Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
Gonga94 Β· Stories

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO..................

Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,πŸ€”na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake πŸ€”na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.πŸ€”

Niliwaza sana mwisho nikageuka na kuendelea na kazi zangu, dakika zikakata nikamaliza kuandaa vitafunwa bila kupoteza mda nikaandaa meza na kuita wote waliokuwa chumbani .

Siku hii madam boss pamoja na aunt Vero walikuwa hawapo hivyo Shuu pamoja na rafiki zake wakasogea mezani Alvin nae hakuwa nyuma .

Sasa kwakua huwa siungani nao mezani nikapiga hatua kuelekea jikoni maana huko ndiko ninapopatiaga chakula, ila kabla sijafika Shuu akaniita nami bila kusita nikaitika na kurudi mezani.

Kufika akanambia " kwa hiyo unataka tujipakulie ?" Swali lake lilinifanya nikamuangalia usoni kwa mshangao sana, maana hakuna siku niliyowahi kufanya kitu kama hicho.

Nilitamani kumuuliza huenda labda anatania ila nikapotezea na kusema " samahani nilihisi mtapakua wenyewe " niliongea huku nikivuta chupa la chai na kumimina kwenye vikombe vyao.

Akabaki ananiangalia kwa jicho la hasira sana, me sikutaka hata kuongea au kufanya chochote kitakacho mpa nafasi ya kuongea ,zaidi niliwahudumia kisha nikauliza kama kuna lingine.

Wakajibu hapana nikageuka na kuondoka ,kufika jikoni nikamimina chai na kukaa chini nikaanza kunywa taratibu, sekunde zilisogea nikawa natazama chai na vitafunwa .

Nikajikuta nikizama kuwafikilia ndugu zangu ,ni siku zimepita sasa sijaongea nao sijui hali yao ikoje na sijui kama wanapata chakula kwa wakati πŸ˜ͺ
Kwa mara nyingine niliangalia kikombe cha chai na kukumbuka namna mdogo wangu Shamsa anavyopenda chai ,nikatamani walau ningekuwa nae nikamuona namna anavyo kunywa huku akitabasamu πŸ˜ͺ.

Lakini niko mbali na hata kama ningekuwa karibu sijui kama tungeipata maana maisha yetu ni duni sana πŸ˜ͺ, niliendelea kunywa chai huku nikiwafikilia zaidi ndugu zangu.

Hadi pale nilipomaliza nikainuka na kufuta machozi kisha nikaenda kutoa vyombo, bila kuongea neno nilianza kukusanya sahani kwa pamoja kisha nikabeba ili nipeleke jikoni mara Shuu akaniita na kusema.

"Kwa mara nyingine kichwa kubwa unataka uwe unakumbushwa kila kitu, kwa hiyo watu tuinuke bila kunawa ili tuwe wachafu kama wewe?"

Nilisimama kwa sekunde kadhaa bila kugeuka , kinyonge nikageuka huku uso ukiwa unaangalia chini na kusema " samahani ngoja nipeleke hivi vyombo jikoni kwanza alafu nakuja ."

"We bwege nini,,kwa hiyo tukae kukusubiri wewe hadi upeleke hivyo vyombo kwamba huwezi kutunawisha ndo ukavipeleka au umeanza kuota pamembe.

Maana hamchelewagi, mkishaona mnaanza kung'aa tu kosa vichwa vinaanza kuwavimba embu rudisha kwako zako hapa utunawishe kwanza ,lione kubwa zima akili zero."

Bila kuongea neno nilirudi nikaweka vyombo mezani na kutaka kwenda jikoni kuchukua jagi pamoja na kibeseni kidogo kwaajili ya kuwanawisha .

Kwa sauti ya ukali Shuu akaniita " we mbwa wewe unaenda wapi😑 !?"

"Samahani naonda kuchukua jagi na beseni ili niwanawishe "

"Kwa hiyo unaenda jikoni na bado unarudisha hivi vyombo hapa kwamba tupige navyo picha ama ubongo wako umeingia maji?😑"

"Samahani πŸ˜”" niliongea na kuvichukua vile vyombo Kisha nikaingia jikoni huku nyuma akabaki anasema " yaani miwatu mingine kama mitahira ,eti linatuachia mivyombo michafu lione lilivyo kama nguruwe pori mfyuuu😏"

Alvin hali akiwa kimya aliinuka taratibu na kusogea lilipo sink la kunawia akanawa na kurudia simu yake mezani kisha akapiga hatua kuelekea kilipo chumba chake .

Kabla hajafika mbali Shuu akasema " eeeh uendelee kukaa kimya hivyo hivyo sio ujifanye baba mwenye nyumba kuingiliwa mambo ya kike "

Alvin aligeuka akamuangalia Shuu kwa sekunde kadhaa bila hata kuongea kitu akaondoka na kuingia chumbani kwake .

Mnyonge mie nilichukua maji na kwenda nikaanza kuwanawisha mmoja baada ya mwingine , nilivyo mfikia Shuu akanyoosha mikono huku akiniangalia usoni kwa jicho la dharau.
Bila kuongea neno nilizidi kuinamisha uso wangu chini ,taratibu nikamsogezea zaidi na kumiminia maji akawa ananiangalia tu bila hata kunawa .

Nikainua macho yangu na kumuangalia usoni akanambia " unaniangalia nini nisafishe kwa mikono yako na sio kunimwagia maji tu"

Bila kuongea niliweka chombo mezani nikashika mikono yake na kuanza kumuosha taratibu, akawa ananiangalia usoni huku akitabasamu πŸ˜”.

Sikuonesha kuchukia hata kidogo zaidi nikawa bize kufanya kile alichotaka na nilivyo maliza nikamfuta mikono vizuri kisha nikamuuliza " kuna kingine ambacho unahitaji nikufanyie!?"

Alitabasamu kwa dharau na kunambia "yeah kipo" aliongea huku akirudisha kiti nyuma na kusimama , nikahisi anataka kuondoka hivyo nikarudi nyuma kumpisha apite .

Ajabu alichukua maji machafu ambayo walishakwisha nawa akanimwagia nayo usoni na kunitupia kibeseniπŸ˜”, niliinama chini na kukiokota akanikanyanga na mguu wake huku akisema.

" Nataka siku zote unapokuwa mbele yangu uwe hivi hivi unanielewa ??"

Nilishindwa kuzuia machozi ,nikajikuta nautazama ule mguu wake kwa sekunde kadhaa huku machozi yakinitoka , kwa sauti iliyojaa uchungu nikasema "sawa"

"Vizuri na kuna nguo chafu chumbani kwangu hakikisha unazifua na kuzikunja vizuri ,sasa jifanye chizi nirudi nikute hujafua uone nitakavyo ichakaza hiyo sura yako mbovu"

Aliongea na kutoa mguu wake kisha wakaondoka , sikuinuka nikabaki nimeshika chini vile vile macho yangu yakawa kuangalia namna anavyofurahia .

Moyoni nikasema iko siku haya machozi utakuja kuyarudisha, sijui itakuwa lini na nitafanyaje ila hii ni ahadi UTAJALIPIA .😑

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06


SONGA NAYO..................

Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,πŸ€”na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake πŸ€”na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.πŸ€”

Niliwaza sana mwisho nikageuka na kuendelea na kazi zangu, dakika zikakata nikamaliza kuandaa vitafunwa bila kupoteza mda nikaandaa meza na kuita wote waliokuwa chumbani .

Siku hii madam boss pamoja na aunt Vero walikuwa hawapo hivyo Shuu pamoja na rafiki zake wakasogea mezani Alvin nae hakuwa nyuma .

Sasa kwakua huwa siungani nao mezani nikapiga hatua kuelekea jikoni maana huko ndiko ninapopatiaga chakula, ila kabla sijafika Shuu akaniita nami bila...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-06

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
UTANIITA SHEMEJI*  SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 10
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

636
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

508
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

144
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

124
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

117
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

82
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

82
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

5

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest