Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Im asking you pendo who is boy tell me now😑😑 paschal alinikwida akanibana ukutaniπŸ™„πŸ™„ aliniuliza boy ni nani na kwanini akate simu baada ya kuisikia sauti yangu?! Ni mwanaume wako?! Pendo unanichit?! Niambie nakuuliza wewe Acha kukaa kimyaπŸ₯ΉπŸ₯Ή Boo niachie buana unaniumiza et😞😞 so huwezi kusema bila kulazimishwa πŸ€·β€β™‚οΈ at kulazimishwaπŸ€·β€β™€οΈ nilazimishe kama ukiwezaπŸ˜‰πŸ˜‰ pendo nitakuumiza Acha kunijibu ujinga😟😟 hahaha ukishaniumiza mwanao anabakia na nani?! Kamuumize lia yeye bado hana anayemtegemea mimi nategemewa ukiniumiza nini kitafuatia😎😎 pendo stop this nonsenseπŸ˜’πŸ˜’ ooh nonsense right😝😝 hebu niachie nioge nenda ukaendelee na mambo yako ukitaka tuongee kuhusu boy uanze wewe kuongea kumhusu lia..... pendo ni kwanini huachi kunitajia hilo jina kila mda lia lia lia my foot😑😑 hata akiwa kinyeo chako haijalishi I don't care about you and her just be free🫰🫰 niache na mimi nifanye kile kinachonipa mimi furaha..... kama ulivyoamua kutafuta furaha nje namimi naifuata hukohuko😞😞 pendo nimekwabia Acha huo upuuzi unaoongea utaondoka humu ndani kwangu utamfuata huyo mpuuzi mwenzio huwezi kuniletea upuuzi ndani ya nyumba yangu nikakuangalia😑😑 oh kumbe basi hebu nipishe nimalizie kuoga then nitamfuata boy nikaishi naye🫰🫰 get out just live me alone πŸ˜”πŸ˜’

Kwa hiyo ameshaanza kukupatia kiburi mara hiyo tu😑😑 ndiyo kama unavyopewa na liaπŸ˜‰πŸ˜‰ hee alitaka kuniwasha kibao vile naukwepa mkono wake si nikateleza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilisikia tu mine nikadakwa tukaenda wote chini alf yeye ndo aliyetangulia Chini mimi nikamdondokea kwa juu😝😝 sangapi lisianze kunipapasa πŸ™ˆπŸ™ˆ pendo please Acha huo upuuzi uliouanzisha unajua ni kiasi gani vile ninavyokupenda wewe tafadhari maa usije kuigawa tamu yangu nakupenda etπŸ’‹πŸ’‹ paschal alianza kunipa mate niliuziba mdomo wangu niliamka pale chini nikasimama nilimwambia kuanzia Leo huo sio udhaifu wangu na hauwezi kuwa udhaifu wangu tena naomba uamke unipishe nioge...... kama umebanwa sana usiache kumpigia lia siyo mimi...... nazani kuanzia Leo ni vyema ukawa na mipaka na mwili wangu nilikuwaga nakubali unanipakua vile unavyojisikia muda na wakati wowote kwa sababu nilijua kwako niko Peke yangu sikuwahi kujua kama ninashare😭😭 boo I hate you........

Pendo please maa tunaweza kuongea juu ya hilo tambua wewe ni mwanamke wangu ukininyima nitapewa na nani sasa?! Usinifanyie hivyo mamangu nakuomba nakupenda mke wangu tafadhari nielewe et alinisogelea akanikumbatia kwa kunilazimisha ...... nilimsukuma boo akateleza pale kwenye zile tiles za bathroom akadondoka chin alipigiza kichwa damu zikaanza kumtoka mdomon na puani ......boooπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimuita huku nikiwa nabubujikwa na machozi pale chini alikolala palitapakaa damu nyingi na bado ziliendelea kutoka niliogopa sana nilikimbilia chumbani nikachukua dera nikavaa baada ya hapo nilikimbilia nje kwenda kumuita mlinzi ili aje kunisaidia tumnyanyue boo kule bathroom ili tuweze kumpeleka hospital mlinzi alikuja akambeba paschal aliyekuwa hajitambui damu nyingi ziliendelea kumtoka nyingi sana tulimkimbiza boo hospital alipokelewa na madactari haraka wakaanza kumpatia matibabu....... booo 😭😭😭nilipaza sauti kumuita baada ya kuwa nimefungiwa nje ya chumba alichopelekwa kwa ajiri ya kufanyiwa matibabu..... niliogopa sana nisijekuwa nmeuwa nitawaambia nini ndugu zake pamoja na mtoto wake........

Sikuwa hata na simu ya kuwataarifu watu wake wa karibu kumbuka simu yangu aliidumbukiza kwenye maji nilichukua simu yake ili niweze kuitumia alikuwa kabadiri password nilichokifanya nilichukua simu ya mlinzi nikaandika namba ya Hemed nikaongea naye usiku ule nimuomba anifanyie mpango niweze kupata simu haraka iwezekanavyo nilimwelezea na kile kilichotokea aliniomba location kisha akaniambia nisiogope yeye anaenda dukani kunichukulia simu then atakuja hapo hospital kuniona.....

Nilibakia pale hospital huku nikiwa najiuliza hivi itakuwaja kama boo asipoamkaπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ niliogopa hadi kumpigia baba yake nisijemdondosha kwa pressure πŸ˜”πŸ˜” nilibakia kule hospital mwenyewe nilimtuma mlinzi aende akaitoe simu yangu kule bathroom anichomolee line aniletee mlinzi aliondoka akaniacha mimi kule hospital nikiwa nimegubikwa na wingu zito la mawazo nilimuona Hemed akiwa anaingia kule hospital nilishuka chini kwenda kumpokea alinikumbatia nilikuwa na pressure sana alinituliza akaniomba nisiogope paschal atakuwa sawa tu..... alinipatia ile simu aliyoninunulia niliweka charge kule hospital mlinzi aliniletea line nikaweka kwenye simu nilimpigia rafiki yake paschal ambaye ni Romeo nilimwelezea kilichotokea aliniambia kuwa atafika pale hospital siyo muda mrefu.....

Nikiwa pale hospital huku hofu na wasiwasi vikiwa vimenigubika nilishangaa kumuona shem Romeo akiwa ametinga pale hospital na Lia😟😟 nilishikwa na hasira nikamrukia Lia lakini shem Romeo alimkingia kifua tulianza kuleta vurugu pale hospital tulitoleana maneno machafu sana Hemed alinishikilia mkono akanitoa kule ndani akanipeleka nje alianza kunituliza alinishauri mno aliniomba nisigombane na lia kama kweli paschal anakupenda basi yeye ndo anatakiwa kumuonya huyo mwanamke kuwa mbali na yeye....... aliniambia Hemed huku akiwa ananisihi niache kupambana na kitu ambacho cjy muanzilishi ni nani....... kiukweli kama kuna mtu anayewaamini mashemeji wa nyakati hizi za mama samia πŸ₯ΉπŸ₯Ήnamshauri aamke usingizini kushakucha...... Romeo alinifuata kule nje alikuja peke yake et naye akaanza kunibembeleza huku akiwa ananidanganya kuwa nisimchukulie lia vibaya kwa sababu lia na wao ni marafiki tu nilimwangalia tu sikujibu chochote kwa sababu tyr Hemed alikwishanizuia kugombana..... nilimwangalia tu Romeo alijiongelesha pale huku akiwa a ananiita shem darling bwa yule ☺️☺️kumbe ndo kuadi wa Lia kwa paschal ☺️☺️ nimekaa pale nje kama nusu saa hivi tukarudi ndani kule hospital nafika pale kwenye viti vya wagonjwa nashangaa kumuona Lia akiwa anatokea emergency room huku akiwa amefungwa bandage kweny mkono wake nikiwa naendelea kutahamaki si ndo nikamuona Doctor akitokea kwenye kile chumba na chupa la damu Lia alimshika yule doctor huku akiwa anajiliza alimwambia doctor please fanya chochote ilimradi mme wangu paschal arudi kwenye hali yake ya kawaida..... nilitoa macho hata sikuamini kile nilichokuwa nakiona pale hospital 😳😳😳 doctor alimtuliza lia akamwambia ucjali tunajitahidi asante kwa kujitolea damu kwa ajiri ya mme wako kuwa na imani atakuwa sawa......

Nilitamani kusimama pale nimkunje lia lakini Hemed alinizuia kwa jicho tuπŸ₯ΉπŸ₯Ή niliumia lakini sikuwa na namna nilimuomba tu mungu amsimaie paschal aweze kurudi kwenye hali yake ya kawaida...... muda ulizidi kwenda ilifika saa saba za usiku madactari walituomba tuondoke pale hospital kwa kuwa kwa muda ule tusingeweza kumuona paschal bado alikuwa hajarudi kwenye hali yake ya kawaida alitangulia lia na Romeo kuondoka pale hospital nikabakia mimi na Hemed nilimfuata yule dactari nikamhoji ni kwanini aliweza kumruhusu mtu baki kumtolea damu mme wangu mtarajiwaπŸ₯ΉπŸ₯Ή doctor aliniomba radhi alidai kuwa alipoita ndugu wa mgonjwa ambaye ni paschal ni Lia pekee ndiye aliyejitokeza na alipoambiwa juu ya swala la kutoa damu alijitolea bila kusita......nilimuomba doctor asimruhusu tena mtu yoyote kumuona paschal bila ruksa yangu baada ya hapo niliondoka pale hospital Hemed alinipeleka hadi nyumbani kwangu aliniomba niache kuwaza paschal atarudi kwenye hali yake nyieeeeee nilikuwa nikikumbuka hali aliyokuwa nayo paschal nawehuka nilikuwa najiuliza itakuwaje yani kama asipoamka?! Usiku ule nikiwa naagana na Hemed pale nyumbani baba paschal alinipigia simu nilitetemekaπŸ™„πŸ™„ nilijua tayari mzee atakuwa kaishapokea taarifa kuhusiana na kile kilichotokea kwa mtoto wake.....

Itaendeleaaaaaaaaa
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜


Im asking you pendo who is boy tell me now😑😑 paschal alinikwida akanibana ukutaniπŸ™„πŸ™„ aliniuliza boy ni nani na kwanini akate simu baada ya kuisikia sauti yangu?! Ni mwanaume wako?! Pendo unanichit?! Niambie nakuuliza wewe Acha kukaa kimyaπŸ₯ΉπŸ₯Ή Boo niachie buana unaniumiza et😞😞 so huwezi kusema bila kulazimishwa πŸ€·β€β™‚οΈ at kulazimishwaπŸ€·β€β™€οΈ nilazimishe kama ukiwezaπŸ˜‰πŸ˜‰ pendo nitakuumiza Acha kunijibu ujinga😟😟 hahaha ukishaniumiza mwanao anabakia na nani?! Kamuumize lia yeye bado hana anayemtegemea mimi nategemewa ukiniumiza nini kitafuatia😎😎 pendo stop this nonsenseπŸ˜’πŸ˜’ ooh nonsense right😝😝 hebu niachie nioge nenda ukaendelee na mambo yako ukitaka tuongee kuhusu boy uanze wewe kuongea kumhusu lia........

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-44

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

594
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

544
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

375
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

322
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

52
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

40
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

36

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.26K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest