Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
Gonga94 Β· Stories

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
12 MPAKA 13
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑


Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo apa kumbe . Mambo . Princess akatabasamu akasema powa lemi. Nilikuwa napita apa nikamuona haji .nikaona nije kumsalimia . Lemi akasema ahaa hakuna noma princess tupo. Mh lemi anavyojichekesha sasa kwa uyu demu. Jamaa mikazo ziro uyu yani kukaza hawezi kabisa. Princesss akasema mh aya bwana nilitaka kutoka lunch na mshikaji ila kanambia ameshakula . Lemi akaningalia . Mk nikamkazia macho. Princess akasema okey basi siku nyengine kipenzi. Kisha akanyanyuka .akasema lemi siku nyengine basi. Lemi akasema powa mrembo karibu sana.

Basi yule demu akaondoka. Akaingia kwenye gari yake akasepa. Dooooh mzuri sana uyu mwanamke .kwanza ananukia dunia ya saba wallah.basi akatoa gari yake sasa . Lemi akanmbia daah mwanangu una bahati sana ila nahisi huitaki iyo bahati. Nikasema sio bahati nna majanga . Asa demu kama yule mmi ndo ni mmiliki si nataka kufa kwa presha. Demu mzuri . Demu ana shepu. Demu ana pesa. Demu sijuh kiongozi apa chuoni. Demu ana gari ya ndoto yangu. Asa mimi nna mavi gani ya kumiliki demu mkari kama yule.lemi akasema sikia uyu mtoto kakuelewa usimkazie basi. Nikacheka nikasema lemi uyu demu kweli mzuri sana na mkali ila moyo wangi wala haujamuelewa .mm nampenda sana mwanamke wangu. Lemi akasema sikia ww. Wanawake ndo wanalinda penzi. Yani fatuma ndo hatakiwi kukusaliti ww. Sio ww babu. Asa we nyege zako unamaliza wapi na tunaishi wawili .we siku utataka kunibaka nishakuona..aseee nilicheka mimi lemi ana maneno ya kisenge konomaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Basi tukatulia pale akiendelea kumuongelea princess mpaka mda wa vipindi ulivyofika tukaingia class. Basi tulivyomaliza vipindi bwana . Nikaludi room basi ile nakaa tu.naona namba ya princess ina piga doooh nikampokelea akanmbia hellow dear uko room now.nikasema vp kwani una shida gani. Akanmbia ahaa kuna kitu nimeagiza kwa ajili yako apa haji. Nataka kumuagiza mtu akuletee.nikasema sawa nipo room ndio. Akanmbia okey unaishi room. No ngapi? Nikasema 52. Akanmbia sawa . Basi atakuja mtu apo anakuletea mzigo wako haji. Nikasema powa. Nikakata simu nikaona uyu demu mbona kama anafosi kuzoeana na mimi sana kwanza. Ila nikakausha.nikawa naendele na mishe zangu.

Mala akaingia lemi . Nikamwambia lemi princess kapiga simu et kuna mzigo ananiletea apa. Lemi akasema dooooh analeta nn. Nikasema sijamuuliza.lemi akasema nilitaka kwenda kupiga msosi ila siendi kwanza mpaka uletwe uo mzigo. Nikacheka nikasema twende tukale fala ww. We unajua uyo mtu atakuja saa ngapi. Basi tukawa tunatania pale. Mala mlango ukagongwa mmi ndo nikaenda kufungua. Nikamkuta nj jamaa kavaa t shirt ambalo lilionesha .anatokea katika kampuni ya mapishi .mi nikasema karibu . Yule jamaa akasema we ndo haji .nikasems ndio ndo mimi akanmbia basi nimepewa mzigo wako apa nikuletee. Mi nikapokea lilikuwa ni boksi ila kwa haraka nikawa nishagundua kile ni chakura. Kutokana na harufu yake nzuri ya kushawishi.

Basi mk nikapokea nikaja nacho ndani sasa. Doooh chakura kinanaukia kinoma. Nikakitoa kwenye boksi. Mule ndani ya boksi kulikuwa na vipaseli vidogo vidogo kama saba. Yani kulikuwa na kipaseli cha kuku mzima.kipaseli cha biriani.kipaseli cha pilau. Kipaseli cha ndizi rost. Kipaseli cha nyma choma.kipaseli cha nyama rost..na ndizi nymaa. Aseeee mi mwenyewe niliona kweli ndio. Nyei lemi alivurugwa akasems doooh hi yote sh ngapi. Uzuri katika boksi kuna risiti imebandikwa nikavuta nikachek.et katumia laki 1 na elfu 32. Doooh sijakaaa sawa sms ikaingia kwenye simu yangu nacheki ni yeye ndo kanitumia. Kaandika " haji nilikuomba lunch leo ukanikatlia sababu ya ubusy wa vipindi vyako vya chuo. Ila nimeona basi nikuagizie ata dinner japo hatutokula wote kwa pamoja. Naomba ule basi na usinifikilie vibaya .nimefanya as frind si unakunbuka nilikuomba urafiki leo mchana"

Mh mmi nikamjibu thanks. Basi sikuongeza neno na yeye wala hakunijibu. Oyaa lemi alishaanza kula mshikaji uyu. Nikacheka nikamwambia lemi hivi vitu hatumalizi pigia simu wadau wengine kama wawili tuunganike apa. Akanmbia ahaa unyama. Kweli akawapigia washikaji wengine wawili tunasoma nao coz moja oyaa tukapiga kweli kweli. Ila kuhusu chakura kimetoka wapi wala hatukusimulia. Baada ya msosi kuisha washikaji wakashukuru kinoma. Kisha wakasepa room kwao. Ata mimi nilishiba sana alafu nilikula vitu vya maana na vitamu mno.basi Lemi akaanza kumuongelea princes. Ohhhh nikoana uyu nitamkoma.nikachukua simu yangu .nikamwambia natoka nje naenda kuongea na mke wangu. Akanmbia powa bwana ila mfikilie na mrembo yule upate pa kumwagia babu.nikacheka tu kisha nikatoka zangu njee. Mh uko niliongea na simu sana na fatuma tukibebishana nikaludi room sijuh saa 7 . Nikakuta lemi kashalal na mimi nikapumzika kwangu

Kiukweli uyu demu sasa akaanza kunisumbua sana .asubuh lazima atanitumia sms ya asubuh njema na usiku lazima ananitumia sms ya usiku mwema. Bado anakuwa anaomba tuonane sana. Ila sikuwa nataka kuonanan nae kabiss .nakuwa namkwepa tu . Sikuwa nataka mazoea nae sana . Na mala chache sana na ndo huwa nampokelea simu . Na nikimpokelea nakuwa nipo serious yani huwa sitaki kuwa nae kivyovyote kabisa .ni vile anafosi tu. Basi bwana siku iyo nimechelewa kutoka kwenye vipindi. Ilikuwa kama saa 3 ndo nikawa naludi room yani nipo kasi kinoma . Basi ile nakaribia hostel nasikia naitwa haji.mh ni ka sehemu ambacho kina mwanga kwa mbali ndo saiti ilipotokea.mi nijageuka kisha nikaludi nyuma nikangaalia vizuri mh namuona ni princess. Nikajua kumekucha. Nikamsogelea mpka alipokaaa. Kama kawaida yake alikuwa amependeza sana uyu demu. Nikamwmabia nambia nakusikiliza mana nataka nikapumzike nimechoka sana.

Akanmbia samahani ila haji mbona unapenda kuongea na mm kwa ukali jamnai au nakukwza sehemu.nikasema hapna ila nakuwa nna mambo mengi eeh nakisikiliza .akasema haji naomba ukae apa kidogo nataka kuongea na ww. Nikasema sawa. Ikabidi nikae nimsikilize sada. Akasema haji samahani sana. Ila kuna kutu mimi kinanikaba sana kwenye rohooo yangu na kwenye moyo wangu. Na sijuh utanifikilia vipi nitakapokwmbia ila kiukweli mkmi napenda kuwa mkweli sana.Kiukweli haji tangu nimekuona mi najikuta nakupenda sana haji. Yani nakupenda sana . Nakupenda mno. Na unavyonijibug short na kwa hasira nakuwa naumia sana plsss haji naomba tuwe pamoja. Doooh demu ananitongoza yani kazi ipo

Itaendeleaaaaa
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

12 MPAKA 13
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑


Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo apa kumbe . Mambo . Princess akatabasamu akasema powa lemi. Nilikuwa napita apa nikamuona haji .nikaona nije kumsalimia . Lemi akasema ahaa hakuna noma princess tupo. Mh lemi anavyojichekesha sasa kwa uyu demu. Jamaa mikazo ziro uyu yani kukaza hawezi kabisa. Princesss akasema mh aya bwana nilitaka kutoka lunch na mshikaji ila kanambia ameshakula . Lemi akaningalia . Mk nikamkazia macho. Princess akasema okey basi siku nyengine kipenzi. ...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-12-na-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

597
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

545
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

376
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

323
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

53
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

41
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

37

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.26K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest