo Idris alikuwa kaenda kumfungulia hemed geit! Hehehe jamani weye ni mgeni et ungeviacha tu mimi ningeosha... aliniambia idris baada ya kunikuta nikiwa naosha vile vyombo.... ucjali idris hata mimi naweza wacha nikusaidie......

Nilimaliza kuosha vyombo huku nikiwa napiga story mbili tatu na idris kule jikoni nilimuomba anisaidie dawa za maumivu make mwili wote ulikuwa unauma..... aliniletea dawa nikanywa baada ya hapo nilienda sitting room kuangalia movie.... ile nyumba ni jumba kubwa sana la kifahari na kule ndani alikuwa anakaa idris tu make hemed huwa anakuja likizo tu na kuondoka likizo ikishaisha..... tuliendelea kuwatch movie huku tukiwa tunapiga story na idris ni mcheshi sana alinipigisha story mbalimbali akanisimulia kuhusu boss wake hemed jinsi alivyo mtu mwema namna alivyomsaidia vitu vingi kimaisha mida ya saa nane tulipika zetu wali wa nazi na maharage mboga za majani na samaki tukala tukarudi zetu kwenye movie jioni mida ya saa 12 boss hemed alirudi nyumbani idris alikuwa yuko bafuni ilibidi mimi ndo niende kumfungulia geit..... nilifungua geit akaingia alinijulia hali baada ya hapo alipeleka gari parking akatelemka alifungua but na kuanza kushusha mizigo nilikwenda mpokea alinipatia vitu alivyonunua kwa ajiri yangu vingine aliniambia niachane navyo idris atakuja kupeleka ndani..... hemed ni mkaka fulani hivi siyo mkubwa kwa haraka haraka ana miaka kama 28 au 30...ni shombeshombe yupo kama mwarabu hivi ni mpole siyo mtu wa mambo mengi nilipokea vile vitu nikaanza kuondoka kuelekea ndani kabla cjapiga hatua nyingi hemed aliniita.....
""Recho""
""Abee niliitika then nikarudi kumsikiliza...""
""Be free ukiwa na shida yoyote usisite kuniambia nitakutafutia kazi huku zanzibar ikikosekana nitakuangalizia hata huko marekani kwani umesomea nini?! Nilimwambia kitengo nilichosomea akanipromise kunitafutia kazi!....""

Nilienda ndani nikafungua vile vitu alivyoniletea hemedπŸ™ˆπŸ™ˆ hadi chupi🀣🀣 alf kama vile alinipima jomon😁😁 chupi zilinifit ile mbaya.... alininunulia product za ngozi nguo viatu pamoja na cm.... nilivipanga vile vitu kabatini baada ya hapo nilienda kutoa asante kwa hemed aliniambia ni sawa recho be free kwangu niambie chochote..... nilimuiza kama atakula chochote aliniomba juice nilienda nikamchukulia juice nikamletea then mimi nilirudi chumbani kwangu..... ilifika mida ya saa moja moja hemed akaingia jimu ila lizuri😌😌 ana jimu ndogo pale nyumbani kwake alipiga mazoezi mie nikawa namchabo dirishani😹😹

Uuuwww ni gentlemen na nusu😹😹 hemed alimaliza kufanya mazoezi nikakimbilia zangu jikoni niliingia jikoni nikapasha pasha msosi hemed alipotoka kwenye mazoezi alielekea bafuni alipotoka bafuni alikuja jikoni kwa muda huo idris alikuwa katoka...
""Wow vinanukia sana..... alinimbia hemed""
""Nilismile then nikamwambia kidogo tu et siyo sana😁😁""
""Hahahaa haya bn unapika nini?!""
""Nilipika mchana wali samaki, maharage na mboga za majaniπŸ™ˆπŸ™ˆ""
'""Wow 🫰kitakuwa kitamu sana eh🫰""
""Hahahaaa cha kawaida et""
""Hii hapa line utaweka kwenye simu yako....""
""Thank youπŸ™πŸ™""
"" ni sawa usiwe na shaka kuna chochote kingine unahitaji?! Usiogope niambie tu....""
""Hakuna kitu hemed basi nikihitaji chochote nitakwambia...""
""Sawa recho basi mie niko zangu sitting hapo nataka nicheki game mara moja kama hautojali unaweza kuja tukaangalie wote... sawa basi wacha nimalizie kupakua chakula kwenye hotpot then nitakujoin..... we shabiki wa team gan rechoi?! Hahahaa mimi ni simba etπŸ™ˆπŸ™ˆ wow kesho nitakununulia jez umenifurahisha sana kuwa mwanasimba hemed aliniambia hivyo then akanigeiπŸ‘ŠπŸ‘Š baada ya hapo alitoka kwenda sebleni kuangalia mpira mimi nikabakia jikoni napakua chakula.... basi nilijikuta nasmile et😁😁 nikasahau na kipigo cha jana usiku kutoka kwa hakim! Nilimaliza kupakua chakula nikapeleka dinning hemed aliniomba tu nipakue chakula chetu mimi na yeye nipeleke pale sebleni tule huku tukiwa tunaendelea kuangalia mpira idris alikwenda kucheki mpira bandani yeye alidai nyumbani hakuna vibe tulikula mimi na hemed taratibu huku tukiwa tunaendelea kuangalia mpira..... mazungumzo ya hapa na pale yaliendelea kati yangu mimi na hemed line alinipatia ya kwake nilikuta kaniungia bando la mwezi na namba yake kanisevia tayariπŸ™ˆπŸ™ˆ

Usiku nilimuaga nikaelekea chumbani kwangu kwenda kulala amani ya moyo ilirudi niliona ni kama tayari nimeshapata sehemu ya kujificha ili hakim asinipate..... niliendelea kukaa pale nyumbani kwa hemed walikuwa wakarimu sana kwangu kila asubuhi hemed alikuwa akiwahi kuamka na kwenda kuimwagilizia maji bustani yake ya maua kila aliponikuta nafanya kazi yoyote alinisaidia.....siku moja aliniuliza kama ninaweza pata vyeti vyangu vya form four pamoja na vya chuoni ili anitumie maombi ya kazi tuone kama nitafanikiwa kupata kazi zanzibar au usa..... alikuwa kabakiwa na siku chache tu za kukaa visiwani zanzibar...... nilimwambia vyeti vipo nitafanya mpango nikavifuate huko dar! Niliwaza nitafanyaje ili niweze kuvipata vyeti vyangu bila kuonana na wazazi wangu kwa kile walichonifanyia sikutamani hata kuwatia machoni kwangu niliwaogopa sana niliwaona kama maadui zangu wa kwanza katika dunia hii.... nilikaa pale nyumbani kwa hemed kwa takribani mwezi mzima.... siku moja usiku nikiwa chumbani kwangu najiandaa kulala nilipanga safari ya kurudi jijini dar kesho asubuhi na mapema kwa ajiri ya kwenda kuvichukua vyeti vyangu kule nyumbani kwetu nilipanga pia kwenda kuchungulia kule nyumbani kwa paschal kama yupo au laa! Nilikuwa na wasiwasi sana juu ya hiyo safari yangu lakini sikuwa na budi ilikuwa ni lazima niende....

Itaendeleaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜


Baada ya kumkuta hakim akiwa na boxa peke yake nilitoa machoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† hee ana limutango yule jamaaa nilichokifanya nilijidondosha chini nikajidai nimezimia🀣🀣 nilimuomba mungu kimoyomoyo anisaidie niweze kubana pumzi kwa muda mrefu😹😹😹 baada ya kudondoka hakim alikimbia kuja kuniokota pale chini alifika akanibeba akaniinua pale chini akanilaza kitandani alikuwa ananiita na kuniomba msamaha alinitikisa tikisa sana lakini sikuamka🀣🀣 nyie ila kubana pumzi ni kaziπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilikuwa nategeshea muda anaonitikisa tikisa ndo na mimi navuta pumzi chapuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alivyoona siamki alichukua simu akaanza kutafuta usafiri zile tax za online nahisi alikosa tax akaamua kuvaa nguo akafungua mlango akatoka vile ametoka tu mimi...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-33

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

1.03K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

767
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

572
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

195
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

162
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

141
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

139
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

113
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

91
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

8

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.67K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS πŸ₯° yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest