YENYE KIRUNGU 💛 💚❤️ SEHEMU YA 06
MR. AB
TULIPOISHIA
“Wewe Anita......Anitaaaa” Ilikuwa sauti ya baba mmoja jirani aitwaye Ba Masoud.
Nilishtuka na kufumbua macho nikatazama
“Anitaaaa.....wewe binti” Sauti ya mwenyekiti ilisikika
“Yupo kweli au ameshatekwa huyu, usikute ameuawa tuko hapa hapa” Ilikuwa sauti ya mwanaume mwingine kumbe ndo wamekuja kunikomboa saa kumi akati message nimetuma saa sita.
Wakipiga kelele mlangoni mi natekenywa taratibu naona kama wananisumbua
ENDELEA
Nilizidi kumkumbatia zaidi nambinulia hata sielewi, mara nikajisahau nikapiga kelele.
“Aaaj.....baby” Hii yote ilikuwa kwa sababu alinisugua kwenyewe.
“Wewe Anitaa” Alizidi kusumbua Mwenyeketi. Mimi nikawa nazidi kutulia ila kijana yule aliichomoa na kujilaza kando yangu
“Vipi?” nilimuuliza akanyosha mkono kumaanisha niwasikilize hao
“nani?” Niliuliza kwa nguvu hao watu waliokuwa nje
“Vipi, umeshalala?” Niliuliza
“Ndio” Nilisema kwa mkato
“Sawa, tumekuja kuthibitisha usalama samahani nilikuwa nimesinzia” mwenyekiti alijitetea
“Sawa hamna shida tutaongea zaidi asubuhi”
“Sawa”
Wale wanaume waliondoka nikawachungulia kwa dirishani walikuwa wanne. Nilipohakikisha wameishilia nilimpanda wangu kifuani na kuikalia imesimama kama mnara, niliendelea kuhangaika nayo, tulifanya hadi nikachoka mwenyewe
Asubuhi ilipofika tulioga vizuri ila niliogopa ejapo akija mtu pale nyumbani akamkuta itakuwaje, hata hivyo nilimficha chumbani mi nikawa ninamuandalia kila kitu kwa nje.
Nilitamani kupiga naye story ila ndo hivyo alikuwa kama vile ni bubu kabisa alikuwa hazungumzi.
Nilimuhudumia chai na chakula, kwani hela ya matumizi iliachwa na mume wangu nilikuwa na uwezo wa kutoa pesa kwenye akaunti yake ya benki.
Muda wa mchana kama saa nane hivi nilijisikia hamu ya kwenda kuburudishana naye, nilipomaliza kula tu nilijifunga kitenge kibichi na kwenda chumbani kumpatia alichokitaka.
Nilipofika chumbani nilichanganyikiwa, nilikuta amesinzia kitandani. Vitu vya ajabu vilikuwa vikimtoka.
Alikuwa ameweka mikono kama vile anapokea kitu fulani, licha alikuwa usingizini. Mikonono kulikuwa kunatokea maua ya aina tofaut tofauti ya rangi nyingi, yalipindeza kila yalipoota na kudondoka kitandani
Nilibaki namshangaa, nikaketi katika kochi dogo lililokuwa chumbani nikawa namuangalia huku nafikiria hivyo vitu cinatokeaje wakati sio vya kawaida
“Jerry” Nililitaja jina hilo ila hakuitika.
Ua rose lililmtoka mikononi, harufu nzuri ilitanda chumbani ndipo nikawa nawaza how comes anafanya vitu vya ajabu
Uoga wa kuwa naye pale ndani ulianza kutoweka nilipenda michezo yake ya utoto utoto. “Napenda ua rose jamani” Nilisema kwa sauti ndogo huku nikifuata mkononi na kujaribu kulishika ila likapotea
“Tokeza tena basi” Nilisema ila halikutokea Rose bali lilikuja la aina nyingine lenye harufu kali iliyonipa chafya tatu mfululizo
Ghafla vipepeo walianza kuingia ndani kufuata ile harufu ya maua nikashangaa
“Wewe amka vipepeo” Nilisema na kumtikisa akashtuka usingizini. Alinitazama kwa mshangao kucheki hivi kuna maua kadhaa.
Alionyesha uso wa furaha isiyo na kifani kiasi kwamba aliyashika halafu kila vipepeo walipoingia ndani ndo ilikuwa furaha yake, nilipendezwa naye.
Niliondoka ndani ya chumba na kuketi sebuleni nikashika tama na kuanza kuwaza kwamba naishi na nani ndani kwangu.
Niliiangalia biblia yangu ilipo ila sikuiona, hata sikushtuka sana nikageukia upande wa pili na kuishika simu yangu
Mawasiliano yangu mimi na yule Jerry mpya yalikuwa ya kwenye simu tu. Nilikaa nikawa nachati naye wakati niko sebuleni naye kajilaza chumbani. Nilifanikiwa kumuuliza maswali kadhaa
“Samahani Jerry wewe ni kijana Mzuri ila ninafikia mahali nakuogopa” Nilimtumia ujumbe
“Kwanini waniogopa?” aliniuliza kwa ujumbe mfupi
“Hivi vitu unavyovifanya ni vitu vya aina gani?” Niliuliza
“Oooh, mimi hata sijielewi” Alinijibu
“Hujielewi, kwanini? Kwanza ulisema wewe ni jambazi, jambazi gani mbona sikuelewi na ilikuwaje mpaka ukawa jambazi?” niliuliza
“Niliweza kuwa na maisha magumu sana kipindi cha nyuma nikaamua kuingia katika ujambazi kujipatia kipato, ni miaka 17 sasa nimetoka jela kwa msamaha wa rais, sina makazi” Alinijibu kitu kilichonishangaza
“Whaat?” Niliuliza
“Nisamehe kwa hilo”
“Haya masuala ya kuleta viumbe vya wadudu ndani inatokana na nini?”
“Sijui huu uwezo naupata wapi ila nilianza kuzoeana na wadudu wa aina mbalimbali katika misitu nikivizia magari usiku na mchana”
“Daaah....so una mpango gani?”
“Nasubiri siku yangu ya kufa, sina ndugu wala rafiki” alinijibu
“Mke na mtoto?” niliuliza
“Sijawahi kuwa na mwanamke kabisa wewe ndiye wa kwanza”
“Muongo toka” Nilisema huku nikiona ananidanganya maana alikuwa na ufundi usio wa mchezo.
“Kweli, ila Anita ninakupenda sana nataka uwe mke wangu”
“Kweli?”
“Ndio, nahitaji watoto”
“Tatizo nimeolewa na aliyenioa anafanana sana na wewe sijui kwanini”
“Oh, natamani nimuone......”
“haha”
Tulitaniana sana, ilifika mpaka muda wa jioni saa moja kasoro, nikawa nje nasonga ugali kwenye jiko la mkaa barazani, ghafla nikaona taa za pikipiki ikiingia kwangu.
Nilishtuka na kutazama kwa makini isije kuwa ni mume wangu maana nilikuwa hatarini niko na mwanaume mwingine ndani
Piiiiiiiii, alipiga honi konda, nikasogea na kuchungulia vizuri, kweli ilikuwa kama nimetabiri hivi, nilimshuhudia Jerry anashuka kwenye pikipiki amevaa shati na suruali ya kitambaa akasogea
“Mke wangu Anita” Alisema Jerry huku akinifuata anikumbatie mimi nimebaki nimeganda kama sanamu sijui nifanyeje.
Alinikumbatia ila mimi sikuonyesha ushirikiano maana nilikuwa nina wasiwasi sana akiingia ndani itakuwaje maana atamkuta mwanaume mwenzake......ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni