Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REAL LOVE  Chapter 12
Gonga94 · Stories

REAL LOVE Chapter 12

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini

fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa

"wewe hebu muache unataka ashikwe mara ngapi muache alisema mzee fahad kwa ukali sana

lakini baba si namsaidia alisema fatuma

hebu kelele uko ungetaka kumsaidia si ungeenda kumtafuta si mlikaa hapo hamna habari na mngefurahi sana kusikia amekufa wanafki wakubwa nyie alisema mzee fahad kwa kufoka sana

"lakini mume wangu hukutuambia kama fa alisema mam fatuma lakini akakatishwa na mzee fahad

tena wewe mwanamke ndo usingee kitu kabisa nyoka wewe unajifanya sikuwaambia kwahiyo mlitaka niwaamble illi mkammalizie kabisa wewe sindiye ulimpiga mpaka akakimbia ukamsababishia matatizo mwanangu sasa nakuapia ukimgusa tena mwanangu ni mawili uende hela au ardhini aiseeee baba fahima alisema maneno makali sana ymambayo yaliwashtua kila mmoja hapo,

seven ndani ya moyo wake aliumia sana

ndomana hakutaka kabisa fahima arudi hapo aliumia mno alijuwa akirudi atateseka, fatuma alikuwa anamuangalia sana seven huku akimkonyeza lakini seven hakumpa ishara yoyote ile alimuangalia na kugeukia pembeni ndani ya moyo wake alitokea kuwachukia sana fatuma na mama yake,

basi wakamuingiza fahima ndani fatuma

akataka nayeye aingie ndani lakini akapigwa. marufuku na baba yake hakuna kuingia ndani humo ambapo yupo seven na fahima, seven. alimlaza taratibu sana fahima maana kwakweli bado donda lake lilikuwa bichi sana

pole sana sasahivi jnajisikiaje alisema seven "unaweza kwenda alijibu fahima huku akigeukia pembeni

"sawa lakini sitakuwa sawa endapo nitaondoka bila kujuwa haki yako alisema seven kwa upole sana

"naendelea vizuri tu alijibu fahima

sawa nafurahi kusikia hivoo ila forgive me fahima naomba nisamehe sawa najuwa

hunipendi unanichukia unatamani nife hata leo lakini yote nimekubari ila muhimu nipate. msamaha wako tu alisema swwwn kwa

uchungu sana

"nimekusamehe mda tu ila nakuomba sana usije tena hapa nyumbani nashukuru kwa kila kitu lakini sihitaji tena kukuona alisema fahima

sawa lakini hiyo niamri yako bado yangu, nimekuelewa mimi sitakuja tena lakini moyo wangu ukihitaji kujua hali yako utakuja uwe na jioni njema alisema seven kisha akanyanyika na kutoka nje akaagana na mzee fahad kisha akampatia pesa kadhaa na kuondoka, fatuma

alitaka amsindikize lakinibaba fahima alikaza nati alimjuwa vizuri sana fatuma

upande mwingine nyumbani kwa mama cathe

alimulta mwanae wazungumze wao kama wao maana alikuwa anatafakari sana na bado alitaka kupata ukweli

cathe sasa kama unasema hujatembea na devi kwanini usirudi tu kwa seven alisemamama cathe

momm serious????? narudije wakati kashasema mnichukue yeye anamuangalia mama yake? alisema cathe

sasa mwanangu ndo inabidi mukae chini wewe na seven muongee muyamalize kishaukukae hata ukweni alisema mama csthe

"hivi mama kwani hunitaki?? et mama hunitakili maana muda wote unaongelea kule tu kwani nikikaa na wazazi wangh muna nini? alisema cathe kwa hasira

"sio hivyo mwanangu tatizo nahofia mwanangu. chelewa chelewa utamkuta mwana si wako alisema mama cathe

kha mama nani kakwambia seven

atanisaliti? hee hujui tu nilivyomkamata hawezi kuona pengine alisema cathe kwa kujiamini sana,

"mh haya mtajuwana wenyewe mimi ikipita wiki hamna chochote nitamulta seven tuzungumze alisema mama cathe

sawa mom basi wakaendelea kuzungumza. mengine, muda ulienda sana hatimae ilifika usiku na seven alirudi nyumbani baada ya kutoka kwenye mihangaiko yake, alifika na kumjulia hali mama yake baada ya kuona yupo sawa basi alielekea chumbani alifika na kujitupia

kitandani

alianza kukumbuka tena maisha ya nyuma kati yake na cathe kwakweli alimpenda sanal alikumbuka kila kitu mpaka siku anayomfumania na kusababisha mpaka kumuingilia fahima. kinguvu mawazo yake yaliishia hapo akashtuka

na kukurupuka kitandani

"sijui sasahivi atakuwa anaendeleje?" na namba ya simu sikuchukua ile nyumba nzuri sana naona ataipenda tu kesho mapema nitaenda kumchukua alijisemea moyoni kisha akajitupa tena kitandani kutokana na kuchoka

hakuchelewa alipitiwa na usingizi hapohapo,

asubuhi na mapema katika kampun ya mr seven kulikuwa na pilika nyingi sana kwakuwa washapewa taarifa kuwa skku hiyo boss wao

ataingia kazini rasmi kuendelea na kazi, wakawa bize sana na muda huohuo akafika devi

akiongozna n mr sanju, waliingia mpaka ndani ya campuni hiyp, kila mfanyakazi alipomuona devi anaanza kunong'ona walisikia mengi kuhusu kufumaniwa na mke wa boss wake, kama wahenga wasemavyo dunia haina siri

devi hakuwatilia manani alienda mpaka kwenye ofisi yake na kuingia akamkaribisha mr sanju ofisini na kumpa kiti akae

jisikie huru karibu sana mr sanju alisema dwvi bila wasiwasi kabisa

asante unahisi atafika mda gani aliuliza mr sanju

"ndomida yake hii alisema devi basi wakawa wanazungumza mambo yao

upande mwingine gari ya seven iliwasi nyumbani kwa mzee fahad alipofika akashuka ndani ya gari alistaajabu kumuona fahima akifua nguo

nyingi sana huku akikunja kunja uso wake

kuonyesha anaumia haraka sana seven akaenda kumshika na kumnyanyua mkono akamuweka ubavuni mwake aiseee allumia sana kuona

fahima anafua nguo nyingi kama zile.

we fahima mbwa wewe yani unafua nguo masaa mia nyauba wewe si tutakula nini heb mama fatuma alipaza sauti kwa ukali sana huku akitoka nje alishtuka. nakuacha kuongea baada ya kumuona seven akimshikilia vizuri fahima

"oooh baba kumbe umekuja karibu baba yangu pita ndani alisema mama fatuma huku akijichekesha chekesha

hivi mama mbona umempa nguo nyingi fahima wakati mgonjwa? alisema seven

"huyo mbishi sana kataka mwenyewe jeuri sana huyo

alisema mama fatuma

basi sawa ila mama tambua kitu kimoja tu kuma leo na kesho usimtese mtu kumbuka hujui kesho yako uwe na siku njema alisema seven kisha akageuka na kumpeleka fahima ndani ya

gar

sasa mbona unaondoka wapi alulizo mama fatuma unampeleka

nampeleka sehemu ambapo atatunzwa kwakuwa nyie mmeshindwa kumtunza uwe na

siku njema alisema seven kisha akamuingiza fahima ndani ya gari ambaye alikuwa amechoka sana kwa wakati huo wakimuacha mama Fatuma akikodoa macho tu

Itaendelea
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REAL LOVE Chapter 12


kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini

fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa

"wewe hebu muache unataka ashikwe mara ngapi muache alisema mzee fahad kwa ukali sana

lakini baba si namsaidia alisema fatuma

hebu kelele uko ungetaka kumsaidia si ungeenda kumtafuta si mlikaa hapo hamna habari na mngefurahi sana kusikia amekufa wanafki wakubwa nyie alisema mzee fahad kwa kufoka sana

"lakini mume wangu hukutuambia kama fa alisema mam fatuma lakini akakatishwa na mzee fahad

tena wewe mwanamke ndo usingee kitu kabisa nyoka wewe unajifanya sikuwaambia kwahiyo mlitaka niwaamble...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/real-love-chapter-12

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi real-love-chapter
REAL LOVE*  Chapter 10
REAL LOVE* Chapter 10
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE*  Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 8
REAL LOVE  Chapter 13
REAL LOVE Chapter 13
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

584
MY WANGU❤️ sehemu ya 88

MY WANGU❤️ sehemu ya 88

565
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

487
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

398
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

394
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

212
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

187
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

142
REAL LOVE  Chapter 13

REAL LOVE Chapter 13

122
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

78

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.12K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.87K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘
@majario LIVE

Pendo🥹🥹 kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi🥹 haujui ni kwa kiasi gani...

REAL LOVE  Chapter 13 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 13
@majario LIVE

seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie...

MY WANGU❤️ sehemu ya 88 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
@majario LIVE

Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema...

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest