MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
Mama aksema nini iki nasikia . Ni nn unaongea haji. Nikasema mam mimi uyu mwanamke kanifanyia mambo mengi mazuri ila kwa hili hapna. Mda wote nalea mtoto kwa upendo na furaha.kumbe ananifanya mjinga sio mwanangu apo nalia kabisa. Dada akaja kanmbia plsss haji usilie hali yako haipo saw usilie basi kaka nyamaza aya yataisha tu. Niliumia sana. Nilisema mama mi uyu mwanamke simtaki tena . Simuhitaji tena. Ahaaa mke wangu akatambaa na magoti mpaka kwa mama akamwambia mama nisamehe na niombee msamaha kwa mume wangu . Mama nimewakosea nyote ila naomba sana mnisamehe. Mama akawa kabaki kimyaaa. Aseee akamnyanyua mke wangu akatoka nae ndani. Mimi uku ndani nikabaki na dada. Akawa ananituliza na kunambia nitulie na kila kitu kitakaa sawa .nikasema dada mm na fatuma basi yani simtaki. Dada akanmbia hapana usiifanye haraka . Mimba inaingia siku moja mdogo wangu. Labda siku ambayo anachepuka ndo kapata mimba. So usifanye hasira . Tumia busara kaka kwa sasa
Aseee dada alinituliza sana mm. Mpaka nikalala kwenye miguu yake. Sikuwa sawa. Kabisa na hii siku mm nikalala na dada akiniangalia kwa upendo mno. Nadhani na mke wangu alilala na mama na kesho yake asubuh. Dada ndo alinihudumia kwa kila kitu. Aseeee nilikuwa na hasira sana na mke wangu. Hakuja chumbanai kama siku 3. Anakuja mama na dada. Uku wote wakinipoza nishushe hasira tuyaongeee. Siku ya nne ndo nikatoka sebleni mana watu wa kazini walikuja kuniona na nilipewa miezi 2. Kujiuguza kwanza. Ila mshahara unajngia kama kawa. Basi ikakata week ndani mm siongei kabisa na mke wangu. Ila mam anampenda sana akaanza kumuombea msamaha kuwa nimsamehe na niludishe moyo .ila niligoma.
Na week end lemi piah alikuja kuniona na tulipata private ya kuongea . Aliniuliza unafikilia nn. Nikasema nataka kumuacha. Akaniuliza humpendi fatuma kwa sas. Unaweza kuishi bila ya fatuma mh apo ni kipengele na mpenda sana uyu mwanamke nikasema ntajitahidi. Lemi akanmbia hakuna cha kujitahidi. Nyumba zina siri sana. Sio kila mtoto wa katika familia basi ni baba anayemlea ni kamzaa .we kama unahisi bado unampenda mke wako. Usimuache .ayo mambo aliyafanya mdaa. Sio sasa. Msamehe na lea mtoto. Ila mpe jamaa uhuru wa kuwa na mwanae kisha ww tafuta wa kwako sasa. Nikasema sawa ntaayaangalia ayo kama ntayaweza. Basi lemi alishinda mpaka jioni kwangu tukiongea ongea. Ndo kama alikuja kunitoa stresss mwanangu. Na jioni akaondoka kuludi dar
Apo mke wangu akiniona mpka anatetemeka mana anajua hatma yake ni taraka na simtaki. Ila sio kweli mk mke wangu nampenda kinoma.zilikata week 3. Mi nikawa naendelea vizuri kabisaa. Na wazazi sasa wakataka kuondoka apo ndo tukawekwa kikao. Mama aliongea sana na mimi. Alinambia kua nimsamehe mke wangu . Mana mke wangu ananipenda sana . Na bado ananihitaji sana . Mengine ni makosa tu. Yanatokea hivyo ni msamehe na nisimuache.mi sikumjibu kitu mama nikaingia zangu chumbani. Nilikaa sana uko mpaka usiku saa 5 ndo mke wangu akaingia tena anogopa sana. Nikamungalia kisha nikamwambia muache alex amleee mtoto wake. Mimi na wewe tutatafuta wetu. Akapiga magoti uku analia . Akanmbia nisamehe mume wangu . Nimekosea sitaludia tena .nikamuinua mke wangu nikamkumbatia . Nikasema nimekusamehe mke wangu. Ngoja tupambane na maisha . Akwa analia na mimi nalia. Tukakumbatiana na nikamsamehe mke wangu . Sababu nampenda bado.
Na kesho yake niliwambia kabisa wazazi kuwa mm nimemsamehe kabisa mke wangu. Mam akafurahi sana . Akanitia moyo mnoo. Basi wakatwambia maneno ya mungu na ya busara mnoo. Basi bwana . Asee ndo nikajua kweli mama na dada wanampemda sana fatuma.basi Wao baada ya siku 3 wakakidi babati na sisi tukabaki kuendelea na maisha ..safari hii mke wangu aliongeza heshima na unyenyekevu sana. Yani alikuwa ananonesha kunijali sana. Na kuniitii kwa kila kitu. Ni kweli nimekubali kuendelea nae uyu mwanamke ila kila nikikumbuka araina sio mwanangu roho na moyo vinauna sana .nahisi kuchanganikiwa kweli kweli jamani.
Basi nikapambana mpkaa ikakata mwez mi nikapona kabisa na nikaanza kazi. Aseeee nilikuwa naendelea na maisha ila nilijikuta upendo kwa mke wangu unaisha kila siku. Na bado naona nakuwa sina imani nae tena. Mapenzi yale kama mwanzo nikawa sina. Niliona najichosha mnooo. Yani sana . Unajua nikawa namuona ni mwanamke msiri sana.nikawa nahisi uwenda ata kuna mengine anaficha uyu zaidi ya aya. Na roho ikawa inauma sana. Basi maisha yakawa yanaendelea yeye akizidi kunipenda.ila mm mhh imani kwake ilishashika. Niliona sina haja ya kujifosi mimi. Mana ata kumtomba nilipunguza mno. Yani sikuwa na mood nae tu
Siku iyo nililudi nyumbani . Siku ya ijumaaa .nilimwambia leo tunasafiri tunaenda babati nataka tukongee na alex kuhusu mtoto wake. Ahaa mke angu navyoniheshimu kwa sasa akakubali haraka. Na nikampigia simu mama kuwa mi nakuja apoo na familia yangu tuna mazungumzo na alex. Mama akasema sawa. Basi bwana apo nilishanunua gari nyengine nzuri tu. likuwa yangu sasa mana ile niyopatia nayi ajali ilikuwa ya kampuni . So nikanunua chuma yangu sasa. Basi mke wangu wala hakuwa na presha .akajiandaa haraka harka. Mwanaume nikakanyaga mafuta . Tukiwa na mtoti wetu mpaka sa 7 usiku si tupo babati. Kwa hii siku tukalala kwa bi mkubwa. Asubuh na mapema. Nilimwambia mama nna kikao.ila nataka na wazazi wa mke wangu wawepo apa. Mke wangu akaniuliza unataka kuwaeleza wazazi kuhusu mtoto nikasema.ndio lazima wajue . Ili tumpe amani alex ya kuwa na mtoto wake na sisi tuendele na maisha yetu
Kweli mama akawpigia simu wazazi wa mke wangu na wakaja nyumbani pale. Mam ake na fatuma alipofika akanifurahia sana. Si anajua mkwewe ni boss na vipesa nampaga. akasema mbona mmekuja gafra jamani ata hamjasema . Nikasema mama sababu tuna mogezi mazito. Asee fatuma alikuwa kimya nikajua ni aibu sababu wazazi wake watasikia upumbavu wake apa. Basi mi nilielezea uhalisia jinsi ilivyo. Kuwa mimi araina sio mwanangu ila ni wa kijana mmoja yupo apa apa kijijini anaitwa alex. Aseee wazazi wa fatuma walishangaaa wakataka kuanza kumsema. Nikasema hapana mtamsema baadae ila mm nimekuja kufanya maamuzi. Nikaona mke wangu kaningalia. Nikasema fatuma nisamehe kweli nilikupenda sana.ila kwa hili nimeshindwa kusamehe kuanzia leo ww sio mke wangu. Nilishaziandika na tarakaa zake 3. Nikampa pale pale. ( JICHUNGE SANA MWANUME ASAMEHI USALITI) asee maamuzi yangu yalishangaza kila mmoja. Mama akasema haji kwanini ..... kabla hajaongea sikutaka kuendelea nikasema mama aya ni maaamuzi yangu naomba yaheshimiwe. Nikatoa bahasha ya pes ailikuwa na miliona 10. Nikampa fatuma nikamwambia hii ni pesa ni milion 10 utaanzia maisha mimi na ww tumefika mwisho wetu . kisha sikutaka descusssion.nilimuacha kila mtu kashangaa.nikatoka ndani nikaingia ndani ya gari .nikaanza safari ya kurudi moro. Asubub hio hio.nikihisi amani na nimetua mzigo mzigo moyoni
Mwishooooo
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi