Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
Gonga94 Β· Stories

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 19

Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini ya mto. Kisha nikaenda bafuni kujimwagia maji. Nilipotoka sasa. Nikavuta simu nilikuta princess kanitumia sms kibao . Sijuh anashukuru kwa penzi. Sijuh nimemvuruga najua sana mahaba. Yani alituma sms kama zote . Mi nikamtumia moja tu. Nikamwambia kwaiyo umeacha hii chupi ili lemi aoene kama ulikuja au . Aya kashaona umelidhika sasa . Kisha nikaweka. simu pembeni nikawa naendelea na mambo yangu . mida mida . mtoto anapiga nikapokea simu chapu. Mana lemi alitoka kidogo.

Akanmbia samahani haji naomba uje parking tuje kuongea. Nikasema mimi nimechoka sana..akanmbia basi ntakuja mm apo room kwenu. Mh asa naongeaje na lemi katoka kidogo tu analudi sio mda. Nikamwambia ningoje nakuja. Basi nikambebea na kibikini chake .nikaenda mpkaa parking. Nikaona gari yake. Mana aliniwashia taaa. Hii siku alikuja na harrier nyeupe. Nilijua tu demu kwao wapo njema uyu. Sio fala fala kama mie..basi mie nikafika nikafungua mlango wa gari nikaingia.. akatabasamu akanmbia woow . Nimefurahi kukuona haji unaendeleaje

Nikamkazia sura.nikamuuliza kwaiyo ulikuw ana maana gani kuacha nguo yako ya ndani . Na unajua mule sie tunakaa wanaume wawili eeeh. Akanmbia samahani haji. Nilipitiwa . I ams sory sijafanya makusudi haitajiludia iyoo.nikasema powa akataka kushuka kwa gari. Akasema haji. Nikasema ndio .akanambia leo ni week.end si tunaweza kuwa pamoja baadae. Ata uje kwangu. Nipike kwa ajili yako. Nikasema hapana ntakuwa busy na mambo yangu . Nikampa chupi yake.kisha nikashuka nikaludi zangu hostel

Aseeee mchana naona muamala wa pesa umeingia kwa simu yangu. Naangalia laki 8 nimepokea imetoka kwa prkncess.nyie nilishangaaa kinoma.alafu akatuma sms et baby samahani nimekosea kutum pesa kwa bahati mbaya ndo.nimekutimia ww. Ila basi usiludishe. Kaa nayo tu nitunzie.utanipaga mbele. Mie nikamuuliza kwaiyo unataka kunitega kwa pesa .akasema hapana ni bahati mbaya tu.Mi sikumjibu tena..nikamludishia muamala wake .kisha nikakaushaaa. Aseeeee akawa sasa akija chuo . Ananiletea na zawadi mala.viatu mala nguo. Ila sikuwah kupokea ata siku moja zawado zake. Bado aikuwa nataka kuweka ukalibu nae. Nklihofia sawa . Isije kuwa shida baadae. Na bado nilikuwa namkwepa.kwepa sana.

Siku iyo.sasa ilikuwa j nne sema niliamka vibaya sana ..yani kama.niliamka.na homa .sikuwa sawa kabisa ata class sikuweza kuingi..nilienda kujichek.nikakauta nna malalia na nikapewa dawa nikaludi zangu kupumzika hostel. Nikiwa nimelala mda wa mchana sasa
Nasikia mlango unagongwaaa. Daah nikajua ni mwanangu lemi .nikasema fungua mlango upo wazi. Daah kumbe ni princess
Basi akaja mpka kitandani kwangu akakaa. Akanmbia pole haji. Nimekutana na lemi leo asubuh. Nikamuuliza mbona upo mwenyewe haji yuko.wapi. ndo akanmbia unaumwa ndo nikaona nije tu kukuona

SEHEMU YA 20
Nikasema aya si ushaniona .naendelea vizuri. Eeh unataka nn lengine..princess akanyamaza kimya kisha akaningalia sana . Akaniuliza kwani kwa nn hunipendi na unanichukia.sana haji. Kwani mimi sikuvutii wewe. Mbona unakuwa mkali kwangu kwa kila kitu. Naumia haji nna moyo na mimi mbona unanitesa sana. Nikasema so kama una moyo. Kaa mbali na mm basi .kwani shida inakuwa nn?. Princess akanyanyuka kwa hasira akavuta pochi yake akaondoka ila.sasa kwa pembeni aliacha mfuko nilipoucheki. Alikuwa kabeba chakura na matunda.. daah kiukweli hii siku nilimuonea huruma mana ni mwanamke ambae anajituma sana kwangu alafu namkazia sana.na ni mzuri sana uyu dada.sio kwamba namchukia hapana. Anavutia sana.ila sitaki kujichanganya na mahusiano mengine. Tofauti na ya fatuma


Nilijua nimekosea.nikampigia simu akawa hapokei. Nikampigia tena akawa hapokei.nikapiga tena nakuta kazima cimu.yani hapatikani. Mi nikaachana nae.ila mchana ndo nilikula kile chakura chake. Na matumda yale aloleta . Na alipoludi lemi akanmbia mh ulishuka chini kuchukua chakura mana nilishakubebea.nikasema yaa nilimuagiza mtu. Lemi akanmbia powa kaka. Basi nijaiuguza kwa siku 2. Demu hajanipigia wala.kuniulizia .na nikimpigia hapokei. Basi mi siku ya 3. Nikajisikia powa .nikaingia chuo bwana. Basi tukapiga pindi mda wa breki kama saa 8 . Mi nikaenda kumvizia parking. Sijamaliza ata dakika 5. Naona mtoto anakuja . Ana jeans kali kiatu kirefu kweli kweli. Anatembea kama twiga kudadeki. Basi akasogea mpka kalibu na gari lake. Na mimi ndo nikajitokeza sasa. Aliponiona akajifanya kanuna.

Nikamuuliza kwaiyo ww ndo umejinunisha sio. Akabaki kimya .nikamuuliza mi naumwa leo.siku ya 5. Mbona huniulizii hali na nikikupigia hupokei.kisha unasema unananipemda sio. Akanyamaza kimya . Nikamwambia sawa . Saa 4 njoo hostel .nimekumisss. na kweli nilikuwa namtamani sana uyu demu kumtafuna kwa hii siku. Akaningalia akanambia sitaki. We haunipendi utakuja kunijibu vibaya moyo wangu utaumia tu. Nikamuangalia nikamwmabia sawa .nikaanza kuondoka akaita haji. Nikasimama kisha nikageuka .akanmbia basi ntakuja. Nikasema karibu kisha nikasepa zangu nikaludi kukaaa na wadau wangu wa faidaa yani washikaji tu
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20


🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑

Sehemu ya 19

Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini ya mto. Kisha nikaenda bafuni kujimwagia maji. Nilipotoka sasa. Nikavuta simu nilikuta princess kanitumia sms kibao . Sijuh anashukuru kwa penzi. Sijuh nimemvuruga najua sana mahaba. Yani alituma sms kama zote . Mi nikamtumia moja tu. Nikamwambia kwaiyo umeacha hii chupi ili lemi aoene kama ulikuja au . Aya kashaona umelidhika sasa . Kisha nikaweka. simu pembeni nikawa naendelea na mambo yangu . mida mida . mtoto anapiga nikapokea...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-19-mpaka-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 MIMI SIKUACHIπŸ₯°1 MPK 6
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

513
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

433
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

401
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

291
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

129
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

87
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

79
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

72
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

65
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

58

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest