Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
0742133100 Babie Love
Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea mjukuu wangu nini kimetokea kati yako wewe na paschal na kinaendelea kitu gani pendo?! Nini kimemkuta mwanangu?! Samahani baba paschal alidondoka bathroom bahati mbaya akaumia damu zikaanza kumtoka puani na mdomoni alipoteza fahamu pia baada ya kuwa kadondoka pale chini...... πŸ₯ΉπŸ₯Ή my son cjy hata ni kwanini anakutana na vitu vya aina hii kila kukicha..... vipi hali yake anaendeleaje?! Hali yake siyo nzuri baba lakini nina imani atakuwa sawa tu.....yule baba ni mzungu anaelewa alinipa tu pole japo nilimdanganya sikusema ukweli kama mimi ndo niliyemsukuma paschal kule bafuni....... niliagana pale na Hemed akaondoka na mimi nikaingia ndani kwangu.......

Nilipiga got chini nikasali kwa ajiri ya amani katika mahusiano yangu pamoja na hali ya mchumba wangu paschal baada yahapo nilikwenda kuoga then nilikwenda chumbani kwa binti yangu kwa ajiri ya kumnyonyesha ili aweze kupata usingizi mzuri......usiku ule nililala kesho yake mapema baba yake paschal alikuja kunichukua tukaenda wote hospital huwa ananipenda sana yule mzee tulivyofika kule hospital tuliruhusiwa kumuona paschal tayari alikuwa amesharudiwa na fahamu zake...... Boo I'm sorry 😞 πŸ˜” nilimwambia huku nikiwa natokwa na machozi alismile then akaniambia usijali niko sawa alinikumbatia na kunikiss kwenye lip's zangu mbele ya baba yakeπŸ™ˆπŸ™ˆ......nilikuwa nimembebea uji wa moto anapenda sana uji wa lishe ule😁😁 nilikaa pembeni nikaupooza nilimwacha aongee na baba yake sikutoka nje nilijiegesha tu pembeni kidogo nikawa nampozea uji baba yake alimuuliza ilikuwaje hadi ukadondoka nini shida au kuna tatizo kwenye mwili wako?! Hapana daddy nilikuwa tu nacheza na mke wangu lakini bahati mbaya niliteleza nikawa nimeanguka chini🀨🀨 oh pole sana kijana wangu utakuwa sawa unajisikiaje lakini....... I'm okay daddy..... khe nilishangaa kumsikia paschal akinitetea kwa baba yake πŸ™ˆπŸ™ˆ make nilishaanza kutetemeka vipi kama akimwambia kuwa mimi ndo niliyemsukuma😁 nilimaliza kuupoza ule uji as a wife material πŸ€ͺπŸ€ͺ nilijisogeza pale kitandani kwa baby daddy wangu nikaanza kumnywesha ule uji kwa kutumia kijiko...... alikunywa huku akiwa ananitizama machoni kwangu nilikuwa naona aibuπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ˜† samahani et kiukweli cjy hata ningefanya nini endapo kama ungeshindwa kuamkaπŸ™ˆπŸ™ˆ nilimwambia boo.....nisamehe mimi pendo mimi ndo sababu ya haya yote lakini bado nakupenda wewe tu.....

Niliendelea kumnywesha ule uji paschal alinishika mkono wangu akanizuia nisiendelea kumnywesha uji mmmhh😳😳😳 kunywa why unanizuia kukunywesha?! Alinitizama kwa muda bila kuongea chochote baada ya muda aliniuliza kwa hiyo ulikusudia kabisa kuniua mimi?! Boo hapana hata wewe unajua siwezi kufanya hivyo kwako sikukusudia et tafadhari nakuomba usiniwazie hivyo nilijikuta tu nimekusukuma lakini sikutenda kwa kukusudia ni vile tu nilizidiwa na hasira...... hasira tu?! Ndiyo baby lakini najutia kwakila kitu..... naweza nikaamini kuwa kule bafuni hukutenda kwa kukusudia huenda kweli ni hasira ndizo zilizokupelekea wewe kufanya vile lakini hata huku hospital nini kilikuzuia wewe kunitolea damu mimi?! Hiyo inadhihirisha wazi kwamba wewe Huna tena mapenzi na mimi......

Noo haiko kama wewe unavyofikilia lakini pia kama umeshafikilia hivyo siwezi kukulazimisha wewe kuacha kufikilia hivyo🀞🀞 unamaanisha nini pendo?! Kama hujui ninachokimaanisha basi hata nikikufafanulia pia hautoelewa Acha ibaki kuwa fumbo kwako...... kwa hiyo uliridhia lia anitolee mimi damu?! Ndiyo paschal nililidhia kwani kuna ubaya wowote Lia kukutolea wewe damuπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ pendo sielewi hata kwanini unanifanyia hivyo πŸ₯ΉπŸ₯Ή kwa hiyo wewe hunipendi tena siyo😭😭?! Ndiyo sikupendiπŸ˜”πŸ˜” siwezi kumpenda mtu anayenisaliti mimi🫰🫰...... paschal alilia machozi bahati nzuri mida ile ile alikuja lia pale hospital nyieeeeee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† mgonjwa baada ya kumuona lia alipata na nguvu za kunyanyuka pale kitandani alienda akamkamata Lia akamwambia Lia naiweka hii mikono yangu mbele zako wewe nakuomba ukae mbali na mimi kaa mbali na mahusiano yangu sikupendi kimapenzi na haitokuja kukaa ikatokea mimi kumsaliti mwanamke wangu unamuona yule pale aliyekaa pale yule ni mke wangu mtarajiwa na ni mama wa mtoto wangu ninampenda kuliko kitu chochote kile ukishindwa kumheshimu basi nitakufundisha namna ya kumheshimu...... nyie paschal aliongeaπŸ˜†πŸ˜† lia na vile ni kimbau mbau kilianza kulia pale na kutia huruma shem Romeo aliingia pale akiwa na baba paschal nini kinaendelea hapa aliuliza shem Romeo...... Romeo nakuonya Leo na sitokuonya tena juu ya huyu mwanamke nilishakwabia kuwa tayari mimi ni mme mtarajiwa wa mtu na tayari nina mtoto na nina furaha ya kuotosha kwenye mahusiano yangu hiki unacholazimisha kitokee hakitotokea kamwe naomba u tambue ya kwamba nampenda sana pendo na yule ndo mke wa maisha yangu Acha huu upuuzi unaouendekeza kuanzia Leo lia usikanyage ofisini kwangu wala katika makazi yangu yoyote yale naombeni ninyi wawili muondoke mahali hapa....... kheee yamekuwa hayo tena mbona ghafla πŸ˜†πŸ˜†πŸ«°

Paschal 😳😳 alimuita Romeo kwa mshangao......namaanisha Romeo ondoka hapa wewe na Lia nimemvumilia sana huyu mwanamke na kila siku ninamuonya akome kujilinganisha na mwanamke wangu kwa sababu hawezi kumfikia hata kwa robo tu🫰🫰 nilishamwambia kule ofisini afanye kile kilichomleta lakini yeye anahangaika na vitu vingine swala la mapenzi mimi na wewe lia haliwezekani na halitokaa likawezekana stop huu ujinga wa kunifuata fuata unamfanya mwanamke wangu apoteze uaminifu kwangu nakuonya na usirudie...... paschal aliongea sana siku ile baba paschal aliwafukuza pale Romeo na Lia ili wasiendelee kutukeraa alitukarisha kikao palepale hospital alituunganisha tena tukawa wamoja tuliondoka pale hospital tukiwa na maelewano mazuri mimi na boo wanguπŸ™ˆπŸ™ˆ sema ndo vile tena sikutaka kuonyesha furaha niliyoipata baada ya paschal kumuonya Romeo na lia mbele yangu asijevimba kichwaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani nilishaamua awamu hii nitampenda kwa siri yani hatojua niko upande gani wa kumpenda au kumchukia atajua hajuiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Penzi langu na buu wangu lilirudi mahala pake wataalam wanasema penzi penzini🫰🫰 alinionyesha penzi lake lote kwangu hakuficha hata chembe sema awamu hii ni kama nilishaanza kushtuka Fulani hivi kamoyo kangu kalishaanza kupunguza ule upendo uliopitiliza kwa Mr paschal taratibu nilianza kumuwaza zaidi Hemed nilijishangaa kila muda natamani kumuona Hemed kila nikiona msg yake nasmile kuna kafeeling Fulani hivi nilikuwa nakapata juu ya huyu mwanaume wa kizanzibarπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ hebu kwa pamoja tumkemee shetwan🀞🀞

Itaendeleaaaa.......
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

0742133100 Babie Love
Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea mjukuu wangu nini kimetokea kati yako wewe na paschal na kinaendelea kitu gani pendo?! Nini kimemkuta mwanangu?! Samahani baba paschal alidondoka bathroom bahati mbaya akaumia damu zikaanza kumtoka puani na mdomoni alipoteza fahamu pia baada ya kuwa kadondoka pale chini...... πŸ₯ΉπŸ₯Ή my son cjy hata ni kwanini anakutana na vitu vya aina hii kila kukicha..... vipi hali yake anaendeleaje?! Hali yake siyo nzuri baba lakini nina imani atakuwa sawa tu.....yule...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-45

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

608
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

549
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

421
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

396
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

335
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

65
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

58
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

43

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest