Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ wenyewe walikuwa wako busy kubebishana๐Ÿ˜† nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita hivi nilitelemka kwenye tax nikaenda kugonga getini kwa Hemed nilibonyeza kengere alikuja mdada Fulani hivi kunifungulia geit๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ....
""Hi miss๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š alinisalimia yule msichana""
""Hi too โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ""
""Nikusaidie nini?!""
""Oh namuulizia kijana mmoja alikuwa akikaa hapa katika sehemu hii anaitwa hemedโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ""
""Oh my goodness sisi tumehamia hapa tuna siku ya tatu Leo hatukumkuta huyo mtu ๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ""
""Ohk basi asanti๐Ÿ™""
""Ok miss you are welcome miss๐Ÿ˜Š ""

Hemed pale hayupo alishahama duh hebu kwanza nishushe pumzi make alivyokuja yule dada kunifungulia geit nilishikwa na bonge moja la pressure๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nilijua ni mke wa hemed et๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kidogo nifie pale getini.... sikuwa na laziada tena kule katika yale maeneo nilichukua usafiri nikarudi nyumbani kule kwa Tristan.....vipi my pipi ulitoka๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ yes potato๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ nilikwenda hapo nje kufanya mazoezi huku mie mwenyeji hata usiwe na shaka juu yangu....ok hapo sawa nilihofia usijepotea marekani pipi wangu lakini kama we mwenyeji be free usijibane bane......nilikuwa out of mood๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿคจ kichwani kwangu niliwaza tu sehemu ya kwenda kumpata hemed๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ cjy hata ni wapi alikokuwa akifanya kazi et..... oh yes nimepata wazo itabidi nimtafutie mtandaoni๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ nilichukua simu yangu nikaingia zangu fb niliandika jina la Hemed halikutokea๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ nilikumbuka yeye alishawahi kuniambia kuwa hatumiagi Facebook nilienda kumtafuta Instagram bahati nzuri nilimpata๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ chapu nilizama inbox kwake nikamtext then nikawait kujibiwa."......

24hrs zilipita bila kupata majibu yoyote kutoka kwa Hemed ๐Ÿ™„๐Ÿ™„ siku ile nilitulia tu ikapita nilikuwa na kazi ya kuchungulia tu kama nimejibiwa ile text au laaa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kesho yake ilinibidi sasa nimuweke wazi Tristan kila kitu๐Ÿคช๐Ÿคช aliniambia kuwa nisijali atanisapot......alinisindikiza hadi kule maeneo ya ofisini kwa paschal kule nilienda tu kumchungulia chibaba wangu wala hata nisingeweza kujitokeza mbele zake na kile kitumbo changu๐Ÿฅน๐Ÿฅน tuliegesha gari pembeni kisha tukabakia tu kwenye gari tulikaa sehemu ile hadi mida ya launch ndipo nilipomuona Romeo akiwa anatokea kule ofisini kwa paschal na baada ya sekunde chache Lia na paschal nao walitoka๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ nilishangaa sana kumuona lia katika ile sehemu ina maana amerudishwa tena hapa ofisini nilijiuliza duh kwanini et๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ.....

Walikuwa wanaenda kupata chakula cha mchana why paschal kamrudisha lia katika sehemu hii๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ tena siyo lia peke yake hadi Romeo na huyo ndo mushawishi mkubwa wa ukaribu wa hawa wawili paschal na lia.....hapa nahisi tayari mme sina๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ nilianza kulia et yani paschal ninampenda yule mwanaume ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…hello pipi mbona unalia sasa hebu niambie kitu kuna chochote kinachokufanya utokwe na machozi?! Yes potato hebu waangalia wale watatu walioongozana kule huyo afcast ndiye mme wangu yule mkaka wa kizungu ni rafiki wa yule mwanamke ambaye wako wote pale yule mwanamke anaitwa lia nilishawahi kufuma charting zake kwenye simu ya mme wangu akiwa anamshawishi waanzishe mahusiano nilifuatilia nikagundua kuwa mchochea kuni katika hayo mahusiano ni Romeo shemegi yangu ambaye huyo ni rafiki mkubwa wa mme wangu๐Ÿฅน๐Ÿฅน nashangaa kuwaona wakiwa wote tena na wakati hapo nyuma nilikuwa nimefanikiwa kuwatenganisha kwa kiasi Fulani nahisi kwa sasa sitoweza tena kuwatenganisha kwa sababu namm nina makosa yangu mazito kwa mme wangu๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ unaongea nini pipi?! Unatakiwa kuwastopisha huo ni ujinga wanaotaka kuufanya yule ni mme wako anatakiwa kufocus kwenye majukumu yake anatakiwa akuhudumie wewe na nice pamoja na huyo mtoto wenu aliyeko tumboni...... huyu aliyeko tumboni siyo wake Tristan huu ujauzito ni wa mwanaume mwingine๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” what๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ unamaanisha nini pendo yani unataka kusema kuwa ulikuwa unadate na wanaume wawili kwa wakati mmoja uliwezaje kufanya hivyo๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ..

Hata wewe Tristan unataka kunihukumu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ wewe si ndo uliniambia nitabasamu kila siku nisijeacha kutabasamu kwa sababu ya hukumu za wanadamu sasa mbona na wewe unataka kunihukumu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ nop basi nyamaza my pipi๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜ Tristan alinikumbatia akanibembeleza nikatulia..... pipi mimi huwa napenda kumwambia mtu ukweli wewe ni rafiki yangu napaswa kukwambia ukweli ulimkosea sana mme wako hata mimi sipendi usaliti hicho ulichokifanya kitakutesa milele kwenye hiyo ndoa it either umove on au ujitokeza kwa mmeo umwelezee ukweli wa kila kitu kuhusu mimba na kile ulichokifanya kama anakupenda ataumia sanaaaaa atakuchukia kwa muda lakini mwisho wa siku ni lazima atakurudia na atakusamehe kwa moyo mmoja ukweli humuweka mtu huru kwanini uishi kwa kujificha kuteseka?! Tell him a truth yeye ndo aamue cha kufanya kama ni kukusamehe au akuache uanzishe maisha yako mengine....... huo ulikuwa ni ushauri wa Tristan kwangu.....

Sikuwa tayari kujitokeza kwa paschal kwa muda ule nilimuomba tu anirudishe nyumbani cjy hata ni kwanini nilienda kumuona make hakuna chochote nilichoambulia zaidi ya maumivu tu siku nzima nilishinda nikiwa nimejifungia tu chumbani nilikuwa na maumivu ya kutosha nililia mno kwa jinsi nilivyomuona paschal alionekana kama mtu mwenye furaha sana๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ ina maana alishanisahau mimi na mtoto ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ kama kaamua kurudiana na lia basi namimi nitarudiana na Hemed tena awamu hii sitaki iwe siri tena nitayaweka wazi mahusiano yangu na Hemed kwa kila mtu na nitamfuata paschal anipe talaka yangu siwezi kuteseka na upweke kumbe mwenzangu yeye yuko happy na mahusiano yake....... nilichukua simu yangu nikaaandika msg nyingine kwa Hemed niliona tu nijitambulishe ili iwe rahisi kwa yeye kunitafuta make ile msg ya kwanza yashakatika masaa zaidi ya 48 haijibiwi niliandika namba yangu ya simu pale kisha nikaweka na ujumbe nilimwambia mimi ni pendo please nakuomba unitafute natamani tuongee nina kitu natamani kukwambia..... baada ya dkk 15 ile msg ilijibiwa๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ.....

Itaendeleaaaaaaaaa.......
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ wenyewe walikuwa wako busy kubebishana๐Ÿ˜† nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita hivi nilitelemka kwenye tax nikaenda kugonga getini kwa Hemed nilibonyeza kengere alikuja mdada Fulani hivi kunifungulia geit๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ....
""Hi miss๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š alinisalimia yule msichana""
""Hi too โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ""
""Nikusaidie nini?!""
""Oh namuulizia kijana mmoja alikuwa akikaa hapa katika sehemu hii anaitwa hemedโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ""
""Oh my goodness sisi tumehamia hapa tuna siku ya tatu Leo hatukumkuta huyo mtu ๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ""
""Ohk basi asanti๐Ÿ™""
""Ok miss you are welcome miss๐Ÿ˜Š ""

Hemed pale hayupo alishahama duh hebu kwanza nishushe pumzi make alivyokuja yule dada kunifungulia...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-55-56

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 47๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 47๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 48๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 48๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 50๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 42๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 42๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 44๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 44๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 49๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 49๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 43๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 43๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87

584
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 88

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 88

566
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

488
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38

398
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

395
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40

213
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

187
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 89 na 90

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 89 na 90

150
REAL LOVE  Chapter 13

REAL LOVE Chapter 13

122
๐Ÿ”ž Aaaaaaah..imezama๐Ÿ”ž1-5  ( NILIVYOMF๐ŸคซLA MUHINDI)

๐Ÿ”ž Aaaaaaah..imezama๐Ÿ”ž1-5 ( NILIVYOMF๐ŸคซLA MUHINDI)

78

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.12K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.87K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.3K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.3K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 57...58๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Pendo๐Ÿฅน๐Ÿฅน kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi๐Ÿฅน haujui ni kwa kiasi gani...

REAL LOVE  Chapter 13 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 13
@majario LIVE

seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 88 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 88
@majario LIVE

Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema...

๐Ÿ”ž Aaaaaaah..imezama๐Ÿ”ž1-5  ( NILIVYOMF๐ŸคซLA MUHINDI) Post Mpya
๐Ÿ”ž Aaaaaaah..imezama๐Ÿ”ž1-5 ( NILIVYOMF๐ŸคซLA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 55...56๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ wenyewe walikuwa wako busy kubebishana๐Ÿ˜† nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ ilinibidi nimuweke mgongoni...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest