Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Kweli bwana .baada ya week mbili .mlige alikuja nyunbani kuongea na baba. Sielewi ata waliongea nn. Ila ilikuw ni kumuelezea baba kuwa kanipenda na anahitaji kunitolea barua ili nikimaliza chuo tu anioe. Aseee mzee aliniuliza kuwa nipo tayar kuwa na mlige kama mumeo na ukaishi nae kama mume katika maisha yako. Mie ni haraka ata sikuwaza. Nikasema ndio baba nipo tayar na nampenda. Apo baba aliniangalia kweli naona aligundua kuwa mlige alikuwa ananila kitambo🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Mzee aliniangalia tu. Naona maswali na lawama zake alienda kummalizia mama. Ila kweli baada ya siku nne mlige alileta barua kwetu. Na rasmi sasa ikatambulika kuwa mm ni mchumba wa mtu yani mlige. Ata baba sasa akawa anaelewa ata ikitokea mlige ana shida na mimi anakuja nyumbani. Na baba ndo alikuwa anataka hivyo. Et mlige ndo aje nyumbani kuniona. Na wala sio mm niende kwake kumuona . Ahaaa wapi kuna mda natoroka zangu naenda uko uko kuukalia. Kuna mda napanga tu na mama. Najifanya naenda kwa mama mdogo kumbe naenda nyamsebehi nakaa nyamsebehi ata week. Aseee uyu baba alikuwa ananipenda sana sitaki ata kuwaambia . Yni kama kupendwa tu . Iki kipindi nilisema katika hii dunia hakuna mwanamke anayependwa kama mie .

Basi baada ya mda sasa mlige akaanza process za kuniapply chuo. Kwakuwa nilibalnce PCB .na ndoto yangu ilikuwa ni kuwa dakatari. Basi akaniombea chuo cha MUHAS. Yan muhimbili dar es salaam. Basi bwana. Na nikapata . Na mlige akaanza kunifanyia maandalizi ya chuo. Nilikuwa naenda kusome MEDICAL DOCTOR ( MD). Ada ilikuwa ni milion 2. Mlige akanilipia. Na mkopo nilikosa na pia nilikosa hostel. Mlige akaaanza kuongea na washikaji zake wa dar wanitafutie chumba . Na kweli baada ya week chumba kikapatikana maeneo ya sinza. Apo alinipangia chumba na sebule. Kodi kwa mwez laki 3. Akanilipia miezi 6. Bado vikolombwezo ni vingi. Si unajua ukiwa unaaenda chuo kwa mala ya kwnza. Basi mlige alinunulia yote apoo. Na uko alilonipangia akaninulia kila kitu cha ndani. Yani uyu baba acheni tu. Mda wote nilikuwa namshukuru.

Basi bwana apo shoga yangu yusta yeye form six kidogo alizingua alipata Div 3. Hivyo kuna chuo akaaplly mwanza .akanmbia anaenda kusomea tu ualimu. Mie nikamtakia kila la kheri. Na bado yusta alikuwa ni shoga yangu mnoo. Tena mpka ananishauri mambo mengine na mm namshauri hivyo yani. Basi baada ya mda .mm nikatakiwa kurepot chuo. Na mlige mwenyewe ndo alinipeleka dar. Kuanza chuo sasa. Tukafikia aliponipangia apo sinza. Wooow nilipapenda ni pazuri sana. Kuna kila kitu cha ndani na cha kisasa. Ahaa uyu baba pesa tu kwangu kaitumia. Basi mlige akaanza kunifatilia taratibu zote za chuo. Wala sikupata shida pesa si ipo. Mie j tatu yake nikaanza chuo. Nikamuacha yeye nyumbani . Na alikaaa kwangu week nzima .akijalibu kunielekeza mji jinsi ulivyo mana ndo ilikuwa mala yangu ya kwanza nafika dar.

Baada ya week .nikawa nishaelewa kila kitu . Pa kuingilia na kutokea dar. Mlige akinambia sasa nataka kuondoka mamaa. Mana majukumu yananihitaji .ila plssss tulia sana . Nakupenda sana mama. Yani ukafanya lolote la kuniumiza mi sitaelewa ntakuua .naomba ujitambue kuwa ww ni mwanamke wa mtu. Uku kuna clubs za kutosha .sitaki uende club. Sitaki uwe na marafiki wengi. Sitaki ata siku moja ulale njee
Ata kitokee nn. Usilale nje faridah ludi kwako. Unanielewa nikasema ndio. Akanmbia nakuamini sana . Plsss faridah wewe ni mchumba wa mtu nakupenda mnoo sawa. Nikasema ndio nakupenda piah mlige na niamini mpenzi siwez kufanya chochote cha kipumbavu cha kukukumiza mume wangu. Akanmbia sawa . Na hii siku tukapeana penzi tamu la kuagana na kesho yake akaniaga sasa. Na akniachia pesa nyingi kwa ajili ya matumizi yangu mana nilikosa mkopo si nimeso.a private advance. Basi ndo akagaaa sasa akaanza safari ya kurudi kagera.

Na nikawa naongea nae njia nzimaa yani mpaka anafika. Basi bwana bibie mimi nikawa napambana na chuo sasa. Na nilitulia mnoo sikuwa na vipengele kabisaa. Aseee mi sula ni kawaida ila uku nyuma ndo doooh . Basi nilikuwa natongozwa mpaka nachanganikiwa . Yani kila siku namba ngeni. Apo mlige kila siku usiku anapiga video call. Et anione tukiongea kidogo. Hujatingozwa mke wangu? Basi nacheka. Ananmbia yani waambie kabisa we ni mke wa mtu nakwambia. Mi ntaua mtu nacheka tu. Yani ana wivu .kuna mda saa 8 usiku ananipigia. Nikipokea ananambia nakupigia video apo. Yani saaa 8 usiku nna wenge la usingizi nia yake ahakikishe tu nipo nyumbani. Basi nabaki nacheka tu. Mwanaume wangu jamani mh . Ana wivu mnooo. Aya atapiga tunaongea ndo analizika. Mda mwengine napokea na usingizi namjibu vitu havieleweki ndo anatulia. Apoo anakuja na ndege mda mwengine . Week end namstukia uyu apa. Ana shida uyu baba. Ila nishamzoea. Akija sasa anataka simu yangu tu. Basi nampa .

Akipata bahati mbaya anakuta natongozwa iyo siku. Ana mind kama vile nimekubali. Wivu unamzonga mnoo. Ahaaa akaanza kunambia anataka kuniamisha chuo.anaipeleke bukuba ndo nikasome uko. Nikagoma mana anataka kuniharibia malengo yangu sababu ya mawivu yake. Basi nikajinunisha akaniomba msamaha yakaisha . Kuna kipindi alikuja. Na akija hasemi we unastukia ata saa 8 usiku anagonga mlango .yani uyu mkurya ana visa nyinyi🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Iko kipindi alichokuja akataka penzi mie nikampa nakwambia nashangaaa kila akitaka kukojoa nikitaka kumchomoa hataki anamwagia ndani. Mala ya kwanza nikahisi labda bahati mbaya utamu umemkolea eeh mpaka anakalibia kuondoka tukisex yeye ni anamwagia ndani tu. Nikajua uyu anataka kunipa mimba hana lolote. Nilikasilika nikamsema na kwambia .nikaamwabia kabisa we una taka kuniharibia nishindwe kusoma huna lolote na nikamnunia . Ahaa nikimnunia ana pagawa . Basi akaniomba msamaha yakaisha . Akawa akija ana mwagia njee tena . Yani ana visa uwiiiiiiiiiiiii. Asa apige usiku nisipokeee .anachanganikiwa. mpaka nikawa namuonea huruma. Mana ana jipa shida wakati sina vipengele. Kuna kipindi akaja et kanipa pete ya ndoa niavae nikienda chuo. Khaaaaa mie nikaipokea .alivyoondoka nikaitupia ukoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Basi uyu baba ni wivu kwenda mbele.

Nishamzoea mie . Ila pesa wala hana kipengele anakupa unavyotaka. Basi mie nikapambana nanchuo mpka ikakata miez 6 na apo yusta tunaongea sana na mala nyingi namsaidia pesa shiga yangu. Mana mazingira yake ni magumu basi mie namtumia ata mpaka laki 3. Ni best yangu mnooo yusta. Basi Nikapata rikizo ya week 1 tu . Ahaa mlige akanitumia nauli niludi nyumbani . Na nikakae kwake. Mie nafanyaje sasa . Nikasafiri shoga yenu nikaenda kwa baby . Nikauchezea week nzima .mama anajua nipo chuo. Yani mlige ana shida wivu jamani.mpaka kuna mda nakasilika . Asikute nimechati na mwanaume hiyo ni kesi. Kuna mda ni wanafunzi wenzangu tu tunaelekezana mambo ya shule ila kwake ni kipengele. Mpaka nanuna yani . Apo ndo yanaisha . Ooh basi nisamehe mke eangu ila kuwa makini tu. Likizo.ilivyoisha mie nikaludi zangu chuo. Basi apo chuo sasa nilipata marafiki piah ila sikuwa nimewazoe sana . Ila kuna mmoja aalikuwa anaitwa angel. Angel ndo nilimzoea sana. Na mda mwingi nakua nakaa nae.

Siku iyo sasa tumetoka class mida kama ya jioni. Angel akanmbia shoga mie leo na hamu ya kwenda club. Ebu na ww twende kwanza ukaone. Mh nikamkumbuka mbaba wa kuitwa mlige .ajue nimeenda club si ataniua. Nikasema shoga si nakuelezaga habari za mwanaume wangu. Ni ananifatilia sana ataniua. Shoga akanmbia bwana ww. Ebu mdanganyege mda mwengine mbona anakubana sana jamani.alafu mtu yupo kagera wewe upo dar unashindwa kumdanganya. Nikasema okey swa ngoja basi ntamdanganya kisha tunaenda leo . Akanmbia powa saa 5 nakupitia kwako. Nikasema powa .bibi mie mpkaa nyumbani kwangu. Nimefika nikaoga kisha nikapumzika kidogo kitandani.nikavuta smu nikampigia mlige. Akapokea akanmbia vp mama unaendeleaje. Nikasema naumwa mume wangu nimetoka kumeza dawa leo kichwa akinauma sana. Mlige akasema shida nn. Masomo magumu nn. Nikasema.ndio mume wangu. Mpka kichwa kinauma.mlige akacheka si ananijua kwa kudeka. AKanmbia sawa mtoto wa bab pumzika basi kidogo mida nakucheka nikasema sawa. Kisha nikakata simu. Nilianza kumtengenezea uongo mapema .mana leo nna jambo langu mie. Kwaiyo nikamuanzia mbali

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77



Kweli bwana .baada ya week mbili .mlige alikuja nyunbani kuongea na baba. Sielewi ata waliongea nn. Ila ilikuw ni kumuelezea baba kuwa kanipenda na anahitaji kunitolea barua ili nikimaliza chuo tu anioe. Aseee mzee aliniuliza kuwa nipo tayar kuwa na mlige kama mumeo na ukaishi nae kama mume katika maisha yako. Mie ni haraka ata sikuwaza. Nikasema ndio baba nipo tayar na nampenda. Apo baba aliniangalia kweli naona aligundua kuwa mlige alikuwa ananila kitambo🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Mzee aliniangalia tu. Naona maswali na lawama zake alienda kummalizia mama. Ila kweli baada ya siku nne mlige alileta barua kwetu. Na rasmi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-76-na-77

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

915
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

717
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

691
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

505
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

395
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

251
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

175
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

104
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

81
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

70

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.56K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest