Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
49 MPAKA 50
๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก


Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana na location knavyosema mana akitembea na simu tu anakuwa anaonekana .lemi akanambia huwa namuona akitoka kibaha. Anaenda mikocheni . Na apo mikocheni huwa anakaa ata siku nzima nafikiri apo ndo kazini kwake. Nikasema sawa this week end nakuja dar nataka twende apo kunduchi beach tukaangalie. Akanambia fresh. Basi ijumaaa tu ya iyo week nilipotoka job. Mwanaume nikanyanyua chuma mpka saa 4 nipo dar kwa lemi. Apo lemi alikiwa anaishi mbezi. Aknambia mwanangu lazima kwanza tumchore iyo kesho tukienda uko kunduchi tusije tukapigwa bwana. Mana anaweza akaja na mumewe au bwana ake . Nikacheka nikasema hakuna noma tutakuwa makini tu .basi usiku kama saa 5 tukaingia club kidogo.na tukalidi saa 8 tukapumzika. Kesho yake saa 2 asubuh si tulishafika kunduchi beach tukapoa ndani ya gari. Nikiwa naomba sana princess aje uku na watoto

Lemi ndo alikiwa anaongea na mshikaji wake anamuelekeza kuwa kwa sasa naona location iko wapi.kwa uo mda akasema bado location inasoma kibaha. Tukaendelea kusikilizia mpka saa 4 . Akatustua akatwambia anakuja sasa nazani mana anaelekea njia ya goba nazani ni anakuja uko. Basi kweli mshikaji akawa anatupa aupdates mpka kufika kwake akatulekeza mpka upande alopark . Na kama nahati. yani prjncess alipark kwa pembeni yetu kabisa. Sie tuli tumejikaushaa.

Na baada ya mda mlango ukafunguliwa upande wa dereva akashuka princess bwana. Aseeeee mtoto mkari kinoma .mzuri mnoo. Kawa mzuri kisenge. Yani kapendeza .kanenepa bodi limejichonga. Basi katoka kavaa kigauni chake cha kumwaga cheipesi na viatu vyake vya kuingiza uku chini ana vicheni vya miguu vya gold kwenye miguu yake..aseee miguu yake ikazidi kupendeza. Yani mtoto.ndo kawaka kinoma noma

Aliposhuka sasa.yeye na mlango wa kushoto akashuka mdada mwengine. Ila uyu alikuwa wa kawaida tu. .kisha princess akenda kufuungua mlango wa nyuma .wakatoka watoto watatu wa kama mika 7. Aseeeee wale watoto wawili ni wakiume na uyu wa 3 ni wa kike. Aseee niliwangalia vizuri wale watoto.bila ya shaka ni wanangu . Wote wamenifanana. Unajua ile kuhamaki et nikataka kishuka.lemi akanishika mkono akanmbia unaenda wapi sasa utaharibu tulia. Basi nikona princess kamshika mkono wa kike.kisha wa kiume akawashika yule dada mwengine wakbeba na begi kama la mgongoni. Kisha wakaanza kuelekea ufukweni. Nyieee nilipata rahaa ya ajabu .aseee nilizani nakufa sina mtoto.kumbe ninaowatatu .hapana lazima princess aelewe na ajue kuwa sasa nataka kuwa baba kwa wanangu. Daah

Basi tukashuka na sisi tukaanza kuwafatilia. Tukaona wameenda kukaa sehemi ina viti kisha princess anawabadilisha nguo wanae. uku anongea nao. Nilikuwa naona nawabadilisha nguo za kuogea .kisha akaingia nao kwenye maji madogo japo yey wala hakua anaogelea ni kama vile kucheza nao tu na yule mdada mwengine yeye alikuwa anaogelea .nilipata amani mnooo ya moyoo. Ni wanangu .nimefanana nao sana. Naa bada ya mda nikoan princess katoka amekaa kwa pembeni kisha anachezea simu yake.apo tena sijutaka la kusibiri nilimwambia lemi acha nikaongee nae.lemi akanmbia swa Ila tegemea kukataliwa zaidi. Nikasema naelewa hilo lemi.

Basi mie nikamfata princes mpaka pale . Ni kweli alikuwa anaongea na simu ila aliponiona simu yake ikamdondoka.nikavuta kiti na mimi nikakaa . princess akasema unanifatulia kumbe ww? Nikasema hapana na mm leo ndo nimekuona huu mda .nikaona nije kukusalima au kuna shida. Princess akanmbia hakuna aya ondoka.sasa. utanialibia mambo yangu sa hizi .nikasema princess naelewa una hasira sana na mm. Na ninakili kwa mungu kuwa nimekukosea mengi ila nimekuona na waroto apa bila ya ubishi princess wale ni wanangu.

Princess akasonya akaniuliza wanao wapi .na wanao gani ww usinitilie nuksi sa hizi . Mimba yako si nilitoa au umeshasahau kama ulitoa pesa ya kutoa mimba. Nikasema princess lakini hukutoa awa watoto nimefanana nao sana . Akanmbia we koma ao watoto hawafanani ana ww na sio wanao.kisha akanyanyuka kwa hasira akenda baharini. Akawachukua wanae.kisha mwengine akamshika yule dada yani kama anamwabia yule dada waondoke haraka. Mi nikanynyuka nikamfata mpaka meneneo ya parking walipokuwa. Wanaelekea kwa ajili ya kuondoka. Apo ni anwavalisha haraka haraka. Aseee ndo nikawasogelea sasa.ahaa uyo mmoja wa kiume ni mama yangu mtupu. Yani kama mama yangu. Na walivyoniona uyu wa kike akasema shikanoo uncle. Aseeee njkajikuta chozi linanaitoka

Princezs akmwambia kelele wewe mpumbavu mkubwa. Et uncle unamjua uyo .nyooo .basi mtoto akanyamaza. Nikasema princess ebu tulia tuongee asa unataka kwenda wapi na hatujamaliza mazungumzo . Wala hakunijibu ila niliona ana hasira sana Aalipomaliza kuwabalisha nguo wanae akmwabia yule dadda. Mainda wapelek watoto kwenye gari tunaondoka sasa hivi. Kisha sasa akanigeukia kaanmbia sikia wewe mshamba sina mda wa kubishana na ww kabisa.sitaki ata kuongea na ww. Na sikutamani kuonana tena na ww katika maisha yangu nando mana nilivyosikia unafundisha mzumbe ata kusoma nimeghair . nilitamani ata uwe ushakufa uko . Kwa jinsi nakuchukia ila unachotakiwa kujua kwenye maisha yako ni kama hauna mtoto na mimi.na sijawahi kuzaa na ww. Na mimba yako nilishatoa awa watoto wana baba yao ukome nakwambia . Tena ukome kunizoea .jinga ww .Doooh kisha akageuka ili aondoka .mi nikamdaka mkono. Yani ata hajataka kunielewa akanipiga kibao kikali cha shavu. Akanmbia hiko ni kibao sasa endele kunifatilia kama sijakupiga bastora.kisha akanisukumaa akaingia ndani ya gari yake. Akatoa gari kwa hasira kweli. Nilibaki pale moyo unaum sana mpaka chozi linatoka mwanaume

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

49 MPAKA 50
๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก


Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana na location knavyosema mana akitembea na simu tu anakuwa anaonekana .lemi akanambia huwa namuona akitoka kibaha. Anaenda mikocheni . Na apo mikocheni huwa anakaa ata siku nzima nafikiri apo ndo kazini kwake. Nikasema sawa this week end nakuja dar nataka twende apo kunduchi beach tukaangalie. Akanambia fresh. Basi ijumaaa tu ya iyo week nilipotoka job. Mwanaume nikanyanyua chuma mpka saa 4 nipo dar kwa lemi....

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-49-na-50

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

587
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

508
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

508
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

314
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

171
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

128
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

88
MALAIKA  SEHEMU YA 1

MALAIKA SEHEMU YA 1

65
MALAIKA SEHEMU YA 2

MALAIKA SEHEMU YA 2

50
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5

41

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.18K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™ Post Mpya
๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐‘น๐’†๐’”๐’‘๐’†๐’„๐’• ๐Ÿคฒโœจ

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
@majario LIVE

Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100
@majario LIVE

Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya paschal kuondoka pale Hemed alinichekiiii ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช kisha nayeye akaondoka akaniacha pale bila kuniongelesha chochote๐Ÿซฃ au ndo nimeachwa na woteโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ sa mbona hivi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž aah haya mambo ya kumiliki njemba...

Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini, Post Mpya
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini,
@majario LIVE

hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbili mnamo 2030, na kupindukia mnamo 2031 na 2047. Kupitia Shirika...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minongโ€™ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

โ€œMalaika! Malaika mwanangu!โ€ โ€œNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?โ€ Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA โ€œNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukuleโ€ โ€œYesu.....โ€ Nilipagawa huku nikiwaza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest