Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya ngu. Ila uyu zayd alikuwa ni mbishi kwangu jamani. Yni akiniona atanisalimia . Atanichekea.mala atanikonyeza daah alikuwa ananikwaza na kuniboa sana . Yani ni hanielewi tu. Ila na mm sasa nilikuwa nusu nusu .mh uyu bwana akinikonyeza nachanganikiwa mnoo. Yani najikuta napata furaha moyoni ya ajabu. Ila nikikumbuka kuna mlige naishiwa nguvu kabisa moyoni. Basi nabaki kujinyamazia tu. Basi bwana tukangaziwa visiting day sasa. Yani wazazi waje kutetembelea shuleni. Ila kiukweli nilihisi mlige hatakauja et waliipanga j 5. Mm nilichukia namjua mlige atakuwa busy na kazi uko. Na uku kulivyo mbali. Basi siku iyo tukiwa tunaonge na simu ya mwalimu

Nikamwambia baby tuna visiting j 5. Ila we si utakuwa busy sana. Mlige kanmbia ahaa busy sio mbele yako. Ntakuja mama. Au nimpe nauli mama aje kukuona yeye. Mh nikasema hapana nimekumiss sana ww. Mama ntamuona likizo. Akanmbia basi sawa ntakuja kipnzi changu. Aya nambie nikuletee nini. Basi nikaanza kumwambia vya kuniletea nikamuolozeshea mavitu mengi mpka mlige akawa anacheka ananiuliza we uko shule umeenda kula ama. Mavitu yote ya kula aya mke wangu jamani. Mie nikasema ndo nataka sasa. Na nnavyodeka mie nikiongea na mlige. Basi akanmbia sawa ntakuletea iyo j 5. Basi tukaongea na mengine kisha tukaagana mie nikaendelea na masomo yangu. Jamani uyu zayd ni alikuwa ananifatilia sana. Yani mnooo mpaka sasa mashost zangu wakawa wanajua kuwa yule bwana ananitaka.

Kwanza ni mbishi. Hataki kuelewa. Yani akiniona ni moikonyezo tu. Nina mkwepa tu.mana daah sikuwa nataka shida na wanawake zake. Mana mtu mwenyewe nilisikia mpka anagombaniwa na madames wa hapa. Nikaona ebu nipambane na kusoma mie. Na apo pia napata changamoto za kutingizwa na wavulana wengi.na mpaka walimu wa kiume. Ila aliyekuwa anastua moyo wangu ni uyo zayd. Wengine awa wala hawanisumbui.Bas bwan kweli j 5 siku ya visitingi ikawa imefika. Asubuh niliamka nikajiandaa vizuri man nilikiw ana huwakika lazima mlige ajee. Basi shoga yangu zai akanambia aseeee mie mwenzenu leo na bahati mbaya wazazi wangu jana wamesafiri kwenda marekani kikazi hivyo sina ata mtu anakuja kwa ajili yangu leo.

Mie nikasema basi utakuwa na mie kaka yangu anakuja .na prisca akamwambia ata na mm mama yangu anakuja pia ukitaka utajoin na mm. Zai akasema sawa. Basi tukajiandaa tukatoka tu kaenda kungoja wazazi. Asee hii siku kulichangamka wazazi walikuwa wengi sana. Na zilipark gari za kustosha jamani . Si unajua tena. Basi bwana mie mpka saa 7 simuoni mlige nilishaanza na kununa pale. Mh kufika saa 7 na nusu . Naona kuna mwanfunzi kaja kuniita et kaka yako anakuita kule nyuma. Nyie nilifurahi.nikainuka nikaenda haraka ni kweli ni mlige alikuwa kapendeza mnooo. Kawaka kinoma uyu baba.nilimkumbatia kwa furahaaa. Basi na yeye akanikumbatia akanmbia ulizani sitakuja ama .nikasema wee usingekuja ningenuna mno. Mlige akasema na ungelia nakujua wewe. Basi tukacheka. Akanmbia jana nilikuwa wilayani bukoba kabisa. Nilikuwa busy sana .ila nilisema nisipokuja utalia . Ikabidi nifosi. Nikawa nacheka .mana anaielewa sana mkewe

Kisha sasa. Akanmbia aya twende basi kule. Na kweli akanishika mkono tukaemda . Alipopark gali yake .yeye hakupark parking mana gari zilijaa. Aseee kwanza kabadili gali.nikamuuliza mh mbona hukunambia kama unabadili gari. Akacheka akanmbia ahaa kwani shida nn mke wangu . Si nimekuja nayo uione. Alafu kuna kitu ntakuonesha ukiludi nyumbani. Kuna nyumba najenga nyamsebehi. Achana na ile ya kupanga runzewe. Uko ndo nataka tufanyae maisha yetu. Na familia yetu . Mm na ww na watto wetu. Mh nikasema sawa nikuulize kitu
. Akanambia niulize mke wangu eeh.

Nikasema kwani ukiacha na ualimu kuna kazi nyengine unafanya. Akanambia mh leo ndo umeuliza unakulaga hela tu we mrembo. Nikacheka sana. Akanmbia yaa nna duka la viatu kahama .dodoma na dar. Mi ni mfanya biashara wa vitu vingi mama. Sitegemi tu ualimu pekeee. Ualimu ni kitu napenda sana. Ila ni mfanya biashara mke wangu. So hutalala na njaa ata siku moja nitakapokuoa.nikajikuta nacheka tu mana mlige bwana.nikamuuliza hujanisaliti ew. Akasema haa wapi na funga na kufuri kabisa. Nailinda kwa ajili ya ww tu. Nikacheka yani uyu mlige bwana kuna mda anapenda sana makuzi asa tukiwa wawili. Basi akanmbia nimebeba kuku za kutosha ebu huna rafiki aje kukusaidia kula umalizi hizi. Nikasema naenda kumuita ni zai leo wazazi wake hajwajafika. Mlige akanmbia sawa kamuuite. Basi mie nikanyanyuka nikaondoka zangu nimamuacha pale ananisubir. Amekaa kwenye kiti. Mana vilipangwa sehemu mbali mbali kwa ajili ya wazazi wanaofika kukaa wakiwa wnaongea na watoto wao.

Basi bibi mie nikaludi mpaka alipo zai. Alikuwa tayar kashaenda kwa familia ya kina prisca nami nikaenda nikawaslimia wazazi wa prisca kisha nikamnong'oneza kwamba twende tukale kuku kaka kaleta nyingi. Mh zai akaaga pale pale . Tukaenda sasa kwa mlige. Na kweli mlige alimsalimia tu vizuri zai. Kisha sasa akatoa vyakula vya kula alivyokuja navyo vilikuwa vingi mnoo. Sijih kuku. Kabeba nyama choma.na soda . Chipss. Aseee tulikula.mnoo. mapaka vyengine tukafunga. Baada ya apo sasa . Zai akagaa akabeba na vile vyakula akapeleka bweni akaniacha na mlige tuliongea ongea sana mpka saa 10 sasa ndo akanmbia nataka kwenda mana mda wa mwisho wazazi kubaki na sisi ulikuwa saa11. Nikasema sawa ila akanmbia tuingie kwenye gali.nikaju uyu anataka kunikiss hana lolote. Anataka ivyo sasa tukachezeane kwenye gari tu
Mie nikaingia kwnye gari na yeye akingia. Kisha akafunga mlango wa gari

Mh baada ya kufunga mlango wa gari. Akaniangalia sana. Akaniuliza zayd ni nani yako. Nyie moyo wangu ulifanya paaah. Mambo ya zayd mlige kayajuaje tena .uyu baba mchawi nini. Mie nikasema.sio mtu wangu. Kabisa. Sio mtu wangu. Yani kma nilipanik.mlige akaningalia akasema kwani mm nimekwambia ni mtu wako. Si nimekuuliza ni nani wako. Mambo ya kusema sio mtu wako yamekujaje. Ebu nambie..nikasema.ahaaa samahani. Akanmbia nambie ni nn kinaendelea kati yako na uyo zayd. Apo alishakuwa serious jicho kalitoa si mnamjua mlige akishachukia. Mie nikasema.sio mtu wangu wa karibu. Mi namuonaga tu .ni kijana wa form six. Mlige akanmbia shuka kwenye gari yangu sasa hivi. Ntakuua umu. Mh nikatulia kwanza . Alishapanik na akawa na hasira . Mie nikasema.sikia mlige usipanik basi..akanmbia nisipanik kwa nn wakati unanaidanganya eeh. Amekuja mwanfunzi amenambia. Kabisa kuwa mdogo wako anatembea na mkaka apa shule anaitwa zayd mdo mana nakuuliza ni inakuwaje hii. Kisha ww unanijibu non sense faridah. Unataka nikuvunje.kiuno si ndio. Yani mi natupa pesa zangu we unakuja kufanya upumbavu shule si ndio. Mh nikaona ap kazi ishakiwa ngumu.

Nikasema baby nisikilize. Uyo zayd ni ananitaka tu . Ananintingoza sana. Lakini sina mahusiano naye mm. Ananifatilia tu mume wangu. Sio mtu wangu kabisa. Aseeee mlige akaniuliza umeenda kusema kwa mwalimu kuwa unatungozwa nakuuliza ww umenda .nikasema hapna . Akanmbia so unapenda kutongozwa sio unapenda anavyokufata fata. Na ankuuliza ni nani unasema huna unachikijua chochote unalimlinda eeeh. au mshaanza na kushikana shikana nambie we mpumbavu. Mh mnanijua shoga yenu kusemwa kidogo tu. Macho yakaanzaa kutoka machozi. Aseeee mlige alivyoona nalia tena..akanyamaza kuongea . Mie nikasema basi mi naludi bweni tutaongea mda mwengine. Mana nilishaona mwenzangu ana hasira sana. Basi nikafungua mlango akanishika mkono. Akasema nn sasa unaondoka unaenda wapi. Nimekwambia ushuke kwani au ushaanza kuwa na kiburi sa hiz. Mie nikanyamaza kimya nikawa nalia. Ahaa naona akajiikisikia vibaya. Akanikumbatia kwa nguvu. Akanmbia basi nisamhe ni hasira na wivu tu mke wangu. Ila naomba kesho mapema sana ufike ofisini ukamshtaki uyo mwanafunzi ntaongea na mwalimu wako sawa. Nikasema ndio . Akaaanza kujiongelesha ongelesha kuniweka sawa . Mie nikaamua tu kuyapotezea akataka kisss. Mie nikampa na apo hasira zote zikayeyeka.

Tulikisss mda mrefu mno. Mpaka kadindaa. Nikamuonea huruma ila kwa pale asingeweza kunifanya hivyo. Basi akanipa pesa . Nikabeba na mizigo yangu. Akaninga pale. Akanipiga mikwaara mno kuhusu uyo zayd akanmbia na ntafatilia nakwambia ole nijue chochote .hii itakuwa issue kubwa. Mie nikasema wala sina mahusiano naye akanmbia sawa. Bibie mie ndo nikaludi bwenini. Macho yamevimba .nyie mlige akikasilika hataki matani. Na aswa swala la wivu yani nilikuwa nawaza sijuh nani kamwambia mlige uo upumbavu mungi wangu. Daaah

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60


Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya ngu. Ila uyu zayd alikuwa ni mbishi kwangu jamani. Yni akiniona atanisalimia . Atanichekea.mala atanikonyeza daah alikuwa ananikwaza na kuniboa sana . Yani ni hanielewi tu. Ila na mm sasa nilikuwa nusu nusu .mh uyu bwana akinikonyeza nachanganikiwa mnoo. Yani najikuta napata furaha moyoni ya ajabu. Ila nikikumbuka kuna mlige naishiwa nguvu kabisa moyoni. Basi nabaki kujinyamazia tu. Basi bwana tukangaziwa visiting day sasa. Yani wazazi waje kutetembelea shuleni. Ila...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-59-na-60

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

915
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

719
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

691
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

505
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

398
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

251
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

175
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

104
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

89
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

71

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.56K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest