Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*
Gonga94 Β· Stories

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Mhh CEO alinitizama tuu maana, kisha akatabasamu hujafukuzwa kazi, ila ni vile tu hujaelewa nilikuwa naamaanisha nini hapo, binti sikusem kwa nia ya kukufukuza kazi basi nikisema pengine kuna siku utaacha kazi, na kwa jinsi nilivyokuona kwa huo uvivu wako siku ukiolewa usifanye kazi maan utakuwa unarepport kazini saa 5 asubuhi, mhhh unaweza kwenda", niliondoka huku nasema najiapiza yaani mimi nikirudia mimi kuchelew kuamka nibadilishwe jina jamni maana niliona mhh huku kunapoelekea ni kufukuzwa kazi kana siku ya kwanza hadi CEO wa kampuni niliyo ajiriwa kashajua udhaifu wangu ila mimi jamani niliondoka kumbe sir alikuwa ananitizama tu kwa jinsi naondoka kwa mwendo wangu wa maringoo kama twiga maaan nilikuwa nanata sio poa nairingia ardhi kwa mwendo wa cat walk , na nilikuwa sikosei kabisa, ila hata mlangoni sijafika naskia

"Kuhusu deni lako la kukanyagiwa viatu nitakuongezeaa kwenye mshahara wako wa mwisho wa mwezi sawa? Sikuitika nikajifanya sikuskiaa ila nilitabasamu nikaona hapa itakuja pesa ndefuu maaan hawezi niongezeaa 20k, maan inavyoonekan hanunui vitu hovyo hovyo. huwa ananunua sehemu maalumu kam shoppers na sehemu nyingine kama mall hivyoo, nilitoka nikamuacha pale officine kwake.

Nilitoka nikakutan na shem James aliniuliza nini kimetokeaa nilimjibu short nikajibu hakuna shida alionesh kunijali, na mimi nikajua ni kwa sababu ya Zakia tu asingekuwa shga angu nisingejaliwa hivi jamani

Hatimae muda ulifika wa kondoka na tulipewa 25k zet za nauli mimi kama kawaida yangu nikapit sehem kumtumiaa mperizi wangu Hussein pesa maaan nilikuwa. Nikipata kazi pesa nusu na robo ni ya Hussein na hapo Inayobaki huwa yangu na nilikuwa sitaki ushauri yaani dada yangu ananiambia mwanaume hapewi pesa ila mimi niliona ni sawa tu na sitaki kusumbuliwa kwenye mahusiano yangu kabisa. ukizingatia kashatoa na barua kabisa nyumban nilimuona yeye ni mtu wa maana san kwangu, hata hivyoo Hussein alinifany nimtegemeee kihisia jamani hili jambo sio zuri kabisaa yaani ukimtegema mtu kihisia inakuwa shida sana kumuacha na anakuwa anakumudu kila siku, hili jambo dada yangu alikuwa tu aniambia kila siku lakini mimi sikuwahi kumuelew kwanza nilikuwa namuona mzinguaji tu hana lolote

Nilimaliza kufanya mambo yangu nikawa natoka sasa nielekee stand maana kubolt sio kweli kabisa na hivi sina hela bora nichelewe kil siku nyumbani niliondoka nikapanda nauli nikaondoka zangu, nakuelekea nyumbani mimi niliwahi kufika kuliko dada nilifua suti zangu za kazini nikaanika, nikaoga nikavaa dera langu nikaona bora kwanza niende kwa Zakia nikapate. update za mtaani jamani hhh mie nae kwa umbeaa sijui nipojee napenda sana

"Hee shga bora umefika maaan nilikuwa nataka nikupigiee uje au kama umechoka nikufuate" alisema Zakia akiniambia mimi hata kabla sijakaaa, enhee kuna umbea gani shga angu maaan hizi taaarifa hadi za kunipigia simu sio buree umbea wa hadhi huoo We unavyooambiwa yuleee Hadija wa pale kwa Mama amina mshenzi kumbe yaani kawagoganisha wanaume wawili kumbe wote ndugu shga angu mhhh kuna watu hawana haya kabisa, halafu sasa huyo Hadija mwenyew mimi namuona ana haki ya kutembea nao wote wawili maaan yeye huyo mmoja hata alikuwa hamuhudumii ana kazi ya kumla tu, na saa nyingine huyo mwanamke ndio anampa pesa shgaa hee jamni ila yule nae hata kam ndio ndugu wawili enhee ndio hivyoo shga angu, "ila kakosea hapo tu kwenye ndugu wawili, Ingekuwa, watu wawili tofauti ningeonaa yupo sawa ila ndugu mwenzangu hii haijakaaa poa kabisa shga angu" heee kwahyo wanaume wawil Ingekuwa sawa jaman Mungu aniepushe kutembeea na wanaume wawili kwa muda mmoja" "mh ila wew nae mjini hapa kila nyumba ina namba, mh kwahyo boss wako akikutaka. humkubalii? Siez fanya huoo upumbavu mimi kwanza mimi sio wa hivyoo, me mtu wa heshma siwez kuwa na wanaume wawil mda mmoja na hata hivyoo Hussein wangu ananitosha" niliongea kwa msimamo na niliona pia Zakia alikuwa kashaniharibia siku yangu tayr maana nilikuwa sitaki kukerwaa kashaniingizia mambo meusi, nikaona niondoke tu tena hata bila kumuaga huyo Zakia mwenyew alibaki ananisindikiza na maneno ya kunitania" Sawa mam true love never die, one day yes utakuja tuu, hapa unaliaa maaana sio kwa tukio ambalo huyo Hussein wako atakufanyiaa maana unampenda sana, ila wewe haya kesho ukirud uje na zawadi alisem kwa mbali na sikumtiliia maanani mimi nilikuwa busy wala hata sikumpatiliza mee kwakweli

Nilifika nyumbani kwetu nikakaaa tu nimetuliaa, naona namba ngeni inanipigia nikapoke hallow mtu na yeye akajibu "hallow sasa kesho chelewa kazini sawa eeh, utaniambiaa vizurii sawa bintii? Kwan nani wee unanitishia maisha jaman wewe kijana wa hovyoo? We kazini kwangu unapajuaa auu ndioo shoboo? Nilijibu vibaya muda huo hata mtu anaongea simjui ni nani?" okay unaonekan hupendi namba ngeni ila me ni CEO wako Ellias" awee nilishgaa nusu niulize namba yangu katoa wapi? Ila kwa hili nilisita nilijibu tu Samahani mkuu sikufahamu hiloo. naahdi kwamba sitachelewa sir, kisha nikakata utafikiri me ndio nimepig ila mee jaman hapana

H

Nilimsubiri dada ngu tukala na kwenda kupumzika kwa ajili ya kesho ambayo kulikuwa, kuna kazi hususani mimi niwahi kazini maaana wazazi wangu wameambiwa wamefurahi utasem wameambiwa kwamba nina, fanya kazi. ikulu m, maana ntakuwa mtu wa kwanza kijijini kwetu kufanya kazi kwenye kampuni...

Itaendeleaaa...

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*



Mhh CEO alinitizama tuu maana, kisha akatabasamu hujafukuzwa kazi, ila ni vile tu hujaelewa nilikuwa naamaanisha nini hapo, binti sikusem kwa nia ya kukufukuza kazi basi nikisema pengine kuna siku utaacha kazi, na kwa jinsi nilivyokuona kwa huo uvivu wako siku ukiolewa usifanye kazi maan utakuwa unarepport kazini saa 5 asubuhi, mhhh unaweza kwenda", niliondoka huku nasema najiapiza yaani mimi nikirudia mimi kuchelew kuamka nibadilishwe jina jamni maana niliona mhh huku kunapoelekea ni kufukuzwa kazi kana siku ya kwanza hadi CEO wa kampuni niliyo ajiriwa kashajua udhaifu wangu ila mimi jamani niliondoka kumbe sir alikuwa ananitizama tu kwa jinsi naondoka...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-sehemu-ya-nne

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-usinivue-mi-mchumba-wa-mtu-sehemu-ya-nne
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

1.16K
*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 109 na 110*

*MY WANGU❀️* *sehemu ya 109 na 110*

754
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58

731
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

582
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 59 na 60

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 59 na 60

441
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

163
*REALLY LOVE Chapter 20

*REALLY LOVE Chapter 20

124
MY CRAZY BOSS 07

MY CRAZY BOSS 07

95
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3

88
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8

55

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.21K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.94K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.7K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.42K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.33K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.32K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.19K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Basi kama mwalimu nikamwambia Lizy apite akae, kweli na yeye akaenda na kukaa, kisha nikawatazama hao wanafunzi sasa walikuwa wananiangalia hao na mimi nikatoa mimacho yangu yote nje na...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6 Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * 5 to 6
@majario LIVE

Chapter 5 Kulikucha ila hata leo nilichelewa kuamka maaana dada pia inavyoonekana jana alichoka sana hivyoo na yeye pia alilala sana hakuamka pia nikajikuta nimeshtuka saaa moja ikabidi tu niwahi kujiandaa...

Baby Guddu, whose real name is Shahinda Baig, was one of the most loved child stars of her time. The daughter of filmmaker M. M. Baig Post Mpya
Baby Guddu, whose real name is Shahinda Baig, was one of the most loved child stars of her time. The daughter of filmmaker M. M. Baig
@majario LIVE

, she began acting when she was just three years old and quickly became a favorite among audiences for her innocent charm and natural expressions. During the 1970s and early...

Sad 😒 : Mtayarishaji mkongwe wa filamu Bollywood  M.M Baig, baba wa aliyekuwa msanii mtoto maarufu wa zamani Baby Guddu, Post Mpya
Sad 😒 : Mtayarishaji mkongwe wa filamu Bollywood M.M Baig, baba wa aliyekuwa msanii mtoto maarufu wa zamani Baby Guddu,
@majario LIVE

na aliyeshiriki katika kutayarisha filamu kama Razia Sultan pamoja na kuongoza filamu ya Chhoti Bahu, alikutwa akiwa amefariki nyumbani kwake, msemaji wake bwana Hanif Zaveri amethibitisha. Kwa mujibu wa taarifa Baig...

Nottingham Forest beat FenerbahΓ§e 3-0 in the first leg of their UEL knockouts playoffs tie. Post Mpya
Nottingham Forest beat FenerbahΓ§e 3-0 in the first leg of their UEL knockouts playoffs tie.
@majario LIVE

Nottingham Forest beat FenerbahΓ§e 3-0 in the first leg of their UEL knockouts playoffs tie. The VΓ­tor Pereira era is off to a winning start βœ…

Suniel Shetty has been married to Mana Shetty (born Monisha Kadri) since December 25, 1991, and their love story is truly old-school Post Mpya
Suniel Shetty has been married to Mana Shetty (born Monisha Kadri) since December 25, 1991, and their love story is truly old-school
@majario LIVE

. They met back in the 1980s and dated for almost nine years before getting married. Coming from different cultural backgrounds, their relationship did face resistance initially, but love and...

🚨 Al Ahly climb to second place in the Egyptian Premier League table after securing a 1–0 win over El Gouna. Post Mpya
🚨 Al Ahly climb to second place in the Egyptian Premier League table after securing a 1–0 win over El Gouna.
@majario LIVE

The decisive moment came through Emam Ashour, whose goal proved enough to seal all three points and keep the title race firmly alive. #AfricaSoccerZone #AfricanFootball

Jackie Shroff has been happily married to Ayesha Shroff since June 5, 1987, and their love story is one of the most real and long-lasting in Bollywood Post Mpya
Jackie Shroff has been happily married to Ayesha Shroff since June 5, 1987, and their love story is one of the most real and long-lasting in Bollywood
@majario LIVE

. Ayesha, who was a former model and appeared in the film Teri Baahon Mein (1984), has always been Jackie’s biggest strength. She stood by him even before fame came...

*REALLY LOVE Chapter 20 Post Mpya
*REALLY LOVE Chapter 20
@majario LIVE

fahima hakujibu kitu akarudi ndani naseven nae akarudi ndani, sasa ndonini miseme mbele za watu alisema fahima "siili uniamini kama nakazi nyingi alisema. seven sasa kwani nisipokuamini wewe unaumia nini alisema fahima unadhani ni...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA NNE*
@majario LIVE

Mhh CEO alinitizama tuu maana, kisha akatabasamu hujafukuzwa kazi, ila ni vile tu hujaelewa nilikuwa naamaanisha nini hapo, binti sikusem kwa nia ya kukufukuza kazi basi nikisema pengine kuna siku...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

59 MPAKA 60 MWISHOOOO 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Ahaaa basi nikamtoa na t shirt ya juuu. Wala hajabisha tena . Nikamfungua na sidiria yake. Kisha naikabugia ziwa lake la kushoto nikaliingiza mdomoni. Weeeeeee. Akaanza...

*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 109 na 110* Post Mpya
*MY WANGU❀️* *sehemu ya 109 na 110*
@majario LIVE

Aseeeee ata nikifurah ndo sio wangu ni mume wa mtu. Basi nangalia missed calls mama kanipigia sana . Wee mimi wala sikutaka kumpigia mama nikamtumia tu sms.mama mi naludi keshi...

MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyamaπŸ₯²hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest