Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili uweze kukaa mbali na mme wangu?! Kwanini hukomi.... natakiwa kufanya nini ili kumkomesha huyu binti kama ni matusi tushatukanana sana....kama ni kupigana tushapigana niliwahi kumng'ata hadi kwenye makalio yake sababu ni hiyohiyo kumganda mme wangu lakini mbona haachi..... nimtumie vibaka wampoteze?! Au nimtumie mtu wa karibu yake amtilie hata sumu kwenye chakula ale afe😟😟 au nimtumie nurse eve nitamlipa ili amchome lia sindano yenye sumu ili aweze kupoteza maisha....siwezi kumuacha mme wangu siko tyr kuanzisha mahusiano mapya......nitadiri naww lia na nitakufunza namna ya kuheshimu ndoa za watu....hivi ni kweli nimedhamiria kutaka kumuuaπŸ€”πŸ€” duh vipi kama mzimu wake ukiwa unanitokea na kunisumbua si nitaishi kwa wasiwasi sana🀨🀨 ila nahisi kinachomchanganya lia ni mapenzi.... upendo alionao kwa mme wangu ndo kitu kinachomfanya ashindwe kabisa kumove on..... nitamsaidieje sasa ili aweze kutambua kuwa paschal ni mme wangu na haipo siku ambayo yeye atakuwa wake......

Kiukweli niliwaza sana siku ile..... nilifikia uamuzi wa kwamba nijiandae niende kule hospital waliko niende nikawaone niliwaza kumuua lia apotee kabisa kwenye uso wa dunia lakini niliona hiyo siyo njia sahihi..... nilijiandaa nikaandaa na chakula baada ya hapo niliondoka kuelekea kule hospitalini....nilimkuta eve aliniongoza hadi sehemu aliko mme wangu.... maskini mme wangu alikuwa kachoka sana alikuwa tu amekaa kwenye viti vya wagonjwa na alipitiwa na usingizi pale nilivyofika pale karibu yake nilimuonea huruma sana ananificha ili kuilinda ndoa yetu nahisi hiyo ndiyo sababu pekee inayomfanya yeye apambane na haya peke yake bila kunihusisha...... nilimsogelea karibu pale nikaketi kwenye kiti cha pembeni yake nilimgusa began zaidi ya mara tatu lakini hakushtuka nilimuacha alale kwanza niliomba kwenda kumuona lia nurse eve alinipeleka kule alikolazwa lia hakuwa katika hali nzuri tangu alipofanyiwa operation alikuwa hajapata fahamu......

Nilimtizama alipokuwa kalala usingizi mzito sana wala hata alikuwa hajitambui.... kiukweli nilimuonea huruma sana nilifunga macho yangu pale nikamgusa lia mkono wake nilimfanyia maombi nilimuomba mwenyezi mungu amuamshe pale akiwa mzima ili aweze kumuona mtoto wake na kumlea..... niliombaaaa....... nakuomba...... nilimsihi mungu ampe pumzi yule mwanadada lia.... baada ya kumaliza kuomba niliyafuta machozi yangu yani niliomba kwa hisia hadi machozi yakawa yananitirilika ..... mimi ni mama niliyezaa nina watoto nilimuwazia zaidi yule mtoto kichanga aliyemzaa lia niliwaza vile wanangu wanavyokuwa huru kwangu nikamuwazia na yule mtoto mdogo wa lia anahitaji zaidi uwepo wa mama yake...... nilimuomba mwenyezi mungu ampe uzima lia......baada ya kuyafuta machozi yangu niligeuka nyuma nilishangaa kuona paschal akiwa amesimama pale mlangoni na alikuwa anabubujikwa na machozi mengi sana baada ya mimi kumgeukia paschal alipiga magoti chini huku akiwa analia aliniambia naomba unisamehe sana mke wangu kwa kukuficha juu ya hili..... sikutaka kuendelea kuwa pasua kichwa kwa mme wangu pale alipokuwa alikuwa na stress nyingi sana sikutaka kumuongezea stress zingine na hata hivyo nilishaamua kuwa wife material kwake.... nilimfuata nikamuinua pale chini nilimpangusa machozi yake na baada ya hapo nilimkumbatia nikamwambia Acha kulia..... naelewa kila kitu lakini kunificha haikuwa njia sahihi uliyoamua kuichagua..... aliniomba radhi aliniambia jana jioni kipindi nataka kutoka ofsini......

Alinifuata baba yake lia aliniambia kuwa binti yake yuko hospital anapambania uhai wake na wa mtoto aliniomba niambatane naye kwa sababu lia ameomba sana niende nikamuone hospital nilishindwa kukataa niliongozana na baba yake lia hadi huku hospital nilimkuta lia akiwa na hali mbaya sana alikuwa analia na kuniambia kuwa yeye atakufa alitaka tu mimi nije ili aniombe nimulee vyema mtoto atakayemzaa.... kuzaa kwa njia ya kawaida ilishindikana ikabidi afanyiwe operation jana usiku na tangu alipofanyiwa operation hajaweza kuamka hadi mda huu..... ucjali hatokufa ataamka.... nilimtia moyo paschal nilimshikilia mkono hadi nje kule kwenye gari nilimpatia chakula akala hakula chochote tangu jana usiku alikuwa na njaa sana alimaliza kula akanishukuru then kwa pamoja tuliendelea kusubilia majibu ya madactari kuhusiana na hali ya mgonjwa ..... nilipelekwa nikamuona yule mtoto wa lia..... mtoto alikuwa sawa hakuwa na tatizo lolote lile kiafya..... ni wa kiume alifanana sana na paschal 😣😣 Kiroho lazima kiume buana duh yani unawaza kabisa hili bao lilipenya lotelote ina maana hawa watu walikulana nyama kwa nyamaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ lakini yule ni mtoto huwezi kumhukumu..... paschal hakuacha kuomba radhi kila sekunde nilimuondoa shaka.....

Ilifika hadi jioni lia akiwa hajazinduka kutoka usingizini.... tuliruhusiwa kumchukua yule mtoto tukaondoka naye kwa kuwa yeye hakuwa na shida yoyote..... nilimchukua nikaenda kumhudumia nyumbani kwangu lia katika maisha yake kalelewa na baba tu hapakuwepo na mtu katika familia yao ambaye angemchukua yule mtoto na kwenda kukaa naye.... uzuri ni kwamba kipindi hicho tayari paschal alikuwaga kaishanifungulia ofisi yangu na mimi ndo niliyekuwa boss hiyo ilinifanya nipate muda wa kumhudumia yule mtoto mimi mwenyewe kwa mikono yangu kwa sababu sikuwa na zile heka heka za kuwaza mambo ya kazini kwa sababu nilikuwa nimejiajiri mwenyewe..... usiku mida ya saa nane tulipatiwa taarifa kuwa lia ameamka...... zilikuwa ni taarifa njema kesho yake asubuhi tuliamkia hospital tukampeleka na mtoto ili aweze kupata maziwa ya mama....lia hakuwa katika hali nzuri bado alikuwa hajaweza kuongea kitu chochote kile na hata kupumua alikuwa anapumua kwa mbali sana hali yake ilikuwa inatisha sana..... tiliendelea kuwa tunamtembelea hospital tulikuwa tunampeleka na mtoto kwa ajiri ya kwenda kupata maziwa ya mama.....

Zilipita kama 2 weeks hali ya lia ilianza kutengamaa kwa kiasi Fulani alianza hata kuongea japo kwa tabu sana....aliniomba radhi kwa ubaya aliowahi kunitendea hapo nyuma....asante kwa kunilelea mtoto wangu pendo nakuomba unisamehe kwa ubaya wote niliowahi kukutendea hapo nyuma..... kila siku nilikuwa ni mtu wa kumfuata fuata mmeo japo kila siku alikuwa akinikumbusha kuwa yeye ni mme wa mtu na moyo wake tayari ulishakupenda wewe mke wake sikutaka kukubaliana na uamuzi wake niendelea kumshawishi na kumtega sana tu hadi nikafanikiwa kufanya naye mapenzi nilikuwa natamani akuache ili anioe mimi lakini hiko kitu kilikuwa kigumu sana kwake...... siku niliyoamini kuwa paschal siyo wangu na hawezi kuwa wangu ni ile siku uliyotufumania kule nyumbani kwako paschal alinifukuza mimi na wewe ulibakia..... siku ile ndo niliamini kweli cha mtu huwezi kukimiliki..... sikukata tamaa baada ya siku kupita nilipoanza kuona mabadiriko ya mwili wangu nilikwenda hospital kupima ndipo nilipogundulika kuwa mimi ni mjamzito......

Nilikuwa nikimtafuta paschal bila matumaini simu zangu alikuwaga hapokei kabisa na hata msg zangu alikuwa hajibu....siku niliyokata tamaa juu ya paschal ni ile siku aliyonionya kuhusu kuwa nampigia pigia simu kila muda alithubutu kunipatia namba yako ili nikiwa na shida nikutafute wewe na siyo yeye kiukweli nilijichukia sana mimi nilijua nikiibeba mimba yake inaweza ikamshawishi yeye akanipenda mimi lakini kumbe nilikuwaga najidanganya tu.....mimi nakuomba tu unisamehe najua mimi ndo niliyekuwa sababu ya mvurugano usio kwisha kwenye ndoa yenu..... mmeo anakupenda na mimi nimeliamini hilo....sitaki tena kuwa sababu ya uvunjifu wa amani kwenye ndoa yenu kiukweli natamani kuwaona mkiwa mnaishi kwa furaha..... hali yangu ni kama hivi unavyoniona sijui kama nitapona ila hata nikifa basi nitaenda kwa amani kwa sababu angalau nimeweza kukuomba wewe msamaha kwa usumbufu niliokuwa nikikupatia nawaomba mnilelee mtoto wangu nakuomba unisamehe pendo......


Itaendeleaaaa......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜


Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili uweze kukaa mbali na mme wangu?! Kwanini hukomi.... natakiwa kufanya nini ili kumkomesha huyu binti kama ni matusi tushatukanana sana....kama ni kupigana tushapigana niliwahi kumng'ata hadi kwenye makalio yake sababu ni hiyohiyo kumganda mme wangu lakini mbona haachi..... nimtumie vibaka wampoteze?! Au nimtumie mtu wa karibu yake amtilie hata sumu kwenye chakula ale afe😟😟 au nimtumie nurse eve nitamlipa ili amchome lia sindano yenye sumu ili aweze kupoteza maisha....siwezi kumuacha...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-68-69

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

1.06K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

835
MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❀️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

678
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57

530
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜

525
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜

467
MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58

437
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

255
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

118
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7

110

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.42K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.31K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 07 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 07
@majario LIVE

SONGA NAYO Asubuhi wa kwanza kuamka nilikuwa mimi,nilijikuta na uchovu wa ajabu sana,nikaona niamke nielekeee chooni kukojoa Ile natoka tu kwenye shuka 😳😳nikagundua nipo uchi wa mnyamaπŸ₯²hapo ndo akili ikanirudi nikagundua yaliyojiri...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❀️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be BrΓΆtchenβ€”those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing societyβ€”it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity πŸ’”  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity πŸ’” Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hiiπŸ˜ͺπŸ˜ͺ yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama woteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest