Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
Gonga94 · Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba tofauti na kile nilichokizoeaa mtume wangu mimi nimekufa hivi hivi najiona uwii, ndio nikakumbuka kilichotokeaa Mungu wangu nilikurupuka kana kwamba sjui nimemwagiwa maji ya baridi kitandani kuangalia anaepiga ni dada yooo nilichanganyikiwa nikaitizama sikupokeaa make ndio kuangalia nakuta missed calls kam 45 hivi yaani toka jana ananipigia. Mara anaingiaa Ellias na kikombe cha maji ya moto na kuniambia nikunywee, nilikunywa ila nikawa nasubiri da mariam apige, na kweli haukupita muda dada mariam alipiga, nikataka kuacha kupokea "pokea, usipopokeaa atazidi kuwa na wasi wasi juu yako kwa sababu hujawahi kutokulala nyumbani wee pokea na mtoe hofu mwambie kwamba upo sehemu salama sawa mke wangu alisema Ellias kwa hekima sana nilikubali kwa kichwa na kupokea simu

"Wewe upo wapi mdogo wangu hupokei simu shga angu me hadi nimeanza kupatwa na wasi wasi shgaaa." Dada angu alivyopokea tu alisema hivyo, nikaanza kujuta kumbe nimemtesa dada angu makusudi jamni "usijali dada nipo sehemu salama kabisa wala hata usihofiee dada angu kipenzi, ni jana tu kulikuwa na kikao cha bodi kiliisha usiku sana, nikaamua tu...." nilisem hata kabla sijamalizia akadakia dadaa kwahyo umelala officine na kwanini, hicho kikao. kilivyoisha hukunitafuta weee mjinga" dada alisema alikuwa anaongea kwa panic ndio Ellias alipochukua simu

"Usiwe na wasi wasi hata hivi nakupa maelekezo kuna sehemu uje sawa?, ndio yupo nakutumia dereva akufate hapo uje huku, ukifika kila kitu kitaongeleka, usiwe na hofu" Ellias aliongea machache yenye kueleweka sana. dada alikubali na haikupita hat masaa mengi alikuwa kafika pale, akaaingia ndani kwasababu ile nyumba haikuwa hata na mfanyakzi wa kumuelekezaa, alifika sebleni akapiga simu akaelekezwa sehemu ambayo tupo akaja

"Enhee wewee kimekukuta nini? Tena shga angu mbona sielewi najionea mauza uza tu hapa unaumwa ama vipi? Mbona sielewi?" Alisema dad Mariam sikuwa na jibu la kumpatia moja moja nilikuwa hata kumtizama siwezi ila Ellias hakutuacha wenyew alikuwepo, dada alikaa kimya akabaki ananichunguza kwa macho tuu na alikuwa haongei, dada ni kama kuna kitu allinotice, yeye ni mtu mzima akamgeukiaa Ellias

"Mmnefanya ujinga gani?, na umemfanyia nini Salma wee mgalatiaa?" Alisema akimtizam kwa jicho kali kweli Ellias hakuwa na jinsi ila kumueleza ukweli wa kila jambo, na akasema samahani kwa unyenyekevuu kwahyoo wewe huoni kam ni dini tofauti na hauwezi kumuoa huyuu, kwa akili zako mdgo angu yupo tayari kubadili dini wewee mjinga?" Dada alimuuliza Ellias kwa hasira, ila Ellias alikuwa mpole sana na mnyenyekevu si alikuwa anataka mzigoo, "kwahyoo wewee, umetumia vipesa pesa vyako kumpata mdgo ang sio?, najua huna malemgo naeee ya kumuoa kwasababu haiwezekani," dada akanigeukia na mimi" Hivi na wewe wakati unafikiria kufanya huu ujinga hukuwaza about wazazi wako watalichukuliaje hili?, mbona unakuwa mpuuzi wewe bintii" dada aliongeaaa na alikuwa mtata sana Ellias alijaribu kumuelewesha mpaka akajaa kwenye mfumooo alikuwa mgumu mwisho akalanika na kwenye dini alikubali kubadili yeye mwenyew, asijali, dada hapo alipoa ila alisema haamini mpaka

athibitishe hili.

Ellias alikubali kwamba atathibitisha, ila alitaka kwanza kwenda kushirikisha wazazi wake kuhusu ndoaa, na alituelezeaa kwamba kwao ni amezaliwa mwenyew hana dada wala mdogo na wazazi wake wapo Marekani, jamani nilikuwa nimelala na mwanaume hata sijui familia yake Ipo wapi mimi jamani sa angekuwa jini jeee, alisema atasafirii ili kwenda kuongea na wazazi wake, tulikubali na alisema atarudi baada ya wiki tuu maana wazazi wake ni wazungu wazungu kuhusu yeye kubadili dini hawatosumbuaa, tulikubali

Alituachia maagzio kwamab akirudi akute wazazi wangu, washakuja huku na alituachia pesa nyingi za matumizi plus na dada anavyopenda hela akaona shemela ndio huyuuu jamani, pia aliacha maagizo kwamba mdgo wangu akifika atapelekwa shule ya kusomea udereva па atamtafutiaa kazi kwenye makampuni ya magari, tulielewa na CEO aliondokaa....

Itaendelea....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*



Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba tofauti na kile nilichokizoeaa mtume wangu mimi nimekufa hivi hivi najiona uwii, ndio nikakumbuka kilichotokeaa Mungu wangu nilikurupuka kana kwamba sjui nimemwagiwa maji ya baridi kitandani kuangalia anaepiga ni dada yooo nilichanganyikiwa nikaitizama sikupokeaa make ndio kuangalia nakuta missed calls kam 45 hivi yaani toka jana ananipigia. Mara anaingiaa Ellias na kikombe cha maji ya moto na kuniambia nikunywee, nilikunywa ila nikawa nasubiri da mariam apige, na kweli haukupita muda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-16-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 15
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 15
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  Chapter 13
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 13
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12
*CEO USINIVUE  MI MCHUMBA WA MTU* *1-3* *______________________________________*       *SEHEMU YA KWANZA*  Hivii we huoni aibu mchumba mwaka wa pili huu ni mchumba...
*CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *1-3* *______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Hivii we huoni aibu mchumba mwaka wa pili huu ni mchumba...
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 8
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 7
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 9
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *      Chapter 10
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 10
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

711
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*

657
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

648
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

629
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*

615
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

418
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18

269
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*

224
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

109
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6

99

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.51K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.23K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.68K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.54K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* *  *16-20* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
@majario LIVE

*_______________________________________* .Chapter 19&20 Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
@majario LIVE

Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu Siku moja nikiwa chumbani...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA SABA*
@majario LIVE

Enzo akanyanyuka kwenye kochi alipokuwa amekaa na kuja kuniwal na kwa shauku akaniuliza. "Ishani wewe ni mjamzito" Nikabaki nikiwashangaa tu Maana sielewi ata hiyo mimba ukibeba unajisikiaje Mimi Nipo Nipo Kama fala...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 18
@majario LIVE

Tulifanya kama tulivyoagizwa na mpenzi wangu, ila sasa kuna kitu kilibadilika jaman, yaaani haikuwa tena wiki moja alikaaa kule zaidi ya miezi miwilii tena bila mawasiliano hili lilitupa mawazo sana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest