REAL LOVE* Chapter 7
seven alihisi kufa hakuamini kabisaaa kama yeye ndo amefanya kitendo kile
hapana sio mimi mimi sio kabisa najijuwa ni mstaarabu siwezikufanya hivi sijui huyu binti kamleta nani hapa mungu wangu mimi nilikuwa na cathe huyu nani sasaaaa seven alichanganyikiwa akawa anazunguka zunguka tu hakuelewa afanye nini
kama kafa je inamaana mimi ndo nimebaka? hapana sio mimi bado sijafikia ukatili huu, ebu kwanza mungu wangu madamu haya toba mimi jamani nasingiziwa kesi lakini mimi sindo nilifanya jana aahhh cathe. alizidikujisemea mwenyewe akiwa amechanganyikiwa kwelikweli akasogea haraka na kumshika shingoni alitabasam baada ya kuona bado damu inatembea
ni mzima asante mungu mzima haraka. akavaa nguo zake kisha akamvalisha na fahima haraka akachukua simu yake na kupiga namba fulani simu iliita kisha ikapokelewa
john uko wapi uko wapii alisema seven kwa haraka mno
niko hotel umenishtua vipi kwani alisema. john akiwa anafikicha macho yake
njo chumba namba 113 harakaaaaaaa alisema seven kisha akakata simu, johnalikirupuka kitandani akiwa na wasiwasi mwingi hakujuwa kuna nini akavaa. nguo haraka na kutoka mbio alipanda lifti iliyompeleka hadi chumba hicho alifika na
haraka
kuingia alipomuona binti kitandani na damu. alishtukaaaaa akaanza kurudi nyumaaa nani afungwe
"we john njo ah mi nishachanganyikiwa haraka tumpeleke hospitar yangu ya tomas haraka tumuwahisheeeee" alisema seven
boss u meee, ua... au alisema john kwa uwoga sana
hebu acha ujinga basi kama kafa si ningekwambia tukamzike hebu mshike huko anahali mbaya na hakikisha usimwambie mtu yoyote alisema seven haraka wakambeba na kushuka nae waliharakisha kumuingiza ndani ya gari kisha wakalitoa spidikuelekea hospitar ndogo tu ambayo alikuwa anaimiliki seven,
hapakuwa mbali walifika haraka na kumpeleka walipokelewa vizuri na haraka fahima akaanza kutibiwa masikini hakuweza hata kupumua vizuri akawekewa haraka mashine alikuwa na hali mbaya sana, seven na john walibaki nje tu
wakizunguka zunguka ndipo seven akakumbuka
kitu akaingia uwanja wa meseji akakuta meseji
nyingi sana kutoka kwa sarafika zikimtaarifu juu
ya hali ya mama yao na selina hapo ndipo seven akazidikichanganyikiwa akapiga kelele allumua sana mtoto wa kiume john hakuwa mbali alimfariji alijuwa ni maumivu gani anayasikia
baada ya dakika kadhaa daktari wa kike alitoka, alifika na kuwaangalia sana seven na john
"samahan boss kama ni mgonjwa wako tunaweza tukaonge pembeni alisema daktari huyo, basi seven hakuwa na kizuwizi akasogea pembeni ili kuongea n daktar
boss ujue ni hatari nini kilimkuta maana kaingiliwa vibaya mno mpala kachanika boss Ilibidi upitie kwanza police mimi nimepokea tu lakini haitakiwi hivyo alisema daktar huyo aitwae nice
nice hebu tumsaidie tu huyo binti shida yangu apone tu maana hata tungeenda police mlolongo ungekuwa mrefu na wakati tayari yupo hatarini ndomana nikamuwahisha, nachohitaji nice fanya lolote uokoe maisha yake alisema
seven
sawa boss tuombe tu mungu maana bado hajawa sawa kabisa" alisema nice
usiniangushe nice jitahidi na mpigie tomas haraka kesho awahi mapema nahitaji awekewe uangalizi mkali maana hata mimi siwezi kulala hapa mama yangu na dada wapohospitar natakiwa nikawaone
duh pole sana boss basi tutajitahidi boss** alisema nice, basi seven akaondoka kuelekea hospitar ya private iliyopo kigamboni ambayo amelazwa mama yake na selina, waliambatana na john usiku huo hadi wakafika walimkuta sarafına akiwa analia tu ndipo wakaambatana kwenye kilio hicho,
hatimae kulipambazuka nyumbani kwa mama fatuma hali ilikuwa tete alikuwa akisemwa san na mume wake akimdai fahima
safari hii sitakuchekea hakiyamungu nishaapia mama fatuma nitakufunga namtaka mwanangu:**" alisema ba fahima kwa uchungu sana, mama fatuma hakuwa na chakusema alibaki analia tu, alijutia sana kumpiga fahima kwasababu ndiyo sababu ilomfanya aondoke
alijutia sana
upande wa bar muhudumu agness alikuwa amihudumia wateja wake lakini ndani ya nafsi yake alimuwaza sana fahima sijui atakuwa
wapi huyu jamani ah au kashaelewana na mtu
wamelala? ila mh fahima navomjuwa hawezi fanya kitu kama hicho sasa atakuwa kaondoka bila kuniaga au? lakini mbona hanaga tabia. hiyo aliwaza agness lakini kabla hajaendelea kujiwazia alishtuliwa na mteja
"we egg vipi nakupa pesa yako mbona hupokel wewe alisema mteje huyo
oooh samahan bhana sikusikia jamani asante alipokea na kubeba sahani na chupa kisha akapeleka zinapokaa aliketi kwenye kiti na kufikiria, lakini kabla hajaanaz kufikiria. alishtuliwa kwa salamu
habari yako alikuwa ni fatuma alifika hapo na kuanza kumsalimia,, agness alimuangalia fatuma kwa hasira sana kisha akamsonya sonyo la chuo ile mxiyeeeeeeeeeeeuuuusuuuuuuuuuw,
sasa nkusalimia unanisonya usingesalimiwa.
je?" alisema fatuma
wewe mbwa wewe koma tena ukija hapal uongee kwa adabu mbwa mdogo wewe sema. shida yako alisema agnesa kwa hasira mno
ok nilikuwa namuulizia fahima kama alikuja hapa" alisema fatuma
nyooo kwahiyo umeona hapa ndo kituo cha wakimbizi au, yani mnavomtesa mnaona raha
wenyewe kama wehu mnamtesa mwenyewe mnarnfukuza wenyewe mnamtafuta wenyewe nyie kama mbuzi hamnazo nyie alisema. agneaal
eg kama umemuona sema babayaje anamtafuta kaondoka nyumbani hajafukuzwa ten..... aliserna fatuma lakini kabla hajamliza alikatishwa na egg
ishia hapohapo mwanga mkubwa wewe yani
nyle bado uchawi tu wanafki wakubwa nakama fahima angekuja kwangu basi nisingemruhusu aondoke kwa mateso mnayompa tena ukome kuja hapa iwe mwanzo namwisho kukanyaga. hapa ondokaaaaaaaaa alisema egg kwa ukali mno mpaka faturna akaogopa ikabidi aondoke
haraka
huku hospitar alipolazwa fahima asubuhi hiyo ndipo akashtuka, alikuwa hajiwezi hata kidogo
alijaribu kunyanyuka ilaalishindwa mwili mzima ulikuwa unamuuma sana hasa sehwmu za siri
ndo kulikuwa kunamuuma sana alipata sana. maumivu, ndipo daktari nae akaingia alifurahi sana kumuona fahima kaamka mara moja. akachukuwa simu na kumpigia seven alimjuza taarifa hizo ikabidi seven na john watoke hospiyari ile na kuja huku kumuangalia fahima
walifika na kumkuta daktari akiwa anampima baadhi ya vipimo, seven alitabasam baada ya kuona macho ya fahima yakiwa wazi alikuwa akiomba sana aamke na apone kabisa alimshukuru sana mungu
lakini kwa upande wa fahima haikuwa hivyo yeye alipomuona seven alikumbuka usiku wa jana ipombaka na kumtoa usichana wake kikatili mno aliumia sana na alizidi sana kuumia baada ya
kuona sura ya seven, alimchukia mno alikuwa anamuangalia kwa jicho kali sana la hasira
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi