MIMI SIKUACHIπ₯° Sehemu ya 10 na 11
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako na mwanmke wako mmoja tu. So ni kweli mzuri ila sio kwamba alinibanisha sana au alinivuruga sana kama alivyompagawisha lemi no. Wala.sikupagawa kiasi iko mimi. Basi yule dada akapanda mbele pale na akaanxa kutupa seminer mbali mbali za mwaka wa kwanzaa. Aseee ni siwe muongo . Uyu dada anaongea vizuri mno. Yani anaongea vizuri sna. Ana sauti tamu kweli kweli. Yani achoshi kumsikiliza .ila nilimsahangaa uyu demu wakati anaongea alikuwa ananingalia sana. Yani macho yake yote yapo kwangu . Mpka nikawa najistukia sasa
Lemi akawa ananmbia unaona mtoto anavyokuangalia kumbe sikukosea ile siku alikuwa anakuongelea ww. Mi sikuongea nikakakusha kimya mana lemi bwana namjua anaweza akanzisha kelele wakati tupo sehemu ambayo kuna watu wengi sana. Nikakausha kimya.na baada ya ule mkutano mi nikamstua lemi tukasepa . Ila tukapitia cafe pale .tukapiga msosi kisha sasa ndo tukaeleke hostel.basi tulivyofika lemi akanmbia
unamuona mchumba yule .umeona mkundu ule.ahaa mtoto kajazia .jamani kuna watu wanamwagia pazuri. Ahaa demu mkari kinoma.yani mzuri aswaa. Alafu mtoto kakuelewa yule plsssss akijichanganya tu haji usimuache nakwambia.mimi nikacheka tu.kisha nikapanda kitandani kwangu na nikapumzika .nklihisi nimechoka kutokna napilika pilika zetu za chuo.
Na nikamka usiku kaam saa 1 . Na ni baada ya simu yangu kuita na alokuwa ananipigia alikuwa kipenzi changu fatuma. Basi tukasalimiana vizuri na mpenzi. Na tukaongea mengi sana.mana fatuma huwa ananipa habari kibao za nyumbani . Mpaka nikamwambia ntakucheki mke wangu. naenda kupiga msosi kabisa wa usiku. Usije ukaisha akanmbia powa hakuna shida kipenzi.ndk nikakata simu .na kweli nikaondoka na lemi kuelekea cafe. Basi tulipomaliza kupiga msosi cafe tukaludi hosteli.na apo nikaanza kupitia tulichofundishwa daradani kwa hii siku. Sikuchelewa kumark na kuelewa tulichokisoma mana mimi kwanza nna kichwa kizuri sana na chepesi kushika vitu.
Basi mida kama ya saa 5 nataka kulala. Naona simu yangi inaita na namba ngeni ndo inapiga. Nikapokea simu.nikasema hallow. Aseee nikasikia suti ya mtoto wa kike tamu kinoma hallow haji. Nikasema ndio nanii mwenzangu sijakujua. Mh yule dada akasema ahaa mimi ni princess haji. Doooh nikajua kumekucha na nilishamjua ni princess gani mana tayali nilishaikumbuka sauti yake.nikamuuliza princess yupi. Akanmbia ni princess wa mwaka wa pili. Yule dada kuongozi nilokuwa naongea na nyie kwenye kikao mchana.nikasema sawa nimekupata nambie. Akasema haji samahani tunaweza kuoanana kesho ata tukapata lunch pamoja chuo.nikasema hapana princess htuwezi kesho nipo busy sana na vipindi. Eeeh lemi sindo akasiikia nimetaja jina princeess na yeye alikuwa busy na simu. Ila aliluka kama kipanga haraka aasogea nilipo
Princess akasema ahaa sawa naelewa sasa ni lini utakuws free tutapa naafasi ata ya kuongea ti .nikasema kiukweki sijajua ila ikitokea nimepata nafasi ntakutaarifu namba yako si hii. Akasema yaah ni hiyo haji. Nikasema.sawa princess ila hujanieleza una shida gani mpaka unataka tukutane na tuongee.akasems ahaa kawaaida haji ni kujuana tu. Au nimekosea wewe huitaji hilo.nikasema wala nikiwa fresh ntakuchek. Akasema sawa haji usiku ..... yani kabla hajamaliza mi nilishakata simu yangu. Sikutaka mazoea nae sana.mana nilishaona kwa jinsi anaongea kwa kudeka nikajua ana kitu uyu. Na mm kwanza demu mkari kama yeye simtaki sina mavi ya kumiliki mwanamke mzuri kama princesss.
Basj lemi akanambia daah kweli miti inaotaga pasipo na wajenzi. Yani demu anakuomba lunch unasema una vipindi. Hiki ni chuo hajj na wala sio shule mzee.sio kwamba usipoingia darasani mwalimu atakuchapa ww. Sio kweli bwana.unamuachaje mtoto uyo anakuomba mpka.lunch mwanangu mbona kama una malalia ww. Nikacheka sana kisha nikaumuuliza lemi kwani uku chuo mmi nimefata lunch.no mimi nimefata kusoma lemi na ndo mana suala la kusoma kwangu linakuwaga la kwanza na mengine yanafata nyuma .umeelewa apo. Lemi akasema daah we jau fresh hakuna noma. Basi mi nikavuata shuka langu nikataka kupumzkka sasa. Mh nikashika simu nakuta uyu princess kanitumia sms. Et mh haji umenijibu kiukali mpaka.nimeogopa samahani kama nimekuambia jambo baya na nimekusumbua .mimi wala sikutaka kumjibu nikavuta shuka langu nikalala zangu
Na. Asubuh mi niliamkia chuo kipindi cha asubuh kabisa. Ila lemi wala hakuudhuria alishindwa kuamka mapema kujiwahi. Ila mie tena mpenda kusoma nilidamka na nikawahi kusoma.mi na lemi tukakautana katika vipindi vyaa saa 4. Na tukaendelea na ratiba zetu mapka saa 7 mchana apo tukawa hatuna ata vipindi. Mi na lemi tukaenda kukaa kwenye vimbweta tukipiga story sasa. . Ila lemi akanmbia anakuja kuna mtu anaongea nae mala moja .nikamwambia fresh. yani ile lemi anatoka tu. Na gari ikapaki.kwa pembeni. Kisha sasa akashuka princesss. Mh uyu demu yupo njema alafu anapendeza kinoma noma. Hii siku alivaa kigauni kifupi.cha kubana kilichola bodi lake sio powa . Ahaaaa. Basi akanisogelea mpaka nilipokaa.kisha na yeye akakaaa . Mh demu mkari bwana
Akanmbia haji mambo. Nikasema powa vp. Akanmbia powa tu . Mbona jmekaa mwenyewe aapa. Mana nilizani nakufananisha.nikasema aha anilikuwa na mwenzangu ila katoka mala moja.akasema ahaa sawa ila haji una tabia mbaya jana si umekataa lunch yangu ww. Mbona leo uhuu mda nakuona apa . Na ni mda wa lunch. Nikasema ahaa vipindi vimegharishwa leo na mda sio mrefu ila ni kweli nakuaga na vipindi huu mda.
Basi princess Akaningalia kisha akasema sawa bwana.. but hatujachelewa now tunaweza kwends na tukapata chakura pia. Nikasema ooh sory mie nkmeshakula mda sio mrefu. Wala sio kweli sikuwa nimekula ata. Ila sikutaka tu kuongozana nae . Akanmbia aya bwana. But si tunaweza kuwa marafiki haji. Kisha akanipa mkono wake. Nikaona aya isiwe kesi nikapokea mkono wake. Nikasema yaa tunaweza princess hakuna shida.Mh mtoto ana mkono mraini kudadeki sio powa. Basi akatabasamu nakwambia mtoto mzuri uyu. Kisha sasa .mi nikaachia mkono wake. Nashangaa yeye kaung'ang'ania mkono wangu
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi