Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
Gonga94 · Stories

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SEHEMU YA 1
MWANZO.........

Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀.

Asubuhi majira ya saa nne anaonekana mama mmoja wa kishua anaingia super market na baada ya dakika kadhaa alitoka akiwa amebebelea vitu mwenye mifuko.

Alitembea mpaka lilipo gari lake aliingiza vitu kwenye gari na baada ya hapo alifungua mlango wa mbele ya gari ili apande ila bahati haikuwa kwake kibaka alikwapua pochi yake akatimua mbia.

"Uwiiiii!" Mwana mama yule alipiga ukunga na kushika kichwa chake. Alijiegemeza kwenye gari lake akionekana amechoka kimwili na hata kiakili.

"Ndo shida ya jiji hili vibaka hawanaga sehemu wao popote kambi sasa nitapataje vitambulisho vyangu jamani kama angekuwa na shida ya hela au simu si angesema tu nimpe" yule mama aliongea peke yake huku akiwa ameegemea gari na kumtazama kibaka anavyoishia na pochi yake.

Eneo hilo lilikuwa tulivu sana hata kama angepiga kelele isingesaidia chochote maana hapakuwa na watu wanaoonekana kupita huku na kule.

Kinyonge aliingia kwenye gari lake ili kuondoka eneo hilo ila kabda hajawasha gari alisikia mtu akimgongea kioo. Alishusha kioo cha gari kwa taadhari alikutana na kijana mchafu mchafu akiwa amebeba kiroba kwa kukitupia nyuma ya mgongo wake.

"Nikusaidie nini. Kama unataka pesa sina naomba uondoke niweza kukutamkia maneno mabaya nina hasira" Mama yule aliongea.

"Samahani mama, nimekuletea pochi yako hii hapa na wala sina uhitaji wa hela. Nilikuwa katika sehemu ya kusaidia mwenye haki tu" kijana yule aliongea huku akimnyooshea pochi yake.

Yule mama hakuamini kama ameipata pochi yake kilahisi hivyo. Kabda ya kuipokea alishuka kwenye gari ndipo aliipokea aliangalia vitu vya ndani vilikuwa sawa vyote hakuna kilichopungua.

"Asante sana" yule mama alimshukuru kijana yule na baada ya hapo alitoa kiasi cha pesa kwenye pochi yake alimkabidhi kijana yule kama sehemh ya shukrani kwa kumsaidia kupata vitu vyake muhimu ila kijana yule alikataa.

"Nimefanya kama msaada tu mama na sio kwamba nilitaka kulipwa"

"Nimekupa hii upoze hata koo maana umemkimbiza umbali mrefu sana ni kazi moja ngumu sana kumkamata kibaka aliyepora mtu"

"Hii sio kazi mama ni sehemu ya kumsaidia mwenye haki"

"Okay, unaelekea wapi?"

"Mie sina muelekeo nipo kujitafutia ridhiki na hapa nipo kazini" kijana yule aliongea na kusababisha mwana mama yule amuangalie kwa udadisi ndipo alibahini yule kijana ni muokota makopo.

"Unaokota makopo?" Alimuuliza.

"Ndiyo"

Yule mama alikaa kimya kwa sekunde kadhaaa alafu alizungumza.

"Unaweza kufanya kazi gani nyengine tofauti na hii?".

"Kazi yoyote nafanya ila kama ni halali"

"Okay. Nipe namba yako ya siku nitakutafuta"

"Unaitwa nani?"

"Leo"

"Nafahamika kama Madame Yusta. Nitakutafuta kupitia namba yako. Asante kwa msaada wako" Madame Yustar alimshukuru kijana yule baada ya hapo aliondoka alimuacha kijana yule amesimama pale pale analisindikiza gari lake kwa macho mpaka lilipoishia.............

ITAENDELEA...........
SEHEMU YA 2
ENDELEA.......

Leo akiwa kwenye majukumu yake ya kuokota chupa za maji ili apate chochote kitu simu yake chakavu iliyofungwa na barabendi huku batani namba hazionekani iliita ikiwa mkononi mwake.

Alipokea na kuiweke sikioni. Alisikia sauti ya mwanamke.

"Hello! habari?"

"Salama. Naongea na nani namba ni ngeni?"

"Ni mimi madame Yusta. Tunaweza kuonana muda huu?"

"Bila shaka"

"Okay upo maeneo gani nikufuate hapo?" Leo alimuelekeza Madame Yustar alipo. Lisaa limoja tu madame Yustar alifika eneo hilo. Alimuambia Leo aingie kwenye gari.

"Lakini mimi ni mchafu sana. Nitachafua gari lako"

"Sipendagi kuongea sana. Mpaka nakuambia uingie kwemye gari ujue nimekuona namna ulivyo. Panda kwenye gari nahitaji kuzungumza na wewe kwa utulivu"

Leo aliweka mfuko wake wa makopo chini aliingia kwenye gari.

"Kuhusu kilichopo kwenye mfuko nitakulipa kwaiyo tunaweza kuacha hapo hapo sawa?"

"Sawa"

Gari liliondolewa eneo hilo. Baada ya mwendo mrefu kiasi gari lilisimama nje ya uzio wa jumba kubwa. Honi ilipigwa muda mchache geti lilifunguliwa na mdada.

Baada ya gari kuingia ndani madame Yustar alishuka huku akimuambia Leo nae ashuke. Kwa pamoja waliongozana wote mpaka ndani.

"Misha mletee juice mgeni" Madame Yustar alimwambia Misha dada wa kazi.

"Kuwa huru nipo ndani kwangu nitakuludia baada ya muda mchache kwaajili ya maongezi"

"Sawa" Madame Yustar alielekea chumbani kwake ndipo Leo alipata uhuru wa kutalii seble hiyo iliyosheheni vitu vingi vya thamani.

"Aiseeee! Kuna watu wanaishi alafu kuna sisi tunaishia. Sijui sisi tulimkosea nini MUNGU kila tunachoshika hakishikiki aiseeeee" Leo aliongea mwenyewe akilini mwake.

Misha aliniletea Juice kwa unyentekevu alixungumza.

"Naitwa Misha. Karibu na ujisikie huru"

"Asante sana. Naitwa Leo"

Kwa pamoja tulifurahiana. Misha alilejea jikoni nikabaki mwenyewe pale sebleni.

Baada ya muda kidogo madame alikuja pale sebleni akiwa amebadili muonekano wa mavazi.

"Leo!" Aliniita

"Naam" Niliitikia kwa unyemyekevu kama wote.

"Naomba nikufahamu" Nilimpa uhuru wa kuniuliza chochote.

"Kwanza nataka kufahamu kama una familia nikiwa na maana kwamba mke na watoto?" Nilifikilia kwansekunde moja tu nikatoa jibu.

"Hapana sina"

"Unaishi na nani?"

"Naishi na jamaa yangu tu maskini mwenzangu ambaye tulikutana hapa mjini na kuamua kusaidiana"

"Onhoooo! Sawa. Sasa nilitaka nikupe kazi sina uhakika kama utaifurahia ila upande wangu naona ina unafuu kuliko hii unayoifanya"

"Kazi yoyote mama mie nafanya kikubwa kipate hela ya kula na ya kodi tu. Sichagui kazi"

"Basi kuanzia sasa utakuwa mlinzi na mfanya usafi nje ya nyumba yangu. Mshahara wako nitakulipa laki mbili kwa mwezi. Kwakuwa huna familia kuanzia sasa utaishi hapa kwangu" Madame Yustar aliongea hayo. Niliona kama vile zari la mentali.

Laki mbili kwangu ilikuwa ni pesa kubwa na sikuwai kuishika kabda tangu nizaliwe🥹.

Bila kufikilia mala mbili mbili nilikubali na nilikuwa tayari kuanza kazi.

"Ni jambo la busara kama utaludi kwanza kwenye makazi yako ukamuage mwenzio ili umuondoe hofu juu yako. Naamini utafanya kazi kwa weledi na malengo ili ujiinue kutoka hapa kwenda pale" Madame Yustar aliongea hayo........

Madame Yustar ni single mama. Alishawai kuolewa ila ndoa yake haikudumu aliachika. Baada ya kuachaka akutaka kuingia kwenye ndoa tena aliamini sio lazima yeye kuolewa tena maana alishapitia maisha ya ndoa na yalimshinda. Akiwekeza nguvu nyingi katika biashara na MUNGU alimuinua kiuchumi na sasa anatambulika kwa jina la Madame Yustar mwanamke mpambanaje.

Ukitaka kugombana nae mletee ishu za mapenzi atakuchukia mazima. Ni mtu ambaye anapenda kusaidia watu wenye uhitaji kutoa alicho nacho kwake sio shida ndo maana MUNGU anazidi kumbariki.......

ITAENDELEA........
SEHEMU YA 3
ENDELEA.........

Niliondoka nyumbani kwa madame Yustar nikimuahidi kesho mapema kabisa nitaludi kuanza majukumu yangu ya kikazi.

Kesho asubuhi sana nilifika nyumbani kwa madame Yustar. Nilianza majukumu yangu ya kazi lasmi . kazi haikuwa ngumu.

Majira ya mchana tulibaki wawili tu hapo nyumbani mimi na Misha. Misha aliniletea chakula getini tukapata muda wa kupiga story mbili tatu.

"Ni mtu pouwa sana huyu mama hana shida kabisa. Ila ni mtu ambaye hapendi mzaa kabisa kwenye mambo yake yaani usimuingilie kwenye 18 zake. Ni mwepesi sana kukubadilikia ukimkwaza hawezi kukuvungia kabisa. Mtoto wake hawezi kukaa na mama yake kwasababu ya ukali kupita kiasi.

"Ana mtoto?"

"Ndiyo tena mkubwa malika yangu. Yupo huko nje ya nchi masomoni huwa anakuja rikizo mala chache sana na akija likizo unakuta anakaa kidogo kabda ya likizo kuisha anaondoka. Mama yake anambana sana hampi uhuru kama mtoto wa kike"

"Aiseeeee! Nitakuwa makini nisimkwaze si unajua sisi watoto wa kimasikini maisha yetu"

"Ni kweli. Hata mie naishi nae kwa akili sana na namshukuru MUNGU ana upendo juu yangu kuna muda ananitazama kama binti yake na sio dada wa kazi"

Kwa namna Misha alivyomuelezea Madame niligundua ni mtu pouwa sana kama utaishi nae kwa mipaka na nidhamu.

Majira ya usiku baada ya Misha kuivisha chakula alitenga mezani alafu alienda kumuita boss wake. Muda huo madame Yustar alikuwa chumbani kwake. Ni mtu anayependa kutumia muda mwingi chumbani kwake akiwa nyumbani.

"Simuoni Leo?" Madame Yustar aliuliza baada ya kukaa kwenye meza ya chakula.

"Nishampelekea chakula getini"

"Huu upuuzi ndo siutaki kabisa nyumbani kwangu. Huu ubinafsi hapana. Muda wa chakula wote tunakutana sehemu moja haijalishi huyu ni nani wala yule ni nani. Haraka Leo awe hapa" Madame Yustar aliongea kwa kufoka.

Misha alitoka mbio mbio mpaka getini. Alinikuta nishaanza kula.

"Madame Yustar anakuita"

"Kuna tatizo?" Niliuliza

"Hapana ila unatakiwa na wewe kuwepo kwemye meza ya chakula yaani sote tule pamoja"

Sikupinga niliinuka nikiwa nimebeba sahanj yangu ya wali mpaka ndani.

Basi kwa pamoja tulianza kula huku ukimya ukitawala.

Madame alipomaliza kula alimshukuru mpishi. Alafu alizungumza na Leo.

"Siku zote iwe asubuhi,mchana au usiku, muda wa chakula tunakula wote kwa pamoja na baada ya hapo lila mtu ataendelea na majukumu yake. Nadhani umenielewa"

"Ndiyo Madame"

Alienda chumbani kwake sisi tuliendelea kukifinya. Chakula kilikuwa kitamu balaa sikuacha kumsifia mpishi bhana.

Baada ya kumaliza kula nililudi eneo langu la kazi. Nikafungulia kiredio changu kidogo mwenyewe nasikiliza mziki.

Simu yangu iliingia ujumbe wa sms. Nilifungua ili kusoma ujumbe huo nilipigwa na butwaa baada ya kukutana na ujumbe wa Madame Yustar...........

ITAENDELEA.........
SEHEMU YA 4
ENDELEA.......

Eti ananiita chumbani kwake mala moja. Nilijiuliza kuna nini ila sikupata jibu. Nililudi ndani na moja kwa moja nilielekea kunako mlango wa chumba cha madame Yustar.

Nilibisha hodi aliniluhusu niingie.

Nilizama ndani nilimkuta amekaa kitandani akiwa amevalia night dress tena ilikuwa fupi na nyepesi sana mpaka maungo ya ndani yanaonekana. Si mnajua jicho halina pazia. Basi yaliyomo yamo.

"Nimetii wito wako" nilizungumza.

"Naomba unitengenezee taa naona mwanga unacheza cheza sana nahisi imelegea" alizungumza akimaanisha nimkazie taa yake.

"Basi mie huyo nikapanda kwenye sturi iliyopo chumbani humo nikaanza kuitengeneza taa. Macho nayo hayakutaka kutulia kabisa yalikuwa na mawenge kweli kweli kumtazama madame Yustar.

" mwana mama huyu alijaaliwa shepu na mwili mzuri. Kifua chake sasa unaweza sema hajawai kunyonyesha. Basi pindi mie namuangalia kwa kuibia yeye alikuwa busy na loptop yake.

Kidume mie nilishindwa kuhimili mashine yangu isisimame. Kitu ndiiii! Kikasimama. Taa yenyewe sasa nilivyokuwa nahangaika kuikaza ungenioa ungeishia kucheka. Ila kuwa mwanaume ni mtihani sana, kwakweli tumeumbiwa mateso.

Madame ageuke sasa aangalie kazi nayoifanya anakutana na mashine yangu. Wate tulitazamana kwa pamoja mie kwa uoga nilikuwa wa kwanza kukwepesha macho.

"Bado tu?" Aliniuliza.

"Bado kidogo. Naona kuna nyaya zimekatika ndo naziunga hapa"

"Okay"

Nikiendelea na kuitengeneza taa huku jicho likiangaza kwa kuibia kwenye chuchu saa sita za madame. Aiseee hali yangu ilizidi kuwa mbaya. Mashinde ilianza kuniuma. Niliwa naishika kuipoza kidogo na kuendelea kufunga taa.

Kumbe madame Yustar na yeye alikuwa ananiangalia kwa wizi mashine yangu. Kusema ukweli nimejaaliwa mashinde haswaaa.

Basi nilimaliza kutengeneza taa. Nilishuka.

"Tayari Madame naweza kwenda?" Nilimuuliza huku mikono yangu nimezibia mashine yangu.

Madame aliachia tabasamu kwanza.

"Asante. Mbona umeziba hapo mbele?" Aliniuliza. Niliona aibu nikainamisha kichwa chini.

"Ebu toa hiyo mikono"

"Amna Madame"

"Nimekwambia toa hiyo mikono" aliongea kwa msisitizo. Nilitoa mikono. Madame aliachia tabasamu.

"Njoo hapa" aliniita kitandani. Nilitii amri. Nilisogea mpaka karibu na kitandani kwake. Aliniambia nikae. Nilitii pia.

"Nikashangaa madame kanishika kifuani. Khaaaaa! Taratibu alianza kuushusha mkono wake huku ananiangalia machoni na mie namuangalia kwa uoga.

Mkono wake ulifika mpaka mwenye mashine yangu. Aliishika. Kilichofuata hapo ni miguno tu ya mahaba kutoka kwa madame.

Nilihakikisha nampeleka moto balaa. Aliniita majina yoye mpaka mume wangu😀😀😀.

Baada ya kumaliza mizunguko miwili mfululizo wote tulikuwa hoi. Madame alinikumbatia na kupitiwa na usingizi juu ya kifua changu.

Anashtuka asubuhi ananikuta amenilalia kifuani.

"Mb...wa wewe umefuata nini chumbani kwangu". Sauti ya madame Yustar iliniamsha kutoka usingizini.

" Samahani madame"

"Toka tokaaaaa!" Nilikurupuka kitandani na boksa yangu nilibeba nguo zangu ili nitoke chumbani kwa boss ila kabda sijatoka alinisimamisha.

"Na ole wako umwambie mtu kama umelala na mimi, na huu upuuzi wako usijiludie tena nitakufukuza kama mbwa koko nyumbani kwangu. Vaa nguo hizo ndo utoke humu" Madame aliongea kwa hasira.........

ITAENDELEA...........
SEHEMU YA 5
ENDELEA.........

Nilivaa nguo zangu chap chap nikatoka chumbani kwa Madame.

"Leo Umelala humu ndani?" Misha aliniuliza baada ya kukutana nae sebleni.

"Hapana" nilimjibu kiufipi.

"Nilitoka nje sikukukuta eneo lako la kazi" Alizungumza. Nikiwa natafuta jibu la uongo ili nimjibu Misha madame Yustar alifika.

"Ni muda wa kazi huu mnapiga story hivi mnajielewa nyie kweli?" Aliongea kwa kufoka.

Kila mmoja alipita njia yake. Misha alishangazwa na makasiriko ya madame Yustar asubuhi asubuhi, ni nadra sana kumuona amechukia.

Chai ilipokuwa tayari tulijumuika wote mezani. Tulianza kunywa chai, siku hiyo ukimya ulitawala sana madame alionekana mwenye hasira sana. Basi alikunywa chai kidogo tu aliinuka akasepa.

"Leo naona ameamka vibaya sijui ana nini?" Misha aliongea.

"Siku hazifanani" nNilimjibu kiufupi alafu nikaendelea kunywa chai. Baada ya dakika chache madame alitoka chumbani kwake akiwa amejiandaa vizuri.

"Leo Melissa analudi. Misha baada ya hapo ukasafishe chumbani kwa Melissa, asikute kero yoyote" Madame aliyasema hayo baada ya hapo alinigeukia mimi.

"Njoo unifungulie geti"
Alitangulia mie nikamfuata kwa nyuma. Mwendo wake sasa na nikikumbuka mautamu ya jana mie hoiiii!.

"Weee nae punguza kihere here hata mshahara wa mwezi mmoja sijapata" niliongea hayo moyoni huku nikiibana mashine yangu mapajani ili isisimame😄😄😄.

Ila kusema ukweli upwiru sio mzuri kabisa.

"Melissa ndo mtoto wa madame?" Nilimuuliza Misha baada ya kuludi ndani.

"Ndiyo. Na umzoee tu mtoto ana mashauzi yule puuuuh!"

"Ni mrembo sana eeeeh"

" kwa urembo nisiwe muongo ni mzuri haswaaa amefanana na mama yake pia sema uzuri wake umemzidi mama yake".


"Anhaaa! Sawa"

Jioni nikiwa eneo langu la kazi honi ilipigwa. Nilifungua geti gari likaingizwa ndani. Kwa macho yangu nilimshuhudia binti mrembo wa kitanzania kupita kiasi. Nilipigwa na butwaaa zaidi baada ya Melissa kuanza kutembea kuelekea ndani.

Aliachia mitetemo ya matako, kwa mwanaune lijali kabisa lazima udinde. Mashine yangu ilivyo haina adabu ilisimama dede bila kutarajia. Nilitumia mikono yangu kuificha maana ingekuwa nouma kama madame angeiona

"Huyu nae ni nani?" Nilimsikia Melissa akimuuliza mama yake"

"Anaitwa Leo. Ni mlinzi wa getini".

"Okay" Waliingia ndani mie nilibaki kuushangaa tu uumbaji wa MUNGU. Mama mkali kinoma. Mtoto nae pisi ya kwendraaaa! Daaaah MUNGU kaumba kweli kweli.

Majira ya usiku wote tulikuwa kwenye meza ya chakula.

"Huu utaratibu wa kula na walinzi wa getini meza moja umeanza lini?" Melissa alimuhoji mama yake.

"Wao sio watu?" Mama yake alimuuliza.

"Hivi muda huu tukivamiwa hapa, kwanini asilie eneo lake la kazi kwaajili ya usalama wetu?" Melissa aliongea. Nilijisikia vibaya namna anavyonichukulia ila upande mwengine alikuwa sawa kabisa.

Melissa unaongea nini?," kabda Madame hajamaliza kuongea nilixungumza.

"Yupo sawa, mimi sitahili kuwepo hapa mezani kwa usalama wenu. Kuanzia sasa nitakuwa nakula eneo langu la kazi. Madame Naomba usipinge hili" Niliongea hayo na baada ya hapo nilibeba sahani yangu ya chakula. Nilianza kupiga hatua kutoka nje..........

ITAENDELEA..........
sasa itakuake jamani 🙌🙌🙌.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5



SEHEMU YA 1
MWANZO.........

Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀.

Asubuhi majira ya saa nne anaonekana mama mmoja wa kishua anaingia super market na baada ya dakika kadhaa alitoka akiwa amebebelea vitu mwenye mifuko.

Alitembea mpaka lilipo gari lake aliingiza vitu kwenye gari na baada ya hapo alifungua mlango wa mbele ya gari ili apande ila bahati haikuwa kwake kibaka alikwapua pochi yake akatimua mbia.

"Uwiiiii!" Mwana mama yule alipiga ukunga na kushika kichwa chake. Alijiegemeza kwenye gari lake akionekana amechoka kimwili na hata kiakili.

"Ndo shida...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake-1-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utamu-wa-kula-kuku-na-mayai-yake
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

248
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

182
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

162
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.

88
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19

86
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11

53
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12

50
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13

46
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14

45

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.61K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.35K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.84K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.74K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.6K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.55K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 16
@majario LIVE

ENDELEA......... Tuliingia room tulifanya yetu baada ya hapo tulitoka mie nililudi kazini na Mellisa aliludi nyumbani. Majira ya jioni nilimpitia Madame Yustar kazini kwake. Aiseeee nae akataka yaani nilikuwa nachoka kinouma asikwambia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE   SEHEMU YA 15 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 15
@majario LIVE

ENDELEA.......... Ndani ya masaa kadhaaa niliingiza mkwanja wa milioni tatu na nusu kutoka kwa jimama la mjini. "Hata Madame Yustar hajawaibkunipa pesa nyingi hivi kwa muda mchache. Huyu nimkubalie nini?" Nilijiuliza mwenyewe....

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 14
@majario LIVE

ENDELEA.......... Mellisa nae alibana nje ya mlango wa chumbani kwa mama yake alitaka kujua nini kinaendelea. "Hapana mazingira ni hatarishi sana" "Unamuhofia nani na tupo nyumbani kwangu, kwanza nataka dunia yote ijue kuwa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 13
@majario LIVE

ENDELEA........... Watu pombe ziliwakolea mie sio mnywaji wa pombe nilikuwa naangalia tu maujinga wanayoyafanya. Mkojo ulinibana nilienda chooni ile natoa tu dudu mlango ulifumguliwa aliingia mshangazi mmoja kati ya wale waliokuwa wananisifia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 12
@majario LIVE

ENDELEA......... Madame aliwapa taarifa Mellisa na Misha kuwa mimi sio mlinzi tena bali ni mfanya kazi wake kwenye biashara zake. Rasmi niliajiliwa kusimamia duka kubwa la spea. Huko ndo kulikuwa na pesa...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 11
@majario LIVE

ENDELEA.......... Madame Yustar alibaki mdomo wazi. "Ebu inuka kwanza" alininyanyua kwa mikono yake miwili. "Sina maana ninakufukuza kazi na wala sijasema kuwa una mahusiano na binti yangu. Naamini Mellisa unamtazama kama binti yako...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
@majario LIVE

31 MPAKA 32 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi adrian akanipeleka mpaka chuo. Akanmbia kumbe upo apa.sinza nikasema ndio ndo nipo apa .akasema oooh sawa .vp lakini umenielewa na unayafikilia maneno...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 7 to 19
@majario LIVE

SEHEMU YA 7 ENDELEA.......... Wote tulipitiwa na usingizi mzito. Tuliamka saa kumi jioni na wa kwanza kuamka alikuwa madame. Nilistuka kutoka usingizini baada kuhisi nimeshikwa mashine yangu. "Madame" nilimuita kwa uoga. "Shiiiiii!" Alininyamazisha kwa kuniwekea...

ACHA NIKUPENDE ❤️ 2 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️ 2
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media Nicky alishusha pumzi Kama ametua mzigo mzito alipokuwa kaubeba Kisha akasema . " Wewe Tena , umefuata Nini hapa nyumbani kwangu? " Hili swali natakiwa nimuulize wewe Mr....

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest