Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REAL LOVE* Chapter 9
Gonga94 · Stories

REAL LOVE* Chapter 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

upande mwingine nyumbani kwa mama seven familia mbili zote zilikutana familia ya cathe na

seven, wote walikuwa kwenye sintofaham familia ya cathe hawakuamini kabisa kama mtoto wao anaweza mufanya hivo, walikaa na kujadili wakaona suluhisho ni kuwaita wote wawili cathe na seven ili kujuwa ukweli,

na kwaupande wa familia ya seven ilikuwa Inamuamini sana seven na wakivuta picha vile alivokuwa analia ndo wanazidi kuamini, ikabidi

cathe apigiwe simu na kuitwa alikubari na pia seven akapigiwa simu lakinibjwa upande wake. alikataa katakata hapo ndipo utata ukaanza maana kama mmoja sipokuja ukweli hauwezi

kupatikana,

ikabidi wamuombe sana seven aje nakama. nikweli basi atoe talaka mbele ya familia, sio hao. tu hata devi nae aliitwa pamoja na john pia ili kupata ushahidi vizuri,

huku hotelin cathe walianza kupanga mbinu za kujitetea sasa my tutafanyaje alisema cathe

"usiwe na wasiwasi tutatengeneza tu maneno majibu yote niachie mimi ndo nitajibu alisema dwvi basi wakakubaliana hivo na catherine kisha wakaanza kujiandaa ili kutoka

upande wa seven nae ndo alikuwa anataka kutoka ikabidi aingie wodini alifika na kuwakuta fahima na baba yake wakiwa wanacheka, alifurahi sana kuona mtu na mwanae

wanatabasam

mzee samahani naomba tuongee nje kidogo alisema seven bila shaka nae baba fahima akatoka nje, walikaa kwenye viti na

mazungumzo yakaanza

samahani sana mzee wangu nimepigiwa simu nyumbani kuna kikao cha familia mama yangu

na dada yangu nao walilazwa hospitari jana leo ndo wametoka na tangu watoke sijaenda kuwaona kwahiyo naomba nikuache kisha baadae nitarudi alisema seven

usijari kijana unaitwa nani alisema baba fahima seven alijibu seven

sawa kijana seven kwanza nikushukuru sana

sana kwa kuokoa maisha ya mwanangu angekuwa mwingine angegonga na kukimbia nashukuru sana kwahilo alisema fahad baba

seven

"usijari mzee wangu na usihofu chochote. fahima yupo chini ya uangalizi wangu muda wote mpaka atakapopona na kuhusu chakula au chochote kila kitu mtaletewa baba yangu alisema kijana seven

asante sana na pole sana alisema baba fahima huku akimshika bega seven nae seven akatabasam ndani ya moyo wake alipata sana

faraja alihisi kama anaongea na baba yake

mzazi kwajinsi mzee fahad alivyo mkarimu,,

seven alitoa wallet yake na kutoa pesa elfu hamsini kisha akampatia mzee fahad aiseeeee mzee watu hakuamini akajikuta amesimama tu kama kachanganyikiwa hivi

baba pokea hizi ni zako kwa kukupotezea muda wako nisingemgonga mwanao naona sahizi ungekuwa kazini pokea tu alisema

seven dahmzee wa watu akapokea pes hizo alishukuru sana tena sana basi ikabidi seven aingie ndani kumuaga fahima

fahima alipomuona seven tu akageukia pembeni hakuwa anataka hata kumuona alimchukia sana

fahima nitazidi kukuomba msamaha mpka nitakapoingia chini ya ardhi nakuomba nisamehe najuwa nimekuharibia vingi naomba

unitunzie siri hii haikuwa akili yangu kabisa, alisema seven masikini kijna alitilia huruma. sana, lakini fahima bado hakujibu wala kugeuka

sawa ila natoka mara moja naenda nyumbani

kuna kikao nitarudi baadae naomba uwe makini alisema seven pia hakujibiwa basi akafungua mlango na kutoka aliondoka akiwa na john kwenda kusikiliza kikao, kampuni yake.

alimuachia secretar wake wakike ambaye anamuamini sana maana kwa wakati huo hatal akili ya kufanya kazi hakuwa nayo kabisa.

basi walifika nyumbani wakakuta watu wooote

wamekaa wakiwasubiri wao, seven alifika moja. kwa moja akaenda kumsalimia mama yake kisha dada yake ambao walitoka hospitar muda sio mrefu, kwa wakati huo walikuwa sawa

kabisa, basi akaend kukaa kwenye kiti, john

muda wote alikuwa anamuangalia sana devi

kwa hasira mno lakini devi hakujari lolote na alikuwa mtu mwenye dharau sana,

upamde wa mama fatuma alikuwa ando

anamalizia kufua nguo wakati anageuza suruali ya mumewe akaona picha ndogo imedondoka kama pasport saizi hivi, akapuliza tangu lini mumewe atembee na picha kwenye suruali ikabidi aichukue

akaingalia alikuwa ni mtoto kike wa miaka minne kwa kukadiria aliweka pozi la tabasam alipendeza sana, mama fatuma akapata

wasiwasi na kujiuliza mtoto huyo ni nani lakini

ndipo akakumbuka itakuwa ni fahima maana

mzee fahad hana mtoto zaidi ya fahima na ndiye kipenzi chake basi akaichukua picha ile na kwenda kuiweka chumbani kwake ili mumewe

akija aichukue, kisha akaendelea kufua nguo,

upande wa hospitari huki mzee fahad alikuwa

akipiga story na binti yake zahapa na ple hivi fahima buyu kaka unamjuwa? aliuliza

mzee fahad

hapana baba simjui kwanini umeniuliza hivo alisem fahima

"kwasababu nikijana mzuri sana hivi hana baba huyu??? alisem mzee fahad

baba sasa unaniuliza mie nitajuwaje wakati

mimi simjui alisema fahima

"aha sawa nilijisahau" alisem mzee fahad "kwani kuna nini baba aliuliza fahima

amna nimempwnda tu kutokana na ukarimu wake anaonekana ni kijana mkarimu sana alisema mzee fahad akimsifia san seven

mh haya aliguna fahima

sasa unaguna nini yani wewe unataka kusifiwa wewe tu kila siku wenzio akuuuu alisema mzee fahad kwa utani na fahima akaanza

kucheka, haya baba na mwana walikuwa wanapendana sana tena sana, fahima alimpenda san baba yake kwakuwa ndiye mtu

pekee muhimu iyebaki naye duniani, na pia mzee fahad alimpenda sana mwanae kwakuwa ndiye

zwadi pekee aliyepewa na mungu,

turudi kwenye kikao kizito cha kutaka kifahamu ukweli yuu ya fumanizi la devi na cathe

karibuni sana kwa kuitikia wito huu tumewaita hapa kwasababu ya kufahamu ukweli wa tukio

tulilolisikia la cathe kufumaniwa na devi tena nyumbani kwa mchumba wake seven je cathe hiki yulichokisikia leo ni kweli?" alisema mama

seven kwa kituo, cathe aliyatoa macho hayo kama mjusi

mama mnaongea nini mama?? mimi nimsaliti seven mimi cathe aaah mama mnanidhalilishaaa" alisema cathe kisha akaanz

kulia

"kwanza namtaka huyo aliyesema mimi

nimefumaniwa na shemeji cathe alisema devi akiwa mkavu kabisaaaa dah ukisikia uchawi ndio huu sasa devi alikazania aambiwe ni nani aliyesema kuwa yeyearnefumaniwa, bila kupoteza dakika seven alijibu "mimi

"sikutegemea boss wangu mtu mwenye hadhi

zake unaweza kufanya ujinga kama huu haya mimi si nimelala na mkeo haya onyeaha

ushahidi hapa sema yani sheria yakazi sitakiwi kukupandiahia sauti lakini kwahili utanisamehe sana boss huu ni udhalilishaji nimekukosea nini alisema devi tena kwa uchungu mno

hwbu seven mwanangu nawewe tuambie ni

kweli??? aliuliza mama seven, seven aliwaangalia sana devi na cathe kisha akatabasam huku chozi likimtoka mtoto wa kiume

hapana mama sio kweli ni mimi tu macho.

hapana mama sio kweli ni mims tu mac yangu sikuhizi hayaoni vizuri mama alter seven huku amitabasam daaah jibu h

muumiza sana john alluma zaidi

maumivuuuuu hakujuwa kwanini seve

asemw songo nini dhamira yake?

amuonase kaja kutupotezes muda tu mil

alserna devi lakini kat

hajamaliza kuonges alishtukiat karushe kuleeee yani altzibuliwa teke moja takatifuuu akafatwa sekunde hiyohiyo akapigwa ngumi ta

Itaendelea
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REAL LOVE* Chapter 9


upande mwingine nyumbani kwa mama seven familia mbili zote zilikutana familia ya cathe na

seven, wote walikuwa kwenye sintofaham familia ya cathe hawakuamini kabisa kama mtoto wao anaweza mufanya hivo, walikaa na kujadili wakaona suluhisho ni kuwaita wote wawili cathe na seven ili kujuwa ukweli,

na kwaupande wa familia ya seven ilikuwa Inamuamini sana seven na wakivuta picha vile alivokuwa analia ndo wanazidi kuamini, ikabidi

cathe apigiwe simu na kuitwa alikubari na pia seven akapigiwa simu lakinibjwa upande wake. alikataa katakata hapo ndipo utata ukaanza maana kama mmoja sipokuja ukweli hauwezi

kupatikana,

ikabidi wamuombe sana seven aje nakama. nikweli basi atoe talaka mbele ya familia,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/real-love-chapter-9

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi real-love-chapter
REAL LOVE*  Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE*  Chapter 10
REAL LOVE* Chapter 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75

735
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77

MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77

664
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 49💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 49💘💘

360
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya  28 na 29

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 28 na 29

227
*MIMI SIKUACHI🥰* *26 *SEASON TWO*

*MIMI SIKUACHI🥰* *26 *SEASON TWO*

216
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘

206
REAL LOVE* Chapter 9

REAL LOVE* Chapter 9

103
REAL LOVE*  Chapter 10

REAL LOVE* Chapter 10

46
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5

42
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5

24

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.06K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.82K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.66K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.04K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya  28 na 29 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 28 na 29
@majario LIVE

Basi bwana mie nikalidi kwangu. Ila.sikuwa sawa yani ile kuvishwa pete ina maana anaolewa . Ina maana inakuwaje hii. Aseeeee sikuwa naelewa ni wivu au ni nini ndo kinanisumbua ila...

*MIMI SIKUACHI🥰* *26 *SEASON TWO* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *26 *SEASON TWO*
@majario LIVE

*SEHEMU YA ISHIRINI NA SITA* Basi bwana mie nikamuoa fatuma na nilikaa nae nyumbani kama weeek. Kwa uo mda lemi ye alinishanitangulia . Yani alishaondoka baada ya mimi kuoa tu....

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 49💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 49💘💘
@majario LIVE

Nilipokea lile box huku mikono yangu ikiwa inatetemeka sana isijekuwa talaka kabla ya ndoa😌😌 Isabella baada ya kunipatia kile kijibox yeye aliniaga akaondoka nilikichunguza kile kibox kilikuwa na mwonekano...

REAL LOVE* Chapter 9 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 9
@majario LIVE

upande mwingine nyumbani kwa mama seven familia mbili zote zilikutana familia ya cathe na seven, wote walikuwa kwenye sintofaham familia ya cathe hawakuamini kabisa kama mtoto wao anaweza mufanya hivo, walikaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
@majario LIVE

Kweli bwana .baada ya week mbili .mlige alikuja nyunbani kuongea na baba. Sielewi ata waliongea nn. Ila ilikuw ni kumuelezea baba kuwa kanipenda na anahitaji kunitolea barua ili nikimaliza chuo...

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuvaaa. Akanipa vidonge viwili et meza jana nimepitiwa nimemwagia ndani. Na kweli game ya jana ilikuwa moto. Mlige hakukumbuka kumwagia njeee kabisa mabao mengine. Mie nikawa nishaelewa. Ni...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 48💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 48💘💘
@majario LIVE

Ilifika usiku mida kama ya saa nne hivi nilikuwa bado cjaweka kitu chochote tumboni kwangu bado nilikuwa nimejifungia chumbani kwangu nalia tu..... Boo alikuwa bado hapokei simu ya mtu yeyote........

REAL LOVE*  Chapter 8 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 8
@majario LIVE

machozi yalimtoka kwelikweli daktari alimuonea sana huruma, seven aliliona hilo lakini ndo hakuwa na jinsi aliwaza sana afanye nini ili aeleweke kwa binti huyo, daktari alimaliza kumpima kisha akampa pole fahima...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 10 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 10
@majario LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Kumbe bibi nacho alikuwa amewafungia wale wali walipojaribu kutoka walishindwa. " Jamani mlango umefungwa ila si yupo na mlinzi...

REAL LOVE* Chapter 7 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 7
@majario LIVE

seven alihisi kufa hakuamini kabisaaa kama yeye ndo amefanya kitendo kile hapana sio mimi mimi sio kabisa najijuwa ni mstaarabu siwezikufanya hivi sijui huyu binti kamleta nani hapa mungu wangu mimi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest