Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama kosa gani lisilosameheka amapata mwanamke mwengine tayari .mama naumia sana..shule nikimpigia simu anakuwa ananijibu vibaya. Mi na moyo mama. Nililia kwa sauti. Uzuri tu mzee hakuwa karudi. Mama harkaa aknikumbatia na akaamza kunituliza. Akanmbia basi tulia farida.sawa naelewa mwanangu .tulia kabisa. Naomba utulize kichwa sawa. Nikasema ndio. akanmbia sitaki umuwaze mlige sawa..muache amalize hasira za moyo wake. .na wewe relax na uwe free na maosha yako.na ikiwezekana kesho nikupe nauli uende kukaa kwa mma yako mdogo nyakanazi ata week 2 kwanza ukatulize akirii. Nikasema sawa mama bola niende nyakanazi kwa mama mdogo. Basi maam alinibembeleza jamani. Alinituliza sana. Akanmbia relax mwanagu basi ndo nikatulia nikawa naongea na mama mambo mengine kabisaaa.

Basi mpaka mzeee akaludi tukala kwa pamoja mie nikaenda kujipumzisha . Nikasema mm uyu baba simtafuti tena kumwambia masuala ya mapenzi naona moyo wake ushagoma so sitakiwi kumfosi hapana . Basi mie nikajilalolia zangu. Asubuh mama akaniamsha nikajiandaa akanipa na nauli.ila nilikataa nilimwambia mie pesa nnayo mlige alinitumia tena na yeye nikampa laki 1. Akafurahi uyooo. Nikabeba na nguo zangu 2 tatu. Nikamuaga na baba. Na shoga yangu yusta nilimtumia sms.kuwa naenda kwa mma mdogo week 2 kumsalimia kwanza . Yusta akanambia sawa. Basi kweli mama akanisindikiza mpka stand mie uyoo mapaka nyakanazi. Kutoka kwetu mpaka nyakanazi nuli elfu 5. Basi shoga yenu mpaka kwa mama mdogo. Mama angu mdogo uyu wala hakuwa na familia. Yani single tu. Ila anafanya biasha biashara. Na amejenga kabisa. Kinyumba chake cha kawaida tu. Basi oddo alifurahi kweli mie kwenda kumtembelea. Alinikaribisha vizuri mno . Basi mie nikawa nipo tu nyakanazi kwa mama mdogo ile kubadilisha mazingira kidogoo. Basi nilikaa nyakanazi kama siku 3. Mlhhh siku iyo usiku naona mlige ananipigia.nilishngaaa nikasema leo kuna nn . Mie nikapokea ile simu nikasema haloo

Akaniuliza upo wapi? . Mh nikasema nipo nykanazi. Akaniuliza nyakanazi kufanya nn. Nikasema nimekuja kwa mama mdogo kutembea kidogo. Mlige akasema kesho ludi nyumbani . Sipaamini uko kabisa. Kwanza sikuoni. Na sijuh unafanya mambo gani ukute unakaa na bwana.alafu mm natoa pesa zangu. Mh nikamuuliza kwani kitu kidogo natowa pesa zangu. Natowa pesa zangu. Au unanaisomesha ili unisimange. Akanmbia kua na ww usomeshe mtu ambae sio mwanao wala ndugu yako ndo utajua raha yake. Nikasema sawa hesabu gharama zako nikipata kazi ntakulipa.akanmbia yani we mshenzi ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao ww. Mh alishapanik akaanza kupanda akanmbia unanaijibu unavyotaka sio. Unaona unanaiweza we mpumbavu si ndio we mjinga. Nikasema kwani umenipigia leo unigukane si ndio. Akanmbia sikia ww. Naomba kesho uludi nyimbani . Sitaki ukae uko nyakanazi nimemaliza sasa bishana na mm.nikasema mm siludi uku nipo na mama mdogo na nimebadilisha mazingira. Mlige akanmbia unabishana na mm sio. Mi nikaka kimya .akanmboa okey nataka usiludi kama kweli ww mwanamke. kisba akakata simu

Mh nikajua kanipigia kutafuta ugomvi. Mie nikakausha nikajipumzikia zangu. Na wala sikuwa na plan za kuludi nyumbani mm.Kesho yake saa 7 mchana anapiga. Mh niakpokea. Et umeshaludi nyumbani. Nikasema mm siludi mpakaa week 2 zipite. Akanmbia sawa tunabishana sio. Mie nikasema mlige kwaiyo mimi nisitembee kwa ndugu zangu kisa unanisomesha mbona unakuwa hivyo. Niache bwana niwe huru na mimi na ndugu zangu. Mlige akanmbia sawa . Kisha akakata simu. Apo hakunutafuta mpaka.nimamaliza week kwa mama mdogo. Na nikaongeza week ya 2. Nikatumia week 2 kwa mama mdogo ndo nikaludi nyumbani sasa . Basi mama aknmbia unajua yule mlige anakupenda sana .nikasema mh kwa nn mama.mama akasema Alipiga simu et amekutafutia tution hii likizo ukasome.mie nikamwambia umeenda kwa maam yako mdogo.ananza kusema ooh mma nyakanazi sio salama kuna wahuni wengi alafu ww mtoto wa kike. Mie nikabaki nimemshangaa ila nimeshamuelewa wivu unampelekesha .mh mie nimanyamaza mana mlige mwenyewe sie ni kugombana tu mda wote

Basi mie nikawa busy na mamabo yangu na yusta wangu. Siku iyo sasa tulikuwa nyantakara centre mie na shoga yangu yusta tunapiga story sehemu moja uku tunakunywa juice ya miwa. Basi tuliwa pale bwana.mh gari ya mlige ikapaki kwa pembeni . Kisha akapiga honi. Nikajua anajita mie .mie nikaenda akanifungulia mlango akanmbia ingia ndani. Mie nikamuuliza tunaenda wapi. Akanmbia unahisi ntaenda kukuza ama. Mh mie nikamwambia samahani kisha nikapnda. Basi kanuna uyoo kama anataka kupasuka. Basi akadrive mpaka nyamsebehi kwake makazi mpayaa. Tumefika. Akshuka akfungua geti lake .kisha akaingiza gari ndni. Kisha akafunga geti lake.akanmbia njoo ndani. Mie nikaingia mpaka.ndani .aseeeeee ni kuzuri jamani. Yani kuzuri mnoo.hii nyumba ilikuwa bomba mnooo.basi tumefika ndani akanmbia kwaiyo huwezi kununua juice ukaenda kunywia nyumbani. Unakunywa bala balani unajianika wanaume wakuone au sio. Mie nikanyamaza kimya wala sikutaka kujibu .namuheshimu tangu anipige . So nachunga mdomo wangu sana nikiwa nae karibu. Akanambka naenda kulala.nisaidie kufanya usafi ndani leo. Mie nikasema sawa.akanionesha vifaa vya usafi .kisha yeye akapanda chumbani kwake. Na kweli ndani kulikuwa na vumbi mnoo. Mtoto wakike nikaanza usfi.

Nilifanya usafi kote . Kila sehemu . Kuanzia iyo saa 7 mchana mpaka saa 10 ndo namliza nimechoka. Apo na vyombo nilishaosha mana alikuwa anatumia tu ata haoshi. Ila apa ni kuzuri jamani yani kila kitu alikinunua kipya. Baada ya kumalaiza usafi sasa ndo namuona anatoka chumbani kwake akanmbia nenda kamalizia na kwangu. Asa nakataaje ndo ananilipia ada uyu. Mie nikaingia chumbani kwake.nikapiga kazi aswaa. Nikambadilishia na mashuka pale. Iko kitanda chake woow. Yani chumba cha kisasa wallah mpka raha.basi nilipomaliza sasa nikatoka nikamkuta anacheka movue.nikasema mi naomba kuondoka sasa mda umeenda alfu sijamuoga mama kama nakuja uku. Akanmbia sawa . Akanipa pesa elfu 50 . Akanipa na funguo. Akanmbia hii ni funguo ya apa kesho asubuh uje apa kufua..nguo zangu zote chafu. Mie nikasema sawa .kisha uyo nikaondoka zangu. Nikapanda tu boda mpaka home.yani nilichoka mnoo nilifikia kujipumzisha tuuu

Kesho yake sasa niliamka alfajir nikamuaga na mama kuwa naenda kwa mlige kaniomba nikamfulie.mama akacheka aksema yani mlige anajifanya anakukazia ana lolote.aya bwana kafulianeni .mi siingili mapenzi ya watu.mie nikacheka tu. Basi bibi mie nikaakodi boda mpka kwake. Nikakuta yeye kashondoka kwa kua mie nilikuwa na funguo . Nikafungua nikaingia ndani. Basi nikaanza dobi na uzuri alikuwa na machine. Ila kusuuza ni mm na kuanika. Aliniekea mpkaa boksa zake kila kitu yani. Na nguo zilikuwa nyingi. Alikuwa anavaa yu ata hafui. Mpaka nikawa nawaza kwani uyo maraya wake hamfulii. Basi nilipomaliza kufua nilichoka sana. Mie nikaenda kujimwagia maji chooni kwake. Kisha nikaludi mpaka chumbani kwake . Nikabuta taulo lake nikajifunga kwa juu ya maziwa nikajilaza kitandani kifudi fudi. Basi usingizi wala haukunichelewsha nikapitiwa kabisaa

Nikaja kustuka namuona mlige amekaa pembeni yangu anachezea simu. Mh nikaamka nikasema heeee sory jamani nimelala kitandai kwako. Akaningalia kisha akanambia nimeleta vyakula jikoni. Kanipikie ugali nyama huu mda. Mie nikasema sawa . Kishs nikaelekea jikoni. Basi kweli shoga yenu nikaanda chakura vizuri nikatenga dining. Nikaenda kumuita mwanaume . Sasa kuwa chakura teali. Akambia sawa na kweli akaja . Mie ata sikutaka kula.nikasema nataka kwenda sasa. Akanmbia njoo ule kwanza. Mie nikasema naenda kula nyumabani akanambia sitaki tubishane nimesema njoo ule apa. Basi nikasogea nikawa nikaanza kula. Mh namuona mtu et ananilisha nyama. Mh nikala. Nikaona leo wamemtoka leo. Basi tukawa tunakula.ila uku anaiilisha nakwambia. Nikaona aka na mimi nikachukua kipande cha nyuma nikamlisha . Na yehe akala tena uku kanishika mkono wangu ule nilokuwa namlishia. Nilisika rahaa sana. Yani nilipata amani ya ajabu asee kweli mi nampemda uyu baba jamani

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Sasa nakupenda fully episode
Sasa nakupenda fully episode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72


Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama kosa gani lisilosameheka amapata mwanamke mwengine tayari .mama naumia sana..shule nikimpigia simu anakuwa ananijibu vibaya. Mi na moyo mama. Nililia kwa sauti. Uzuri tu mzee hakuwa karudi. Mama harkaa aknikumbatia na akaamza kunituliza. Akanmbia basi tulia farida.sawa naelewa mwanangu .tulia kabisa. Naomba utulize kichwa sawa. Nikasema ndio. akanmbia sitaki umuwaze mlige sawa..muache amalize hasira za moyo wake. .na wewe relax na uwe free na maosha yako.na ikiwezekana kesho nikupe nauli...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-71-na-72

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85

1.34K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87

1.26K
LETICIA Sehemu ya 17 na 18

LETICIA Sehemu ya 17 na 18

332
IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10*

IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*

152
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8

143
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15

89
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11

16
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15

15
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14

14
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13

12

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.96K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.65K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.89K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.55K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.05K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.71K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.69K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa...

LETICIA Sehemu ya 17 na 18 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 17 na 18
@majario LIVE

Nikiwa nimelala usiku nikashangaa mlango unafunguliwa. Mmh nikainuka chapu uzuri sizimagi taa ,si namuona polela jamni loooh nilichukia mno jamani nikasema wewe umefwata nini umu .akasema taratibu mummy...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 85
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 96 - 100 MWISHO SEASON TWO
@majario LIVE

:96 Yeye akawa tu anaendesha kama vile hakuna kitu amezungumza. Mimi hapo tena naona tu kesho ifike tu nipelekwe tu hiyo sehemu. Sijui hata ni kuchinjwa au nikutekwa mimi tayari tu nipo...

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14 Post Mpya
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
@majario LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita.... Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa...... ENDELEA NAYO........ Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe...

NAKUPENDA BILA  MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 87 - 95 SEASON TWO
@majario LIVE

:87 Nikacheka na kusema “sasa nikufiche nini, lakini sasa Dokta kama anampenda boss bora amwambie anateseka bure.” Dada Maria alicheka na kusema “wewe unawajua wanaume, wanaume hawana hata muda nakuambia, na vile...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 83 na 84
@majario LIVE

Namtak uyo maraya wako, namtaka nasema, mh nikajua apa kumekucha nikawaambia wanangu, nendeni chumbai kwenu haraka, kweli ummy akachukua mdogo wake arshaina wakaingia chumbani, mm.nikamsogelea mama.nikasema.mma ni ustaarabu gani, mama.mi.nilikuwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest