Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
Gonga94 ยท Stories

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO...

Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa

"Mira achana na hizi nguo, kesho tutaenda kununua nguo nyingine lakini pia ningependa kukuuliza ile simu uliipenda..??"

Nilinyanyua uso na kumuangalia kwa mshangao, akilini mwangu nilijua labda swatii ndio atakuwa kaniletea lakini nakuja kujua aliyeninunulia ndio huyu mbwa

Aah nilichoka, nikamtazamaaa kwa muda kisha nikamwambia

"Kwahiyo ulishindwa kunikabizi kwa mikono yako ukaamua kuiweka chumbani, ukute umenitegeshea bom wewe.."

"Aah Mira usifike huko, me siwezi kufanya hivyo nilikuwekea huko kwa sababu jana nilipokuita ulikataa kuongea na mimi ndio maana nikaipeleka chumbani kwako, kwanza me siwezi kukuua maana nakupenda sana binti ya..."

"We koma, yani nimekuwa binti yako au mama wa binti yako..??"

"Nini kinaendelea hapa..?"

Sauti kutokea nyuma yetu ilizungumza, haraka madm akageuka akiwa na wasiwasi sana kwa upande wangu nilikuwa kawaida kabisa yani nilikuwa nafurahi kimoyo moyo

"Aaah anfrey kumbe bado upo hapa..??

Madam alimuuliza mwanae huku akiwa anatetemeka sana

"Ndio nimefika saivi baada ya kusahau simu yangu hapo kwenye bench.."

Anfrey aliongea akasogea mpaka kwenye benchi na kuchukua simu yake kisha akatutazama kama amehisi kitu kisha akataka kuondoka mama yake akamzuia

"Aaah nilikuwa namwammbia Mira kesho aongozane na wewe muende mukanunue nguo za mtoto lakini pia na mahitaji mengine madogo madogo.."

Alizungumza madam

"Sawa.."

Alijibu Anfrey kisha akaondoka zake huku akimuacha mama yake akimtazama kwa wasiwasi sana, nami bila kupoteza muda nilishika njia ili kuingia ndani lakini madam akanisimamisha nikamgeukia

"Mira nakuomba sana hii siri ibaki kati yetu.."

Aliniambia, me nikabaki kimya sina cha kumjibu kisha nikashika njia na kuingia ndani, kama kawaida yangu huwa sipendi kukaa sebleni

Yani mida mwingi nautymia nikiwa chumbani na binti yangu, basi bwana Mira mie moja kwa moja nikaelekea chumbani nikiwa nakaribia kufika kilipo chumba changu nilipishana na Ellice

"Mchezo umeuanzisha wewe, nakwambia utaona yani nitahakikisha unaondoka kwenye hii nyumba.."

Elilice alizungumza huku akiniangalia kwa zarau na kuondoka maeneo hayo, nikabaki namshangaa huyu binti dah ana roho mbaya sijawahi ona

Na sijui amekuja lini maana wakati anakuja hapa sikumuona, basi mimi huwa sina tabia ya kuweka vitu rohoni kwa mfano nikiambiwa kitu nikae nacho makini huwa napotezea au wakati mwingine nasahau kabisa

Shoga enu nikasahau kabisa maneno ya Ellice so nikaingia chumbani kwangu na kulala....

Kesho yake niliamka kama kawaida nafuata ratiba zote za kumuhudumia mtoto, majira ya saa tatu nilikuwa nimeshamaliza kila kitu so nilikuwa free kabisa

"Mira.."

Nikiwa nimejipumzisha chumbani kwangu madam aliingia na kuniita jina langu, nikanyanyuka na kukaa kitako huku nikimtazama azungumze

"Jiandae muda ndio huu.."

Alisema na bula kusubiri neno lolote kutoka kwangu akaondoka, basi mimi ninavyopenda mitoko aweee chapu nikawa tayari kwenye gari nikiwasubiri wao wamalize kujiandaa

Baada ya muda kidogo nilimuona madam akiwa ameongozana na Anfrey mpaka pale nilipokuwa, Andrey akafungua mlango wa gari alishangaa kunikuta nikiwa nimemsubiri ๐Ÿ˜

"Umeingia mda gani..??"

Aliniuliza

"Kitambo sana mbona.."

"Mira hakikisha unakuwa huru kuchagua yani chochote urakachokipenda we unachukua sawa..??"

Madam aliniuliza

"Sawa madam.."

Bas Anfrey aliwasha gari na kuondoka mahali pale, njia nzima tulikuwa kimya sijui kwa sababu hatujazoeana ๐Ÿ˜ ila kusema ukweli huyu kaka namuogopa mno

Maana sipendi wanaume weupe na wazuri maana nitakuwa mtu wa kulia kila siku, ukweli au uongo ?? Nawauliza nyie akina dada ambao mnawanaume weupe na wazuri

Hivi hamjawahi kulia kweli ๐Ÿ˜† anyway mahusiano ya watu hayanihusu ikiwa me sina hata mwanaume wa kusingiziwa tu...

ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11


SONGA NAYO...

Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa

"Mira achana na hizi nguo, kesho tutaenda kununua nguo nyingine lakini pia ningependa kukuuliza ile simu uliipenda..??"

Nilinyanyua uso na kumuangalia kwa mshangao, akilini mwangu nilijua labda swatii ndio atakuwa kaniletea lakini nakuja kujua aliyeninunulia ndio huyu mbwa

Aah nilichoka, nikamtazamaaa kwa muda kisha nikamwambia

"Kwahiyo ulishindwa kunikabizi kwa mikono yako ukaamua kuiweka chumbani, ukute umenitegeshea bom wewe.."

"Aah Mira usifike huko, me siwezi kufanya hivyo nilikuwekea huko kwa sababu jana nilipokuita ulikataa kuongea na mimi ndio maana nikaipeleka chumbani...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/miranda-binti-yangu-sehemu-ya-11

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi miranda-binti-yangu-sehemu-ya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

1K
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

233
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

201
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

196
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

192
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

148
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

146
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

135
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine

10

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest