Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka bafuni nilimkuta hemed bado yuko chumbani alikuwa anamalizia kuvaa ... darling nimeandaa break fast kwa ajiri yako nina imani utaenjoy nilijipendekeza kumuongeresha make usiku kucha tulilala bila kuongea na hata asubuhi nilipoamka nikamsalimia aliitikia ilimradi tu😩😩baada ya kumtaarifu kuhusu chakula nilichoandaa kwa ajiri yake aliitikia thank you.... hiyo thank you ilijibiwa like sitaki nataka😩😩 mbona hivi baby nini shida kwani niliamua kujifyatua akili nikamuuliza hivyoπŸ™ˆπŸ™ˆ alinikata jicho🌚🌚 nilirudi kinyume nyume nikaenda endelea na mishe zangu za kuvaa niwahi kazini.....

Hemed hakula hata kile chakula nilichoamka kumwandalia ili ale kabla hajaenda kazini duh🀨🀨 kwa hiyo kasusaπŸ˜’πŸ˜’ anyway atajijua mwenyewe hata akinuna saizi paschal yuanibembeleza cjali minuno yake mimi limtu nimeamua kuacha usingizi wangu ili nilitengenezee kiamsha kinywa lakini limethubutu kuondoka bila kula🀨🀨 ....nilichukia lakini sikuwa na cha kufanya zaidi ya kuonja onja kile chakula kwa juu juu baada ya hapo nilimuaga kipenzi changu shazil kwa kipindi kile alikuwa kaishafunga miezi tisa..... niliondoka zangu kwenda kazini.......baada ya kufika kazini ilipita muda kidogo hemed alinitumia msg samahani sweery heart ❀️ nilisahau kukila kile chakula ulichoandaa kwa ajiri yangu lakini nina imani hata usiku nitakikuta na nitakula darling I'm very sorry..... it okay baby nimekuelewa lakini kile kilikuwa ni kwa ajiri ya asubuhi tu na siyo usiku.....basi sawa my love wakati mwingine ukiandaa nitakula.....mhhh😏😏😏 niliona tu ni kama usumbufu asiendelee kuniharibia siku huyu naye nilizima simu nikaweka pembeni nikaendelea na kazi.....nilifanya kazi hadi mida Fulani hivi ya mchana nilikuwa na vihasira vilivyonifanya niendelee tu kufanya kazi make nikiwaga na hasira huwa napenda kujipa ubusy ili nisiendelee kuwaza.....

How are you pendo🀝πŸ₯° oh mercy I'm fine 😘😘 you're welcome bestie😘😘 are you okay?! I'm fine bestπŸ₯°πŸ₯° ni mercy alikuja ofisini kwangu.... huyu mercy ni rafiki yangu sana tunafanya kazi ofisi moja alikuja kuniambia kuwa kuna mgeni wangu yuko hapo mapokezi anahitaji kuniona..... ni nani jina lake nilimuuliza mercy.... his name is paschal.... wow πŸ‘Œ πŸ‘ paschal mruhusu aingie ofisini kwangu tafadhari kabla cjasahau mercy paschal ni shemeji yako huyo ni mme wangu ooh I'm happy for you bestieπŸ₯°πŸ₯°πŸ€ mercy alikwenda kumpatia paschal ruhusa wa kuingia ofisini kwangu nyieee kumbe mkikosana kwa muda alf mkaja anza kupatana kumbe penzi ndo linakuwa la moto vileπŸ”₯πŸ”₯ yani ilikuwa nikama vile mimi na paschal ndo tunatongozana etπŸ™ˆπŸ™ˆ baada ya mercy kuondoka nilikimbilia washing room nikaenda jicheki kama usoni kwangu niko poa niliikoleza make up yangu ikakaa poa nikaongezea na kilipstic kidogoπŸ”₯πŸ”₯ nilinoga sana baada ya hapo nilirudi ofisini kwangu nikaket kwenye kiti then kichwa changu nilikilaza kwenye meza lilikuwa ni pozi mideko si nishaambiwa mahabuba wangu yuko chini reception ilinibidi nianze kudeka kabla ya yote......

Baada ya dakika chache mlango uligongwa nilikaribisha kwa sauti ya chiniπŸ™ˆπŸ™ˆ aliingia paschal kule ofisini kwangu hi baby alinisalimia huku akiwa ananichumu chumu shingoni kwangu nyieeeeπŸ™ˆ nilitamani kunaniliuπŸ€£πŸ™ˆau basi πŸ™ˆπŸ™ˆ nilimkumbatia alinikiss etπŸ™ˆ pole na kazi my lovely wife..... thank you hubbyπŸ₯° umechoka et?! Yeah of course I'm very tired 😫 ...... pole mama nimekuja kwa ajiri ya kukujulia hali nikupeleke lunch pia.....nimekupigia sana ukawa hupatikani lakini kwa vile ulishanielekeza ofisini kwako nimeona tu wacha nije kukuona.....please usipende kuwa unaiweka simu yako off unanipa wasiwasi et😣😣..... pole hubby basi nitaiweka on..

Paschal aliniomba tutoke kwa ajiri ya lunch πŸ’ƒπŸ’ƒ nilikubali alinishikilia mkono niliosha kule ofisini🀣🀣 nisingeweza kuacha kuwatambishia🫰🫰 niliondoka na baby daddy tukaenda kupata lunch πŸ˜‹ kilikuwa ni chakula Fulani hivi amazing 😘😘 tukiwa zetu pale tunaendelea kula nilipigiwa simu na mercy.... hello BFF your another husband is here🌚🌚 who😧😧?! Nilimuuliza..... his name is Hemed..... hemed is there in the office?!😟😟?! Yeah bestie he is here......duh kimeumana nilimwambia mercy amwambie hemed kuwa nimetoka nje kwenda kutafuta chakula ohshit na gari langu nililiacha parking kule ofisini kibaya zaidi kule ofisini kuna mgahawa wa kila aina ya chakula😩😩😩 haikupita muda hemed alinipigia where are you baby nimeleta lunch kwa ajiri yako nimekupigia sana ili nikutaarifu kuwa ninakuja lakini haukuwa hewani uko wapi?!.... pole mpenzi nilitoka mara moja lakini nitarudi muda siyo mrefu..... ulitoka ukaenda wapi na gari yako naiona hapa🀨🀨 uko na paschal rightπŸ˜’πŸ˜’?! Hapana baby niko na rafiki yangu tulitumia gari yake🌚🌚... naomba location ya sehemu uliko...... duh nafanyaje sasa ningali bado naendelea kuongea na hemed kwenye simu paschal alinifuata make nilitoka pale katika meza ya chakula nikasogea pembeni kidogo kuongea na simu......

Baby chakula kinapoteza mvuto wa kuliwa kikishapoa kitakuwa kiporo please πŸ™ weka simu yako pembeni twende tukamalizie kwanza kula......its okay darling we kaendelee kula nitakujoin my..... nilichokifanya niliizima ile simu then nikaenda kuendelea kupata chakula......baada ya chakula tulipumzika kidogo pale si mnajua shemegi yenu ana mambo ya kizungu 🀣🀣🀣 baada ya chakula unatakiwa kupumzika angalau nusu saa siyo unamaliza kula safari zinaanza kiguu na njia tulirest kwanza huku tukiwa na vinywaji vyetu kwenye glass zile ndefu😎 story za hapa na pale mapendo kama yote nampenda yule kijana wa mama mkwe aakhiiii😩😩 lakini kila nilipokumbuka kuwa hemed naye yuko ofisini na vile nimetoka kuwatambishia kuwa paschal ndo mme wangu hivi wataniwaziaje si wataniona kidada kisomi kumbe kidangaji🌚🌚 hapa ni kuwapiga wote hawa marufuku kuwa wananifuata ofisini kwangu watajanichafulia cv zangu.......paschal alinirudisha ofisini imagine bado hemed alikuwa kaganda zake nje ya zile ofisi alikuwa kapark gari lake pale kisha kasimama zake kaegemea kwenye gari...... tulifika kule ofisini paschal alimuona hemed alitelemka kwenye gari akasimama nayy akaliegemea gari lake duh niliogopa hadi kutelemka kwenye gari nini kitatokea hapa mungu wangu wasije wakaanza kupigana et......

Nilishuka kwenye gari nikamuomba paschal aondoke pale wasije wakaanzisha fujo...... please honey leave tutawasiliana et sitaki muanzishe drama hapa ofisini mkajaniharibia kazi yangu😟😟😟.... pendo wewe ni mke wangu natumaini unalitambua hilo siwezi kuendelea kuvumilia kumuona huyu mwanaume akiwa anakufuata nyuma nyuma kila sehemu nina moyo pendo ninaumia ujue...... hemed alisogea pale huku akiwa anapiga makofi.....hey stop itβœ‹οΈπŸŒš nilimzuia sitaki drama et..... oh hutaki drama siyo it's ok pendo kabla hemed hajaongezea neno paschal alimsogelea akamwambia ninaweza kukushtaki ujue huyu ni mke wangu hakuna sheria inayokuruhusu wewe kuishi nyumba moja na mke wa mtu achana na mke wangu kabla cjakuchukulia hatua...... hahahaaaa nazani wewe mshenzi ndo unayetakiwa kutoa talaka kwa mwanamke wangu ili niweze kufunga naye ndoa ulimuacha kwa muda gani?! Unajua aliishije kwa kipindi chote hicho hivi unajua kama sisi wawili tayari tuna mtoto,?!..... move on broo ulishaachwa mimi ndo mme mtarajiwa wa mkeo na ni baba wa mtoto wako pia...... hemed aliongea mbovu sana paschal hakupenda hakutaka kuleta drama ila alipanda kwenye gari lake kwa hasira akaondoka mahali pale......


Itaendeleaaaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜


Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka bafuni nilimkuta hemed bado yuko chumbani alikuwa anamalizia kuvaa ... darling nimeandaa break fast kwa ajiri yako nina imani utaenjoy nilijipendekeza kumuongeresha make usiku kucha tulilala bila kuongea na hata asubuhi nilipoamka nikamsalimia aliitikia ilimradi tu😩😩baada ya kumtaarifu kuhusu chakula nilichoandaa kwa ajiri yake aliitikia thank you.... hiyo thank you ilijibiwa like sitaki nataka😩😩 mbona hivi baby nini shida kwani niliamua kujifyatua akili nikamuuliza hivyoπŸ™ˆπŸ™ˆ alinikata jicho🌚🌚 nilirudi kinyume...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-63

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜

549
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 46 na 47

486
MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❀️ sehemu ya 96 na 97

475
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 44 na 45

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 44 na 45

454
*MY WANGU❀️*   *sehemu ya 98 na 99*

*MY WANGU❀️* *sehemu ya 98 na 99*

278
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 38

257
REAL LOVE  Chapter 15

REAL LOVE Chapter 15

190
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜

184
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50

135
REALLY LOVE* 16

REALLY LOVE* 16

109

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.16K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.9K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.69K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.48K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.31K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.3K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minong’ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

β€œMalaika! Malaika mwanangu!” β€œNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?” Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA β€œNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule” β€œYesu.....” Nilipagawa huku nikiwaza...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 08 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 08
@majario LIVE

NA MR AB Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni ** Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo β€œVipi mke wangu?...

YENYE KIRUNGU πŸ’› β€οΈπŸ’š  SEHEMU YA 07 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› β€οΈπŸ’š SEHEMU YA 07
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA Piiiiiiiii, alipiga honi konda, nikasogea na kuchungulia vizuri, kweli ilikuwa kama nimetabiri hivi, nilimshuhudia Jerry anashuka kwenye pikipiki amevaa shati na suruali ya kitambaa akasogea β€œMke wangu Anita” Alisema Jerry...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’šβ€οΈ  SEHEMU YA 06 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’šβ€οΈ SEHEMU YA 06
@majario LIVE

MR. AB TULIPOISHIA β€œWewe Anita......Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud. Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama β€œAnitaaaa.....wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika β€œYupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa”...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️   SEHEMU YA 05 Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ SEHEMU YA 05
@majario LIVE

MR. AB Tulipoishia Ile nimefika sebuleni kulikuwa na giza, nikapapasa swichi na kuwasha taa. Sikuamini, nimewasha taa hivi, naona mwanaume kasimama katikati ya chumba amevaa boxer tu, ana tattoo zake ameinamisha kichwa chini. Kuinua...

YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️ Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’› πŸ’š ❀️
@majario LIVE

Na Mr AB SEHEMU YA NNE Alifanya kuniwekea kunako, akaisukumiza kikaingia kile kichwa tu β€œOoohhh..bhaaan...” Nilihema kwa hisia huku nikijisukumiza nyuma ikawa inaingia taratibu hadi ulipoingia mpaka mwisho. Ilinitekenya halafu akaanza kuchochea...

YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’›β€πŸ’š SEHEMU YA TATU Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’›β€πŸ’š SEHEMU YA TATU
@majario LIVE

"Daah mbona haisimami?" Nilimuuliza boss wa mume wangu "Ngoja niondoke nitarudi siku nyingine leo sijisikii vizuri" alijibu akipandisha suruali yake halafu akatoa shilingi elfu 20 akanipatia "shika hii" "Mh asante" nilisema...

YENYE KIRUNGUπŸ’›πŸ’šβ€  SEHEMU YA PILI Post Mpya
YENYE KIRUNGUπŸ’›πŸ’šβ€ SEHEMU YA PILI
@majario LIVE

Tulipoishia Asubuhi ilipofika Nilijikuta namtext boss wa mume wangu "Wewe" nilituma asubuhi na mapema maana niliamka na nye** vile vile "Niambie madam" "Ninahitaji mboo" Nilimuandikia ujumbe huo ili nione atajibuje, yaani akijibu vizuri tu...

YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’šβ€ πŸ”ž Post Mpya
YENYE KIRUNGU πŸ’›πŸ’šβ€ πŸ”ž
@majario LIVE

Sehemu ya kwanza Mume wangu ni mtu msiri sana ambapo ni mara nyingi tumekuwa tukigombana hasa pale ninapogundua kwamba kuna mambo ya muhimu amenificha kwa muda murefu. Hata hivyo ugomvi haijaweza...

Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952. Post Mpya
Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.
@majario LIVE

Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia...

Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai Post Mpya
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
@majario LIVE

Msanii maarufu β€œToss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA. Mrembo huyo...

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest